LIVE | Mkutano wa Rais John Magufuli na wawakilishi wa wafanyabiashara wa kila wilaya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 23

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 года назад

    Kwaa kweli mwenyezi Mungu akubariki , na pia akuongezee hekima. Mwanzo watu walikuwa wanakuona kama ni kichesho , hatukujua kama wewe ni mpenzi wa Mungu. Ubarikiwe sana Rais Magufuli, Na Mungu akulinde.

  • @josephatmarcel8966
    @josephatmarcel8966 5 лет назад +2

    Daah nafurahi sana kuona wazalendo wafanya biashara wa nchi hii wanafikiria kujenga nchi yetu ! Hongereni sana wafanya biashara na hongera sana mhe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

  • @ausinchimbi
    @ausinchimbi 5 лет назад +2

    Mungu ibariki Tanzania

  • @rajabushafii8619
    @rajabushafii8619 5 лет назад

    Zawadi ya watanzania ni raisi wawanyonge mh magufuli Jhoni pombe mungu ndie alie kuchagua nadie ane kuongoza mimi binafsi namuomba sana mungu angalau miaka hata therasini ili baazi yawatanzania wanao penda uwongozi wajifunze jinsi uwongozi unavyo takiwa kua mungu akulinde nakhira zawasio penda maendeleo amina

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 лет назад +2

    azam mpo vizuri

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 лет назад +4

    Mh Rais Fresho limited ni jambazi haswa kwanza anachukua vyeti vya wafanyakazi ukikosea kidogo unatimuliwa na vyeti vyako upatiwi pili ni wafojaji wazuri sana Wa risiti kinachoingizwa kwenye mashine ya TRA na kinacho patikana kwa siku nitofauti sana mh tatu wafanyakazi hawana nssf walio nao ni wale ndugu zake tu wafanyakazi wengine hawana NNE wakikuhajiri hawakupi mkataba wako unasain mkataba lakin huruhusiwi kupewa ili ukitimuliwa kazi usiwe na pakusemea mfano hai ni mim sina sauti ya kudai vyeti vyangu kwasababu sikupewa mkataba Wa kazi ombi ishulikie hii kampuni wafanyakazi wapate haki zao haswa sis tulio acha kazi

    • @abneryshagille6005
      @abneryshagille6005 5 лет назад +3

      Hongera Mh. Raisi. Kukaa kuzungumza na kujadiliana moja kwa moja daima ni njia sahihi ya kupata ufumbuzi, hongereni wafanyabiashara mliotuwakilisha kwa maelezo mengi yaligusa sehemu kubwa ya changamoto. Hii ni njia njema. Mungu ibariki Tanzania

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 5 лет назад +1

    Majaliwa yuko vizuri sana kiutendaji; nimefuatlia miaka yote hii na kweli huwa nafarijika sana jinsi anavyochukua maamuzi. Anainkumbusha siku zile za Moringe Sokoine!

  • @josephpaulo9896
    @josephpaulo9896 5 лет назад +1

    hongera rais

  • @mimizlove6992
    @mimizlove6992 5 лет назад

    Raisi Magufuli is the best

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 5 лет назад

      THE WORST PRESIDENTS EVER!. YOU WILL REALIZE AFTER HIS TEN YEARS .

  • @mumanyimulyowa8361
    @mumanyimulyowa8361 5 лет назад +1

    Hongera Mh Rais JPM kwa kuanzisha utaratibu wa kukutana na wananchi wako kusikiliza kero zao kwani umeshuhudia mwenyewe viongozi uliowateua kukuwakilisha ndio hao wanao ipaka matope serikali kwa kutokuwa waadilifu

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      kwnn n yy ss ahangaika na yasiyo na kipaumbele kw taifa!

  • @absonnyegela
    @absonnyegela 5 лет назад +1

    ukiimbwaga huu wimbo wa taifa hadi nywele zinasisimka aisee

  • @frankangosetravel7011
    @frankangosetravel7011 5 лет назад

    Excellent honorable for this transaction changes that may lead to the betterment of tomorrow.

  • @zacharianyenza6408
    @zacharianyenza6408 5 лет назад

    Mzindakaya safi

  • @meshackmarco152
    @meshackmarco152 5 лет назад +2

    Mwaka 2025 nitaenda kuwekeza kigoma

  • @godfreyseme7466
    @godfreyseme7466 5 лет назад +2

    Hivi nyinyi TBC hata umakini mmeukosa, hv Tanzania kuna wilaya 39? Sasa nimewaelewa ni 139 sawa