'Smigos' you are a gem✌️but mazee najua umefungwa na mapenzi chenye naeza sema let this gal vee vee go😄utakuja kulia ukicheza....dem anacheat na Charlie na anajiita lele.....confused fellow😂😂moha help me tell smigos aachane na huyu msichana bana, aache kufungwa na mapenzi.....anyways team 🌈 🔥vee vee and you uache kiburi there nothing bad with offering someone help.....'you will never beg' you never know so just be kind always
@@barbramuna4081 🤣🤣🤣🤣💔 I didn't meant to laugh,,sijui kama uliona video flani kwa Annita Dave show?🤔🤔watu wanatumia cucumber 🥒 nono ikiget mtoi kwisha 🙄
Bt Moho why does George's wife choose to stay with these girls of all places,let her go back to her parents as she's looking for work around town if she wants to stay around town 😂 , lastly santaize George wife's phone en see their texts plz😂
Simingle..pliz heli uchukue uyu bibi ya George had n mrembo kulko uyo wako..uyo wako anakucheat na mwisho mwisho ataolewa na mwanaume..pliz run 4 your life .napenda ww bure♥️♥️♥️
For me hiyo mimba zi ya caretaker wala George huyo mimba msichana ajui mwenye mimba.... akuna siku yenye unaeza pima mimba ujue ni ya nani lazima upime mtoto si mimba na hii ni ufala yenye hawa madem wanafanya
But mimba hujulikana ni ya miezi ngapi,,,,so according to the month Ali intimate na caretaker ama George so she can know who's the owner of the pregnancy
Aki atanimaliza mbavu zangu aki ananibamba moha next plz mnitag huyu fame anaweza ua bb ya joji, napemda vile stud anasolve hii issue hata anashinda wanaume wengine wale hukill na kufight
Uyu smigles ndie baba hao watoto wa George 😢 na vile ako mtrue aki.smigles usijali u will get mtrue wako one day hawa wa kulala na caretaker achana nao.once she puts to bed atakudharau sana
Same here, juu George alitoka majuu hawakua wamemit na uyu dem wake sasa boll ya dem wa joj ilikua wa caretaker sasa how comes Tena ball ni ya joj na hawakua wame meet? Alifumaniwa kwa nyumba?
Yani uyu dem ana mahali kwingine pakuenda akaona kwa malele ndo iko maisha e MUNGU kumbuka watoto wako wamerokwa ufahamu E baba tusaidie hii roho iachilie dada zetu katika jina la yesu kristo.
Hawa wschana wazuri hivi shetani achilia watoto wetu in jesus name kenya imekuwa sodom na gomora frm gulf
Hakika wallah
Mungu ingilia aki, warehemu hawa wasije wakaangamia
Walai
Kenya is a cursed land😂😂
🤣🤣😅
George amenyangaywa mabibi wawili n dem🤣🤣🤣🤣simigle n 🔥🔥🔥🔥🔥
Moha badala ya hyo dem kujiingisha hopa itakua better nimpee new life
'Smigos' you are a gem✌️but mazee najua umefungwa na mapenzi chenye naeza sema let this gal vee vee go😄utakuja kulia ukicheza....dem anacheat na Charlie na anajiita lele.....confused fellow😂😂moha help me tell smigos aachane na huyu msichana bana, aache kufungwa na mapenzi.....anyways team 🌈 🔥vee vee and you uache kiburi there nothing bad with offering someone help.....'you will never beg' you never know so just be kind always
🌈🌈🌈🌈🌈🌈 forever angekuwa wangu ningemkula makofi
Aki this movie is so sweet and enjoyable 😂😂😂😂
Wasichana nikapewa mshipi naeza wanyorosha nyie
Imgn 😢
Sio mshipi,sema nyahunyo.
Mimi nitasimama kwa mlango wasitoke
Fimbo ya askari nyaunya si chungu na wachapwe vizuri bila huruma
ee wanyoroshwe kabisa hii ni ujinga kabisa 😂😂😂😂
Nampenda smigos na courage yake ana utu pia. 🤣🤣 bring another episode for smigos.
Aki napenda huyu dem ana act kama mwanaume maze napenda kuwatch video zenu😊😊❤
Mature kiviake
Me 2
Me too. Alafu analinda uyo dem vile inafaa manze ako smart and nywele
I just find myself loving her she acts very well
Wooooiiiii mungu wangu bibi ya George wacha ujinga
Moha ask huyo wa kofia kama yeye upata period ama ziledie
Wa nkama uko kwa minds zangu 😂😂😂
Hahaha 😂😂😂 walai hakai
😂😂😂😂 anapata vizur hizo zipo tu hazikwepek
😂😂😂😂😂
My question too
Moha saidia huyo dem plz,dont allow her kujoin lele,plz msaidie tu aki
Hapo niukweli
🌈🌈🌈🌈👌
Or maybe there's a game they wanna play, secretly
Woieeeee moha😂,mr boss wa kofia,amepata nyama soft hapo habanduki
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚗𝚍𝚞𝚔𝚒
Huyu basuu amepata mboga mgeni😂😂😂😂😂😂
Help,tell me we are watching episodes because what thing be this???
🤣🤣
Huyu dem ana act mwanaume kabisa❤❤❤❤
But roho safi kabisaa
Akona roho ya mwanaume na hawezi acha Hadi apate delivarance
Acting ndo mwishowe uleta tabia hizi
Moha tell smigos to look for serious partner b'coz huyu dem yake nplayer she's just playing on her
@Moha classic tv eti Vivian atasema ball eti ni ya smigles moha you make me laugh 😅😅 loud
Sasa wakikaa pamoja na ball si watadunga mtoto na carrot jameni??🤔🤔
Huwa hawatumii carrot,kuna kitu Fulani Huwa wananunua and it vibrates.wakiconect Kwa stima
😂😂😂😂😂
@@barbramuna4081 🤣🤣🤣🤣💔 I didn't meant to laugh,,sijui kama uliona video flani kwa Annita Dave show?🤔🤔watu wanatumia cucumber 🥒 nono ikiget mtoi kwisha 🙄
Hahaaa hii imeniua kbsaaaaa😂😂
Aty kuna kitu hununuliwa inavibrate aky wakenya wanajua mengi
Huyu Lele ni mnoma
Ana hit George back by winning both his girlfriends 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
@@DorothyKyalo-hm3lv haki hata siamini. This stard hachezi
Me ananifurahisha venye anacheck bibi wa George anasema anawexa Kaa nao
More 🔥🔥🔥🔥
I love you smigos you're kindhearted
Msihukumu huyo dem akona bol alkua ana miss mboro.... cucumber zina booo😂😂😂
😂😂
Smigos umejua kunifurahisha eti yule mbabaz wako🤣🤣🤣🤣
😮😮😮 sasa huyu mwenye anataka kusaidiwa nae anataka kujoin ulele ama anataka kumaliza mwengine ama n nn anataka Kwa malelee
Good question
😂😂Pali ananchekesha vile anazunguka jaman nka wamepanga
Hii n Kiki 😂😂😂😂
Hao nkama washa kulalana tayari 🤔🤣
I'm in love with this Dem
Aii napenda huyu dem smigos sana anaroho ya utu
Vile Smigos anaita kiwete inakaa funny😂😂😂😂😂
Bt Moho why does George's wife choose to stay with these girls of all places,let her go back to her parents as she's looking for work around town if she wants to stay around town 😂 , lastly santaize George wife's phone en see their texts plz😂
Walai moha drop number ya huyu stud aki
Smiglessss 😅😅😅🎉 u want to take all girls
Smigles takes your flower 💐
Thank you😅
Ngai what is this?
Moha utatupyeha makubwa😂😂😂😂
Kwn kuna test hufanywa ili kujua mimba ni ya nani ,unless DNA?
This tomboy is a vibe
Iko
Dad Toka tu maana nkam unafukuzwa hata Kam ulichit mbna mlisamehean,nenda kafocus na pesa utapata mwanaume mzur
Hii n noma sana
Huyu bibi y george anataka kua lelee jamani😢😢😢😢
😂😂😂😂😂hii do inababa sasa afte two weeks tuletewe next moha
I like the courage of the stud na baby mama naye kumbe alikua desperate hivo
Ati na moha ako serious akikalia hiyo bed 😂😂😂
Akikalia kunafanyika nini ? Mindset ya unyanyapaa
Wa Kenya mnajuwa nipa raha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mi nawapendaga mambo zao za kijinga😂😂😂😂
Waaah Hadi amigos ana disrespect MTU wake coz ya stranger waaahh😂😂😂 mapenzi shikamoo crushy ukufanya poa apo
Sorry George take time heal and focus God will bring you a good wife
Aky hy dem mwanaume waaaah 😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉smigos u are a true heroin mwambie aende nauko na unknown pregnancies 😢😢😢😅😅😅
Nipe uyo tom boy moha
😅😅hahahaha😅😅
So after 5 years George akakam,then Boom 💥💥 mimba ni ya George hii script inaingiana aje waah😅😅😅😅😅
😭😭😭😭😭 IRP kenya jamani mwana mke hawezi rizishwa na mwana mke mwenzake njomana unawachanga wote so sad
kama hii kweli ni kenya !! we are finished, repentance needed serious
Smigos Ako sawa kabisaa😂😂😂😂😂
😂😂"mimba alimwekea wapi” got me!!😂😂kwani mimba hukuwa wrapped up kwa uhuru bag😅😅
😂😂😂😂hata cjui nacheka nn,huyu c pia atadinywa na carrots 😂😂😂😂😂😂😂
Na cucumber 🥒😂
Kwani ii lele iko na nn mungu shuka tuokoe
Moha mnipee smigos😊❤
😅😅
Siongei ,Mungu nifundishe kunyamaza
Sasa bb ya gorge pia anataka kua lele😂😂 jehova jaire😂😂🙆🙆
😅😅
Simingle..pliz heli uchukue uyu bibi ya George had n mrembo kulko uyo wako..uyo wako anakucheat na mwisho mwisho ataolewa na mwanaume..pliz run 4 your life .napenda ww bure♥️♥️♥️
Moha na wewe unakalia hiyo bed very comfortable 😂🤣😂🤣😂😂
Ss afanye nn aki
@@Juma-g5i hawexi simama 🤭🤭
It's true she's Beach and is ufalala iyo wanafanua ni niwadem siaingizwe jela
Jamani smigles nmekupenda bure uko fun sana 😅😅
Mm pia😅
Dem kofia anakaa kua na roho mzuri aki and I like how she's acting walai
Ni testing gani iyo juu pia mm nataka kujua kama yangu ni ya mwarabu 😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hahaah😂😂😂😂😂 husband....ati anaxema kiwete
Nasi mmpee soda aendelee kukunywa aki💁.
Uyo Dem w cap 🧢 ako sw coz uyo Dem wake n player😂😂😂Kesho n pia n mtu w biko
For me hiyo mimba zi ya caretaker wala George huyo mimba msichana ajui mwenye mimba.... akuna siku yenye unaeza pima mimba ujue ni ya nani lazima upime mtoto si mimba na hii ni ufala yenye hawa madem wanafanya
Moha anangojea kanuke😂
But mimba hujulikana ni ya miezi ngapi,,,,so according to the month Ali intimate na caretaker ama George so she can know who's the owner of the pregnancy
We dem wa care taka na George bro wachana huyo femmy bro aiiii😅😅😅😅
Kwani this thing ni movie nice one, after the wisper from moha ame knock😂😂😂
Nko tu hapa kicheko 😅😅
Huyo dem wa blue akwende uko anafikiria kama yy ni Malaya nikila mtu ni ukweli ni Malaya kwenda uko unalala na kila mtu akae
Aki atanimaliza mbavu zangu aki ananibamba moha next plz mnitag huyu fame anaweza ua bb ya joji, napemda vile stud anasolve hii issue hata anashinda wanaume wengine wale hukill na kufight
Woiyee Mungu wangu Moha help this lady asikuwe lele aki
Amigos please don't let them together please
Simingos ni Moto
Me nimeadmire uyo stud naeza tamani anifunze mengine
Sasa geoge saa ngapi wali lala na yy na alikuwa ametoka majuu
Ndio nashangaa
Mohaa acha unafki hahahah wakike anawezaje kumpa mwezioo minba
Heee mother of daughters we need to go always to our knees for our girls
Moha Acha ujinga ati atasema BOL ni ya smigo Hadi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka vile mlitaka 😂😂 eti kiwete 😂😂😂
Nimefurai ❤❤❤ venye hawa madem wanabigania😅😅😅😅
Moha napenda huyo simingo
Uyu smigles ndie baba hao watoto wa George 😢 na vile ako mtrue aki.smigles usijali u will get mtrue wako one day hawa wa kulala na caretaker achana nao.once she puts to bed atakudharau sana
😂😂hiyo phrase ya 'half George,half caretaker '😂😂is not for the weak😂😂😭
Mmmmh me nashindwa kuelewa kwani hii ni real ama ni script tu😂😂 eeeh👐
Hauko Solo 😂😂
@@tumisiokonyo1028 😂😂
Script😂
@@IRENEREBIRO_OFFICIAL
Hata kama ni script,, si tumeona zingine real, halafu hizi script ndo uzaa hizo tabia,,, Mungu tu saindia
Wah gal kitakulamba
Àki moha na maswali wueh 😅
Yaani wanawake tunaisha hivi mungu tunusuru na hivi vizazi vyetu
Aki amigo anateswa akisema kiwete😂😂😂😂😂
Mnatuletea ujinga sasa mmepanga hivo mtupotezee mda sio au wee Moha na hao mademu hapo😷😷☹️☹️☹️
Najua dem ananywa na carrot,cucumber ama vidole,na huyu mubaba yy huwa anamaliza feelings na nn?plz ni jibu
Aki hiyo ndio swali nilitaka kujua walai
Justice for this young generation 😮😮😮😮😮😮😮😮
Mbona mi naona ka hii kitu from first scene ni calculated movies🤔🤔🤔
Don't think ka ni sanitize legit😅😅😅
Same here, juu George alitoka majuu hawakua wamemit na uyu dem wake sasa boll ya dem wa joj ilikua wa caretaker sasa how comes Tena ball ni ya joj na hawakua wame meet? Alifumaniwa kwa nyumba?
Uongo mtupu
Aki huyu dem vee anapatikana na madrama kama tu zangu😂huwaga mbaya kumbe siko solo😅😅😅
Huyu amigos nimemuona kama mara nne Kwa izi scandals za kucheat ,
I don't know how can this three girls are meeting unatupima walai
Wakenya wazuri sema majeuri sana
For sure siwezi kuwa lele but simigle ako mature fiti big up.
Mwizi akiibiwa huumwa gal child anasikia kujinyoga na alikuwa na bwana ya sly hivyo ndio sly alikuwa anasikia 😂😂😂
Uyo dem achana nae ju piya apo mlipo ama atapeanq na keateka ama mfungua get
Haha😅😅😅😅 asitoke umsaidie
Again George alitoka majuu akapata ball ni 1 month now inasemekana ni yake
Yani uyu dem ana mahali kwingine pakuenda akaona kwa malele ndo iko maisha e MUNGU kumbuka watoto wako wamerokwa ufahamu E baba tusaidie hii roho iachilie dada zetu katika jina la yesu kristo.