🤣🤣🤣🤣😎ety umenogewa ,, nikweli mtu anaweza kubadilika kutokana na watu weigine ,pia ni vizuri kutafakali jambo kabla ya kuchukua uamuzi ,, KAZI nzuri sana bro Dee
Mashallah natoa shukrn kwa wte walioshirik Allah awalinde n kila shari y alichokiumba n awafanyie wepesi katika kaz zenu hongeren sana nawapenda sana kwakweli
Uyu kidunda Zi mwaa mwaa c aliwasunganisha mwenyewe ssa mbn yuwashukuru sna🤣🤣🤣🤣🙌sauda jina la binty yangu lkn tabia tofauti samples imeenda swa na vitendo🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Kufa usifiwe ishi ulaumiwe atimae kidunda yuwasifiwa kwa kifo chake cha kishujaa🤣🤣🤣🤣🙌zamani nlikua nkitizama izi movie ikifikia mahala pa msiba mm nalia kwl kumbe namaliza machozi yangu na amufi kwl🤣🤣🤣🤣🙌
Mtoto ukimpenda sana na akijua unampenda sana bas mwisho wake huwa n huo
Umeona eeeeeh
Hongeren mzuri Sana
Asante Sanaa
Binamu leo ameyakanyaga mwenyewe funzo kwetu
Asante sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘😘gonga like wapili Leo ,,binamu funzo la nguvu shukurani Wana busati
Asante sanaaaa .... Najua bado ujatazama 😂😂😂 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Funzo la kisawasawa wala sio mchezo👌
Asante sana @Kulthum
@@busatitv Nia yangu niwaone live in Shaa Allah,,😅😅😅😅kwanza Mzee kamba 3
Karibu sana
Movie nzuri San
Asante sana
Very very nice merry Muhoya ❤️ ❤️ ❤️
🙏🙏🙏
mara yangu ya kwanza kuangalia hii channel yenu big up guys nimejifunza kitu adhim muende vivo hivyo mutafika mbali thumb up
Inshaallah Asante sana karibu katika group letu la WhatsApp tuwe pamoja
Mashallah Wana busati ❤️💕💞filamu nzuri yenye mafunzo
Asante Sanaa Aisha
Weeeh filamu nzuri kutoka mwanzo hadi mwisho yenye mafunzo mazuri sana kwetu
Asante saaanaa Mungu akubariki
Filamu nzuri👏👏 natamani had iendelee 💯💯
Weeeee
Naipenda sanaaaa m.barikiwe
Asante sana
Daa hii filamu nzuri sana Ina mafumbo ndani yake hibidii watu wajifunze hongereni sana kazi nzuri 💯💯🔥🔥
Asante sana kwakweli tupo kuwapa kitu roho inapenda
Hongera sana kazi nzuri ❤❤
🙏🙏
Nafurahia mafunzo mazuri sana mungu awalinde muendelee kutufunza
Oooh hongera sana
Maskin kidunda🥰 mwanamme mpole mwenye mapenz ya dhat kwa mkewe sauda weee🥲🥲
Kidunda katendwa
Filam Nzuri ongera san ❤
Asante sana
Story imetoa fundisho kwa jamii ahsanten tumejifunza
Asante sana
Mzee kamba tatu napenda sana uyu babu 😃😃😃😃😃ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤ ❤
Amin
Nitamfikisha Salam zako
@@busatitv inshallaah 😃😃😃😃😃
🙏🙏🙏
Anasema wale vijana wmefanya 😂😂😂
👏👏 LIKE THE SORY OF THE MOVIE ......OWESOME
🙏🙏🙏
Hongereni sana wana ila kidunda umenitoa chozi baba mkwe nae katiwa aubu kubwa na mwanae kwakweli mafunzo mazuri sana ❤️❤️❤️❤️
❤️❤️❤️
Pole sana, , kwa kuumizwa
Mchelea mwna kulia, kulia utalia wewe .pole sana mzee
Kabisa
Huyu kaka anapitia wakat mgum sana pole chidunda vumilia tuuu utashinda
Daaah hongera zenu jmn hakika tumepata kitu 🙏🙏
Asante
Wanangu wa BUSTA mumeweza sana ongereni kabisa. Nazitazama filamu zenu kutoka D.R.Congo
Asante sana Kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🤣🤣🤣🤣😎ety umenogewa ,, nikweli mtu anaweza kubadilika kutokana na watu weigine ,pia ni vizuri kutafakali jambo kabla ya kuchukua uamuzi ,, KAZI nzuri sana bro Dee
Asante sana, ni kweli kabisaa Mtu anaweza kubadilika
Kuna watu walal humu jamn 😱 lakn cjachelewa sana Asanten kwa Kaz nzur🙏🙏
Watu wanakesha
Umeonagewaaa eeh imekukoleaaa😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Imekukolea eeeeeh 🥰🥰🥰
good movie
🙏🙏
🙏🙏
Yasitahili hivo mana sauda kazdi sana
Umeona eeeeeh
Hongereni busati mnamovie nzuri na zinamafundisho ndani yake,nawapenda 🥰
Asante sana ... Natumahi tupo pamoja sana
Hongeren saana
Asante sana
Mashallah natoa shukrn kwa wte walioshirik Allah awalinde n kila shari y alichokiumba n awafanyie wepesi katika kaz zenu hongeren sana nawapenda sana kwakweli
Inshallah
Asante sana kwa pongezi zako nasi hatutokuangusha
Wana busati hongereni Sana filamu nzuri 🥰
Asante sana Kipenzi
Zuri sana ❤❤❤
Asante sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mzee bwana ety umenogewaaaa
Kanogewa Kutumbuizwa 😂😂😂
Kumbe nawe umeskia neno hilo 😂😂😂😂😂😂
Hahaha
Move nzuri sana inamafundisho yote hongereni Wana busat
Asanteeee @Swaumu
Jaman heri ungekuja kwangu kidunda kiliko kujiua
Inauma sana
Inauma sana
Vizuli san nimeipend
Asante sana
filamu Nzuri. Ila Kidini Ya Kiislamu Binamu Hata Wakiowana Inaswiii
Lakini siyo akatembee na Mke wa Mtu hiyo hapana kabisaaa si ruhusa
Filam nzuri Sana hongerani Sana
Asante sana
Nice movie yenye mafunzo😘😍ongereni
Asante sana Mkuu tunakubali sapot yako
Hongereni jamaniiiii💞mm Ndio yule mchelewaji.. Nawapenda sana❤️❤️
Hahaha mchelewaji tena daaah we noma
@@busatitv sindio kila siku nikija nimechelewa 🤣🤣🤣sijabahatika kuwa hata top 10 angalau
Hahaha poleeee
Nangoja sehemu ya tano ,,filamu mzuri sana
Aaaah filam imeisha bhanaaa
Hongereni 👌👌👌🙏mubarikiwe
Asante sanaaaa ubarikiwe
Sinema nzuri kweli
Asante sana
Kazi nzuri pongezi wana busati
Asante sana @Fatima
Mzee kamba Tatu hiyo kofia tu🤣🤣🤣
Alafu kaivaa kweli
Hili hakika ni funzo kubwa ktk jamii ! Binamuyo ni Dada sawa na Dada wa kuzaliwa naye! Mheshimu ila usimtamani !
Asante sana kwa Ujumbe mzuri
Shukrani saner jamani 🙏 nawapenda mpaka basi tu
Asante sana tunakupenda pia
Kazi nzuri sana hengereni💪💪💪
💪💪💪 Asante sana
Filamu imekuwa nzuri sana na yenye mafunzo tele.
Asante sana @Samuel
Funzo la Hali ya juu
Asanteee Sanaa
Wa mwanzo nipeni like zangu
Weeee hongera
Mashaalh mko vizur sana😍😍😍😍🌹🌹
Asante sanaaaa 🥰🥰🥰🥰
Movie nzuri pokeni upendo kutoka 🇰🇪 kenya
Tumeupokea kwa mikono miwili 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tunawapenda Mnooo
Wanandoa wajifunze kupitia filamu hii
Kabisaaa Wanandoa wajifunze kwenye ili
Waaaah ni kali hii
Sanaaa
Kizazi sana tulikuwa Mwa mwi
Asante sana
Hongereni xna mungu awabariki
Amina
Kazi zuri hongera
Hongereni sana
Asante sana
Ongereni sana
Asante sana
Nimependa sana hii
Songa nayo
Nawakubal sana mnafanya niwe na fatilia Kila kukicha uko gud
Asante sana Miss Mona
Duuu yaan leo nmechelewa @
Leo umepitwa ujachelewa mana tumepost jana hiyo 🤣🤣🤣
Kipira cha Maana 😂😂😂😂😂
Weeee
@@busatitv 🤣🤣🤣🤣🤣
Kidud usihuzunik mm niko nitakuja kukutoa majozi ya sauda I love u 💓 😘 😋 ❤ 🇸🇸🇸🇸🇸🇾
Karibu sanaaa hizo flag ni Nchi Gani Cali?
@@busatitv nza somallyy🥰🥰
Oooh Somalia ❤️❤️❤️
@@busatitv wee uwaa
🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 Mbona Somalia ni hii jamani @Cali
Sauda kamata taraka yako na binamu rudi mjini
🤣🤣
Film Bora sana
Asante sana
leo wa 4 🥰🥰🥰❤️
Hongera pili
@@busatitv pia nyie kwakutuletea part4 bado part5
Hiyo imeisha hapo Mpenzi jiandae kwa movie Mpya kabisa
Nduguyangu maamuzi uliyo yachukua ni magumu kweliii kidunda RIP
Hatari sana ... Mapenzi yanauma
Pongezi kubwa mno
Asanteeee
Duuh nomaaa
Hatari sana
Busati nawaaminia sana 💕💕💕
Asante sana
Marehemu kajiua😂😂😂
Hahaha Mjinga ww
Kidunda na Ba mkwe 😂😂😂😂😂
Wamekufuraisha eeeh hahahaha
Wanawake tujiangalie sana cause God's chance never comes twice
Ni kweli
Mashallah ❤❤❤❤❤
Niceeee🥰🥰🥰🥰👌👌👌🔥🔥🔥
🥰🥰
Safi sana lakini nae mzee ni pumba tu
Umeona eeeeeh
Nimependa uigizaji wenu wenye mafundisho
Asante sana
Ongereni
Asante
Funzo Kwa kweli
Nikweli
Kidunda ana moyo kweli ama hii ndo mchezo ya kuigiza maana kwa dunia ya leo loo huu msala kabisa......
Michezo ya kuigiza ambayo tunapaswa kujifunza
🤣🤣🤣🤣🤣 nimetembia nabinam
Hahaha ndio zako eeeh
Kazi nzuri
Kidunda huna bahati
Muko sawa sana
Asante sana
Kweli inamafunzo mema
Kabisaaa
Mzee utapandwa naperesha bure
Hahaha kwann?
@@busatitvmwanae mazaya
Hahaha
@@busatitv dada samhan ila hao mafuzo magi yanabid tuogee 😍🥰🤩💞
Hahaha sawaaa
Kizazi sana 🙏🙏
Asante sana Pacha
Nakamwendelezo bc kaww kanakuja hrk
Binamu Movie imeisha Mpenzi
@@busatitv ah ok sawa asante
imeweza
Yes
Uyu kidunda Zi mwaa mwaa c aliwasunganisha mwenyewe ssa mbn yuwashukuru sna🤣🤣🤣🤣🙌sauda jina la binty yangu lkn tabia tofauti samples imeenda swa na vitendo🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Mwanzo alikuwa hajui kama anampenda, amekuja kudundua baada ya kumpoteza
Kufa usifiwe ishi ulaumiwe atimae kidunda yuwasifiwa kwa kifo chake cha kishujaa🤣🤣🤣🤣🙌zamani nlikua nkitizama izi movie ikifikia mahala pa msiba mm nalia kwl kumbe namaliza machozi yangu na amufi kwl🤣🤣🤣🤣🙌
Hahahaha we ni Mjinga sana nimecheka sana @Mayasa
@@busatitv wallah nlikua nadhn mwafa ukwl kumbe mwaniliza tuh bila sababu😅😅😅
Sasa Watu wangekuwa wanakufa kweli si wangegoma kuigiza
Unakufa kwa ajili ya mapenzi hiyo ni ukumbafu kabisa
✅🤣🤣
Wa mwsho nipeni likes nilale n viatu
Hahaha heti wa Mwisho Mjinga ww @Salma hahahaha
Acha usazi🤣🤣🤣🤣
@@busatitv tumalizieni nyngne basi jaman
🤣🤣🤣 @Laida
Kesho inakuja movie Mpyaa
Very nice 🙂🙂
🙏🙏🙏
Kweri binamu
🤪🤪
Sasa mzee unashik jichwa cha nini na ww umemfokea kidunda kamuombe msamaha nimejifunza k2 gonga lik kama umejifunza kama mm,,,
Asante sana kama umejifunza kitu
Nafrahia ubunifu uliotumika umu ndan kwa kufikisha ujumbe katika jamii husika, wallahi ujumbe umesisimua na kuniongezea jambo jipya lenye manufaa akili mwangu
Daaah 🙏🙏🙏 ujembe wako umetugusa sana, natumahi tutafanya mazuri zaidi
Loh mwenzenu nimeliaaa😭😭😭😭😭
Kwann sasa?
Pole jmn ila unahaki ya kulia maan inackitisha
Ni kweli