Mjadala mzito Bungeni kuhusu wasiopita JKT na JKU kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 фев 2024
  • Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
    Azimio hilo limekuja kufuatia hoja ya dharura iliyotolewa jana Alhamis Februari 15, 2024 na Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole na kisha Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kutaka kujiridhisha ikiwa Bunge limeshawahi kutoa maelekezo juu ya jambi hilo.
    Hata hivyo baada ya kujiridhisha kuwa hakukuwahi kuwa na maelekezo juu ya jambo hilo alimruhusu Mbunge huyo kutoa hoja ambayo iliungwa mkono na kisha ikajadiliwa na azimio likatoka.
    Hata hivyo wakati akitoa hoja ya kuahirisha Bunge Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilitaja azimio kupitishwa na Bunge kama moja ya maazimio yaliyopitishwa kwenye mkutano huu wa Bunge.

Комментарии • 84

  • @WahidSalim-od8hc
    @WahidSalim-od8hc 3 месяца назад +1

    Uyu mama ni kiongozi sana sana yupo katikati haonei mnakumbuka hata haya mabasi yanatembea usiku ni yy aliwambia polisi hatusafiri usiku kwa kigezo cha usalama haupo usiku au sasa polisi wamejipanga vizur route za usiku zipo na safi kabisa it hatupandi tena

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 3 месяца назад +3

    Kama jkt ni muhim nafkri serikali iongeze bajeti jkt

  • @danielmanenge4490
    @danielmanenge4490 3 месяца назад +1

    Kwa kweli hili suala gumu sana maana inauma mwaka jana nimepoteza kazi jkt

  • @user-ry1tk1sg7w
    @user-ry1tk1sg7w 3 месяца назад +1

    Jaman hilo swala sio la taifa stars kwamba mkifungwa mtarekebisha. Hvyo nivyombo vya ulinzi lazma tuwe na watu imara na wenye mwanzo unao eleweka,unataka ajila za ulinzi na usalama nenda JKT

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 3 месяца назад +1

    Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira

  • @yassirkhamis1165
    @yassirkhamis1165 Месяц назад

    Apa nikweli ajira za tanzania kupitiaa wizara ya ulinzi na usalama kisiwekwe kigezo cha kuhusu kupitia jkt au jku ilaaa iwekwe njia ya kuepo jkt n jku kwaniaba ya vijana kutokwenda kwsabab ya kuona so lazima

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад +1

    Mpina na (kidogo) Agnes Marwa wameongea kama Viongozi wanaoelewa mambo ya Ulinzi na Usalama👍🏾👍🏾👍🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 месяца назад

    Kama makambi hayana uwezo wa kupokea watu wengi mfumo ubadilike mafunzo yangeendeshwa kama yale ya mgambo

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 3 месяца назад +1

    Ajirini vijana kwa wingi muape ajira sio watto wajitole hawaripwi wanafanya kaz za bule kwa muda mlefu ebu jifudhen kubadrisha kaba nchi ya Oman mnao sema meungana nao hapa vijana wao wengi ni police na jeshi tz brah brah tu watto wawakubwa ndio wanajiliwa mashalingi mengi

  • @ibsentz8888
    @ibsentz8888 24 дня назад +1

    Au tufanye tusisome sasa, tuende jkt tu, yani Bongo bana

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 3 месяца назад +2

    Kila mtu na ujuzi wake na Elimu yake. HAPANA sababu ya kuleta masharti ya JKT au JKU . Kama ni lazima kwenda JKT watakwenda baada ya kupewa ajira.
    Hatutaki UBAGUZI katika AJIRA.
    Wasomi wanakosa ajira kisa JKT. Huu ni unyayapaa

    • @user-ry1tk1sg7w
      @user-ry1tk1sg7w 3 месяца назад

      Na ukisindwa kumaliza hayo mafunzo ya JKT unalud nyumban cndyo, siasa weken kando tujali uimara na ukakamavu wa vyombo vya ulinzi sio mpiraa uo ni swala la userious

  • @duniakijiji9489
    @duniakijiji9489 3 месяца назад +2

    SPIKA UKO VZR

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 месяца назад

    Mwigulu kichwa maji sana ata haelewi anaambiwa kwa mifano ata haelewi jkt waajiliwe jwtz ila uhamiaj,polis, magereza haihusian na jkt

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 месяца назад

    Uyu Luhaga mpina hafai kua ata diwani

  • @user-tp7hd1tg8r
    @user-tp7hd1tg8r 3 месяца назад +2

    bunge limefanya kazi kongore mh.speaker nmekuelewa sana🎉

  • @user-jq5sl9go2e
    @user-jq5sl9go2e 3 месяца назад +1

    Bax kam vip jkt na jku ifutwe

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    BLUNDER! Plain and simple!

  • @user-wz1fh1fs7l
    @user-wz1fh1fs7l 3 месяца назад

    Hata hamfahm mfumo wa ajira hzo zilivyo lkn mnajikuta mnajua kila kitu huo ni ukosefu wa kufikiriiiii

  • @user-oo3kc2cj8n
    @user-oo3kc2cj8n 3 месяца назад

    Ila kuna wengine waliacha kwenda jeshi kimasiara sasa maji yamezidi unga wanalaumu poleni ambao hamkwenda kwa sababu za msingi

  • @JustineNgerangera-zs9qq
    @JustineNgerangera-zs9qq 3 месяца назад

    BHN n ukweli usio pingika kuwa masharti ya jkt kwenye ajira Yalikuwa yanaleta uonevu kwa baadhi ya wanyonge maana vijana wengi wanakosa nafasi ya kuingia jkt na vigezo wanavyo kisa uwezo mdogo wa makambi ya jkt kuchukua idadi ndogo ya vijana na huambiwa mje mwakani kijana akienda mwakani wanaambiwa umri umezidi ndo inakuwa kakosa hapo jumla jumla,,masharti ya jkt n ya ovyo kabsaa na uonevu kwa vijana wasiokuwa na wasemaji kwenye maombi ya wilayani mfano mimi tu nimekosa nafasi za JKT kalibu mara 3 sababu hazieleweki naambiwa uje mwakani mpaka umri ukapta wa kwenda yaani wilayani mnaomba 200 wanaotakiwa 30 unazani wenye vigezo hawabaki hapo lazma wabaki tu wenye support waende 😭😭😭😓😓🥲🥲😓JKT n shamba la mkoloni

  • @kidykodyyusufukod-ud6vg
    @kidykodyyusufukod-ud6vg 3 месяца назад

    ni ubora sana kama watatakiwa kwenda jkt wangetenga eneo maalumu kufanyia mafunzo hayo lkn yasiendeshwe vikosini yaendeshwe sehemu maalumu

  • @user-bc1fv2kv7h
    @user-bc1fv2kv7h 2 месяца назад +1

    Speaker ana akili sana japo ni mama miguu flat

  • @BARAKAMLYAKADO
    @BARAKAMLYAKADO 3 месяца назад

    Kuna usahihi wa kigezo hiki kuwepo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama

  • @user-tw9im4fo2y
    @user-tw9im4fo2y 3 месяца назад

    Waleten watt wenu msomela jmny mtaona km vijana wana haki ya kupewa ajira au laaa

  • @user-et2rb5ej8j
    @user-et2rb5ej8j 3 месяца назад

    Saf sana bunge jkt aina faida yoyote ni usanii na upumbavu mtupu

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад +2

    Waasiasa wanapenda sana sarakasi. Hivi, mkisema apite JKT baada ya kuajiriwa, huko JKT anapita ili afuzu au ili akajifurahishe? Mtakuwa tayari akipita JKT baada ya kuajiriwa na akashindwa kufuzu arudishwe nyumbani maana atakuwa hajatimiza vigezo?Wanasiasa wengine ni mizigo sana! Hapo mnakwepa ukweli huu👉JKT sio ombi,JKT ni LAZIMA kabla ya kuajiriwa ndani ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Mkitaka JKT ije BAADA,muwe tayari wakishindwa kufuzu WAACHIE AJIRA. Hii Nchi STORY za KISHAMBA na MAIGIZO yamezidi sasa😡😡😡

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira

    • @user-ry1tk1sg7w
      @user-ry1tk1sg7w 3 месяца назад

      Thinker man

    • @SwaiSaid-ho1rs
      @SwaiSaid-ho1rs 2 месяца назад

      Wanachaguana kwa kujuana tu hakuna haja ya jkt

    • @SwaiSaid-ho1rs
      @SwaiSaid-ho1rs 2 месяца назад

      Mpaka uwe na mkubwa huko juu sisi tusio na ndugu imekula kwetu

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 2 месяца назад

      ​@@SwaiSaid-ho1rshata Kigezo cha kupita JKT bado watabebana. Huondoi kubebana eti kwa kufuta kigezo cha kupita JKT. JKT ni kigezo kisichoepukika kwa sababu hata ukiingia huko bila JKT bado utakutana nayo halafu ukiifeli unadhani utachukuliwa? Ni kujidanganya!

  • @ndamezerevocatus1078
    @ndamezerevocatus1078 3 месяца назад +3

    Speaker wetu ni kichwa kwakweli.

  • @user-bg8qw6zx8h
    @user-bg8qw6zx8h 3 месяца назад

    Kama vp wafute tu zote maana hazina faida

  • @stevenmhina7222
    @stevenmhina7222 3 месяца назад

    Hivi kule kwenye wanaenda kuchukua mafunzo ya ajira za hivi vyombo hakuna cha hayo ambayo wanasema yanapatikana JKT
    Maana kama ni ukakamavu yanafundishwa huko. Ksma ni uzalendo yanafundishwa huko. Kama ni weledi vinafundishwa huko.
    Kama JKT ni kigezo muhimu. Kwa nini yafundishwe tena katika recruit course !!!
    Bora ziangaliwe taaluma za watu mengine yataongezwa katika mafunzo ya ajira husika. Kama kigezo ni elimu inayotolewa JKT wao wanaona hawawezi kuipata katika mafunzo yanayotolewa katika mafunzo ya ajira husika, jambo ambalo siyo kweli. Basi baada ya kuwarecruit wawapeleke huko JKT na JKU. Na wale ambao walichanguliwa wakiwa walishapitia JKU na JKT itakuwa ni faida kwao kuwa hawatahitajiwa kurudi huko tena

    • @user-zl3le1wz2u
      @user-zl3le1wz2u 3 месяца назад

      Elewa kuna tofauti kubwa sana kati ya aliyeajiriwa akiwa katika mafunzo na yule aliye ajiriwa akiwa nyumbani na kwenda kwenye mafunzo.kwa uchunguzi wa wahusika ( waajiri ) watakuwa na fursa na uhakika na mtu mwenyewe (wakichunguza tabia na mwenendo wake)

    • @DanfordEmmanuelNtakije
      @DanfordEmmanuelNtakije 3 месяца назад

      ​@@user-zl3le1wz2uvzr Sana Kaka umemujibu vzr sana

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 3 месяца назад

    Mimi dr tulia ndio mana nakukubali

  • @user-uu5lp6mp1o
    @user-uu5lp6mp1o 3 месяца назад

    Hebu wahulumieni hawa watoto ambao wako msomela wapate ajila ndo muanze hayo maongezi

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Kama haya ndo mambo Bunge na Tume ya Haki Jinai wanashauri, basi tuna matatizo sana!

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Spika akisema eti wakati JKT si kwa Mujibu wa Sheria Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilikuwa vinaajiri,ni siasa! Palikuwa na wa KUJITOLEA!!!

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      ACHA KUVUNGA UNAJUA MTOTO WA JUZI WEWE

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Spika na wabunge wenye mihemko wamefanya kosa kubwa na naishauri Serikali IWAPUUZE na ILIPUUZE Azimio hili la OVYO!!!

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      MPUUZI WEWE

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

      @@ethanethan4437 Hilo ni AZIMIO LA OVYO. Halitaanyiwa kazi na yeyote mwenye akili zake timamu. Wewe na tuvimatusi twako endelea kudhani mmepata kumbe mmepatikana! Mnakuwaga na vimihemko vya kishambashamba sana📌📌📌

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Hapo navyowafahamu Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wataPUUZA haya maigizo ya Bunge, ajira zitakwenda KWANZA KABISA kwa waliopita JKT halafu KAMA kuna nafasi zinabaki watapewa wasiopita JKT. Hivi mnachukuliaje mambo ya Ulinzi na Usalama?

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Kati ya mambo ya OVYO Bunge limefanya ni hili!!!

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      MJINGA WEWE

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

      @@ethanethan4437 Ni jambo la OVYO! Ukiacha ujinga unaouuza, utaona kwamba hapo mmepatwa! Hamjapata. Ni hivyo, upende usipende, utake usitake. Hakuna Chombo cha Ulinzi na Usalama kitatii Agizo au Azimio la OVYO. Ukitumia ubongo wako kufikiri utaona kwamba hicho kigezo cha JKT hakikwepeki! Yaani hata ukisema ETI ajiri kwanza halafu kabla hajaanza kazi aende JKT, vipi huko JKT asipofuzu? JKT watu hawaendi kuchekeshana na kunywa gongo, wanaenda MAFUNZONI na kuna KUFUZU! Asipofuzu mtakubali huyo aliyepata ajira arudi nyumbani? Ndo maana wenye busara Jeshini wakasema JKT iwe kigezo cha wazi kila mtu ajue ili asipoteze muda! Nyie kaeni mnatukana lakini JKT kuwa kigezo cha Ajira za Vyombo vya Ulinzi na Usalama haikwepeki!!!

    • @athumanmfangavu7320
      @athumanmfangavu7320 3 месяца назад

      Kwakua mnufaika mkuu wa jkt ukiwemo wewe au

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 месяца назад

    Sasa mbona muda umepotea bule wakuongea wewe

  • @user-zk5go7qs1s
    @user-zk5go7qs1s 3 месяца назад

    Kwan mwigulu yeye watoto wake Wana shida gan?ndo maana anavuruga hoja

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Katika ulimwengu wa leo wa Ulinzi na Usalama sahauni JKT kutokuwa kigezo cha upendeleo kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama!!!

    • @user-et2rb5ej8j
      @user-et2rb5ej8j 3 месяца назад +1

      Who are u by the way

    • @user-tp7hd1tg8r
      @user-tp7hd1tg8r 3 месяца назад

      tujiulize uyi ni nan mbn atumuelewi😂

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

      @@user-et2rb5ej8j and who are you???changia mada au kama na wewe huna hoja practical kaa pembeni sio lazima kila mjadala uje kuuza pumba

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira@@emmanuellyatuu4103

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 месяца назад +1

    ACHEN UFALA JKT N MUHIM

  • @user-xp3lr9nu4w
    @user-xp3lr9nu4w 3 месяца назад

    Mtu anamaliza degree pia aende jkt au jku changamoto

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 3 месяца назад +1

    JKT na JKU zilikuwa na lengo la kuwafunza wananchi UZALENDO. na ukakamavu.
    Haihusiani na AJIRA.

    • @urioxidetz8893
      @urioxidetz8893 3 месяца назад

      Walitakiwa kuakikisha wanaweza kuaccomudate wanafunzi wote

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira@@urioxidetz8893

  • @athumanmfangavu7320
    @athumanmfangavu7320 3 месяца назад

    ❤❤❤😂

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 месяца назад

    Haya, anayesema eti hata kama hujapita JKT ukiingia Jeshini mambo yanaanza kuanzia Step One. Sasa ndo aone jinsi ambao hawajapita JKT wasivyo na mashiko!!!
    Spika kakurupuka! Wabunge wamepwaya,hawajatafakari. Serikali ITUPILIE MBALI Azimio hili la ovyo la Bunge!

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 3 месяца назад

      Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 3 месяца назад

    Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira

  • @AlexMakungu
    @AlexMakungu 3 месяца назад

    Wabunge wenu hao wa CCM matope kweli sasa walioko makambini watawapeleka wap