Stephen Kasolo - Yamekuwa Machungu Niliyopitia Official Video) SMS Skiza 9006716 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 ноя 2016
  • #StephenKasolo
    #YamekuwaMachunguNiliyopitia
    #NgommaGospel
    ©2018 Administered by Ngomma VAS Limited
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 438

  • @Lastbornjoy
    @Lastbornjoy 2 дня назад

    For crying louder and for christ sake people should let Kasolo be😭😭😭😭when the name kasolo comes to my thoughts I shed tears.

  • @rembomary4810
    @rembomary4810 7 месяцев назад +5

    Pole sana,,mtu akikaribia kubarikiwa lazima mambo yakuwe mazito,,,ndio upate kitu ya kushauri watu nayo pia familia yako,,,🎉🎉

  • @stellamutende8848
    @stellamutende8848 2 года назад +4

    Huu wimbo hunifanya nitoe machozi😭😭😭😭😭😭

  • @nickymkamba8781
    @nickymkamba8781 20 дней назад

    Hii ndio nilijuaga Kasolo nayo Wacha Kitole 🙏 n venye Kitole ilishika east Africa yote ... Athimwa mwah 🙏 🙏

  • @user-le5uz9fz3k
    @user-le5uz9fz3k 6 месяцев назад +1

    This man of God as come from far . from grass to grace . Alafu unasikia mtu anongea vibaya kumuhushu . Mimi nyimbo zake unibariki sana ..kasolo go go go go

  • @ev.lillyk1159.
    @ev.lillyk1159. 2 года назад

    Ukweli Solo umetoka mbali Mungu akuzidishie neema na kibali, akanyamazishe wote wanaokunenea mabaya.

  • @princessvyona3412
    @princessvyona3412 2 года назад

    Huu wimbo ulijibiwa maombi yako ya kila kitu only you’re missing your family back but wewe ni mtoto wa Mungu

  • @briankisoi2812
    @briankisoi2812 Год назад +1

    😢😢😢😢😢this song make me cry,barikiwa sana kasolo

  • @angelaszezenski6391
    @angelaszezenski6391 4 года назад

    Hao matezo nishaa yapitiä.. mwishowe ni mafanikio ...lakini bado machozi yatoka ukikumbuka umepoteza wapendwa...machungu sana💖💖💖💖

  • @beatricemulandi1843
    @beatricemulandi1843 Год назад +1

    I can't control my tears always i listen this song kweli kasolo ulipitia Acha mungu aitwe mungu na maadui wako mungu azidi kukupigania ebu chukua ii kiti ya MCA usaidie yatima na bursary ombi langu pole sana mdogo wangu

  • @joyrahab1541
    @joyrahab1541 2 года назад +1

    Mungu ni mwema kwa neno lake 🙏

  • @frenotasha
    @frenotasha 2 года назад

    I didn't know kasolo ndiye ameimba huu wimbo sure there's God 🙏🙏🙏

  • @medinacheronohildah7933
    @medinacheronohildah7933 2 года назад +1

    Na on a ng a kasolo nalia nasema God it's my turn now to prosper woiyee

  • @peacemulewaamanie
    @peacemulewaamanie 2 года назад

    Solo. Niombee hata mm nifike pahali umefika siku ya leo, hio song imenihimiza Sana,, niombee Sana steve

  • @amenahassen942
    @amenahassen942 2 года назад

    Yaani nyimbo zako ni nikiliza lazima machozi ya toke. Mungu akubariki sana

  • @emilymaingi924
    @emilymaingi924 Год назад

    This motivates me,,Stephen umetoka mbali, kweli kuna Mungu

  • @felixmutunga2055
    @felixmutunga2055 2 года назад

    Hakika umegaramia wokovu wako ndugu Jehovah azidi kukubariki

  • @amenahassen942
    @amenahassen942 2 года назад

    Pia pole sana kwa kuondokewa na wazazi. Mungu akutie nguvu na imani ikutawale. Mungu akutangulie

  • @charitykiura9524
    @charitykiura9524 10 месяцев назад

    Wah this has made me cry😢😭
    Mungu aliyekusaidia na kukuinua
    Asinipite😢🙏

  • @doosamba9472
    @doosamba9472 2 месяца назад +3

    Jehova jire uketie enzini acha mwanao uendelee kumuinua zaidi na zaidi

    • @StephenKasolo
      @StephenKasolo  2 месяца назад +1

      Amen

    • @Mukololo930
      @Mukololo930 23 дня назад +2

      uuuwi kasolo keep up God will protect you 🙏🙏🙏🙏

  • @irenekalekye7736
    @irenekalekye7736 4 месяца назад +3

    Nimekumbuaka hii song yako from here to now ngumbau tv.. what God can do no man can do

  • @charlesmsafi8123
    @charlesmsafi8123 4 года назад

    God akubariki ndugu umetoka mbali na unaeda mbali be blessed

  • @jackieb.4881
    @jackieb.4881 2 года назад

    continue serving this God who lifted you from this situation,,utwaitwa mwana katika ufalme

  • @edinernzilani-ug3kr
    @edinernzilani-ug3kr Год назад +1

    Honestly,😭🙏 Mungu nisaidie

  • @beatricemutua3408
    @beatricemutua3408 8 месяцев назад +2

    God can really change someone's life u passed through many things buh Jesus held ur hand's

  • @catewayua8333
    @catewayua8333 3 года назад +1

    Bless you Kasolo never loss hope aki nalia tu jameni😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @judymwende5586
    @judymwende5586 11 месяцев назад

    Kweli kasolo umepetia mengi ,,God bless you more🙏

  • @annamuthini5933
    @annamuthini5933 4 года назад +3

    He never sleeps nor slumbers....Mungu ndiye baba wa mayatima

  • @Elizabethateka
    @Elizabethateka 6 месяцев назад +2

    Nikisikiliza huu wimbo na onaona maisha yangu venye Iko natokwa na machozi but najua God is there for me

  • @AlbanusMwalili
    @AlbanusMwalili 2 месяца назад

    Yamekuwa machungu ninayopitia ,, mungu tusaidie🙏🙏

  • @magdalinendungwa3898
    @magdalinendungwa3898 4 года назад +2

    Stephen umetoka far unayo sababu ya kusema Asante kwa yesu na pia God's time is the best now u can enjoy the fruits of God n .........

  • @kenedymunyao2459
    @kenedymunyao2459 4 года назад

    Yamekua machungu ninayopitia ewe mungu wangu fanya hima unisaindie🙏🙏🙏

  • @juliusmuuo1683
    @juliusmuuo1683 8 месяцев назад

    Pole kasolo kwa uliyopitia but now makuu ya bwana yaonekana💯👏👏

  • @kerriekerrie9059
    @kerriekerrie9059 3 года назад

    😭😭😭😭😭😭 nisaidie mungu wa mayatima sisi hatuna huwezo

  • @judymongera324
    @judymongera324 4 года назад

    Ooooh lord mungu anatoa watu mbali Kasolo God is faithful

  • @esthermresh3520
    @esthermresh3520 5 лет назад

    Mungu akiamua kukuinua akuna anayeeza kupinga grory to him always

  • @mwanaamuthoka-Mundu-wa-Ngai
    @mwanaamuthoka-Mundu-wa-Ngai 2 года назад +1

    For sure God amekusaidia

  • @sospetermusyoka12701
    @sospetermusyoka12701 Год назад

    Kasolo uko sawa! Wachana na sifa za dunia ndugu

  • @realremih
    @realremih 4 года назад

    ii song ilitutia moyo tukiwa highschool moja back then..

  • @deborahkambua2518
    @deborahkambua2518 3 года назад +1

    Now this moment am watching this video and God has taken you from far taking you far and far this is why people are having jealousy am happy seeing you dressing well Because of God

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 года назад

    Mweny uchukia mtu asipomjua vzr wakat akiwa na hela akiriga anakosea.kasolo ringa kabsaa

  • @esthernyaboke1764
    @esthernyaboke1764 4 года назад +1

    ,iyo wimbo unanijenga mpakaa sasa imekua my breakfast ndugu mungu nakuinue zaidi nazaidi

  • @winniemutisya7119
    @winniemutisya7119 4 года назад +12

    eish pole but we thank God He remembered you. Peleka your bro aombewe I have seen people delivered from his condition in Jesus name

  • @ericsila3898
    @ericsila3898 3 года назад

    It truelly hurts if this was your life bro,God anakutoanga from nothing to something

  • @chelangatfancy6710
    @chelangatfancy6710 2 года назад

    God has remember you kasolo you have been ablessing to me when ever listen to your songs I. Have gone through alot but your songs give me strength God bless you

  • @fidelismutuku4621
    @fidelismutuku4621 Год назад +1

    For those who hate kasolo because of his success make sure mnapitia hii wimbo because amepitia mengi na mungu amejibu kilio chake ..........

  • @norabetty7871
    @norabetty7871 4 года назад

    Kasolo mungu aimbariki maisha na huduma yako

  • @virginialoise1259
    @virginialoise1259 2 года назад +6

    This song is fresh in my mind nimepitia mazito inanitia nguvu ninasikiliza 😭😭😭😭

  • @ishmaelissa7375
    @ishmaelissa7375 2 года назад

    Huu wimbo jameni nilikulia 2 kasolo hendelea kujitia moyo

  • @user-gt7lb5my1c
    @user-gt7lb5my1c 20 дней назад +2

    Akh why am I crying 😭

  • @judithmbithe4857
    @judithmbithe4857 2 года назад +1

    What God can do, Ngai aumasya mundu Vaasa.endeeya kwona Ngai bro.

  • @VirginiaTitus
    @VirginiaTitus 5 месяцев назад +2

    Kasolo plz remember where you came from after listening to this song you sang❤

  • @susanrebecca3977
    @susanrebecca3977 4 года назад

    Ooh god mkono wako nimkuu sifa nautukufu nizako bb ukiwa juu mbiguni

  • @augustuskitonga4243
    @augustuskitonga4243 4 года назад +1

    Dunia Imekua mahali hatari kwa Wakristo kweli `Huruma haimo Duniani``

  • @catherinemutheu9273
    @catherinemutheu9273 Год назад

    Actually this was a prayer you made to God ,,,, it makes me believe singing is praying twice ndukolwe no vaasa wakumya

  • @pastormeriothmuthoni7616
    @pastormeriothmuthoni7616 2 года назад +2

    Waaah!! This Far God is Ebenezer,, Kasolo Umetoka mbali,,,This song was a real testimony naye Mungu akafanya hima akakusaidia! God is the Father to the fatherless,,,🙏

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 года назад +1

    Ni kweli machungu sana kwa mayatima😭😭😭😭😭

  • @mercynkatha988
    @mercynkatha988 3 года назад +2

    Who else is still watching this in 2021 ??God of wonders i will never get tired of praising your holy name🙏

  • @jacksonkimanzi41
    @jacksonkimanzi41 Год назад

    Honestly this songs everytime is played to emotionally touches .Yani Hadi kangua kenyewe kitabara.aky shinda ni mbaya.

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 5 лет назад +5

    I this this is what Syombua mwele was all taliking about ,,,,the life of kasolo but God is Always watching...Hoping now its Life has changed,, God bless You Abundantly in Jesus Name

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 года назад

    Ameeen usijali mungu yuko😭😭😭😍

  • @florencehaluwa2191
    @florencehaluwa2191 Год назад

    Hki mungu tuhurumie maishani

  • @morinemcute6875
    @morinemcute6875 4 года назад +1

    Oh my God nisaidie yamekuwa machungu ninayo pitia baba fanya ima unisaidie

  • @ezraomwancha2331
    @ezraomwancha2331 2 года назад +1

    @Kasolo watching 2021 after declaration by Syombia Osiny to your wife to stick and stand with you for the far God has brought you. Am in tears but God will do unto me too. #2021

  • @user-hy8lb5ot7r
    @user-hy8lb5ot7r 5 месяцев назад +1

    Enyewe solo umetoka bali wah!!!!

  • @evalinen3526
    @evalinen3526 2 года назад +12

    Glory to God🙏
    God elevates the needy from ashes , wipes their tears and makes them sit and dine with Kings.
    Better is not good enough , the best is yet to come in Jesus Christ name.😊

  • @jackieraphael8956
    @jackieraphael8956 11 месяцев назад +1

    Wacha mungu aitwe mungu,kasolo enjoy yourself to your fullest umetoka mbali na unaenda mbali, Amen.

  • @carolynemusyoka3463
    @carolynemusyoka3463 3 года назад +17

    My first time to hear this song,soo touching,this time kasolo God has remembered you,plz don't forget where you have come from like many

  • @falikini3006
    @falikini3006 3 года назад

    Mungu ni muweza wa yote

  • @francomutua
    @francomutua 20 дней назад

    True testimonials..uunite vaasa @Stephen kasolo

  • @anitamusyoka
    @anitamusyoka Год назад +1

    Enyewe kasolo ulitesekana

  • @daudijosphat7653
    @daudijosphat7653 5 лет назад +32

    Honestly, this guy has gone through a lot and his life is a testimony. May God continue blessing him to spread the gospel.

  • @julietsamo6
    @julietsamo6 2 года назад +5

    This is a true sign that God really has power over his people.Usiwahi muacha huyu mungu

  • @eunicebebgal
    @eunicebebgal 5 лет назад +32

    Real life story, so touching ,but as for today it's evident that he who watches over the Zion doesn't sleep. Thanks sovereign Lord for your doing upon kasolo, am sure as long as he liveth your praises shall never depart his tongue ...sbd shout a big Amen for our God answer prayer

  • @liliansadera627
    @liliansadera627 5 лет назад

    Mungu ni mwema kwa yote usiwahi toka kwa njia zake so powerful song so touching am in tears when watching this 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢

  • @user-tl2ls6sq7w
    @user-tl2ls6sq7w 4 месяца назад

    Solo,usiwahi enda kinyume na Mwenyezi Mungu,amekutoa mbali sana,this is a Testimony

  • @modestalmas5791
    @modestalmas5791 4 года назад

    Mungu wahaki za yatima yuko kazini hata acha yatimaa tuteseke kwani hats anfiko Lima sema yeye ni baba wa yatima inauma sana emungu tukumbuke ya tima

  • @euphyadams9056
    @euphyadams9056 2 года назад +3

    Anytime I watch this video I shade tears your story is the same with mine I feel you....but who is God Father of orphans, Father of homeless truly no condition is permanent I will continue praise Him may God fight for you always

  • @janechepchumba3995
    @janechepchumba3995 5 лет назад +2

    mungu wangu haki nisaidia mateso n mengi

  • @catherinemakokha336
    @catherinemakokha336 4 года назад +1

    Amen. Hallelujah .barekiwa sana 😭😭😭🙏🤲

  • @tinatina8032
    @tinatina8032 3 года назад +3

    This song healed me 2017 may God heal you kasolo and meet all your needs

  • @beritahsikuku9435
    @beritahsikuku9435 4 года назад

    machungu ya corona virus....mungu tusaidie

  • @amenahassen942
    @amenahassen942 2 года назад

    Pia nakuombea sana usikate tamaa kwa safari yako. Yakutanga neno la mungu. Mungu akupe upeo mkubwa katika utungaji wa nyimbo zako kk angu.

  • @christophermutua5313
    @christophermutua5313 5 лет назад +3

    Mungu Fanya ima usaindie watu wako.

  • @jemmimahagesa6840
    @jemmimahagesa6840 3 года назад +12

    After the release of nanatiwe naku I had to watch this again 😭😭😭😭it was painful but God will always be God,be blessed.

  • @jamesnganga1418
    @jamesnganga1418 2 года назад

    We believe in God 🙏 of second chance all the time and he is loving God and a God 🙏 who change things 💓 he is a God of second chance and God who knows tomorrow because today it is not reveled what tomorrow hold for us

  • @lizbebyaddition8592
    @lizbebyaddition8592 4 года назад +53

    When i compare this song with your current position.. I just see how God works miraculously... I keep on listening to this song since it gives me a hope that my life will change one day

  • @KasB254
    @KasB254 4 года назад +5

    This song is too emotional i cudnt hold back my tears..msaada wetu watoka kwa Bwana Mungu muumba wetu

  • @miriamevans3145
    @miriamevans3145 3 года назад +2

    This song encourages me.. Nikikumbuka my dad pass since 1998..i was so young bt Mungu acha aitwe Mungu.. I hv seen the hand of the Lord🙏

  • @josephmunyao6698
    @josephmunyao6698 5 лет назад +21

    Every time I hear/listen or watch this song I shed tears, it reminds me what we went through as a family after the demise of dad back in 1996 wen I was 3yrs, but God is faithful, I know n blv my time is coming

  • @Salim-ko3pp
    @Salim-ko3pp 2 года назад

    I believe my sins are washed..Amen..

  • @staceywaithaka5743
    @staceywaithaka5743 3 года назад

    Enyewe mungu hutoa watu mbali

  • @agnessngalla2121
    @agnessngalla2121 2 года назад

    EWE MUNGU WETU FANYA HIMA USAIDIE YATIMA WOTE HAKI INAUMIZA ROHO SANA LKN TUNAYE MUNGU WA YATIMA NA PIA MUME WA WAJANE AMBAYE NI YESU KRISTO

  • @risperoseko6297
    @risperoseko6297 5 лет назад +7

    God father of the orphans will never let u down.Amen be blessed

  • @amenahassen942
    @amenahassen942 2 года назад

    Bwana asifiwe. Hongera sana kk angu . Nyimbo zako na za dada rozi zinafundisha sana kweli mnafanya kazi ya mungu. Nwaombea sana kwa mungu awalinde na maadui wabaya. Awaoge mfike mwisho mwema.

  • @rexmsafi9414
    @rexmsafi9414 3 года назад

    Waah kasolo may God bless you kweli ni kyaa Kya ngai

  • @jacintam3422
    @jacintam3422 2 года назад

    Pole😥😥ukweli machungu🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @johnjuma9784
    @johnjuma9784 4 года назад

    Mungu akupe sifa na utukufu ndugu

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 7 лет назад

    Pole sn kaka huo ni mtihani katika maisha umtumani MUNGU tu. wengi tumepita ktk mapito ila yanatofautiana uzito. AMINA!!!!!

  • @kaytizomelody9027
    @kaytizomelody9027 4 года назад

    Bro! Inatoa machozi sana... Ila Acha Mungu akae na Wewe 🙏🙏