TANZANIA BARA 0-2 KENYA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS ( FINAL: CECAFA WOMEN CUP - 25/11/2019)
HTML-код
- Опубликовано: 24 ноя 2019
- Kenya wameibuka mabingwa wapya wa michuano ya CECAFA kwa wanawake mwaka 2019, wakiwapokonya tonge mdomoni, Tanzania Bara.
Ubingwa huo ni baada ya kushinda mabao 2-0 kwenye mechi ya fainali iliyochezwe leo jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Jijini Dar es Salaam.
Jahazi la Tanzania Bara, limezama kwa magoli mawili yaliyofungwa na mshambuliaji hatari, Jentrix Shikangwa, katika dakika ya 71 kwa mkwaju wa penati na dakika ya 88 kwa shuti kali.
Hivi ndivyo mechi ya fainali ilivyokuwa, na kisha Kenya wakakabidhiwa kombe, wakiivua Ubingwa Kilimanjaro Queens, ambayo ilikuwa imetwaa mara mbili mfululizo.
Mara baada ya mchezo, Kocha wa Kenya David Ouma akaeleza kilichowapa ushindi leo, azungumzia sababu ya kumuanzishia benchi mshambuliaji wake Jentrix Shikangwa katika kila mechi.
Kwa upande wa Tanzania Bara Kocha wa Kilimanjaro Queens Bakari Shime akieleza kilichoiangusha timu yake, awaomba radhi Watanzania akiwataka wasivunjike moyo huku akilia na mwamuzi "Ni fainali bora iliyokosa mwamuzi bora".
#CecafaSeniorWomensChallengeCup - Спорт
Kitu nimeona ni kuwa Hata watangazaji hawajui sheria za mpira...referee ako sawa sana hapa..best referee I've ever seen
Charaza wao Tanzania magufuli nyumbani kwao... 🇰🇪 Hooe 🏆
Kenya we do it twa twa twa....congrats Starlets
We lost the title because of CCM politicians. They are only thinking about flights. They don't think of young generations. Magufuli and CCM only motivate those who use them in campaign. Footballers,runners, are not essential to them. We are paying a lot of tax players should be treated well. Viongozi wa Tanzania acheni Siasa za maji taka. Hata wenzenu mnawanyima kuchagua viongozi na tunajenga nchi moja. Hizi Siasa za Magufulification mbovu sana ni za kujenga uhasama. Magufuli ameigawa nchi na imekuwa na Makundi. Magufuli, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Kinana, Makamba, Nape kila mtu kundi lake. Nchi ya Makundi na mwisho wake ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Najivunia kuwa Mkenya. I also love u Tz our good neighbours
Mungu azidi kudumisha ujilani wetu 🤲🤲
sema na kiswahili waelewe
This lady commentator was a true patriot of Tz but Kenyans are always tough.
OUR KENYAN GALS HAS SHOWN US WHAT THEY DO BEST. CONGRATULATIONS
Commentators were not fair to the starlet's but walijua hawajui. Twa twa
Walijua hawajui🤣🤣
Especially the lady!!...lakini alinyamazishwa na the 2nd goal😂😂
The lady waaaaah
Congrats our girls for making Kenya Proud! Wanasiasa ndio wanaturudisha tu nyuma hii nchi yetu.
Ukweli bro..
Jentrix Shikangwa! Wonderfull, Beutifull etc
Mchezo wa hali ya juu sana kutoka Africa mashariki...
Commentator: Kenya wakipata wanapiga mbele wakimbizane huko huko... Jentrix Shikangwa.. goal getter huyu... piga shuti mbali lileee... G.O.O.O.A.A.L!
That second goal was a painful Twaaaaa! To the keeper.
Naomba hiki kikosi cha Kenya kiende vile kilivyo Uropa 3/3/2020 wasiache mtu inje is the best team
Goli la pili kweli ilikuwa ya kimataifa... Mchezaji mzuri kweli...
boss, tuongee sheng yetu
@@Don-fq3yg aache umbwakni 😂😂😂😂
🤣😂😂
@@thevipers4727 mujitume kuwesa kufuzu kuigia katika ligi kubwa kule parani iji sa kigeni kujioyesa mumeshinda kwa jia ya utaratibu na watakia mema
Hongera🇰🇪🇰🇪
Nyinyi watangazaji mnaegemea upande mmoja na hata hamjui sheria za mpira (kenya rules😍✌)
Jentrix angeanzishwa Tanzania ingeumizwa💥
jamani mnaona kama mimi!! goli la pili naona kama badala ya kurukia mpira yeye kainama na kukaa chini
i can't stop watching this game mwa stalets
Wembe ni ule ule wa Misri, safari hii watasema Emunike hayupo, asiyekubali kushindwa..........🤩
Nani yupo hapa from Kenya na confarm to
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twa twa
Timu zote nzuri.
Hongera kutoka Kenya
Wonderful memories reawakened; congratulations Harambee Starlets.
deonisia my lovely one forever
You can't get bored watching all this beautiful jewelries play and score great goals. Wanaenda mbali. Great future here indeed
Kenyan ladies are superb
Comments are interesting twa twa mpaka viwanjani
They only concentrated on TZ's moves and passes, unaeza dhania Kenya hawakua na ball. Anyway ushindi ulikua wetu
Hii timu ya wanawake inapiga mpira mtamu sana kuzidi wanaume watt wanapiga sambusa zenye nyama na iriki
😁 😁 😁 😁 😁 Bajia vitumbua
Kweli kabisa❤
Wote wako sawa hapo ilikua simchezo from kenya
Proud of my fellow Kenyans,,,,how can I join you I'm good in this section.
Me too
I hope you guys found clubs.
Hawa wawili (commentators) ni wabinafsi sana
Daaaah nimeumia kishenz
Na bado.....tuliwapiga Afcon tena tukawapiga kwenu...heshima ya mpira idumu.
Ibrahim Were umesahau kuwa umetolewa CHAN wapi eti??
Mm mzanzibar funga hao watanganyika 100
@@mnzavachris5423 chan ilikua penalties hamuku wafunga kwenye 90 mints
harambe star well play i am so happy for our lady extremely fantastic
am proud of country kenya big up
Big congratulation to a girls for making Kenya proud
Hongera Kenya twastahiki kushinda, Tanzania wametuzoea vibaya mda mrefu sana
Kijana Hodari na CHAN mna deni
Wanao sema awa mademu wazuri kuliko wanaume uyo fara
Nikweli mademu wanazidi wanaume kwani uwongo fatilia mechi utajua
TWA! Ball ya kwanza.TWA ,ball ya pili ,Tanzania wakazaa.Kenya forever na sihamii
These are biased highlights. Kwani Kenya haikua na attacks before wapate mabao"?
Viva Tanzania 👍👍👍👍👍
Ball position kenya hatumo kabisa😂😂😂 hatujatulia
Ball control hamna😂😂
But congratulations to Kenya
Coaches mfanye kazi muache uzembe
Kiwanja high class napongeza tz pia kazi nzuri cameraworks...Kenya hatujafika hapo...hongera TZ.
Unless haujui Kenya
Sasa hiki n kiwaja Cha kulingia😂😂😂😂
Congratulations harambee starlets
Hawa commenters ni wabinafsi sana,,but kubali tu we are de best
Kenya tunakalianga hao watanzania sana 😂😂
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hongera❤❤❤❤❤
Haaaahaaa safi sana nmefurahi mno
Congratulations kenya imeenda hiyo tumebeba
TWA!!TWA!!
Congratulations 👏👏👏👏 Kenya proud of being a Kenyan citizen by birth much love.
😊
Luv 2 b a Kenyan indeed
Suluhu daughters wamesuluhiswa
Kitu mnatushindia ni kiswahili tu
Kwani team ya kenya hawakai wanawake hata hawana titi
Ni mavazi rasmi ya soka siyo kuingia uwanjani Na sindiria kucheza soka!
Ndio maana wamewabaka wenzao!!
hata wewe uko na recism
Nimegudua hivi majuzi kua tz katika mechi za riadha wao hushida diamond na Platinum 😂😂😂😂😂
Gaucho ni mchoyo sana
These young ladies are great
Tunafanyaje sasa ndo washachukua shemeji zetu😭😭😭😭😭
Mmetosheka na kombe.Wacha tuliweke Nairobi.
Nyinyi wasubirini ZANZIBAR Ndio Muwaonee
Mpira mzuri kweli 🔥🔥
Good luck and congratulations starlet
Congratulations Kenyan ladies
kama uko hapa ju a national anthem ya kenya tujuane
Kwa kandanda wajaluo ndio hubeba Kenya ❤
Luhya and luo
Kenya tanzania uwani nduggu
Kenya is not a joke
Jez ya Kenya nayo huwa top notch. Nimeona ya Tz inakaa kws😂
Pengine wawashinde kwa kudanga ila kimpira aaahhh subuuutu
😂😂😂 hii madharau
Uyo namba 10 ni kuoa tu
Amazing keep the good work❤❤❤
Nithamu chaii, anyways proudly Kenyan
1981 Kenya iliwafunga Tanzania Final kwao . 1982 Kenya ikawafunga Uganda Final kwao . 1983 Kenya ikawafunga Zimbabwe Final Nairobi .
Ww mtagazaji wakike hana mana huchocheya tu kazi yke😊
Good job ladies🎉
Kumbe kenya women kwa football ni wazuri.
Mechi hii inanikumbusha Final ya Senior Challenge Cup 1981 Kenya ikiifunga Tanzania moja bila uwanja wa Taifa Dar es Salam mfungaji James Jacaranda Ouma . Timu ya Kenya ikiwa na wachezaji kina Mahmoud Abbas , Hussein Kheri , Peter Otieno Bassanga , Bobby Ogolla , Josphat Murila , Sammy Tabu , Aggrey Evayo , Wilberforce Mulamba , James Ouma , Nashon Mahila
Kenya pongezi ijapokuwa watanzania majirani wapenndeza muno
Nice to kenya
Wonderful
walikiona kweli, walijua kweli samaki harusingi reverse
Simuelewi kocha wetu,kwanini alibadilisha kikosi kilichocheza kwenye makundi??? Tukakoswakoswa na Uganda,tumekuja fungwa na Kenya! WHY CHANGE A WINNING TEAM???
Inauma lakini itabidi mzoee
We are winners mpaka kwao.ile kitu wanaeza tushinda nao ni uchawi tu
Twa TWA Twa nation ...uzito
Wao
Women football woow
wanacheza ngoma ya NASA TIBIM tanzania wametii
Wakenya 2ko juu 2sana
THIS TEAM IS THE TRUE HARAMBEE STARS. NOT STARLETS. That name diminishes their power. They are more powerful than Kenya Mens Team.
wachezaji wa kikosi cha kwanza kama watatu kwa nn wameanzia benchi
George Mtelela kama?
Na mm najiuliza ivo ivo
2021 still
WaTZ wamejaa maziwa daa!
woman soccer kenya vs men Kenya play International friendly stadium
Lakini tazania wakona game nzuri
Ini
Aisee refarii alikuwa upande wa Kenya bila kificho kabisa na alidhamiria Kenya awe bingwa
Wanacheza better than Harambee stars wanaume
Refer was not good in the final that's why Tanzanian team has became the desprined team in the tournament
What do you mean by being disprined
Ok
Tanzania vs malawi 2021
Huyu commentator anafaa viboko😂😂😂🥲