Nilikua nasikiliza kwenye radio yani unaenjoy stori kama vile unaona live 😂😂 Yani safari yake ya maisha ni movie moja Kali cn😅😅 Namshauritu ajipange aitengeneze iyo movie ni 🔥🔥🔥
Huyu jamaa bwana Nina historia nae Kwa kweli nimetafuta siku nyingi sana Ili nijue historia yake kweli nimefurahi sanaaa,,, Mimi nilikuwa nakaa TABATA MTAMBANI Kwa mama mkubwa 😂😂 yaaniii TABATA aroma ilikuwa hamna mtoto Ambae hamjui masanja.
Hongera sana Masanja,Mama Teina au Mama Tungaraza wa Goba😂❤
ana haki ya kufanikiwa aisee amepambana sana mkandamizaji
Nilikua nasikiliza kwenye radio yani unaenjoy stori kama vile unaona live 😂😂 Yani safari yake ya maisha ni movie moja Kali cn😅😅
Namshauritu ajipange aitengeneze iyo movie ni 🔥🔥🔥
Utabid masanja atoe move ya maisha yke
What a wonderful story....❤❤❤❤
Behind every glory there is a story
Huyuu arejee tena asee🙌🙌🙌
Huyu jamaa tunaomba arudi Tena aisee
Huyu jamaa bwana Nina historia nae Kwa kweli nimetafuta siku nyingi sana Ili nijue historia yake kweli nimefurahi sanaaa,,, Mimi nilikuwa nakaa TABATA MTAMBANI Kwa mama mkubwa 😂😂 yaaniii TABATA aroma ilikuwa hamna mtoto Ambae hamjui masanja.
Nxt week arjeeee the classislc
Tunaomba arudi plz
ULIAHIDI MWENDELEZO ALAFU KIMYA MZEE. TUNATAKA MWENDELEZO
Ninoma arud
❤
Next wik masanja arudi...
Masanja arudi.. Na nimekuja huku kuimalizia, siku natumaini kufika hapo studio pia
huyu masanja alifaa mpka leo awe anatoa move bado anatumambo 😂😂😂😂😂
Next week mapema tu
Arejee
story ya masanja imenifanya nije ku follow huku😂😂😂
Arudi aisee
Arudi tuu
Wiki ijayo aje mapema
sema hawa majamaa move zao zile za kitambo wangeziweka utube zieleweke make zilikuwa tamu sana
Arejee aisee
Arudi
Arudi