LIVE JOGA BONITO: YANGA WAIFUNGIA TP MAZEMBE/ ALI KIBA ANAONGEA NA WANANCHI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 33

  • @chemstry409
    @chemstry409 17 дней назад +7

    Well done CROWN RADIO...❤❤❤❤❤❤

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 17 дней назад +4

    Alikiba ana hekma saana wallahi..Allah amhifaadh Alikamwe ni noomaaa saanaa

  • @BinChonde175
    @BinChonde175 17 дней назад +6

    2ko USA tunafatilia JONGA BONITO ya CROWN MEDIA, kwa kweli Hongereni sana kwa kazi nzuri pia Yanga Chama langu kesho Insha-Allah 3-1 yani shindi lazima

  • @sadcommpalestina4530
    @sadcommpalestina4530 17 дней назад +7

    Daima mbele Kesho ushind inshaAllah 3 anapigwa mazembe

  • @chemstry409
    @chemstry409 17 дней назад +3

    Amazing..Thank you so so muchly CROWN RADIO..HAPA NI NYUMBANI...❤❤❤

  • @GaudensiaKanza
    @GaudensiaKanza 17 дней назад +3

    Nimeipenda sana.

  • @abdulhalimahmed1576
    @abdulhalimahmed1576 17 дней назад +1

    Kila la kher inshallah

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 17 дней назад +3

    Kamwe unatisha🎉

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 15 дней назад

    Tunawapata vizuri kutoka 🇧🇭

  • @davidtriphon3676
    @davidtriphon3676 16 дней назад

    Nmesikiliza nyimbo ya fobby mpaka machozi nyimbo Kali saaaaana

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 16 дней назад

    Yanga bingwa ,foby bingwa

  • @MirajAbdallah-f7o
    @MirajAbdallah-f7o 17 дней назад +1

    Mumepangalia vizuri sana

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 16 дней назад +1

    In shallah tutashinda

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад +1

    Endeleeni na ubunifu mnafanya vizuri

  • @Godwell-nr5rp
    @Godwell-nr5rp 17 дней назад +1

    hii yanga inanipa radha yenye sijawahi kupata toka nimezaliwa co mashabiki co wachezaji co wasemaji co mwenye kiti daah ,gusa achia twende kwao

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад +1

    Matokeo ya mpira Africa mzima pia jamani

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад +1

    Crown iwe international jamani

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад +1

    Mtuwekee ball hapo na goli pia Kwa ubunifu mzuri

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад +1

    Moto

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 17 дней назад +2

    Mkongo ww😂😂😂😂😂😂😂

    • @KamanaMangolwa-xe8de
      @KamanaMangolwa-xe8de 16 дней назад

      Watu wenye asili ya kigoma tumeyazoeya ayo maneno ila serekali ya Tz inajuwa mchango wetu na nguvu tuliyonayo nchini kwaiyo sio shida kutuita wakongo au warundi fresh tu 🤣

  • @MussaKassimu-w2g
    @MussaKassimu-w2g 17 дней назад +1

    Kila nkitaka kuwaombea mema yanga nakumbuka maneno ya Ali kamwe😂😂😂😂😂😂😂

  • @elipidiusgerazi1924
    @elipidiusgerazi1924 17 дней назад

    Sounds mbovu

  • @AmosiKiango
    @AmosiKiango 17 дней назад

    Daima mbele

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад

    Pablo vipi

  • @AbdulilahiHashim
    @AbdulilahiHashim 17 дней назад

    Cameraman tuonyesheni audience pia

  • @BashiriIddishabani-i3r
    @BashiriIddishabani-i3r 17 дней назад

    Kila lakheri tp mazembe