Wanaume wa herufi "P" hii ndio siri ya maisha yao.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 27

  • @peterwapesa7947
    @peterwapesa7947 Год назад +1

    Nimekubali yote uliyosema hakuna hata ulichokiacha mtaalam! Mwenyenzi Mungu abariki kazi yako

  • @LittTodo
    @LittTodo Год назад +1

    Kweli kabisa ndugu

  • @PeteroJohn
    @PeteroJohn 7 месяцев назад

    Uko vizuri ndugu nachanga moto Moja yakupata jiwe sahihi yakuendan na nyota yamaji au kaa utani saidiaje boss

  • @tahiyamsena6651
    @tahiyamsena6651 8 дней назад

    .ndiyo na babaangu mdogo ni p ila kijijino kizima wanamuogopa pia mke wake mwenye herufi R alimtoroka na mwanaume mngn kamuachia watoto wadogo wa 5 wakike kawalea pekeake hakuoa tena bado anamsubiri mke wake ambaye alitoroka na kijana mdogo yaani kweli kabisa babaangu mdogo ni doctor 💊 na mkulima mnzuri sana

  • @PaulosezaliMakandi-ft5tn
    @PaulosezaliMakandi-ft5tn 6 месяцев назад +1

    Ukosawa kaka nikweli mimi paulo lakini mke wangu ni maliam tumeishi kwa miaka mingi sana lakini kwa sasa nataka nibadili mfumo wa mwanamke niowe mungine maana sina maendeleo makubwa ya kiuchumi nikweli kabisa unacho zungumza nashukulu sana kaka kwa kunielekeza kazi njema na usuku mwema

  • @petromalkiori4013
    @petromalkiori4013 9 месяцев назад

    Nimefikwa asante

  • @janethmutoka
    @janethmutoka 7 месяцев назад

    Kabisaaaa aiseeee😮❤

  • @SMARTHORTICULTURALFARMCENTRE
    @SMARTHORTICULTURALFARMCENTRE 5 месяцев назад +1

    I am good in mixing agricultural chemical
    I am Pius

  • @RahelNicholas-ro4qx
    @RahelNicholas-ro4qx 9 месяцев назад

    Sifa za mwanaume wangu jaman 🥰🥰🥰🥰

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 8 месяцев назад

    hooo mon amour prince 👏👏👏

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm Год назад +2

    watuwote awanpedi

    • @ppema9910
      @ppema9910 Год назад

      nikweli kabsa ulichosema

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm Год назад +1

    sasa tunaishi na D nishetani

  • @KulwaPaul-tt7ho
    @KulwaPaul-tt7ho Год назад

    Jaman duh mbona kuna sifa zangu kama zote naitwa Paul

  • @judithkibwembwele901
    @judithkibwembwele901 8 месяцев назад +1

    Me jmn sielew iv majina ya mwanzo yanaangaliwa kwa utamkaji wa herufi au kwa jinsi inavoandikwa

  • @SabrinaAlly-l4y
    @SabrinaAlly-l4y 3 месяца назад

    Samahani mm sabrina na ninamchumba Ana itwa peta inawezekana kuwa nae?

  • @NduwayoPhilbert-r6k
    @NduwayoPhilbert-r6k Год назад +1

    Kisha Philbert

  • @SifaMWAVITA
    @SifaMWAVITA 6 месяцев назад

    Mimi ni PETER hizo sifa ya utawala nikweli pia tunajuwa kuhongoza pia sifa zotehizoninazo mimi

  • @ppema9910
    @ppema9910 Год назад

    ulichosema nisahihi kabsa nanimetambua

  • @princejoachim7992
    @princejoachim7992 8 месяцев назад

    Samahani mkuu naomba kuuliza hizo herufi nikama vile “Da-Du” na “Pa-Pu” au nihatakama ikiwa kama jina langu lilivyo PRINCE? Maana nimeshindwa kuelewa kulingana na ulivyo sema kwamba sio D kama Dha na sio P kam Pha,,, sasa vp kuhusu hapa mimi Pri...?? Msaada wako tafadhari

  • @WardaAlly-lt5pb
    @WardaAlly-lt5pb Год назад

    Weweeee Pppppppppp hiyo.