Na kwann muvarishe jezi nyingine ambayo sio mulio legstad kafu na kama uliamua kubadilisha jezi yake kwanini amujatoa taharifa kafu mukaamua tu kienyeji.okay sasa tukitolewa mutajisikiaje uwo ni uzembe ambao auna mfano tuendelee kua kichwa cha panzi sio cha mwendawazimu😞😞😞
1. TFF hata hamtakiwi kujibu chochote, mngekaa kimya kwani bado hamjapewa taarifa rasmi. 2. Jezi no. Haichezi bali mchezaji hucheza kutumia miguu, akili na maarifa. 3. Kimya ni jibu tosha, acheni wanaweweseka kwa kuwa hawaamini wametolewa na Tz. Furaha ya wa Tz iendeleeeee🦸
Sasa namba ya jezi Ndo inacheza ? Hakuna mashiko Labda faini ila siyo kupewa ushindi kisa namba ya jezi Ingekuwa mchezaji kabadilishwa ingekua na uzito
Futeni hizivideo sas km niuwongo
Na kwann muvarishe jezi nyingine ambayo sio mulio legstad kafu na kama uliamua kubadilisha jezi yake kwanini amujatoa taharifa kafu mukaamua tu kienyeji.okay sasa tukitolewa mutajisikiaje uwo ni uzembe ambao auna mfano tuendelee kua kichwa cha panzi sio cha mwendawazimu😞😞😞
Tanzania iyooooooo Morocco wao walie tu😅😂
1. TFF hata hamtakiwi kujibu chochote, mngekaa kimya kwani bado hamjapewa taarifa rasmi. 2. Jezi no. Haichezi bali mchezaji hucheza kutumia miguu, akili na maarifa.
3. Kimya ni jibu tosha, acheni wanaweweseka kwa kuwa hawaamini wametolewa na Tz. Furaha ya wa Tz iendeleeeee🦸
Aibu Kwa nchi yenye wachezaji lukuki Ulaya kutoa malalamiko kama haya, wakajipange tu upya Kwa 2027
Kwani namba ya jezi inaathiri nini?
Jina la mchezaji lilikuwepo kwenye orodha. Hakuna hoja hapo
Sasa namba ya jezi
Ndo inacheza ?
Hakuna mashiko
Labda faini ila siyo kupewa ushindi kisa namba ya jezi
Ingekuwa mchezaji kabadilishwa ingekua na uzito