Tacimotolwa_Bernard Baru (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 209

  • @directorsebastin
    @directorsebastin 15 дней назад +40

    Sb clever Support it

  • @2PackSauza
    @2PackSauza 14 дней назад +35

    Bora wewe umesema unatusaidia sana kwa sababu atutakuwa tunasema Tena Sikiliza song 🎵 ya baru Asante 🙏🙏😭😭😭😭

  • @Paulmlambo327
    @Paulmlambo327 День назад +1

    Kazi nzuri sana 😂😂😂❤❤🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @lemonumentvivantkajole4008
    @lemonumentvivantkajole4008 14 дней назад +12

    Wimbo nzuri sana kijana ambao unaelimisha wanduguzetu kuhusu pesa. Ta’ule a’te afalanga búlaya ❤👏👏👏👏

  • @ibba8082
    @ibba8082 14 дней назад +12

    Hata Bolaya Tacimotolwa,Taole Ate Afalanga !!!

  • @AtembojeanLuc-dc9bt
    @AtembojeanLuc-dc9bt 14 дней назад +11

    Messages bien capté cher frère Bernard , félicitations pour cette grande réflexion 🙏🙏🙏🇨🇩❤️

  • @kifarumabulo
    @kifarumabulo 10 дней назад +9

    Duuh kwahali hii tutapata pesa kweli

    • @StephanoSony
      @StephanoSony 8 дней назад

      Msiofu ana tafuta kiki tu uyo.....ajawahi kuishi kambini na kujuwa shida za kambini
      AMULIZE KALUTA ndo anajua shida za kambini

    • @rozlysara-cy8qi
      @rozlysara-cy8qi 8 дней назад +1

      @@StephanoSonyajasema msitumiwe pesa ila anawakumbusha mkiwa mnasaidiwa isiwe two much mana aziokotwi uku 🇱🇷mkiwa mnasaidiwa muwe najongeza ata kwa proje mbali mbali, ila wengi wenu mnafikiri wanaziokota mnazimaliza nawanawake, pombe nafation tena mnavyo zipata kiraisi mnafiri wanaziokota kumbe niuruma yamtu tu, jiongezeni vijana

    • @rozlysara-cy8qi
      @rozlysara-cy8qi 8 дней назад +1

      @@StephanoSonyata ulaya kunashida kubwa tena bora shida zakambini kwasababu ukikosa pesa uwezi kosa pakulala

  • @Kangukag3b
    @Kangukag3b 3 дня назад +1

    Umeimba kweli Mungu akubariki. ❤.

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah 7 дней назад +3

    Wimbo mkali sana ndugu yangu , ubarikiwe sana grand frère wangu. Bernard kipenzi cha watu unaga baya ndugu yangu 🇨🇩🇧🇮

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 6 дней назад +3

    Ongeza zingine ebembe’yètù tataee atendeci aútana na bakyúngú ano

  • @kiluvisluumbe7894
    @kiluvisluumbe7894 12 дней назад +6

    hii moja kali sana unacho kihimba ni kweli kabisa yani pesa zina toka mbali sana

  • @MrGave
    @MrGave 14 дней назад +12

    Courage 🙌💪🏽

  • @amissijames1468
    @amissijames1468 2 дня назад

    Vizuri sana bwana mudogo. Wandugu zetu wame turudisha saaana. Labda wata badirika wakisha sikiliza Wimbo huu. wengi wata kuchukiya kwa sababu ukweli una humiza saaana. Hendeleya kuchapa kazi na ku waweka wazi

  • @newafricahorizontv1984
    @newafricahorizontv1984 10 дней назад +3

    Nitatumia wa ndugu zangu wote hii nyimbo. Big up my young brother!

  • @0fficial_STARgirl
    @0fficial_STARgirl 3 дня назад +1

    HONGERA SANA MSANI WETU BERNARD. NIMEKUBATIZA KWA JINA LA NABII WA MAMBO YA NYAKATI❤
    signé par Sango wa numbe

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet 2 дня назад +1

    WIMBO WENYE MANTIC KWAKILA MPAMBANAJI 🎉🎉🎉

  • @AdidjaBicuka
    @AdidjaBicuka 2 дня назад

    Mungu akubariki sisitunapata shida ataumwambie mtu sina akuelewi kabisa

  • @ClaudeBulambo-s7q
    @ClaudeBulambo-s7q 5 дней назад +2

    Watu ni wabishi sana unahimba ukweli 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 7 дней назад +2

    Bernard barikiwa sana baba wewe unaweza kutafuta jinsi gani unaweza anzisha mafunzo ya utunzaji bora wa maisha yanaweza kulelewaje kama semina kwa jamii yetu maana wanapataga maisha mazuri lakini awajui kulea kutunza na kulinda ndomana kila kukicha wanakuwa wakilialia ukosefu na wakati wao ndo wanakimbiza kipato kwakutokutunza wakipatacho ❤❤❤❤❤❤hongera sana ila tu napendaga nipate namba yako kaka yangu unatoaga nyimbo nzuri za elimu kwa jamii ila masikio yao ni magumu wakuwai kusikia na kuelewa wanavyoambiwa

  • @AliKakozi-c7e
    @AliKakozi-c7e 2 дня назад

    Kazi zuri na imepatikana kwawakati mzuri

  • @Gideon-v4y
    @Gideon-v4y 12 дней назад +3

    Katika kazi zako zote hii moja KALI kuliko n❤❤❤akumbali sana

  • @MwajumaRosette
    @MwajumaRosette День назад

    Nyimbo zako zote zime laaniwa mpuuzi kabs wew siuna ishi kwaajil ya pesa ambaz zip ulaya

  • @swallahboy9464
    @swallahboy9464 День назад

    Daaah !!! kweli bro nilikua sijaskia vizur 👊👊👊 nilitoa comment akati nilikua sijaskia daah bro unajua sana

  • @peterpromece6975
    @peterpromece6975 6 дней назад +1

    Hongera Ndungu. Nikweli

  • @EliasMbanduci-m1h
    @EliasMbanduci-m1h 6 дней назад +1

    Ndugu nimependa sana mungu akubarikiwe mwalimu

  • @emenaasongo
    @emenaasongo 13 дней назад +3

    Hongera sana kijana, umehinda kitu cha muhimu sana. Tangu Nampula, Mozambique .

  • @FarajaMangaikoFranck
    @FarajaMangaikoFranck 5 дней назад +1

    Wimbo huu una nikumbusha mbali kiasi chakutowa majonzi, sina lakusema ila na kuombeya baraka nyingi kwa kazi uliyo fanya

  • @belamimuka
    @belamimuka 13 дней назад +4

    Boom🔥

  • @akimbahekelwa373
    @akimbahekelwa373 13 дней назад +4

    Courage sana kakaangu, tupo nyuma yako, hatutachoka kuwasapoti, we're so proud of you❤🔥

  • @Bernadettereinepretty
    @Bernadettereinepretty 2 дня назад +1

    Tacimotolwa tata ❤

  • @EverineTamone-t9q
    @EverineTamone-t9q 9 дней назад +1

    Hongera sana kaka yangu wimbo mnzuri sana hatimaye tumepata mtetezi wetu

  • @kenzo-jungle9133
    @kenzo-jungle9133 15 дней назад +5

    NICE SONG AND VIDEO 🎉🎉🎉

  • @KABWEM
    @KABWEM 13 дней назад +4

    Message nzuri sana courage courage 😂😂

  • @saidiaoci9572
    @saidiaoci9572 14 дней назад +3

    ongera sana kijana una sema kweli.

  • @KewaAsukulu
    @KewaAsukulu 13 дней назад +3

    Unajuwa Sana Brother 💯💯🙌🙌🙌🇨🇩🇨🇩

  • @albertwaolimba6917
    @albertwaolimba6917 8 дней назад +1

    Wewe sasa ndo Balozi wetu Ubarikiwe sana

  • @BonneannéeStephanoAbabeleSTEPH
    @BonneannéeStephanoAbabeleSTEPH 7 дней назад +1

    Courage sana frère.👏👏👏👏 hiyo ni kweli makuta kuhipata mpaka utumike. Merci sana kwawibo hiyi wimbo nzuri

  • @maderevamusicofficial1931
    @maderevamusicofficial1931 12 дней назад +2

    Courage kazi kubwa❤🔥

  • @KizaHussein-o2g
    @KizaHussein-o2g 2 дня назад

    Mungu akubariki sana kijana wa mashairiki

  • @mitambaebobo6128
    @mitambaebobo6128 4 дня назад +1

    Mungu akubariki sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @vijanamaharifa8947
    @vijanamaharifa8947 2 дня назад +1

    USA 🇺🇸 tupo🎉🎉😂😂😂

  • @StephanoSony
    @StephanoSony 8 дней назад +1

    Uyo dg ni rofa sana ana imba na isiya kama ana ishi ulaya kweli ila mziki bwana

  • @ApendekiMtambala-s8g
    @ApendekiMtambala-s8g 4 дня назад +1

    Ongera sana kaka

  • @VictoireKasanga-qh4yv
    @VictoireKasanga-qh4yv 14 дней назад +3

    Good job my brother 🔥🔥🔥

  • @JeanNelly
    @JeanNelly 8 дней назад +1

    Huu wimbo ni jibu tosha kwa wale wanao sumbua kuomba pesa nitakuwa nawatumia wimbo tu 🙅🏾‍♂️🙅🏾‍♂️

  • @MasumbukoRajabu
    @MasumbukoRajabu 8 дней назад +1

    Hii nyimbo inamafunzo mengi sana kwa walioko Africa 🌍 na USA pia

  • @BwanzoBwanzo
    @BwanzoBwanzo 11 дней назад +2

    Hatimae Mtetezi Wetu Amepatikana 🎉🎉.
    Nifate In Box 🎁

  • @GerrardHassan
    @GerrardHassan 6 дней назад +1

    Courage sana✊

  • @DanielKirakaza
    @DanielKirakaza 9 дней назад +2

    Ubarikiwe, ila utowe ingine yakilio kama hiisauti uliotumia kwahii nyimbo itakua nzuri Asante

  • @allykimanga6359
    @allykimanga6359 6 дней назад +1

    Hakuna Mti wa pesa hapa South Afrika hakuna Miti ya pesa tuna tafuta kwa Hali ngumu sana ndugu zetu Wana turudisha Nyuma sana elimu ya pesa Ina itajika ili kua na jamii inayo jua maana ya pesa

  • @WitangilaJeanclaude
    @WitangilaJeanclaude 14 дней назад +5

    Duhhh 😭 😭, ngoma hii

  • @mrjeanwilo2178
    @mrjeanwilo2178 13 дней назад +2

    Congratulations bro ❤❤❤

  • @Stephaboy
    @Stephaboy 7 дней назад +1

    Kweli kk 👏👏👏👏

  • @BelugaOfficial-q2b
    @BelugaOfficial-q2b 11 дней назад +2

    NA BONNE ANNÉE IME FIKA IYI DUUUUH KWELI BARU KATU RUSHIYA NDEGE ZETU KWELI ATA TUWAHOMBE HELA WATA TU JIBU FALANGA TACIMOTOLWA😅😅😅

  • @mitambaebobo6128
    @mitambaebobo6128 4 дня назад +1

    Babililiye ukweli ndouho nakupeda bure❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @malengafataki1228
    @malengafataki1228 14 дней назад +1

    Nikwelii kabisa Asante sana 🙏🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️👏🏻👏🏻👏🏻

  • @benjaminrashidi2407
    @benjaminrashidi2407 14 дней назад +1

    Congratulations for this song brother 🎉🎉🎉

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 7 дней назад

    Ubarikiwe kwa mafunzo hayo ❤❤❤❤❤

  • @HusseinMmasa
    @HusseinMmasa 10 дней назад

    Ubarikiwe mzee. Ndugu zetu hinabidi wawe Makini sana, ili watu wawe nashahuku ya kuwekeza nyumbani

  • @saidiisaacwilpac5361
    @saidiisaacwilpac5361 10 дней назад +1

    Kazi nzuri sana❤❤❤

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 8 дней назад

    Ongera sana kwa wimbo ushauri

  • @justinbikyeombeJustin
    @justinbikyeombeJustin 13 дней назад +3

    Unaongeya lamana Sana ila maisha ndo shinda nasikia hadi uruma

  • @MtuSamuelGabriel
    @MtuSamuelGabriel 7 дней назад +1

    My favority artist Baru

  • @nyangeshaurilungwe3974
    @nyangeshaurilungwe3974 12 дней назад +2

    Big up bro 😎 ❤❤❤

  • @masokaasukulu
    @masokaasukulu 6 дней назад

    Nikweli kabibisa😂😂😂❤

  • @MauwaBenjamin-dd8pm
    @MauwaBenjamin-dd8pm 12 дней назад

    Kazi kubwa kakaangu 🎉🎉🎉

  • @billkillmusic
    @billkillmusic 12 дней назад

    Bien joué, une très bonne chanson 🎶 les paroles sont très Bieen!!

  • @Pombaa_Wa_Yesu
    @Pombaa_Wa_Yesu 3 дня назад

    Ele benebene Tacimotolwa

  • @WalubobaKitambala
    @WalubobaKitambala 13 дней назад +1

    ❤❤ata Africa falanga ta cimo tolwa.

    • @bahatimangapi3447
      @bahatimangapi3447 9 дней назад

      Ni kweli ndugu, tatizo huja pale tunapo waombahomba watu wa ulaya, tujishugulishe na maisha yetu..

  • @DrEvarist
    @DrEvarist 11 дней назад +2

    📌😔 You deserve the reward 🤝

  • @SelemaniJustin
    @SelemaniJustin 8 дней назад +1

    Hiyo nikweli kabisa

  • @WilsondeMalisawa
    @WilsondeMalisawa 14 дней назад +2

    Good one 🎉

  • @juniorwakulenja
    @juniorwakulenja 14 дней назад +1

    Ongera kaka🎉🎉

  • @KashindiasumaniIsidore-so2gl
    @KashindiasumaniIsidore-so2gl 8 дней назад

    Mwakole msh'ahùnga

  • @AndreaAthumani
    @AndreaAthumani 13 дней назад +3

    Umenikumbusha bali sana 😢😢

  • @Rigini-x35
    @Rigini-x35 11 дней назад

    Ummeupiga mwingi 🎉🎉🎉😊😊😊❤❤❤

  • @jpmanotaofficial639
    @jpmanotaofficial639 14 дней назад +2

    Big job

  • @Dael-SaDavid
    @Dael-SaDavid 7 дней назад

    Wetù mwana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MzaliwaMtambala
    @MzaliwaMtambala 9 дней назад +1

    KWELI Aziokotwi pesa

  • @GermondeMpenda-jn6wy
    @GermondeMpenda-jn6wy 15 дней назад +1

    Ndio baba waambieee

  • @JOYCENURUREGINA
    @JOYCENURUREGINA 11 дней назад

    Congratulation brother 🎉🎉❤

  • @MARCELINEAMISI-c2q
    @MARCELINEAMISI-c2q 8 дней назад

    Courage Kaka ❤❤❤❤❤🎉

  • @uwezobenjamin699
    @uwezobenjamin699 15 дней назад +1

    Nice work goooood ❤❤❤❤❤😂

  • @MarthaRobert-lj4de
    @MarthaRobert-lj4de 4 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Nic🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mbelecimlondani8838
    @mbelecimlondani8838 7 дней назад

    Ubarikiwe sana

  • @MisemblIbrahimu
    @MisemblIbrahimu 14 дней назад +1

    😂😂😂BONGE la ngomaaa dah🙏🙏🙏

  • @FrançinneMagari
    @FrançinneMagari 10 дней назад +1

    Courage 🎉

  • @Chinois_de_Chine_Sbl
    @Chinois_de_Chine_Sbl 10 дней назад

    Noma sana❤❤❤

  • @KarlosKaka-c8z
    @KarlosKaka-c8z 14 дней назад +1

    Excellent job

  • @AronMmbyula
    @AronMmbyula 12 дней назад

    Kaka apa ume uwaaaaaaaaaa❤

  • @rosettelillehei7730
    @rosettelillehei7730 6 дней назад

    Tacimotolwa Tata.

  • @kiluvisluumbe7894
    @kiluvisluumbe7894 12 дней назад +11

    ww ambaye uko ulaya una jifunza nn kupitia winbo huu na miradi tunayo fanya africa kwetu towa jibu lako kwenye comment hapo chini

  • @salumutuhenyawilliam9096
    @salumutuhenyawilliam9096 10 дней назад +1

    Very powerful message😔😔😔😔

  • @elizakeleme73
    @elizakeleme73 14 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ nice song

  • @amisisongolo6652
    @amisisongolo6652 14 дней назад +1

    Tunashukuru kwa kufikisha ujumbe

  • @msafiripeterluundo5925
    @msafiripeterluundo5925 11 дней назад

    Clever Boy 👌

  • @ambassadafils9878
    @ambassadafils9878 5 дней назад

    Auna baya kk.

  • @JasminimamboMbalasa
    @JasminimamboMbalasa 8 дней назад

    Sema haka ka jamaa kanaimba na hisia😂😂

  • @MrRamaFrederick
    @MrRamaFrederick 14 дней назад +1

    Mr Rama ❤❤❤

  • @Watulize.drc54
    @Watulize.drc54 14 дней назад

    ❤❤❤by watulize drc