Allah amrehem sheikh Kassim Jumaa na masheikh wetu wengine walioipigania dini ya Allah kwa Mali zao na nafsi zao hadi mwisho wa maisha yao ktk kipindi kigumu mno Chini ya tawala dhalimu zilizozuia na kuukandamiza uislam kwa nguvu zote.
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

kweli kabisa marehem sheikhe qasim Allah akulaze mahali pema peponi amin
Saimu ngwao tunashukuru, Allah akulipe kila la kheri katika juhudi zako za kutufikishia habari mbalimbali za kheri.
Asante kaka babu yangu huyu ALLAH AJALIE PEPO KATIKA PEPO ZAKE
Mwenyezimungu amjalie pepo kubwa yarab. Akakutana Mtume Muhammad s.a.w. ameen
Allah amrahamu Babu yetu natunaomba kwa hurumazake amiwe jantufiridaus
😥ALLAH Amrehemu sheikh wetu
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين
رضي الله عنه
Allah amrehemu, maneno kuntu
Shukran nyingi sana ndugu mwandishi kwa kutuleta mwamba wa miamba katika imani ya kiislaam.
Aksante sana.
ukweli mtupu bakwata awana uwezo wa kuongoza eanafiki
Mlikuepo waliichezea dini ya Allaah hampo ndio kabisa wanauchafua
BAKWATA mpooo...?!