DAAAAH!! YANGA WAPOROMOKA VIWANGO VYA UBORA AFRIKA! SIMBA YAZIDI KUPAA CAF

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 53

  • @Aed126
    @Aed126 12 дней назад +1

    Na hizi point pia ndo zinazotumika kuchukua washiriki wa klabu bingwa ya dunia kwa shirikisho la caf, kwahio ni muhimu sana kwetu sisi.
    Simba nguvu moja.

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 12 дней назад

    Poleni sana mwakakundi,mrudi mkanywe supu

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 12 дней назад

    Mungu atamtetea mwenye kudharauliwa

  • @venancemsigala1701
    @venancemsigala1701 11 дней назад

    Mbona ni kitu kidogo sana hicho ambacho anaweza kukipandisha kwa kasi

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 12 дней назад

    Mwa kikundi

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 12 дней назад +1

    Wakifika robo fainali wataizidi Simba

  • @AmaniHamis-fc2py
    @AmaniHamis-fc2py 12 дней назад

    DVD unajuwa 🎉

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 12 дней назад +2

    Mungu waajabu sikuzote umuinua mwenyekudharauliwa

  • @FINIASISOKONI
    @FINIASISOKONI 12 дней назад +2

    Anaitwa mwakakundi

  • @AshuraMkilalu
    @AshuraMkilalu 12 дней назад

    😂😂😂😂Simba ni baba ni baba ni babaaaaaaaa

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 11 дней назад

    Mwaka makundi gusa achia bakia mwenye stand

  • @ElishaChikweza
    @ElishaChikweza 9 дней назад

    Wewe nimshabiki wa Simba achana na Yanga mpira u amatokeo ma 3 hakuna mtu anapenda kushindwa acha hizo

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 12 дней назад

    Bora. Walipotokea

  • @MosesMoses-i2j
    @MosesMoses-i2j 12 дней назад

    Utoporo mwakakundi

  • @IssaJackson-g4z
    @IssaJackson-g4z 12 дней назад

    Yeye ataitwa UTOMAKUNDI🤣🤣🤣

  • @sauka9622
    @sauka9622 12 дней назад

    Hii yanga iletewe malaika kweli acha wateseke midomo yao imewaponza😂😂😂😂

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 11 дней назад

    Mwaka makundi niyanga

  • @audaxkarurama9052
    @audaxkarurama9052 12 дней назад

    Ongea kama mchambuzi siyo shabiki. Mna shida ya kujisahau

  • @AlonFesto
    @AlonFesto 12 дней назад

    Anaitwa Utopolo mwamakundi

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 12 дней назад

    Nae huyo friji bovu ni kama shabiki wa uto maana alisema watashinda magoli mengi nae kamdomo kamemponza hana Lolote uyo😂😂

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 12 дней назад +2

    Kiburi hutangulia maanguko..MUNGU amewaangusha sana..ahsante MUNGU umetusaidia simba

    • @kristofuraha
      @kristofuraha 12 дней назад

      Mungu hahusiki na hivyo vitu!

  • @SameerMngazija
    @SameerMngazija 12 дней назад

    Wewe ni mnafiki hueleweki marahiv maravile

  • @Massy-g9c
    @Massy-g9c 12 дней назад

    Wasen hao acha waporomoke unashindwaje kumfunga mwarabu taifa

  • @samsoncheyo9275
    @samsoncheyo9275 12 дней назад

    Friji bovu mwongo anapotosha, anaongea kwa mhemko, yanga sasa hivi kavuna point 2x5=10. Jumlisha point 24 unapata jumla ya point za yanga ni 34

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn 11 дней назад

    Utopolo ni mushi makundi

  • @festocornerstone
    @festocornerstone 12 дней назад +1

    Gusa achia turudi makundi

  • @MalulaMgasa
    @MalulaMgasa 12 дней назад

    Hata makundi papatu papatu.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 12 дней назад

    ALAFU HALIJUI KAMA YANGA PAMOJA NA KUISHIA MAKUNDI KAKUSANYA POINTS 2 AMBAZO UTAZIDISHA MARA 5 UTAPATA POINTS 10..

    • @ShabanySuphiany
      @ShabanySuphiany 12 дней назад

      Zinasaidia nn we rudi nyumbani mwangalie kakaak mfyuuu

  • @adammbembela6786
    @adammbembela6786 12 дней назад

    Anaishia makundi ataitwa Mwakatumbula

  • @NaftaliChitema
    @NaftaliChitema 12 дней назад

    Mwamakundi

  • @audaxkarurama9052
    @audaxkarurama9052 12 дней назад

    Watu mko mashindano ya wanyonge mpate uzoefu wa kuwa wakubwa. Mmefikia ambapo hamjawahi kuvuka.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 12 дней назад

    HILI LINAFIKI LIMEFURAHI SANA JANA LIMEMLAUMU HERSI KWAMBA NDO KAPELEKEA YANGA KUTOLEWA KISA KUMFUKUZA GAMOND KATIKATI YA MSIMU LKN ALGER NA WAO WALIMFUKUZA KATIKATI YA MSIMU LKN WAMEFUZU ROBO

  • @AdamAdam-r5k4f
    @AdamAdam-r5k4f 12 дней назад

    Uto ataitwa mwakamakundi au mwaka kunakomwiko

  • @chamvulakaunda9347
    @chamvulakaunda9347 12 дней назад

    Ataitwa mwamakundi

  • @kristofuraha
    @kristofuraha 12 дней назад

    Sasa natakq kujua mwiko nyuma yupo nafasi ya ngapi?!

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 12 дней назад

    Gusa achia tukanye

  • @hassanshunda5226
    @hassanshunda5226 12 дней назад

    kweli ww ndo friji bovu...ss uto afikishe pwent 39 na simba tyr anazo 39...ss simba keshavuka kwend robo yy hajaongeza point ...kweli shule muhimu

  • @AmaniHamis-fc2py
    @AmaniHamis-fc2py 12 дней назад

    Yanga me ata afike wap SI shangiliiiii

    • @munarnkungu8654
      @munarnkungu8654 12 дней назад

      Asa wee kolo na Young Africans wap na wap

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 12 дней назад

    Ahaaa Mwakakundi!

  • @ArifMussa-t3n
    @ArifMussa-t3n 12 дней назад

    Kamdomooooooo9o

  • @alittlemoretime
    @alittlemoretime 12 дней назад

    Msenge wewe

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 12 дней назад

    Mwakajinga

  • @jumatv4669
    @jumatv4669 12 дней назад

    Ataitwa mwakakundi

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 10 дней назад

    Mwakakundi

  • @MASSAFAASSANE
    @MASSAFAASSANE 12 дней назад

    Gusa achia tuishie makundi

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 3 дня назад

    Mwakakundi