Mayasa - A Swahili Movie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024
  • КиноКино

Комментарии • 99

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 года назад +19

    Nimelia Kwa kweli..mungu type umri mrefu tuwalee watoto wetu🙏🙏

  • @skola3217
    @skola3217 2 года назад +2

    Hadithi tamu Sana ...na story inaelimisha japo mapungufu ayakosi ila sababu inaoneka mazoezi ayakufanyika mda mrefu ...ila natumaini wakipewa nafasi mala kwa mala watajiamini Sana na itakuwa njema big up kwa mtunzi kwa ubunifu.

  • @GeridaDamas
    @GeridaDamas Год назад +2

    Eee mwenyezi Mungu utulinde Sisi na wtt wetu ata tukitangulia mbele za haki wtt wetu wawe wamekua na wanajitambua nimelia sana kumuona uyo mtoto anateseka kwa shangaz yake

  • @roggermilarogg5095
    @roggermilarogg5095 2 года назад +1

    Hadithi nzuri sana, akiongozwa na Mayasa ,, ni mbora sana,, inanifundisha kuwa kilicho na mwanzo hapakosi mwisho 👌hongera

  • @rukiymbarak7087
    @rukiymbarak7087 Год назад +7

    Wanawake kuweni na huruma na watoto mayatima 😭😭😭💖

    • @moha-sr6qt
      @moha-sr6qt 7 месяцев назад

      😭😭😭 kweli aky

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl 2 года назад +3

    Daaah 🤔😢 mayasa pole sana kwa uliopitia, movie nzr ila inaumiza moyo mno

  • @samsonimakenzi
    @samsonimakenzi Год назад +1

    Weee hiyo ni noma san 😮😅😅😅 nimeipenad san 🎉🎉🎉🎉

  • @janetwakasa8021
    @janetwakasa8021 2 года назад +4

    Haaaa! Inauma mayasa pole sana kilio na mwanzo kina mwisho

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 5 месяцев назад +1

    Mayasa anajua kuinginza sana pongexi ❤❤❤❤❤

  • @essykinyanjui9642
    @essykinyanjui9642 2 года назад +4

    Movie nzuri sanaa mayasa good actor,, waiting part B

  • @rispher277
    @rispher277 Год назад +1

    Hiii move nzuri sana ni ya husuni sana kwa mayatima wote duniani lkn nyny mama.wa kambo muone yatima kama mtoto wako waja kumteza

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 Год назад +2

    Inauzunisha allah tupe umri mrefu tukuze watoto wetu😭

  • @marybosibori1068
    @marybosibori1068 2 года назад +7

    Eeee Mungu wangu usiwache mayatima 😭😭😭😭😭

  • @lenny8074
    @lenny8074 Год назад +1

    Inauzunisha sana ila siku zote mungu awezi kamwe kuwaacha watoto yatima.lakini kama ww ni mwanamke naukona hii roho haufai kabisa kukubalika katika jamii

  • @ndukimailu
    @ndukimailu Год назад

    Mungu tubariki na uhai tuwalee watoto wetu

  • @PeterDunia-of9nf
    @PeterDunia-of9nf 5 месяцев назад +1

    Huyo mmama mwenye roho yake jamn mbona kama linacheka tyu kaa jinga

  • @TeopistaDeo
    @TeopistaDeo 9 месяцев назад

    Jamani haya maisha tuishitu tuombe mungu atujalie watoto wetu wapate ufahamu Ina uma sana

  • @chrissmazinge3064
    @chrissmazinge3064 2 года назад +1

    Mayasa amecheza uhalisia move nzuri Sana nimeipenda part B wap

  • @RaymondmuneneKabutis
    @RaymondmuneneKabutis Год назад

    Kwa mara ya kwanza kulia juu ya kipindi ,tamu sana

  • @Stoppermohamed24
    @Stoppermohamed24 2 года назад +1

    Mungu ni mwema sana na Mungu hamfichi muovu tukae na tujue

  • @selinapendo4076
    @selinapendo4076 2 года назад +2

    Sehemu y pili upesi plz,xo nice🥰🥰🥰🥰

  • @isdorylucas7886
    @isdorylucas7886 2 года назад +1

    Jamani story nzuri angalieni ikae sawa

  • @fatuma2061
    @fatuma2061 Год назад

    Kabisa mungu utujalie mri

  • @momolabenjamim9375
    @momolabenjamim9375 2 года назад +1

    Nataka kujua sehemu B itafanyikaje hadithi hii inavutia sana nimeipenda

  • @nurusalim1667
    @nurusalim1667 2 года назад +2

    Hii movie ni nzuri sna mayasa ur a gud actore waiting for part 2

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +1

    Gud job mayasa keep up rembooo

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Год назад +1

    Wonderful movie 🍿 I like the action it's so nice

  • @naomiauma7913
    @naomiauma7913 2 года назад +4

    Part B tafadhali ni nzuri sana

  • @yvonneatieno-kj4xl
    @yvonneatieno-kj4xl Год назад

    Mungu ajalie watoto akisema la kwamba wacheni watoto waje kwake kwa vile tusitese watoto wa wenyewe Who giveth takeths

  • @NATIONALNATIONAL-u3f
    @NATIONALNATIONAL-u3f 11 месяцев назад +1

    Jmn kumbe ni migol hongeren sn wa migol wezangu

  • @JoyJacob-ez5mn
    @JoyJacob-ez5mn Год назад

    Shangazi kuwa na huruma kwa mayasa, tafadhali

  • @Zuhura-t5w
    @Zuhura-t5w 11 месяцев назад

    Uyu mama roho chafu sna 😢

  • @stkb2187
    @stkb2187 Год назад

    Kumbuka munavio wafanyia mayatima ifo.ndifo watoto.wenu watafanyiwa😭😭😭

  • @MashakaMashaka-x3k
    @MashakaMashaka-x3k 10 месяцев назад

    Ni kumuomba mungu

  • @lightnesmunuo1711
    @lightnesmunuo1711 Год назад

    Duh amakwel 😢 jesus is everything belive it

  • @EmanuelGida
    @EmanuelGida 8 месяцев назад

    Nakubali

  • @BoscohWalker
    @BoscohWalker Год назад +1

    L lobe it❤❤

  • @edwinwanyonyi4369
    @edwinwanyonyi4369 2 года назад

    Huyo mama ana roho ngumu kweli sijui kama ako watoto

  • @ambwenedanda3282
    @ambwenedanda3282 2 года назад +1

    This is a world muhimu Sana kumtegemea mungu

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 2 года назад

    Mungu kaa na mayatima lia nawao lalanawao walishe baba

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 2 года назад +2

    Movue nzuri sana

  • @motoe1073
    @motoe1073 2 года назад +2

    Ila munafudisha sivyo kabisa munakoseya Kwa uchaw uagamizwe na Quruani tukufu ndiy mafuzo je mtoto walio fiwa hawato juwa ndin ya Allah watakuwa wanawaliliy wazazi kabla ya mungu wafudishe maadili wew badilisha baada ya muzimu wasome kuruani inapedeza zaid

    • @motoe1073
      @motoe1073 2 года назад

      Ila munaeneza filamu za kichwa na mizimu hapo kosa kubwa maona tinaona musaada unapo tok tagaza dini ya Allah kila pahali filamu zur fanyeni Ili mtu akione tatizo la muchaw anaagamizwa na kuruani me huku nikijifuza kuifadhi Aya huko nyie mnapata thawabu jamani asa hapo musahad Kwa wafuu wap wap din Iko wap

  • @othmaniboniface7795
    @othmaniboniface7795 2 года назад

    Ongelen can kwa kaz nzul

  • @gracerehema8944
    @gracerehema8944 Год назад

    😢Inaliza kwa kwel

  • @jeremiachacha4812
    @jeremiachacha4812 2 года назад +1

    safi sana mayasa kazi nzuri

  • @saraahkerubo3906
    @saraahkerubo3906 2 года назад +2

    Kweli hyo mama ni mchawi mayansa ameenda huko akapata wanamwita na wanadance

  • @mayassa1116
    @mayassa1116 2 года назад

    Nzuri sana pole somu🥱😊

  • @GodfreyWerema-p1i
    @GodfreyWerema-p1i 3 месяца назад

    pole xana

  • @mudondosaudha8642
    @mudondosaudha8642 Год назад +1

    Tslt in English Dear friends

  • @damianodagharo7335
    @damianodagharo7335 2 года назад +1

    Agwelina patio 2

  • @RaiyanAbdallah-u4w
    @RaiyanAbdallah-u4w Год назад

    Inahuzunisha sana kwa huyu mtoto kutoenda shule jamani tuwe na huruma

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 2 года назад

    Mungu wagu kwann watu wanatesa mayatima wakisahau keshoniwao

  • @TumainiMosha-cr2jo
    @TumainiMosha-cr2jo 8 месяцев назад

    Hivyo vingoma mngevitoa

  • @angelyraymond9860
    @angelyraymond9860 2 года назад

    Yaan mayasa nimempenda bure anakipaji 💕

  • @kidakinyunta7958
    @kidakinyunta7958 Год назад

    E mung wasaidie pia tusameh na sis

  • @enedycarol5751
    @enedycarol5751 2 года назад +4

    So Wonderful,,,the video is so enjoyable😍😍😍🙏🙏🙏I want to be one of your stores,,,may you hallow me to be amongst you

  • @HalimaBulaiteni
    @HalimaBulaiteni 8 месяцев назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @brendaoulo2120
    @brendaoulo2120 2 года назад +1

    Nzuri kabisa ,part B

  • @aminahussain3058
    @aminahussain3058 2 года назад

    Nzuri sana

  • @kiswaswadu2132
    @kiswaswadu2132 Год назад

    Aaa inalizakweli😢😢😢😢😢😢😢

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 2 года назад

    Mzuli

  • @amimuradjabu3277
    @amimuradjabu3277 2 года назад +1

    number2

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 года назад

    jamani inauma sana

  • @BashruIbrahim-rs3tx
    @BashruIbrahim-rs3tx Год назад

    Omary moamedy tedy

  • @maryambaby7106
    @maryambaby7106 2 года назад

    Mayasa anahuzunisha☹️☹️

  • @sabinanova66
    @sabinanova66 Год назад

    😭😭😭😭

  • @saraahkerubo3906
    @saraahkerubo3906 2 года назад +1

    Part2 iko wapi

  • @ElizabethRenatus-c3o
    @ElizabethRenatus-c3o 8 дней назад

    Lucy Saimon

  • @shanyabuzefa5855
    @shanyabuzefa5855 Год назад

    Kukosa wazazi taabu tupu

  • @شهدالاحمدي-ر7غ
    @شهدالاحمدي-ر7غ Год назад

    Vindo

  • @rachelwilliam3585
    @rachelwilliam3585 Год назад +1

    We anness wewe

  • @JudlthGacheri
    @JudlthGacheri День назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @freetravelsagents3768
    @freetravelsagents3768 2 года назад

    watoto ni maliika tu akiku ambia kitu usikiza liu

  • @HassanLastman-hh9sw
    @HassanLastman-hh9sw Год назад

    Wanao tesa yatima moto ya jahannam inawaongojea

  • @brotherben7706
    @brotherben7706 2 года назад

    Samaani

  • @PapolaMss
    @PapolaMss Год назад

    Floby

  • @HamisPaschal-xi1uy
    @HamisPaschal-xi1uy Год назад +1

    Madebe lidayi

  • @saraahkerubo3906
    @saraahkerubo3906 2 года назад

    Si mchome hao watu murete acid muwachome na msiwasamehe

  • @NelsonMandela-jq2vt
    @NelsonMandela-jq2vt Год назад

    Bref