NASH Y AKA NASH MC FT. DULLY SYKES & DOGO LECHA - KISA CHA MWANAFUNZI [NEW JACK FAMILY]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 22

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 2 месяца назад

    Walah huu ndio ulikua mziki big up Nash & Abdul sax

  • @decraswabonde9174
    @decraswabonde9174 11 месяцев назад

    Dah nakumbuka mbali saaana

  • @namelessnameless4868
    @namelessnameless4868 Год назад +1

    Watoto wadogo hawawezi kujua hizi nyimbo kabisa

  • @MathematicsInTZ
    @MathematicsInTZ 7 месяцев назад

    Nimeanza kuzeeka sasa

  • @rubengaally8476
    @rubengaally8476 2 месяца назад

    Naona brother guru umeamua kumamsaidia Nash mc baada ya kusema kwamba wimbo ulipotea na master yake

    • @guluramadhani1799
      @guluramadhani1799  2 месяца назад

      @@rubengaally8476 Duh mbona hakuwahi niuliza mimi Nash

  • @issakalenge2557
    @issakalenge2557 11 месяцев назад

    Dah longtime kinyama,tunazeeka aisee 😂😂

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 4 месяца назад

    Tuletee na ile ya Maalim Nash ya kuitwa Mkongwe

    • @guluramadhani1799
      @guluramadhani1799  4 месяца назад

      Hebu angalia ktk Acc yake kwanza ya RUclips km hajaiweka au kaiweka?

    • @alphanlukombe3774
      @alphanlukombe3774 4 месяца назад

      @@guluramadhani1799 Nimeangalia haipo

    • @alphanlukombe3774
      @alphanlukombe3774 4 месяца назад

      Kwenye account yake haipatikani

    • @guluramadhani1799
      @guluramadhani1799  4 месяца назад

      @@alphanlukombe3774 okay sawa basi ntafanya mchakato

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 11 месяцев назад

    Ubora wa WIMBO huu ni kiitikio lakini michano ilikuwa ya kishamba sana

    • @guluramadhani1799
      @guluramadhani1799  11 месяцев назад +3

      Enjoy ndgu yangu ndio game ilikuwa tunapambana nayo kwa sasa hivi unamsikiaje Maalim Nash? Ana Flow za hatari

    • @West-side-lt9nb
      @West-side-lt9nb 11 месяцев назад +2

      @@guluramadhani1799perfect. Na kwa age yake Nash apo kafanya kitu kikubwa na utunzi pia mzuri

    • @dimbangamjukuu
      @dimbangamjukuu 4 месяца назад

      Kumbuka ilikuwa 2000 ndipo tulipotekea