Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya BUSATI TV, nina Imani mpo salam,ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema n, atupe Nguvu, n, atukinge na Maradhi na Mabala na Vijicho na Husda za walimwengu, abariki kazi za mikono yetu, napia Mungu atuongoze katika njia ilio nyooka, napia tuwe namwisho mwema. Aaaaameeen 🤲 🤲
Busati imepamba moto na mashabiki tuzidi kupamba motto kuisaport busat busat ooyeeh kama ww ni shabiki wa kwel wa busati usikose kulike na ku coment Ahsanteh
Mr Tasha mashabiki wako tunakupenda Pia. Merci kwa kazi nzuri munayo ifanya gndi yenu nzima. Mr Tasha hauna mchezo baba muda kidogo tu tayari Zatiti ni mja mzito. Siyo chiko alikuwa na mpondeya muda. Nakupenda sana ndugu yangu . Kutoka CongoDRC.merci beaucoup mes frères.
hongera sana zatiti🎉🎉wanao furahi zatiti kubeba mimba mgonge like🎉🎉🎉🎉
Like
Nawapenda sana mashabiki wa Mr tasha ❤❤
Tunakupenda pia baba kijacho😊❤
Wewe baba kijacho tunakupenda pia lakini msicheleweshe tena
Tunakupenda pia baba k😊😊😊
Tuna kupenda pia baba mtoto
Ongera baba kijacho mauayako 🎉🎉
Wanao furahi Zatiti kuwa mjamzito like zake please 🥰🥰.
Waliofurahia mimba ya zatiti ❤
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya BUSATI TV, nina Imani mpo salam,ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema n, atupe Nguvu, n, atukinge na Maradhi na Mabala na Vijicho na Husda za walimwengu, abariki kazi za mikono yetu, napia Mungu atuongoze katika njia ilio nyooka, napia tuwe namwisho mwema. Aaaaameeen 🤲 🤲
🙏🙏🙏
Amiin🤲🤲
Kazi ni Safi kama mnakubalian na mimi weka alama ya upendo wenu na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
Kp wetu plan b ni lini??? Msalimie wifi Zebu mwambie nina pacha wake huku Kenya😊
Sikubaliani na wew mpaka unipe sonaa episode 2 na ile mimba uko nayo inakuwaje
Wewe tunangoja plan b😂
@@SuhaylaAazeemkp wa mchongo huyu😅😅
Jmn kp nd mtu anaepend kuftlia move za wenzao
Am here to represent team strong like zenu 🎉❤tupo msibani😢😢...ila hongera kipenzi chetu zatiti🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊
💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💃🏾
💪💪💪💪💪
Kila anaye soma comment hii mungu amlinde❤❤
Daaaaah 😂😂😂😂😂😂kiramba umenichekesha wallah😂😂😂😂😂
Nimecheka hadi nimepaliwa na nyama😂😂😂😂
Watoto wa ruto fikeni huku tupeleke maandamano busati tv nmechoka kuwaambia walete house girl on time 😅😅😅
Wamefanya mpka views zimepungua sikuiz sio kma mwanzon
Wanazungua sana
😂😂😂tuko🤸🤸
Aya tumefika maandamano yaanze😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂tuko tena sana😂😂😂
Chiko kimemrambaaaaa Hadi nimeipenda hiyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamn leo nimekuwa wa kwanz from Zanzibar naomb like zen
Uko sehem gani
Nani amefulai kuona lahama akiteseka tujuane😂😂
Number one from Kenya🇰🇪🇰🇪 wapi likes
Msiruchelewehseeesana jmn 😍tunaisubirigi kWa hamu
Nimewai leo like zenu, na walio furahi zatiti kubembea mimba ya tasha like
Like
Ni wangapi wanafurahi 😂😂ujauzito wa zatiti maua kwako zatiti🎉🎉🎉🎉🎉
Wanaomkubali bwana kilamba jameni mpeeni maua🎉🎉🎉yake jameni❤❤
Kiramba mpumbavu mwenzangu😂.pole.... good 👍 work team house girl
😂😂😂😂😂😂 nimecheka mpk mbavu zinauma 🤣🤣🤣🤣
Ila kibao cha mjomba kwa candy kimenifurahisha sana😂😂😂😂😂😂😂
Nani kalipenda hilo kofi lacandy like.apa
Busati imepamba moto na mashabiki tuzidi kupamba motto kuisaport busat busat ooyeeh kama ww ni shabiki wa kwel wa busati usikose kulike na ku coment Ahsanteh
Nmewah jama nimewahi naomben like nafanyaga kaz ya kuwapa naomben mnipe na mm like ❤❤❤
Wa 51 nipeni like jaman angalau na mm niwe na like leo jpo 5😢😅
Kiramba na candy Leo mtaniua😂 😂😂😂😂mkuje mripair mbavu zangu😅😅
😂😂😂😂
@@HadijaMikidadi-ty1sg Wacha to
Kilamba nimecheka leo😂
Yaani kiramba leo doh 😂😂😂😂 ! karibu kikurambe😂
Jamani nimecheka huyu mpupambu mwenzangu
Mjomba umejua kunifurahisha xana kwanza icho kibao akijatosha anae ungana na mm tujuane
Nami leo nimewah NAOMBEN like
Hahahaha kiramba anaogopa kufa jamani so kwa mbio hz
Busati for Life🔥🔥🙌🏾
Namber one 🎉
Mjomba asantee Kwa kumtwanga Kofi shida ❤❤❤❤❤ na kumwambia kua yy ndo chanzo Cha kifo Cha mama yake❤❤❤❤
Nimemumiss mama tasha jamani akuje
Xana
Kwl Mr Tasha leo umenikera sanaaaah, kumfanya Zatiti alie kwsabb yako
Finally after kungoja week mbili🎉😂😂❤
Mwezi ata si wiki mbili 😂😂😂
🤣🤣🤣 daahh kilamba umenichekesha sana kiukweli maua yako tafadharii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Me nimecheka kuliko ww😂
Nimecheka mimi kiramba na kendi ongereni kazi nzuli sana😂😂
Aki mpumbavu na candy Leo mmevunja record 😂
Nimefurah sn hogera zaatiti na Tasha wako❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera zatiti na pole Sana mamy achakumufikiria vibaya Tasha siokwania mbya
jmn mm ni mgeni tokea niangalie hii house girl sijapata hata like 😢😢🎉🎉🎉 jmn😢😢
Hongera Mr tasha❤❤
Mr Tasha mashabiki wako tunakupenda Pia. Merci kwa kazi nzuri munayo ifanya gndi yenu nzima. Mr Tasha hauna mchezo baba muda kidogo tu tayari Zatiti ni mja mzito. Siyo chiko alikuwa na mpondeya muda. Nakupenda sana ndugu yangu . Kutoka CongoDRC.merci beaucoup mes frères.
Tuliofikiria rahma amechizi we can be friends 😂😂
Aaah yani nafurahi mpka basi😂😂😂
Uyo anawaga anaenda kujinyonga
Mbona sikuizi inachelewa sana
Jamani Leo nimewahi kutoka Zanzibar nipeni like zangu hapa japo kumi
Hongereni
Safi sana mjomba kwa hilo kofi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Haya malizeni mwaka ndio mlete hyo nyengne maana sikuhizi mnakaa mko busy sana 🤣🤣🤣 then huyu kendi Yuko sw kwel yee haogopi
😂😂hatari
Wa mwisho namim naomb like😂
Wakwanza Leo naomben Like
Hongera sana dada ang zatitiy nawapenda san timu tasha n timu khai nawapenda san
Tasha umemkosea sn mke wako 🎉🎉
Cjachelewa leo❤❤
Uwiiii am like jamani
Busatiii ur the best japo cjawah pata likes😢
Iyoooo
Mjomba kibendu Hana kosa mwenye kosa ni candy kahaba
Shukurani zatiti hongera sana❤❤❤
Wanaofrahia zatiti kuwa mama kija
Aiseee nipeni 🎉🎉🎉🎉yangu nimewahi
Hongeren Bustan TV Leo kila msani kasimama vzr kwenye nafas yake love movie ❤❤❤ Tasha & zatiti Niko Ananda pambaz🎉🎉
Zatitu congratulations dadagu Wacha watu walipia mabaya Hao wow Mr Tasha ogera Sana Kaka❤❤❤
Kilamba utanimaliza jamani😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂Kiramba pole.
Zatiti hongera 🎉🎉🎉🎉
Busati group hongereni kwa ujumla ❤❤❤
Kand kinachokuliza nini wakat we ndo chanzo Cha mama ako kufa na amekuachia laan na hiyo ndo laan zenyew utakuw chizi siku zote
Candy bora umepigwa mjomba safi sana hiii 😂😂😂😂😂😂 kiramba kweli ugali mtamu nani anataka kufa😂😂😂😂
Wakwanza mr tasha apa😂😂😂😂
Hongera sana zatiti kwa kubeba mimba ❤❤❤
Hahaha 😂😂😂 mpumbavu umeanguka kisha Candy 😂😂😂😂
Waooooohhh hongera saaana Zatity na Tasha
Fukuza kunguru gwa gwa gwa😂😂😂somoee pol
😂😂😂
Tupo kwa wale wanted furaha kwa mimba ya zatiti🎉🎉🎉🎉haobgera zao na Mr Tashq
Wapili hapa
Wah hki sikuhizi mnachelewesha sana hii movie sai ndio inabamba
Hongeraa sanaa zattity jmniii ❤❤❤❤
Assalamualaikum vp hali zenu hamjambo nyote sijachelewa Sanaa 68 like japo moja
I'm the first one to watch guys😂😂😂
Wa kwanza
Tunsubire kandibile bileke bigende bingibiroza nchoo uchukue mchungaji wako huku
Hongera zatiti Mungu akujaliye Mapacha ❤❤❤❤❤
Saiz mumejipata Busta Aya tutesen tu
Mpumbavu mwenzangu umenichekesha kweli 😂😂😂😂😂😂😂
Wana gulf mmwmliza kuosha hammam😂😂😂 mmekimbilia huku❤❤❤😅
Tuko apa na laban 😂😂😂
Ahahahaahahaha Kilamb umenichekesh ww
Kiramba ww umenichekesha mnoo 😂😂😂😂 jamani kumbe umuoga hivyo 😂😂
Ambao tunaomba HOUSE GIRL hii hishe na kuanza movie nyingine please like zenu tujuane ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Kwanini is he kwani siunaona wakonazingine wameceza ila hazinogi kama hiyi😮😮😮
Omba pekeako sisi tunatamba nayo
😂😂😂😂😂😂😂
Walai mjiinga mwenzangu umenichekesha 😂😂
Tunasubiri mpaka tunachoka
Ongera udugu zatity umemkomesha chiko wanaofrahia zatity kuwa mama k like apa
Watoto wa Ruto mshafika 😂😂 ama ebu tuwasalimie hawa busati,,wanatuchelewesha sana 😢
Sasa hiv huwa mnatucheleweshea sanaa bhna hadi tunapoteza ile mood ya kutizama tena
Wa 4 Leo lu watch
Kiramba umejuwa kunichekesha😂😂😂😂😂😂😂
Kiramba warahi umenivuna mbavu zangu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Zuu hzo nywele nani kakusuka jamani🤐
Sijachelewa San nimekua wa 3 ngonga like hap nlio kua mnasubli kwa ham
Dahh hadi huruma zatiti
Watu wa Burundi tusapoti hii kazi inamafunzo kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwatuboesha ndipo mmeeka vipindi vingi mpaka mmm 😮😮
Wmetuzoea wanajua hata wamqlize mwaka kisha wakipost tutaitizama tu 😮😮😂😂😂