LIVE MAHABA YA MWIJAKU AKIMSHAWISHI SNURA AMUOE MKE WA PILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 апр 2020

Комментарии • 551

  • @joyceleonce8986
    @joyceleonce8986 4 года назад +118

    Kama umeona mwijaku anajua kutongoza onga like

  • @athumanmrisho1762
    @athumanmrisho1762 4 года назад +208

    Kama umemuelewa mwijaku kwamba anajuwa kutongoza gonga like

  • @ingabirefabrice3418
    @ingabirefabrice3418 4 года назад +11

    TANGU DUNIA IMEUMBWA SIJAONA MTU ANAETONGOZA KUMZIDI BROTHER MWIJAKU DAAAAHHHH

  • @oxyrio1224
    @oxyrio1224 4 года назад +35

    Mwijaku hahah ndo maana diamond kasema zuchu kaa mbali na mwijaku Hahaha nmekubali

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 4 года назад +129

    Nyumba inaanza na msingi ikitoka msingi inafuata foundation. Waliomuelewa gonga like twend sawa km umeisikia hiyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salimramadhani5237
      @salimramadhani5237 4 года назад

      Msingi halafu Foundation kudadadeki

    • @liyanakarzan182
      @liyanakarzan182 4 года назад

      Mbona msingi na fondishen vyote ni sawa

    • @allykita2444
      @allykita2444 4 года назад

      ukiwa muongeaji sana ndio inakuwa hivyo hajui hata kama amechapia

    • @ninahmbonea6248
      @ninahmbonea6248 4 года назад +1

      @@allykita2444 kavulugwa na mzigo wa Snura 😂😂😂

    • @gordiansoko9113
      @gordiansoko9113 4 года назад +3

      Ajali ya ulimi na mdomo hiyoo

  • @abubakarzamir6276
    @abubakarzamir6276 4 года назад +18

    SNURA DADA ANGU UMEELEKEA KUWA MTU MWEMA MASHAALAH MUNGU AKUONGOZE UMRUDIE ILE UKAIPATE PEPO YAKE

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +54

    Nani kaona snura anatamani ndoa kwa mwijaku..... Like apa

  • @zuhuraegale3306
    @zuhuraegale3306 3 года назад +1

    sinura unapendeza sana kuwa mcha mungu dada yangu basi mlejee mola wako kbs usiludi kwenye hizo nyimbo mashaalllah umesema unapenda wislamu wako basi uonyeshe vitendo hakika unamoyo wa uslamu.riziki yako ta halari nibora zaidi

  • @aminajuma8098
    @aminajuma8098 4 года назад +19

    Bro mwijaku😆you ever make my day.

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 года назад +11

    Nilikuwa Nawazaga sana huyu Mwijaku anapataje watoto wakali asa leo ndio nimejuwa Mjuba ana Mistari Yakutoa nyoka Pangoni unataka mwanamke jasiri sana kuruka Mistari ya Bro Mwijaku👏👏😂😂😂😂😂

  • @issambassa9986
    @issambassa9986 4 года назад +44

    Yaan mm nikiona interview ya mwijaku niko radhi nikope ninunue MB 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hilalhazil8727
    @hilalhazil8727 4 года назад +45

    Huyu bwege anamwaga mistari na snura anaanza kuelewa somo

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 года назад +2

      Hahahaaaaa amejaaliwa ulimi.

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 4 года назад +4

      mshenz huy muongo san tapeli

    • @abdulswammadnaseebhon2057
      @abdulswammadnaseebhon2057 4 года назад +2

      Hahaha

    • @happygw6930
      @happygw6930 4 года назад +2

      😃😃😃 ndio weakness ya wanawake ulimi wa maneno yaani hapo sanura tayari kampenda mwajaku 100% aminia yaani kichwani mwake anawaza yule mchumba atamwachaje akubari ombi hahana sanura kubari tu ila jiandae huyu atabariki

    • @tatoohmood3867
      @tatoohmood3867 2 года назад

      @@tousihhhh6765 😂😂😂😂😂😂

  • @innocentvalentinb52
    @innocentvalentinb52 4 года назад +5

    Respect profeser mwijako 👍👍👍 wemukali sana

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 4 года назад +11

    Hhhh daah mwikaju wee n nomaa, unapiga sound kinomaaa😄😄

  • @mucomwizaruqaiyah4064
    @mucomwizaruqaiyah4064 4 года назад +8

    Ma sha Allah iwe kheri 💕💕💕

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 года назад +17

    Huyu ninja ni nohma kama anatongoza mbele ya kamera, chumban c ataua huyu

  • @rayanaabdallah9834
    @rayanaabdallah9834 4 года назад +35

    Jaman nani kaona mwijaku kakimbia issue ya Menina? Likes plz😁

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 2 года назад +3

    MashaAllah TabarakkahAllah beautiful

  • @yl_sports_af1994
    @yl_sports_af1994 4 года назад +10

    Huyu snura ni mdada ambae hana msimamo kama kuna aliemuelewa kma hana msimamo eka like

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 года назад +27

    Mwinjaku haswa interviews zake nnainjoy big up bro and ayo tv

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 4 года назад +1

    😅😅😍 sometimes I don't like you sometimes your the best Tata maruchuri following from Ug

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 года назад +46

    Snura kama kaingia kwenye 18 mwijaku hatari😂😂😂😂😂😂

    • @hassankange1305
      @hassankange1305 3 года назад

      Chezea mwijaku wew ukijua maana sales man

  • @jumamwaboko5087
    @jumamwaboko5087 2 года назад +5

    Nimejifunza salute to #Mwijaku_#Snura_#Millard_Ayo Interview Imeweza!

  • @augustinremy2580
    @augustinremy2580 4 года назад +1

    Mungu Kuzidishie maisha mwijaku unanifuraishaga sana

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 года назад +14

    Mwijaku 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani anamasomo ndo maaana fulani anampenda maana syo kwa maneno yake khaaaaaa

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 4 года назад +1

      Zenna Kailo
      Kumbe unajua...
      akuna nyumba isiyoanza na msingi... 👏🙌

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 4 года назад +1

      Ramsey Bayoma hahahahahaha Nilijua tu maaan unavyompenda huyu jamaa khaaaaaa 😁😁😁😁😃

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 года назад +2

    Dah! Snura umemuuliza swali zuri sana Mwijaku,!

  • @ruthwatson1366
    @ruthwatson1366 4 года назад +6

    Mwijaku,,,,, sijui uko serious sijui mzaha. Mwijakuuuuuuuuu.........

  • @ysgtge8114
    @ysgtge8114 3 года назад +4

    Rura nakupenda allah akupe mume bora amiin 😘😘❤

  • @africa7479
    @africa7479 4 года назад +16

    Mwijaku muogope mungu watu wanaokufa mashahid ni saba, vit vya kupigania dini ya Allah, kufa majini,kuangukiwa na ngema au ukuta,kufa kwa moto,kwa maradhi kam kipindupindu,wakati wa kujifungua,Na Allah ndo mjuzi zaidi.kwahyo mwijaku acha kuongeza mambo ya dini au kufanya mzaha au kuongea vitu usivyokua na elimu navyo kaka Allah akuongoze

    • @sharifaramadhani9072
      @sharifaramadhani9072 4 года назад +1

      Mwijaku a najua Sana kujielezea wallah snura stara ni nzuri umependeza

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 4 года назад +1

      Hahaaaa huna ujualo bora uyo mwinjaku

    • @hamudseif
      @hamudseif 4 года назад

      Wanafanya mzaha ktk dini, Allah atuoneshe haqi

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 4 года назад +26

    Snura kama ume ingia box hahaha

  • @allytasi7291
    @allytasi7291 4 года назад +5

    Mwijako kama uko siliasi Allah akuongezee kaka

  • @abdinooraliow1281
    @abdinooraliow1281 4 года назад +2

    Allah Awajaalie muoane,In sha Allah

  • @evancelyimo6764
    @evancelyimo6764 4 года назад +15

    Ashaliwa na baharia tayari!

  • @fatumashaban7931
    @fatumashaban7931 4 года назад +11

    Mnajua pepo ni ndoa tu lakini mambo mabaya mnayoyafanya hamyaoni suna kuoa kumuomba mungu aah,mtuachie uchuro si tunamuomba Mungu atuondolee mabalaa yanayotufata hamyaoni mnatuletea uhuni wenu

  • @mohammed.alghurabaa9266
    @mohammed.alghurabaa9266 4 года назад +10

    HAPO KWA KUFA SHAHID NI UWONGO MTUPU...LETA AYA AU HADITH

  • @salimmwadachi2979
    @salimmwadachi2979 2 года назад

    Hongela bwana kakamwijaku

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 года назад +3

    MashaAllah Snura kumbe wapendeza unapo jistiri ila Mwijaku Fanya bidii uengeze mke,mpe maneno matamu ubebe mzigo huo..all the way from 25flow🇰🇪 🤣😂😂

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 4 года назад +19

    Hahahahahahahahahhahahahaha Mwijaku hawakuwezi nakwambia

  • @mussaallyi647
    @mussaallyi647 Год назад

    Umependeza nahilo vazi maashaalaah mungu akuzidishie ishaallah

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 года назад +3

    Kutokgoza ni mbinu nawewe dada kama kweli maneno yako ni ya kweli basi stahanili Mungu atakupa alie bora katika maisha yako lakini kumbuka maisha ya ndowa ni safari ndefu.

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 4 года назад +10

    Hahahah asante sana mwijaku nimekuelewa

  • @ibrahimwerejuma4816
    @ibrahimwerejuma4816 4 года назад +2

    Kwa kweli mwijaku ni mwa Africa kamili nimemukubali kwa asilimia mia 💯

  • @mahmoudmohamed344
    @mahmoudmohamed344 4 года назад +7

    I like it Wallahi.....Mwijaku uko juu kwisha ashaingiana....Ustadh upo wapi??

  • @alantonio855
    @alantonio855 4 года назад +3

    Mwijaku ni mzima saaaana

  • @mtuwamungusethoskar8212
    @mtuwamungusethoskar8212 2 года назад +1

    Snura ufafa nizi wako juu ya mtu mwenye hofu ya Mungu nimeupendasana.nimekupenda bure

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 года назад

    Hongera snura siku hiz umebadilik saan maa shaa Allah umekuwa mwanamk wastar japo sio saan

  • @yusuphmohamed7329
    @yusuphmohamed7329 4 года назад

    Snurah kaa utafakari ukikubali ukubali kuingia kwenye ndoa kwaajili ya allah na sio vinginevyo"" mashaallah snurah kinywa chako tu ukikiongoza hivyo naamini utakuwa mke na cheo cha (mke wa mtu) utakitumia vzr

  • @ruthwatson1366
    @ruthwatson1366 4 года назад +1

    Hii ndio sababu nasema tukiweke kiswahili chetu jameni. Kaka kasema msingi lakini akaona atuchanganye kidogo na lugha ya kizungu kaongezea FOUNDATION. Hapo ndio nikaona ako mchizi kiasi juu zote hizi ni kitu kimoja lakini mkitupiwa kizungu kidogo,,,,, mnamuona msomi. N'gooooooooo!!

  • @user-rg1wy6ft5l
    @user-rg1wy6ft5l 7 месяцев назад

    Mashallah Snnura wallah ninakukubali sana sana

  • @mnipammnipa6411
    @mnipammnipa6411 2 года назад +1

    Mwijaku nakukubali sana bro😀😀😀

  • @jumakuziwa8180
    @jumakuziwa8180 2 года назад

    Huyo udevu shekhe mwijaku! Ndo unaofanya ujiamini sana kwenye kutongoza.

  • @faizasaleh9783
    @faizasaleh9783 4 года назад +11

    huyu. mwanamume. hodari. sana. allha. akutimizie.

  • @saumsiraji9870
    @saumsiraji9870 4 года назад +10

    Mashaallah Snura kajifuniki vzr anamwonekano wa kiislam.
    Sasa yule mkeo mbona hajistiri na unasema unamlingania mambo ya ndini haa.
    Mvishe mkeo vazi la kiislam na uwedelee kumlingania ajue Wislamu ni nini.

    • @luvisa2472
      @luvisa2472 4 года назад

      Yule mke wake ni mkristo
      Kabadili tuu kwa tamaa ya maisha tuu

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 года назад +1

    Wallah mwijaku yupo sirias na snura anamtaka kwel jaman Msione masiara

  • @farouqkatana7216
    @farouqkatana7216 4 года назад +6

    Mwijaku hatari mistari 🔥🔥🔥🏃‍♂️🏃‍♂️🤣🤣

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 года назад +3

    Snura saeziako wijaku kheri inshaa Allah

  • @Filmz639
    @Filmz639 4 года назад +22

    Eti mke wangu akasema namtaka Snura😀😀😀😀😀😀😀

  • @halimams2127
    @halimams2127 4 года назад +2

    oaa mwijaku mungu.atafunguaa

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 4 года назад +2

    Mwijaku na kukubali mashallah

  • @mrsb.j283
    @mrsb.j283 4 года назад +16

    Snura ni kama unanisemea mimi, hilo swali nataka sana kumuuliza huyo, mke wake apita akizunguka uchi

  • @galusikiliani6228
    @galusikiliani6228 3 года назад

    Nilichogundua mwijaku ana convince power

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 2 года назад +1

    Mashaallah snura atakubali awe mkeo mwijaku

  • @assumanimutabi8744
    @assumanimutabi8744 4 года назад +1

    Mwijaku my friend

  • @samiaismailmsabah8509
    @samiaismailmsabah8509 2 года назад +1

    Allah awatimizie malengoyenu na niayenu

  • @edsonemmanuel8804
    @edsonemmanuel8804 3 года назад +1

    Duuuuh mwijaku hatar san 😍

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 года назад +3

    Snurah olewa tyuu na Mwijaku.. Acha Zako Wewe

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 4 года назад +9

    Mwijaku ana sound 😂😂😂😂

  • @fariyaosmanali9220
    @fariyaosmanali9220 4 года назад +6

    Masha Allah 💖💕♥️

  • @sheby9486
    @sheby9486 4 года назад +8

    Wanawake bhana hapo snura kishaanza kumuelewa mwijaku ama kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 2 года назад

    Mwijaku nakukubali broo

  • @joyanambuya3695
    @joyanambuya3695 4 года назад

    Mwijaku.ww umetisha😀😀😀😀

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 4 года назад +14

    Huyu fala Dem haruki aiseee 😂😂😂

  • @khalidmwamwasi9415
    @khalidmwamwasi9415 4 года назад +1

    Nakubali Mwijaku dini unayo pia tunajifunza

  • @zuuothman9170
    @zuuothman9170 4 года назад +30

    Hyu mkaka anapenda wanawake wenye matako makubwa huna lolote

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 2 года назад

    Hapo mwijaku amepatikana na maswali hongera sana mama nsura

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 4 года назад +4

    Msingi ni kiswahili msingi kwa kinge ni Foundation!

  • @thierryt7689
    @thierryt7689 4 года назад +3

    Mashaallah Sanura umetisha Kwenye hii interview hongera...jamaa aleta story za foundation Na msingi😂😂😂😂

  • @hamadshein8272
    @hamadshein8272 4 года назад +8

    MENINA AIRTIME.

  • @halimaamini232
    @halimaamini232 4 года назад

    Mmhhh mwijaku weeeeeh.......namm namashaka km mtangazaji

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад

    Hapo Snura kashakubal kitambo Maneno yamemuingia kwel ya mwijaku na ashamsahau yule kijana..Ila mwijaku fundi

  • @omary.mpemba730
    @omary.mpemba730 2 года назад

    Uyo mwijaku atongoz sema utapeli mwingi mno

  • @erickwilliam4159
    @erickwilliam4159 4 года назад

    Mmmh kwel muheshimu Ramadan alafu unazini mbele ya shaban

  • @omarisimba8864
    @omarisimba8864 4 года назад +2

    Hahahahah braza mwijaku ni nyoooko wallahy...tayar kazi ameshamaliza hapoo😁😁

  • @tonythadei9608
    @tonythadei9608 4 года назад +1

    Namkubari sana mwijaku kinoma

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 4 года назад

    Mwijaku we nomaaa!!!!!!!🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 4 года назад +4

    Leo mwijaku amenimaliza snura kaingia ndani ya box kwa maneno matamu nimekubali.

  • @KMLotin
    @KMLotin 4 года назад +14

    Ilikuaje hii lakini 🤣🤣🤣

  • @josephisaya8166
    @josephisaya8166 4 года назад

    Mwijaku ana mistari hatare

  • @abdoulshakurbinmakka4610
    @abdoulshakurbinmakka4610 2 года назад

    Kabisa mwijaku yuko right kabisa

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 4 года назад +6

    Hahahah walai mwijaku mwehu 😀😀😀😀😀

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 года назад +1

    Mashaalah mwijaku

  • @suleimankaafimuhammad8909
    @suleimankaafimuhammad8909 4 года назад

    😃😃🤪🤪😃😃😃😃😃😃😃 i like this guy mwijaku sana 😂😂😂😂😂

  • @joerosay
    @joerosay 4 года назад +1

    mwijaku wewe pepo huwezi kuiona coz ww ni mzinzi sana nashangaa watu wanachekelea hiki unachokifanya hapa...we ni mpumbavu sana

  • @mikesamba8465
    @mikesamba8465 2 года назад

    D. C you are very funny my friend

  • @lestermtweve5990
    @lestermtweve5990 4 года назад +4

    Lina sound kixenge

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 4 года назад +1

    Mwangu mtafute season ya muendelezo mimi nahitaj kujua hadi mwisho...🏃‍♂️🏃‍♂️mtuletee huku mikoan.. huyu mwamba alinikera kipindi kile ila katika hili la mistari mwamba anavoko🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @hamilhashir4452
    @hamilhashir4452 3 года назад

    Mwinjaku muoe kweli atabadilika huyo na Mungu atakufungulieni barka mtashangaa

  • @mwarishmodsalum555
    @mwarishmodsalum555 4 года назад +2

    Snura umenifurahisha Sana bazazi mkubwa hana lolote mbabaifu anadhalilisha wanawake tu huyo wahovyo

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 года назад +4

    Mwijaku anazingua bhana yukoje 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤣🤣🤩🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂snura kashamuelewa mwijaku anamtetea kuhusu ishu ya menina

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 года назад +10

    Hayo madaraja yataishia kwa Waislam tu, hivohivo Mapenzi ni namba tasa hayagawanyikii

    • @abubakarmwasumilwe7070
      @abubakarmwasumilwe7070 2 года назад +1

      Hayagawiki kwako..
      Kwamume wako yanagawika vzr ..
      Tena kwavimada wanje anazini tu.
      Sasa sibora mtu akuoe kuliko kuzini t