msimamo. uwe mkali sana kwani huyu mtoto wa frauni hajielewi kuwa hatakiwi. hapa kwetu zanzibar. endekwao mkuranga. hatumtaki. hatakumuona. hana haya hata chembe
@@R10_RajabWengi tusiomtaka, hapo kusini zama zile ukiwa mpinzani lazima uhame, kijana ama mzee wa kusini ukiwa mpinzani ni kosa. Sasa hivi vijana wa kwetu kusini, na mimi ndio kwetu huko, kijana ana bomba haitaki ccm. In Sha Allah uchaguzi huu mkiuwa watu ama kuiba kura tutamuomba Allah awakusanye pamoja awaangamize kama alivyomuangamiza Firauni, dua tutaomba, kwa sababu kwa sanduku la kura hamuwezi kushinda, ipigwe kura kule Pemba kumchagua balozi wa nyumba kumi ccm haiwezi kupata hata kura kumi, huseni arudi kwao alikotoka atafute kazi afanye, si lazima kuuwa watu ili apate madaraka ya kujenga barabara. In Sha Allah tutamuelekea Allah, na bila shaka atatusikia.
Jamaa fikra hii wazalendo wa ACT nepekezende muchague Kijana kama huyo aingizwe ktk mchakato wa urais kuanzia sasa.sio wazee.kijana na kijana mwenzake na mzee na mzee mzee pia kijana nguvu kazi
Shida ktk kombe hawakushajihisha kma Ayubu bali waliwaweka vijana wa chama Chao na gari lao ndio maana wananchi waliona kuwa kombe la chama sio wananchi kw ujumla
Maana apo naona umewavamia watu wapo barazani pao pa karata unawashughulisha tu alafu hamna haya mambo ya kuonyesha kwenye media yako wapi apo na mumekaa kati kati ya njia mnawashangaza ao watalii wanaopita tu sijuwi wanadhani pana uganga 😂
Kwa hali hii mamlaka hayapatikani kiyama kitafika,na ilo tanga mkesha lishusha sijuwi nani atakuja lipandisha maana wapandishaji apo siwaoni hiari yenu 😅😅
Ndio kaka. Mamlaka kamili ndio kila kitu ❤
Hotuba nzuri sana ACT 🔥🔥🔥😊
msimamo. uwe mkali sana kwani huyu mtoto wa frauni hajielewi kuwa hatakiwi. hapa kwetu zanzibar. endekwao mkuranga. hatumtaki. hatakumuona. hana haya hata chembe
sema wewe ndio humta
ki usichanganishe
@@R10_RajabWengi tusiomtaka, hapo kusini zama zile ukiwa mpinzani lazima uhame, kijana ama mzee wa kusini ukiwa mpinzani ni kosa.
Sasa hivi vijana wa kwetu kusini, na mimi ndio kwetu huko, kijana ana bomba haitaki ccm. In Sha Allah uchaguzi huu mkiuwa watu ama kuiba kura tutamuomba Allah awakusanye pamoja awaangamize kama alivyomuangamiza Firauni, dua tutaomba, kwa sababu kwa sanduku la kura hamuwezi kushinda, ipigwe kura kule Pemba kumchagua balozi wa nyumba kumi ccm haiwezi kupata hata kura kumi, huseni arudi kwao alikotoka atafute kazi afanye, si lazima kuuwa watu ili apate madaraka ya kujenga barabara.
In Sha Allah tutamuelekea Allah, na bila shaka atatusikia.
Na wewe vutu bovu mtoto wa haman
Huu ni mwaka wa maamuzi CHAMA CHA MAJAMBAZI CCM LAZIMA KIONDOLEWE
Jamaa fikra hii wazalendo wa ACT nepekezende muchague Kijana kama huyo aingizwe ktk mchakato wa urais kuanzia sasa.sio wazee.kijana na kijana mwenzake na mzee na mzee mzee pia kijana nguvu kazi
Shida ktk kombe hawakushajihisha kma Ayubu bali waliwaweka vijana wa chama Chao na gari lao ndio maana wananchi waliona kuwa kombe la chama sio wananchi kw ujumla
Tunahitaji znz yenye mamlaka kamili ya kujiongoza wenyewe sio kuongozwa na watanganyika wakoloni weusi walo tutawala kupitia muungano
Alafu kuandikisha twendeni kwa wingi
analazimisha kupendwa. kwalazima. sasa. marahii. wonga tuuweka. pembeni.
Nyny jidanganyen2
Hatawewe iposiku utaelewa nini wanacho kihitaji wazanzibar wachasikuzisonge inshaallah
Huyu kijana na akatafute kazi ya kufanya aache uongo. Ana uwezo gani!!!!!!!
Mh wewe mpe kazi kama unayo
Maana apo naona umewavamia watu wapo barazani pao pa karata unawashughulisha tu alafu hamna haya mambo ya kuonyesha kwenye media yako wapi apo na mumekaa kati kati ya njia mnawashangaza ao watalii wanaopita tu sijuwi wanadhani pana uganga 😂
Tembea uone
Kwa hali hii mamlaka hayapatikani kiyama kitafika,na ilo tanga mkesha lishusha sijuwi nani atakuja lipandisha maana wapandishaji apo siwaoni hiari yenu 😅😅
YATAPATIKANA NA UTAYAINA CIO MBALI INSHAALLAH
@KibondoPaje222 kibondo ndugu yangu tafuta biashara ukafanye iyo haijawa biashara ni sawa na mashelisheli yakishafika jioni bwan kaka