Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - Uchambuzi wa Tundu Lissu na Mohamed Said- Part 1
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Katika njadala huu uliofanyika siku ya kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wazanzibari walijadili uhalali wa mapinduzi hayo. Miongoni mwa walioalikwa kutoa mada ni pamoja na Tundu Lissu, mwanasiasa na mwanasharia maarufu nchini Tanzania pamoja na Mohamed Said, mtunzi wa vitabu na mwanahistoria maarufu nchini humo. Wasikilize ujue mengi ambayo hayasemwi kuhusu mapinduzi ya Zanzibar.
This Gentleman Mr Tundu Lissu is a brilliant speaker .What a great man , Africa has produced very many great politicians and he most definitely is one of them. Respect to him.
He is genius absolutely brilliant that is why the previous president and his goons tried to have him killed but for the Love of GOD he is still alive and well. Long Live Tundu Lissu
Dah pole sana kaka haidai inaumaa sana inatia huzuni sana
Solution! Sherehe za Mapinduzi zifutwe, na baadae huko mbele iwe ni marufuku chama cha siasa kutumia jina la "Mapinduzi" kwa sababu jina hili huzidisha vurumai na chuki na wala hatutoendelea kwa siasa za chuki na fikra za uovu.
Ni wazo zuri lakini lete njia mbadala, nchi zote zinayo siku ya uhuru wala kusherehekea Uhuru sio ugomvi sisi iwe lini na tusherehekee vipi.
@@hajihassan5433 kwani wewe šiku ya uhuru huijui basi hata kufungua Google uwe hujui? Unauliza suala wakati jibu lipo ila sema tu uhuru wa zanzibar hauwezi kutambuliwa kwa sababu wapo watu ambao walishiriki kufanikisha uhuru wa zanzibar ambao hawataki kutajwa na kwamba ASP itadhihirika kuwa waliingia madarakani kwa njia za fujo ambayo ndio yanayoitwa mapinduzi.
Mapinduzi sioo uhuru mapinduzi ya zanzibar ni kuwauwa wa zanzibar ipo siku itaku marufuku mapinduzi
Lisu,uko sahihi 100%
Da,watanganyika sio Watu wazuri,kabisa ni Watu wabaya sana,hatuna Imani na nyinyi,
Abdalla,usiwachafue watu kwa ujumla wao,kwani kila jamii wako wema na wabaya.
Mimi ni mtanganyika wa Tanga... sisi watanga wazanzibar ni ndugu zetu... kwhyo inaniuma sana...😭😭😭😭
Yale sio mapinduzi yalikua mavamizi ya nyerere zidi ya waislam ndugu zangu waislam msisheherekee mauwaji ya waislam wa zanzibar yanayo itwa mapinduzi
Unapo zungumzia mapinduzi unawares watu wengi shaky Mohamed anaumwa kasim hangs mm ni baba yangu ni mndereko as rifiji hatukimzi mzee wetu hatujuwi mpaka Leo yupo wapi mwenyezi mungu ndio hataripa
Nadhani heading iko sawa ingelikuwa tusiyoyajuwa ndio haikukaa sawa lakini usiyoyajuwa ni imelengwa kwa audience ili tupate kujuwa
Shukran
Haki itapatikana kwa Allah Mauwaji yalofanyika kwa sababu y uchaguzi n adi leo munauwa watu kwa uchaguzi mulipoambiwa mungane kuendesha serekali kama ilivosasa karume alikata nakufata Mawazo ya nyerere hakika ukweli haujifichi Nyerere na Gang lake kupitia OKELO
Nyerere na sasa kafa sasa
Mashaallah sote
I am proud to be the first one to see this.....
Congratulations our first viewer. We appreciate your presence here with us👍
Aaaa history
Alhabib pole Sana umeishi kushihudia na kituhadithia yaliyotokea Cha kuliza zaidi ulimwengu umekaa kimya
Inauma sana kiukweli tena sana ila kwa uwezo wake Allah atatufanyia wepesi na madhaalim waliobakia wenye nia ovu tunamuachia Allah ndie mlipaji
Inauma sana broo
Asante lissu Kwa kutuelewesha,
Kwa hiyo siku ya mapinduzi ni siku ya mauaji?
✌️👊👍.
Kwenye mapinduzi mengi hutokea ikiwa nipamoja na vifo, lakin huu ndio uzito wa Msingi wa nch , sikama wanyumba, na Msingi wanch marangi hauwekwi kwakura ya maoni ya watu, niwatu wachache hukaa na kuweka msing huo kwaajili ya taifa na kwahili maumivu hayakwepeki, dunian kote hakuna nchi yenye history tamu tu bila chungu , huu niwakati wakujenga nch sasa yaachen yolopita yapite.
Wee mpuuzi hayo kwani yamepita hivi leo ukiwa na uchaguzi hayafanyiki mauwaji na upigaji na maonevu mengi tu
Ni vigumu kwa mtu yoyote hasa anaetokea upande wa Tanzania Bara na anaetokea Zanzibar upande wa Pemba kuelezea Mapinduzi kwa sababu Mapinduzi hasa ni ya Zanzibar upande wa Unguja, pia miaka zaidi ya 55 ndio upate UKWELI wake ni vigumu kuaminika kwa pande zote mbili wanaoyakubali na wanaoyakataa hivyo itategemea unamsikiliza mtu wa "interest gani". Kwa upande wangu pamoja na changamoto zilizopo maisha baada ya Mapinduzi ni BORA kuliko kabla yake.
Nadhan naye nimiongoni mwa watanganyika simzanzibar halisi mana kiukweli Mapinduzi ya Zanzibar ni mtihan haujawahusu waunguja tu kikweli Wazanzibar wote yamewagusa vilivyo😭😭😭
Anafirwat huyu kumamamake
Ndugu Hassan,ukitaka kuiondoa serikali kwa njia ya mapinduzi,lazima uanzie makao makuu yake,na kwa Zanzibar ni UNGUJA.
Sasa mapinduzi kama yangeanza Pemba,unafikiri yangefanikiwa?.
Kuhusu ushiriki wa WaTanganyika hilo halina mjadala
Mtihan huu
Ebu tupe ubora babu Haji wa Mapinduzi matukufu?
John Okello yako wapi katika mapinduzi,kwa sababu yeye ndiye aliyejitangaza raisi kabla hajampa Karume . Na alikuwa anajibu mahojiano na waandishi wa habari, na hata walipoomba kuwatuhusi wamarekani waondokr,Karume alosema wamsubiri John Okello ate ruhusa
Nawashukur wote walo Fanya mdahalo huu, kidogo nimeifaham history ya nch ,
Part 2?
Ishachapishwa isikilize
Jee wanajuwa maana ya utukufu, au mnandikat kwasababut yaujingawenu,
Jengeni Zanzibar yenu achaneni na stori za mapinduzi naona wengi wala hamjui hayo mapinduzi kwanini yalifanyika
Nchi itajengeka vipi wakati kila kitu kinabebwa na dhana ya umapinduzi. Zanzibar hupati kazi serikalini kama wee sio mfuasi wa mapinduzi. Nchi inaendeshwa kikasumba zaidi kuliko uwezo wa watu.
Kila kitu kina mwisho wa zanzibar tuwe na uvumilivu jambo lipo
Hata tukisema wwarabu ni wanainchi wmezaliwa hapo hapo wana haki ya kuhukumu ona amerekani ubama ni mwafrika mslazia NA endunisia walikua ni asili ya kiaarabu kitu ya kawaida kuwa mraia NA wewe mwarabu kwanini hao waaslaam waaliuawa elfu ishirini walikufa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma raia thambi yao nini
Masikin kiukweli nimazito mno.wauwaji kiukweli watubu wajukuu qao na watoto wao kuukweli kama nikweki
Kwaukweli karume na nyerere waliwauwa ndugu zetu bilasababu lkn mungu alimlipa karume hapahapa duniani nayye aliuliwa kama alivouwa watu iposiku iposiku Zanzibar itatalipa maumivu haya iweniduniani au mbele zamungu wao waache washerehekee mauwaji kwakidezo cha muarabu lkn watalipa damuzao iposiku😭😭😭😭
Ndugu yangu Abdalah juma unafanya makosa kwa kuwaraumu waatanhanyika kwa jhayo yamapindizi ya Zanzibar wote sio wahisika
Dhulma na mauaji haya yanendelea miaka 58 sijui kama kipo Cha kuendelea kuuwa na kudhulumu
Je ni wapi tunaweza kusikia moja kwa moja
Kwahio ipo hati ya makubaliano ya muungano
usaliti wa karme
We kiswahili hujui. Tittle inamlenga msikilizaji sio wewe mzungumzaji.
Kuhusu suala la African Arab kutokubalika uarabuni nadhani unatakiwa ujue asili ya hao waliochanganya walipatikana vipi na pia ukatafute jinsi ya mahusiano ya Waatawala wa kiarabu na bibi zetu wa kiafrika. Na hili ni funzo kwa African Arab kuanza ku embrace Uafrika wao. Wajue fika kuwa hawakubaliki Uarabuni na wao ni Waafrika pyuu. Hawawezi kukubalika kwa Watawala kwakuwa wao ni vizazi vya Concubines!!
Kwakifupi kinachowafanya nyie kukataa Uamnyema, Umakonde na Undengereko ndicho kinachowafanya Waarabu kuwakataa nyie. Tafakari!!
Mnaandaa machafuko‽ Nini itakua faida?
Hakuna machafuko ni ukweli na uwazi kama ww unajua wengine ilikuwa hatujui ukweli
Watu wanatafuta haki sio machafuko , Na maisha ukweli ndio unaopingwa , tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili Na haki zake zote
Kwahiyo wewe Lissu unataka kuniambia Waasia na Waarabu walitoka huko mbali ndio wenye asili ya Zanzibar kuliko Watanganyika?? Wewe hujui historia nenda tu kasome sheria. Huwezi kujua kila kitu.
Vizuri hapo uliposema hujui Kila kitu , maana Na wewe hata hujui Sasa ushajisemea mwenyewe , kama mkikaa huko ndivyo mnavyosomeshwa kuwa Zanzibar ni Ya watanganyika sahauni
@@rastafare878 Sasa ulidhani ya nani? Ya Waarabu??
Helpers sikiliza yakhe hakuna yoyote ktk history ya visiwa hivi aliekuja akakuta jamii moja tu ya watu wakiishi zanzibar hata lugha ya kiswahili yenyewe imechangiwa na kiarabu sasa hao wabantu kabla ya waarabu kuja walikua wakizungumza lugha ipi? Acheni umbumbumbu znz ilikua himaya kubwa tu na haikuwa na jamii moja ya watu tokea enzi na enzi. Huo ndio ukweli mupende musipende.
@@mangofish9079 Kiswahili na lugha nyingine za wabantu zilikuwepo kabla ya waarabu kuja. Waarabu wamekuja kuingezea au kuimarisha kiswahili. Na hili linatokea kwa lugha yeyote duniani. Hata hivi leo Kiingereza bado kinakua so does kiswahili. Kwahiyo hiyo sio point ya kusema Zanzibar ilikua na mchanganyiko. Nop..Mchanganyiko umekuja baada ya uvamizi. Ukumbuke kuwa Kilwah ilikua ndio mji mkubwa katika pwani hii na Wavamizi walifika Kilwah kabla ya Unguja. Hivi unajua asili ya neno Unguja. Wenyeji wenyewe walikua wanaiita Lunghuja. Wahamiaji kwa kushindwa kutaamka wakaiita Unguja. Upo?
We mjinga sasa msukuma na muarabu nan mwenyeji wa Zanzibar....boya ww...waarabu wana miaka zaid ya alfu Zanzibar..na wameoa na wazaliana na wazanzibar...na wana nasaba na wazanzibar... kwahyo watanganyika kama vile msukuma, mhaya, waha na hawa waarabu nan mwenyeji Zanzibar???... mjinga ww😂😂😂