UKO SAWA - Alarm Ministries Ft. Christina SHUSHO ( Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @cshusho
    @cshusho 2 года назад +315

    Greetings in the name of the Almighty God.
    Uko sawa tu the song with Alarm Ministies choir in Kigali has got to be one of the most challenging videos that I have done.
    We did not have much time as I was a speaker and a Guest of Apostle Mignoinne Kabera .
    After we were done with our daily session my manager said to me.. “ we are in Rwanda, you have worked with Alarm Ministies do you think we could give them a song ?” I have learnt with time to respect what I call the third eye 😅.
    So to cut a long story short , we went into the studio at around 4 pm and on getting there things changed.. now two songs were required and he wasn’t budging.
    I take this opportunity to thank my brother Justin,Ben, Cedric and the rest of the Alarm Ministies for working under immense pressure to come up with the audio in a record time!
    The day of the video shoot was even more pressure But we saw the good and the message that this song carried and even though I was physically very tired, I still found the energy ( I had already done the first video which will be in the upcoming Album ) I remember Director Legend and my Manager going to the work area several times and both wanting more clips and it was getting dark .
    In the middle of the video shoot I was overwhelmed and I found myself crying deep in worship.A debate ensued whether or not to keep that scene.( if you are keen enough it is the first few seconds after the video begins.
    Uko sawa Mungu. Wakati wote wewe uko sawa tu.
    I pray that this message touches whoever watches this video as it touched me.
    God bless you All 🙏.
    Nawapenda sana.
    Christina Shusho.

    • @mpundubruno
      @mpundubruno 2 года назад +2

      God bless you our Sister, more anointing upon you

    • @getrudejohnson
      @getrudejohnson 2 года назад +1

      Thank u for nice message God blessing u abundant.

    • @janeuwizeye1124
      @janeuwizeye1124 2 года назад +1

      Much love our mom!

    • @peterthomas273
      @peterthomas273 2 года назад +2

      That's great woman of God, next time we would like to see those scenes of the ministering of the holly spirit. God bless you.

    • @mugabeandre7573
      @mugabeandre7573 2 года назад +2

      All blessings for you

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 Год назад +9

    Uje MUNGU uwakumbuke hawa watu na kuwafundisha tena yaliyo mapenzi yako nakusihi kwa jina la YESU amen

  • @nyabikundwaesperance7880
    @nyabikundwaesperance7880 Месяц назад +2

    Imana iguhe umugisha muvandimwe amavuta yimana azakwomeho uyumunsi iyindirimbo iranzamuye harikibazo nunva gikemutse narinfite kubera iyindirimbo

  • @happymasanja9720
    @happymasanja9720 2 года назад +40

    Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu, umenipaka mafuta kichwan pangu umenirehemu, nimeguswa mno na wimbo huu, Mungu awabariki kwa kuganga na kutia mioyo iliyovunjika, i can't explain how I feel about this song

  • @hadijayusuph6208
    @hadijayusuph6208 2 года назад +4

    Upo sawa mungu mchana usiku wew upo sawa

  • @melyrics7717
    @melyrics7717 2 года назад +13

    Machozi yatililika nikisikia wimbo huu ,asante sana Christina shusho & Alarme ministries 😻😻😻

  • @danielmbuguangigi103
    @danielmbuguangigi103 2 года назад +95

    From Kenya 🇰🇪 with so much Love❤… Had missed one by this beautiful team!! Nawapenda!! I am Refreshed this morning

  • @bienfaitndethi7148
    @bienfaitndethi7148 2 года назад +1

    uko sawa, wimbo nzuri from Congo butembo

  • @gikundirojane-ce8ke
    @gikundirojane-ce8ke 2 месяца назад

    Umeniandaliya mema mbele yawatesi wangu bwana🙌🙌🙌

  • @fofoalkgds9245
    @fofoalkgds9245 2 года назад +3

    Yayayayayah ukosawa baba God 🙌🙌🙌🙇‍♀️💞💞💞🇧🇮

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 года назад +4

    Waooo wimbo mzuri, God bless you Alarm ministries for featuring our Christina shusho🇹🇿🇹🇿

  • @paulthomas2230
    @paulthomas2230 2 года назад +38

    Today, at the age of 27 I vow to continue waiting on the Lord. More than the watchman waits for the morning, I will wait. Holy, just as He is holy. Presenting my body as a living sacrifice. I'll wait. #glory to God

  • @jeannerwamidende4595
    @jeannerwamidende4595 2 года назад

    Ukosawa mungu wangu safarini haukuniaca umenishika mukono Gd👍 songs mubarikiwe sanaaaa 🥰😍💕🙌🙌🙌🙌

  • @nyirabahirenyamucyo6177
    @nyirabahirenyamucyo6177 2 года назад +1

    Ndimurukundo niyi ndirimbo Kbx imana ibahe umugisha mwishi sindikuyihaga

  • @lindarundi9877
    @lindarundi9877 2 года назад +1

    AMEN 🇧🇮🇸🇦👌👌CHristen churche nakupendaga saaaaaan nanyimbo zako zinanifarij

  • @lavineateng-mutoni
    @lavineateng-mutoni 2 года назад +1

    Miriwe my Rwandese brothers and sisters. Mnanibariki nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @kalisaphilippe3639
    @kalisaphilippe3639 2 года назад +5

    Uko sawa Mungu wangu ,tunakuomba Uwe kalibu na sisi tunaomba nguvu na neema yako ,tupe nguvu ,

    • @jmaniraho98
      @jmaniraho98 2 года назад

      Iyi ndirimbo isobanuye gute?

  • @annadaudi5402
    @annadaudi5402 2 года назад +1

    Uko sawa Mungu wangu
    Nimebarikiwa sana from Tanzania
    Nawapenda sana Alarm ministries with Sister Christina Shusho

  • @verokarani
    @verokarani 2 года назад +3

    Uko sawa mungu wangu 🙌 what a nice song🥰🥰 more grace my team👏👏 🇰🇪🇰🇪

  • @nabezagentille7390
    @nabezagentille7390 2 года назад +2

    Uko mwema mungu wangu 🙌🙌🙌🙌 muhabwe umugisha

  • @lucyanyango1573
    @lucyanyango1573 2 года назад +1

    Uko sawa Mungu wangu, safarini ukuniacha majaribuni umenishika mkono, 😭😭😭🙏🙏 asante Mungu Kwa kuwa nami Kila wakati si usiku Wala mchana , kwa mapito yangu uko pamoja nami, much love ❤️ from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @debabakibonge9822
    @debabakibonge9822 2 года назад +2

    From Burundi 🇧🇮que mon Dieu vous bénisse alléluia 🙏uko sawa Mungu wangu unastahili sifa 🙏🙏🙏

  • @lizasalma9599
    @lizasalma9599 2 года назад +1

    Ameen uko mwema Baba Mungu, merci Christina Shusho na Alarm Ministries kwa nyimbo nzuri.Asanteni sana

  • @kadzosamuel-fg4bv
    @kadzosamuel-fg4bv Год назад +1

    Huu wimbo unibarikii kila saa na kila dakika😢😢😢😢😢be blessed Christina shusho ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 2 года назад +2

    Mungu wangu awabariki waliofanya wimbo huu,umekuwa wimbo wangu wa Kila saa,wimbo huu umekuwa ukiponya majeraha yangu Kila ninapousikiliza

  • @gladsilaa6078
    @gladsilaa6078 2 года назад

    Ukoo sawa Mungu wangu hata kama nimenyanganywa haki yang nakusubiria wewe màan mda wako ukifika hata wakae vikaoo vingapi hawatashinda🙌🙌nakusubiria baba watu ,ardhi na mbingu wajue ninaye Mungu aliye hai🙌🙌🙌yotee Kwa utukufu wa jina lako Mungu,Amen🙏🙏🙌

  • @BeatriceKombe-lz7tk
    @BeatriceKombe-lz7tk 11 месяцев назад +2

    Oooh shendererabosiah uko sawa mungu wangu❤

  • @faithnyambura245
    @faithnyambura245 2 года назад +1

    Uko sawa wew Mungu wangu.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @charlottekashindi3870
    @charlottekashindi3870 Год назад +1

    Mawazo unayo niwazia nimawazo ya amani si mabaya Ameen ❤🙏🙏🙏🙏🇺🇸🇺🇸

  • @umutanguhagrace4453
    @umutanguhagrace4453 2 года назад +1

    Uko sawa Mungu wangu.mubalikiwe sana Alarm

  • @nzitondaemelyne108
    @nzitondaemelyne108 2 года назад +2

    Amen &Amen Uwiteka Abahe umugisha Alarm ministries🇧🇮

  • @alicemuia6200
    @alicemuia6200 10 месяцев назад +2

    For sure GOD you've been soo good n faithful to me despite what have gone through,,heart breaks,betrayal joblessness,debts.....this far have seen God fight for me n am grateful to him

  • @PembaImani
    @PembaImani 2 года назад +1

    My goodness. Nyimbo nzuri mno yatuliza roho na akili. Mbarikiwe Alarm pamoja na dadetu Shusho. Sifa kwa Bwana Yesu.

  • @JacklineMesso
    @JacklineMesso Месяц назад

    Uko sawa mungu wangu Katka magumu nnayoptia naamini Yuko sawa

  • @fabriceruhirwa934
    @fabriceruhirwa934 2 года назад +4

    Hallelujah Mungu wetu uko sawa kabisa 👌

  • @umutoniange6975
    @umutoniange6975 2 года назад +1

    Nami sitanyamanza nitalisifu jina lako milele😭😭😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @adorjb7345
    @adorjb7345 2 года назад

    🙏🙏 Daudi alipo kosa neno lakusema kuhusu Mungu alisema Mungu ni yeah

  • @ABDOUS250
    @ABDOUS250 2 года назад +8

    VERY GOOD VIDEOGRAPHER♥🔥🔥🖖

  • @dusabejudith8920
    @dusabejudith8920 2 года назад

    Jamani sichoki kusikiliza🙌🙌🙌💃💃💃💃💃Mubarikiwe sana

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 2 года назад +1

    Wow wow blessed from Kenya 🇰🇪 🙌 🙏

  • @emanuelmwenelukole445
    @emanuelmwenelukole445 2 года назад +1

    Uko sawa wanyarwanda na kagame wenu wamefurai kuchinja wahutu eti muko sawa ! Wewe christina shusho wewe Mungu amekuona malipo yapo hapa duniani

  • @hollinessmwawughanga5769
    @hollinessmwawughanga5769 2 года назад

    Wema nazo fadhili zitanifuata oh Hallelujah 🙇🙇 uko sawa Mungu Wangu 💞💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @muhubirifrank5400
    @muhubirifrank5400 2 года назад +2

    Mubalikiwe sana Alarm ministries, tuwapenda sana

  • @kapingaflyseevelyne7698
    @kapingaflyseevelyne7698 Год назад

    Mungu ni mwema kila wakati ✌️✌️✌️❤️❤️❤️🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @ماريافيدال
    @ماريافيدال 2 года назад

    Uko sawa mungu wang myaka yote ya uhai wngu. Be blessed

  • @bellanzuri7215
    @bellanzuri7215 2 года назад

    Uko sawa Mungu wangu...muchana ,usiku wewe uko sawa tu...
    Asante sana kwa wimbo huuu. que Dieu vous bénisse abondamment....
    Depuis DRC...

  • @ireraaudrine2516
    @ireraaudrine2516 2 года назад

    Ooooh YESuuuuuu weeee, uko sawa saaaaaaaanaaaa baba yanguuuuu , kwani mambo yako kwangu yapita fahamu zanadamu

  • @michaelwafula7114
    @michaelwafula7114 2 года назад

    My grade two anapenda huu wimbo kila wakati, kwanza hapo kwa chorus, barikiweni sana

  • @chrissure6353
    @chrissure6353 2 года назад +2

    Uko sawa tu,safarini hukuniacha majaribuni umenishika mukono

  • @uwamahovalentine5226
    @uwamahovalentine5226 2 года назад +1

    Umenishika mkono Hallelujah be blessed Christina Shusho and Alarm

  • @kadafuOfficial
    @kadafuOfficial 2 месяца назад

    Imana yaremye isi n ijuru ubahe umugisha

  • @chrisdarrell1
    @chrisdarrell1 2 года назад +2

    Uko sawa mungu wangu🙏🙌mawazo unayo niwaziya nimawazo ya amani Baba🙌

  • @cynthiaonyango1668
    @cynthiaonyango1668 Год назад

    Umenipaka mafuta na kunirehemu ,what a loving God🙏

  • @MuhaweSifa
    @MuhaweSifa 6 месяцев назад

    Amene Amene Amene Amene Amene Amene Amene 🙏 Mungu Wambinguni Awabari

  • @rachelandrew2559
    @rachelandrew2559 2 года назад +1

    Such a wonderful and blessings message..Hakika Mungu yupo sawa

  • @voiceofhopearushatz1878
    @voiceofhopearushatz1878 2 года назад

    Its true always Yeye Yuko Sawaaa... Tunawapenda Sana ...Karibu Tz...

  • @priscamrisho
    @priscamrisho Год назад

    kabisa mungu ni kila kitu katika misha yetu ya kiroho na ukikaa sawa na mungu hawezi kukuacha atakulina na kukuepusha na mabaya yote tunatkiwa tumtumaini mungu kwa kila jambo nawapenda mwimbo wenu unanibariki sana

  • @nyemosaimon8991
    @nyemosaimon8991 2 года назад

    Safarini hukuniacha bwana majaribuni umenishika mkono Asante sana Alarm ministers Nabarikiwa sana sana

  • @adonetteniyonizigiye1204
    @adonetteniyonizigiye1204 2 года назад +1

    Umeniandaliya meza mbele ya watesi wangu mu menibaliki sana mungu awabariki sana

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 2 года назад

    Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rodakevin1678
    @rodakevin1678 2 года назад +1

    Ume niandaliya meza mbele ya watesi wangu ume nipaka mafuta kichwa ni pangu ume nirehemu

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 Год назад

    uko sawa Mungu wangu wewe uko sawa tu Jehovah hawukuniacha umenivusha salama haleluaaa🖐🖐🖐🌸13.09.2023

  • @sirbaraka
    @sirbaraka 2 года назад +12

    From Tanzania 🇹🇿 I'm so covered by the glory of God after listening to this beautiful Godly song

  • @hannahmukundi3005
    @hannahmukundi3005 2 года назад +1

    Ooooh 😭😭😭 uko sawa mungu wangu🙌🙌🙌🙌

  • @gracemwangi4880
    @gracemwangi4880 2 года назад

    UKO SAWA MFALME WA AJABU MAISHANI MWANGU .NASHUKURU MWENYEZI MUNGU 🙏 ❤️
    AHSANTE SANA BABA WA MBINGUNI 🙏
    UAMINIFU WAKO NI WA MILELE AMINA.
    🇺🇸 🇰🇪 TWAKUPENDA DADANGU CHRISTINA SHUSHO ♥️

  • @OfficialGraceM
    @OfficialGraceM 2 года назад

    Mungu uko sawa ATA wakati huu usiku sioni asubuhi ikifika nimejazwa na machozi na mawazo jinsi safari nimeanza nitaikamilisha

  • @rukundoadelphine1044
    @rukundoadelphine1044 2 года назад

    Mungu awabariki sana Christina naupenda sana wimbo huu naurudia mara mia sichoki kusikiliza huu wimbo machozi yatililika nabarikiwa sana

  • @mugenzijohn2157
    @mugenzijohn2157 2 года назад

    Alarme ministries mungu awabalikimpaka mushangae,yani munjyana mumwuka.bavandimwe beza. ndabakunda burigihe nku

  • @esperancenamasomo7391
    @esperancenamasomo7391 2 года назад +1

    Hakika Mungu iko Sawa tuu🙏 Hatuna mashaka👌

  • @chrissure6353
    @chrissure6353 2 года назад +2

    Amen,umenishika mkono kweli Mungu wangu.

  • @monicesthela6316
    @monicesthela6316 2 года назад +2

    Mungu kila saa ma dakika uko mwema kwangu

  • @sandrakitcha1122
    @sandrakitcha1122 2 года назад +2

    Ma chanson du moment, Christina Shusho barikiwa sana

  • @sandrineniyonzima9343
    @sandrineniyonzima9343 2 года назад

    Shusho mtu wangu sana.songa mbele na ubalikiwe zaidi

  • @dmpseasons1467
    @dmpseasons1467 2 года назад +1

    Alarm Min. Muhabwe umugisha n'Imana

  • @nyirabahirenyamucyo6177
    @nyirabahirenyamucyo6177 2 года назад +2

    Ark nkunda Alarm manawe uzajyubaha umugisha

  • @Fredw6
    @Fredw6 2 года назад +1

    Mubarkiwe sana ndugu zetu 🙌🙌

  • @catherinemuriuki9407
    @catherinemuriuki9407 2 года назад +15

    The way this song speaks to me I can't explain. I literally sobbing. Thank you Lord.

  • @peterernest
    @peterernest 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥 washa moto wa injili mpaka kieleweke

  • @elizabethwambui2127
    @elizabethwambui2127 Год назад

    Waaoh! So powerful ...ukosawa Mungu wangu🙌🙌🙌🙏

  • @vincentmuhore
    @vincentmuhore 2 года назад

    Gusobanukirwa iyi ndirimbo bivana na experience ufite mubigeragezo love ❤️ u alarm and Shusho God bless you with his fire 🔥 keep going you are in good track

    • @adelinadaudi
      @adelinadaudi Год назад

      Uko sawa MUNGU hallelujah 🙌🙌🙌

  • @maggie_tiras9129
    @maggie_tiras9129 2 года назад +5

    From kenya, this song is soo sweet and refreshing.. . Its on repeat mode in my house.... Nawapenda

  • @doricahtalu6555
    @doricahtalu6555 Год назад

    Uko sawa Mungu wangu ulinishika mkono wakati wa majaribu na ukanivusha

  • @nbukurucedric5252
    @nbukurucedric5252 2 года назад +2

    Ume ni andaliya meza mbele ya watesi wangu

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 2 года назад

    I real have to praise this God,,,amenivusha katika kipind ambacho sikutegemea....Ameniandalia meza mbele ya watesi wngu amenipaka maguta kichwani pangu amenirehem🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @millicentbaya7065
    @millicentbaya7065 2 года назад +5

    This song has come at the right time when I need this comfort from Lord Jesus,, Surely,uko sawa,,No one loves me like you do,,, Thankful heart from Kenya🇰🇪.... God bless you all 🙏

  • @rachaelkylliane9168
    @rachaelkylliane9168 2 года назад

    Napendwa wimbo na sauti ziko sawa💯💯💯😘

  • @anithandikumana7739
    @anithandikumana7739 2 года назад

    Nita sifu jina lako milele . Uko mwema Mungu wangu

  • @priscillarobiya1405
    @priscillarobiya1405 Год назад +1

    Ohhhh Yesssssss💪💪💪
    He never makes any mistake

  • @dusabedondivin230
    @dusabedondivin230 2 года назад

    Love from Burundi🥰🥰❤️❤️ Indirimbo nziza cane itwibutsa imbabazi n'ukugira neza vy'Imana. Muhezagirwe cane..

  • @alainolivierkiruhura7236
    @alainolivierkiruhura7236 2 года назад +1

    uko sawa Mungu wangu ! be blessed Alarme ministries

  • @dianachepkemoi5623
    @dianachepkemoi5623 2 года назад +11

    All glory to Jesus....God bless you and expand your ministry ❤️

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 2 года назад +22

    What a powerful ministration. This song is so moving and emotional. In my journey and time of temptation God has been faithful fighting my battles and holding me by His righteous hand ✋. Thanks to the Alarm Ministry and sister Christine.

  • @mwatumuomari3727
    @mwatumuomari3727 Год назад

    Huko sawa Mungu wangu kweli sichoki kuhusikia huu wimbo kweli safarini ahujaniacha hata siku moja Eeeee Mungu wangu sifa kwako Bwana maana unaniwazia mawazo mazuri kila dakika wema nafadhili zako zitanifuata milele.

  • @byishimoboutrosghals
    @byishimoboutrosghals 2 года назад +1

    Uko muema mungu wangu bless you alarm ministry & christina chuch

  • @floranyefwe3464
    @floranyefwe3464 2 года назад

    Uko sawa Mungu wangu. Mchana na usiku Yesu wangu.

  • @claricejacqueline3669
    @claricejacqueline3669 2 года назад

    Alléluia 🙏🙏safarini ukuniacha majaribuni umenishika mkono

  • @jacintamacharia8072
    @jacintamacharia8072 11 месяцев назад +2

    Scripture after Scripture, I can never get enough of this song
    It has become an Anthem to me, blessings sister shusho and the entire team,such a powerful song of all the times.
    Keep on soaring to the glory of God.Nawapenda❤

  • @frankc9510
    @frankc9510 11 месяцев назад

    Kwa kweli Mungu uko sawa. Much love from Nairobi, Kenya

  • @leahkaligilwa1399
    @leahkaligilwa1399 Год назад

    Amen wimbo unanibariki sana Mungu akutunze Sana Christina

  • @rachelzoe7555
    @rachelzoe7555 2 года назад

    Uko sawa Mungu wangu mcana usiku wewe uko sawa tu😭🙏🏼🙏🏼 Our God is too faithful🎸🥁🎹🙌🏻🙌🏻