JINSI YA KUOMBA MKOPO WA ELIMU KWA NGAZI YA DIPLOMA 2024
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Katika video hii ,nimeonyesha ni kwa jinsi gani unaweza kuomba mkopo wa elimu vyuo vya kati yaani diploma hatua kwa hatua kupitia mfumo wa OLAMS.
Usisahau ku like,share video hii ili wengine wajifunze
Kama unaswali uliza kwenye comments
Good Work
Thanks
Me niliiomba mkopo diploma awamu yakwanza ilikuja your application is already please for next stage
ahsante kwa ushirikiano wako
good
Asante asee🎉🎉🎉
Kama ndo kwanza unaenda mara yako ya kwanza diploma na katika post form four education unafanyaje na wala haujapita certificate
hapo education after form four inakuaje maana inaonesha ni kama wew unaomba lacal UD, na hata hapo kwako umeonesha ivo appl category as LUD, ila sasa education after form four inakuaje
Naomba msaada kwenye kipengele cha Education kwa mwanafunzi anayesoma Diploma mwaka wa tatu nikiweka post form four level inanidai hadi VAN na GPA lakn nikiweka Certificate inakubali ila nikipreview haionesha level of education after form four.. please nisaidie
Yaan hata mm naona hii sehem wamezingua
kama ndo ni mwnaafunzi anaeanza DIPLOMA ONE nitattikiwa kubonyezaa FIRST YEAR STUDENT??
Video ya mwaka huu boss
Kwa mfano haujasajili laini kwa kitambulisho chako namaanishia hauna kitambulisho unafanyaje? Utatia yeyote au vp?
Jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limetofautiana herufi moja na vyeti vingine vya shule, vipi issue kama hii itakuwa na shida kwenye application yangu?
Vp hali bro .....naeza kupata muelekezo wa jinsi ya kuapply for diploma loan kama mtu ni non- necta student
Kwenye taarifa za kifo nimaja taarifa (tanzania bara na Vrification code ya death certificate) lakini nikicorfirm iaanakuwa faint kimaliza inaniambia death certificate are missing nashindwa kuelewa
Mfumo wa zamani uliachwa
Kwa wa mwaka wa kwanza je anaweza kupata ?
Nimejaza kote na kuattach baada ya kusign lakin nikibonyeza submit haionesh kama zimefika
Me niliiomba mkopo diploma awamu yakwanza sijapata inakuja your application is already please for next stage mbna atupewi taarifa
Kwani maombi ya mkopo Bado yanaendelea au mwisho lini?
Me niliiomba mkopo diploma awamu yakwanza ilikuja your application is already verification please for next stage
Kwa anaye ingia mwaka wa kwanza kwahiyo mpaka awe ameshaconfirme chuo ndo afanye maombi ....?
Umepata ,majibu kiongozi??
@@Bishop_nyarubanja bado sijapata
Ukimaliza tyu form four nakwenda chuo unaweza kupewa mkopo
Nimeapply kwa iyo link ya apply for diploma ila mwanzo system kwenye category zilikuwa znatokea za degree nkachagua zng Local undergraduates
local undergraduate ni degree
Ndio ila ata iyooo fomu ulotolea maelekezo apooo
Application category imekaaa local undergraduate
Ila uku mwanzo kwenye kuchagua category ulichagua diploma loan
Apooo sjaelewa why
Sas tufanyeje
Kwahiloo tatizo la LUG
Me taarifa nyingine zinakubali ila kweny kuingiza taarifa za bank pale mwanzon nikiingiza niki search account details inaniandikia "THE REQUEST TO THE REMOTE FPS TIMED OUT, PLEASE TRY AGAIN LATER"
bado inagoma?
Vp kwny kuomba mkopo wanaangalia result na vp wenye dvsn 4 wanapat??
Ivi kama nimelipia nikiwa na apply mkopo alafu sijamaliza nikitoka nalipia tena au inakuaje
Hapana mkuu unalipia mara moja
@@jackthedev21ahsant
kama hujaenda popote baada ya form 4 nitajaza nn kwenye form 4 post education
Apo kwenye mdhamini cjapaelewa.... kama hauna mdhamini inakuaje???
kuna option tatu za mdhamini
1.Baba
2.Mama
3.Mlezi ( Anaweza akawa kaka,dada,baba mdogo,shangazi au ndugu yeyote wa karibu)
Sasa sijaelewa unakosaje mdhamini?
Huwezi kosa kabisa mdhamini lazima uwe nae
Nisaidie kupata verification no ya birth certificate maana ata sielewi
kuna video ipo kwenye channel ya jisni ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa umeitazama?
Nimeitazama nimeweza God bless you
baada ya kukamilisha form nazipeleka posta au
Vp broo mi nd ntaka nianze mwaka uu Yan mwez wa 9 apo vp nawez kupat mkopo
Jee jinsi ya kupiga picha ya 120px x150px na 1MB
Napataje no birth certificate kk
Km huna iyo postal address unaacha
postal address si jambo la kukosa ndugu..jaza hata ya serikali ya kijiji au mtaa uliyopo
Yaniii nimetokaaa certificatee naingiaa diplomaaa 1 kwaio ntakiww kujazaa mwanafunzi anayeendelea na masomi
baada ya form four unaandika umeenda certificate hyo option ipo haoo..usijali
@@jackthedev21 Inakubali ila kwenye details ukimliza kila kitu inakuandikia baada ya form four umeenda form six apo ndo intuchangnya
Naongelea sehemu ya DEMOGRAPHIC kwa pale tunachaguaa first year student au kwa sisi tuliotokeaa certificate kuja diploma mwkaa huu tunaajaza continuing first time applicant au vip
@@lilyansinienga826 continuous ni wale wa diploma tayari kama bado ndo unatak kujiunga diploma..wew ni mwaka wa kwanza
@@jackthedev21 Unatuchngnyaa maana nimeona apo ukajaza details za certificate kwenye mahali per continous stidentss kwaio nachotaka kuukuliza kuwa NIMETOKA CHETII NAENDELEA APO APO DIPLOMA 1 KWAIO NATAKIWA KUJAZA FIRST YEAR STUDENT RIGHT??
Je km umerist unafanyaje mkuu
Nacte na necta unachaguaje nacte
Oya mzee naomba nielekeze namna ya kudownload zile form za kusign na kuziattach kwenye maombi
Kama umeshamaliza kujaza nenda kwenye preview application hapo juu utaona button ya download
Naitaj namb Yako y cm nkutafte wasap
ahsante kwa msaada wako
Vp broo mi nd ntaka nianze mwaka uu Yan mwez wa 9 apo vp nawez kupat mkopo
Yes mkopo anapewa yeyote mwenye vigezo mkuu