Jinsi ya Kurudisha Namba za Simu Ulizozifuta Kwenye Simu Yako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 63

  • @LeilaAmiri-et2jj
    @LeilaAmiri-et2jj 28 дней назад

    Thank you boss,ubalikiwe mnoooo

  • @muharamikamburuta7214
    @muharamikamburuta7214 Год назад +1

    Daa! Asante mkuu nashukuru sana zimerudi 🙏🙏

  • @ReasonLee-qw9tw
    @ReasonLee-qw9tw 7 месяцев назад +1

    Asante sana kwa maarifa nimefanikiwa jambo langu keep it up 🙏

  • @salehtorres6865
    @salehtorres6865 8 месяцев назад +2

    Daah asante kaka zimerudi

  • @ashashaib2959
    @ashashaib2959 Месяц назад

    Asante ❤

  • @pienciafortidas248
    @pienciafortidas248 4 года назад +3

    That's great

  • @aminajapanes8431
    @aminajapanes8431 27 дней назад

  • @mussamushi1784
    @mussamushi1784 7 месяцев назад +2

    Oya mzee umenisave sana 🫡🫡🫡

  • @mathaemanuely-xs8yw
    @mathaemanuely-xs8yw Год назад

    Asante sana nimeweza

  • @AvithMgnyz
    @AvithMgnyz 5 дней назад

    Yani kama umeniongelea mm yani😂😂😂

  • @NaylaRajab-v2i
    @NaylaRajab-v2i 2 месяца назад

    Kipnz unaweza nikukupa no yng ukanifundisha what's app

  • @ZawadiMollely-qr9dy
    @ZawadiMollely-qr9dy 3 месяца назад

    Woow jamn namb zang zimerud zotee 🎉🎉🎉

  • @dennisngela8311
    @dennisngela8311 2 года назад +2

    Dah kaka nashukuru sana imenisaidi sana hii video ubarikiwe

  • @PhinaLazaro
    @PhinaLazaro 8 месяцев назад +2

    Mbn kwangu hazirud

  • @almasmzugu
    @almasmzugu Год назад +2

    Samahani. Ikiwa nimehifadhi namba katika sim cards au phone na sio google mail naweza kuzirudisha kwa njia gani?

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  Год назад

      Hapo unatumia applications zipo playstore kwa ajili ya ku recover...search contact recovery application

    • @fadhilphone2515
      @fadhilphone2515 Год назад

      @@ElimikaMtandaoni Mimi NIMEFUTA zaidi ya mwezi msaada plz

  • @badria5771
    @badria5771 3 месяца назад

    Kama huna iyo app

  • @qadirz961
    @qadirz961 2 года назад +1

    asnte saanaaa

  • @shallonyjuma8113
    @shallonyjuma8113 3 года назад +1

    umetisha

  • @tasmar0002
    @tasmar0002 4 года назад +2

    Mkuu asnt sana kwamaelekezo nimeziona no zangu zote

  • @jumakombe7679
    @jumakombe7679 2 года назад +1

    Bomba

  • @santuwillah7297
    @santuwillah7297 Год назад +1

    @elimika mtandaoni mko vzur sana asante nimeludisha majina 600 nilifuta file la contact

  • @emanuelicharles19-in7wf
    @emanuelicharles19-in7wf 8 месяцев назад +1

    Kaka vipi kuusu sms zinaweza kurudi 🤝

  • @saadashabanishabani-wv5wk
    @saadashabanishabani-wv5wk Год назад +1

    Samahani kaka Mimi nimebadili sm nimenunua mpya sasasimuhampya nimeweka haisomimajina nitarudishaje

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  Год назад

      Tumia ile email uliyokuwa unatumia kwenye simu ya awali.

    • @saadashabanishabani-wv5wk
      @saadashabanishabani-wv5wk Год назад +1

      @@ElimikaMtandaoni asante najalibu

    • @marykomba4592
      @marykomba4592 Год назад

      Kaka mim Bado jaman nimefanya ivo mwanzo imekubali lakin sasaiv inakaa kabisa azirudi

  • @deuschua5349
    @deuschua5349 5 месяцев назад

    Kaka me shiida yang nlifuut kweny googl naomb nsaiidiie

  • @saidmaulid5609
    @saidmaulid5609 Год назад +1

    Zilifutika week 2 nyuma au mwez msaada pliz

  • @maftahramadhani2382
    @maftahramadhani2382 Год назад

    Bro mm na shida

  • @emanuelicharles19-in7wf
    @emanuelicharles19-in7wf 8 месяцев назад

    Namb zako mzee

  • @MartinMaria-zg6vm
    @MartinMaria-zg6vm 6 месяцев назад +1

    Elimika subscriber

  • @zilpaomary
    @zilpaomary Год назад +3

    Nimefurahi jmn nilikua na hasira nikafut namba ya baby wang 😂😂 af nikammis sas si ndo nikaja uku RUclips jmn nimeipata kwel😊😊

  • @ImmanuelSabuni
    @ImmanuelSabuni Год назад

    Kama ni iphone uanazipataje

  • @lulujackson6105
    @lulujackson6105 3 года назад +1

    Cjaelew

  • @aggienjisi6062
    @aggienjisi6062 2 года назад

    sor broh me ni miezi mitatu nilipo futa narudisha vp

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 3 месяца назад

    Jee kama nimefuta mda mrefu

  • @veronicasylvester3975
    @veronicasylvester3975 2 года назад +2

    Jaman kama ni miezi mitatu imepita inarudije

    • @rukiyashali
      @rukiyashali Год назад

      Hata mimi nataka kujua

    • @GladVenas-o7u
      @GladVenas-o7u 3 месяца назад

      Kama nilifuta kupitiya simu nyingine tazipata ajee

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 9 месяцев назад

    Mbon mm cjui kuirejesh

  • @teddyelias740
    @teddyelias740 3 года назад +1

    Broza ndio nn jmn

  • @halphamvunge6842
    @halphamvunge6842 6 месяцев назад

    Nilisave kwenye email,siku zaid ya 30 zimeisha naambiwa hairudi

  • @bisadakhalidy7000
    @bisadakhalidy7000 2 дня назад

    Brauza ndo nn jamn

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  2 дня назад

      @@bisadakhalidy7000 browser ni app unayotumia kufungua Internet...mara nyingi tafita app inaitwa Google Chrome au Firefox

  • @shukurusarikoki9981
    @shukurusarikoki9981 2 года назад +1

    Sijaelewa broza ndio nini

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  2 года назад

      Kivinjari unachotumia wakati unataka kufungua tovuti kwa kingereza kinaitwa "browser" na sio broza kama unavyosema....mfano angalia kwenye Simu yako Kuna aplikesheni inaitwa "Chrome" au "Firefox"

    • @hajiponera2327
      @hajiponera2327 2 года назад

      Mbn kwangu inagoma haileti ayo majina moja kwa moja

  • @Far-hatSeif
    @Far-hatSeif 6 месяцев назад

    Km ulifut zamn je

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 2 года назад

    Kama nimefuta sikunyingi je zaidi ya miezi au mwaka nifanyeje

  • @johnoscar1721
    @johnoscar1721 Год назад +1

    WE JAMAA HATARI CHAPU ZIMERUDI ASANTE SANA 😂😂😂