KUMTIA ADABU MWIZI AMBAYO AJAFUNZWA NA WAZAZI WAKE ATARUDISHA ALICHOIBA ATAKA ASITAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 61

  • @mhandoshaban
    @mhandoshaban Год назад

    Mashallah ndugu yangu Allah akulipe inshallah

  • @rahimomary7663
    @rahimomary7663 2 года назад +2

    Shukrani mwalim

  • @hassaniselemani997
    @hassaniselemani997 2 года назад +2

    SHUKRAN MAALIM

  • @jdjri9927
    @jdjri9927 2 года назад +5

    Naomba kujua na sisi wa Imani ingine tufanye aje

    • @HombeloZabron-v4v
      @HombeloZabron-v4v Год назад

      Nenda kanisani kwenye Imani Yako haikuhusu hii

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 3 месяца назад

      Tafúta anaejua akufanyie pia itakufaa

  • @abukhayrzaad2517
    @abukhayrzaad2517 2 года назад

    shukrani sana maalim kwa nasaha na mafundisho kwa manufaa ya wajaa.

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 2 года назад +3

    Asante!

  • @shakraomary4804
    @shakraomary4804 Год назад

    Sheh shukran san nitakitafut. Ili unifanyie hiyo Kinga he kwa mgaga alionitapeli inawezekan hiyo duwa ya wez

  • @fettytindwa6043
    @fettytindwa6043 2 года назад

    Asante kwa somo nshapata Naz dondoka

  • @LatifaKingwaba
    @LatifaKingwaba 8 месяцев назад

    Shukran sana

  • @oorosam
    @oorosam 2 года назад

    Fantastic one

  • @mzurzamzam1877
    @mzurzamzam1877 2 года назад +4

    🌹🌹🌹🇹🇷🇹🇷🇹🇷...SHUKRANI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹

  • @manyenyecomedy3965
    @manyenyecomedy3965 2 года назад

    Masha Allah

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 года назад +2

    Mashaallah

  • @mwalimumuridi.nurul-islami5691
    @mwalimumuridi.nurul-islami5691 2 года назад +3

    Tunakuomba utupatie njia ya pili kwa kutumia qur,Ani

  • @Akisami-yo7ic
    @Akisami-yo7ic 7 месяцев назад

    Mahalie Niko Hakuna mnazie Na ninge penda kumtia mwizie adabu hadie vile atarudisha vitu zangu Nita fanya hage tafadhalie naomba uni saidie

  • @DebroDebaba-fl5ks
    @DebroDebaba-fl5ks Год назад

    Niko Congo drc kalemie wiziunapilizakiyasi apa

  • @Is-hakaRocky-ce1zq
    @Is-hakaRocky-ce1zq Год назад

    MMASHAALLAH

    • @Is-hakaRocky-ce1zq
      @Is-hakaRocky-ce1zq Год назад

      je hiyo nazi unaiandika mara mbilimbli hivohivo au ni jina mojamoja tu?

    • @Is-hakaRocky-ce1zq
      @Is-hakaRocky-ce1zq Год назад

      na jee hayo majina unatakiwa uyaandike kwa lugha ya kiarabu au hata kwa kiswahili inafaa?

    • @Is-hakaRocky-ce1zq
      @Is-hakaRocky-ce1zq Год назад

      na jee kama hayakumalizika yote katika hiyo nazi inakuwaje? pengine nazi ni ndogo hapo vipi shk?

    • @Is-hakaRocky-ce1zq
      @Is-hakaRocky-ce1zq Год назад

      Na jee kwa kufanya hivyo mbele ya Allah sitokuwa na jukumu la dhambi? ndio kila siku naibiwa shambani mwangu lakini nikifanya hivyo si dhambi?

  • @selemani24
    @selemani24 2 года назад +1

    Muongooe Allah sheh wacha kuwaingiza kwenye ushikina

    • @shakraomary4804
      @shakraomary4804 Год назад

      Tulia wew wezi tuwakomesh tumechok hata tukianika shuk kanga magauni wanaiba hiyo ndo dawa unakuta kun shamba wanaanguwa Nazi utafikir zao hata yoga Jan

  • @abdulikishki8162
    @abdulikishki8162 2 года назад

    Samahani maalimu vp majin hay WaPo wanaodaikuwaniushirikina niwekewaz kunasirigan

  • @safinaabdi2327
    @safinaabdi2327 2 года назад

    Aslm alkm tuandi kie hayo majina ya barhatihi please

  • @PauloNassary
    @PauloNassary 5 месяцев назад

    Shekhe naomba namb zako

  • @HilaryMaulid
    @HilaryMaulid 9 месяцев назад +1

    Shehe somo la udongo wa mti wa mbaazi haujatoa

  • @mwalimumuridi.nurul-islami5691
    @mwalimumuridi.nurul-islami5691 2 года назад +2

    Shekhe sisi kwetu hakuna miti ya Nazi Wala kichuguu tueleze njia za qur,Ani

  • @jdjri9927
    @jdjri9927 2 года назад +1

    Na sisi wa imani yingine tufanye ane

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 2 года назад

      Huu ni uchawi wa majini usithubutu kufanya

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 2 года назад

      Mbona mi sio mchawi na muislamu kuna dua ukisoma tu unapona

  • @felicienmunyundo7732
    @felicienmunyundo7732 2 года назад

    Ndugu shehe naomba utuelekeze jinsi twaweza mtia aibu mwidhi shambani.

  • @abdulikishki8162
    @abdulikishki8162 2 года назад +1

    Hap

  • @shabanimadewa7683
    @shabanimadewa7683 2 года назад +1

    Hiko kitab chaitwaj mwalim

  • @janeoseko4177
    @janeoseko4177 6 месяцев назад

    Miti hatuelewi Kwa Swahili tafadhali.

  • @ZelaChristopher
    @ZelaChristopher Год назад

    Ukanda nilipo akuna Nazi inakuwa je

  • @issamkanyali4466
    @issamkanyali4466 2 года назад +1

    Mh!

  • @erickambale2175
    @erickambale2175 Год назад

    Nakumponya ni namna gani

  • @DebroDebaba-fl5ks
    @DebroDebaba-fl5ks Год назад

    sasa Sisi ambaatunaweslamu tufanyeje nakupataiyonazini shida tufanyeje

  • @shafiikimaro9469
    @shafiikimaro9469 Год назад

    Sasa shekhe sisi ambao tunamuogopa Allah kwa kufanya shirki mfano wa hyo tufanyaje...?

  • @shakraomary4804
    @shakraomary4804 Год назад

    Mi nitakuhitaj uniwekee zindiko kun nyumb yang na shamban kwang nimechok kuibiwa hata ukilala usiku unamulikwa na wezi na toxhi Sasa hiyo ndo dawa

  • @florencekatana134
    @florencekatana134 Год назад

    Siku. Hizi. Hakuna. Nazi. Zinazondondoka. Zenyewe. Huku. Kwetu. Nitafanyaje. Nimeibiwa. Mbuzi. Zangu

  • @sharifframadhan1965
    @sharifframadhan1965 2 года назад

    Kichuguu nini

  • @fatmashurutty7120
    @fatmashurutty7120 2 года назад +1

    Jee Kama ameiba kitambo??

    • @sharifusuleymanatv
      @sharifusuleymanatv  2 года назад

      Hii nzuri zaidi zisiwe zimepita siku nyiiingi

    • @fettytindwa6043
      @fettytindwa6043 2 года назад

      @@sharifusuleymanatv hyo Naz ikiwa imechunwa au hvohvo

    • @fettytindwa6043
      @fettytindwa6043 2 года назад

      @@sharifusuleymanatv hyo Naz inachunwa au vilevile

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 2 года назад +1

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    ruclips.net/video/ZgfBwGAJlrQ/видео.html

  • @rajaburajabu7004
    @rajaburajabu7004 Год назад

    Je iyo nazi u naichuna MAgamba

  • @apllonalydaniely9118
    @apllonalydaniely9118 2 года назад

    Sasa kwasisi ambao niwakrito tutafanyaje?

  • @selemani24
    @selemani24 2 года назад

    Muongo mkubwa ww

  • @abuutalibabdi9168
    @abuutalibabdi9168 2 года назад

    wewe hatari

  • @HassanAli-mk8mm
    @HassanAli-mk8mm 2 года назад

    Mi naomba number zako za Wattsup

  • @DebroDebaba-fl5ks
    @DebroDebaba-fl5ks Год назад

    Niko Congo drc kalemie wiziunapilizakiyasi apa

  • @DebroDebaba-fl5ks
    @DebroDebaba-fl5ks Год назад

    sasa Sisi ambaatunaweslamu tufanyeje nakupataiyonazini shida tufanyeje