Hear what senior dave said🥹😭after being attacked

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 554

  • @Diana-xp8yl
    @Diana-xp8yl 17 дней назад +43

    Naona dave lasima upelekwe mathare kwansa juu huyuko sawa hata kidogo,,unajificha kwa choo,then light buum ,,simu haiko silent ,sijui kama akili uko nayo ni hio tu ama kuna ingine mahali,,😢😢

    • @gracegigi2773
      @gracegigi2773 17 дней назад +1

      huyu ni Kofi sio mathare anataka

    • @akinyixtina9047
      @akinyixtina9047 17 дней назад +1

      😂😂😂😂

    • @lucyconsolata8414
      @lucyconsolata8414 17 дней назад +1

      Yaani najikuta nacheka senior Dave....bona huko kwa choo na sauti ya simu ni ile ile tu???

    • @HappinesKwamboka
      @HappinesKwamboka 16 дней назад +3

      Akh akili nayo ana ety amejificha akiongea ongea simu iko Lound enyuma bosa😂😂😂😂😂

    • @lostboy2608
      @lostboy2608 16 дней назад +1

      Ako na ujinga mingi saana

  • @veronicahnyaguthii2888
    @veronicahnyaguthii2888 16 дней назад +24

    How can you go alone surely ata hujapona ..??mimi nimeanza kuboeka na wewe dave

  • @KilandeSylvia-kn2bx
    @KilandeSylvia-kn2bx 17 дней назад +23

    God is great and protect wherever you are

    • @miskii-m6t
      @miskii-m6t 17 дней назад +1

      Amiin aamiin ya Allah 😢

  • @Humble-f7x
    @Humble-f7x 17 дней назад +13

    Woii mungu wangu saidia wenye choo wasiende leo usiku 😢😢😢alteast ifike hadi morning aki woii mungu wangu saidia watu wako dave usiwe unaenda mission peke yako pliz maadui ni wengi aki woii mungu akuzingire na azingire jay Mahali popote alipo in Jesus name 🙏🙏🙏

    • @RebeccaWekesa-q8k
      @RebeccaWekesa-q8k 16 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 gai umefanya nicheke

  • @lucywambugu651
    @lucywambugu651 16 дней назад +8

    God is good that you are well. You also need to take care of your life.May God rotect you senior.

  • @millycentmwanisa2004
    @millycentmwanisa2004 17 дней назад +17

    Sasa uko kwa wenyewe kujificha na unamulika light surely dave😂😂😂

    • @mercyongangi
      @mercyongangi 17 дней назад +1

      Ata ww unataka tucheke 2pwatwe surely 😅😅😅

    • @HappinesKwamboka
      @HappinesKwamboka 16 дней назад +3

      Imgn ata wenye poma watadhani n mwizi

    • @FaithAbucheri
      @FaithAbucheri 16 дней назад

      😅😅😅anajipatiana

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 17 дней назад +6

    MUNGU ni mwema Tumshukuru kwa kila Jambo maana anawesa anaelewa na anachua yote na hakuna jambo ngumu kwake yote yanawesekana na anastaili kila wakati kila la kheri kwenu barikiwa Sana nyote shalom

  • @TabithaMiddle
    @TabithaMiddle 17 дней назад +7

    Sometimes My hrt 💙 feels to Burst 😢😢 But since ur a God chosen he will always protect you 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 no matter what

  • @luckyrose1885
    @luckyrose1885 17 дней назад +2

    May God protect you. I love 💕 Dave for your courage. Say safe.

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 16 дней назад +2

    Thsnk u Jesus kama uko sawa......usiende peke yako Dave

  • @MarryKimaro-m9k
    @MarryKimaro-m9k 16 дней назад

    Mungu akupiganie Dave tunakupenda sana

  • @Apostlesimonmuemalive
    @Apostlesimonmuemalive 17 дней назад +5

    Senior, huko ni Kwa wakamba na ni watu roho safi. Omba msaada Kwa hio boma.
    Thanks to Jesus. Nimekuombea sana,,,wah, usiende peke yako tena. Afadhali uniite. I will volunteer myself

    • @Peshempresses24
      @Peshempresses24 16 дней назад

      ATI wakamba ni roho safi?labda wakamba wa uganda

  • @gracemuhindi5369
    @gracemuhindi5369 16 дней назад +3

    My guys niludi Kwa choo😂😂😂😂😂

    • @RechoIndeche
      @RechoIndeche 16 дней назад +1

      Ludi kwa choo lkn nataka Nickie mmetengeneza amani na Annita watu wasiingilie maisha yenu

  • @elmondenterprises
    @elmondenterprises 17 дней назад +4

    Aky devy matumbo ilikua umeenda aky waa god

  • @janewayua6412
    @janewayua6412 17 дней назад +1

    Wee hii kazi ni ngumu sana hapa ni mungu na jay atapatikana kwa jina la mungu

  • @janengethe-c4n
    @janengethe-c4n 17 дней назад +6

    Senior your joking with your life
    Even before you recover your out there by yourself!
    Remember you were rescued from 🐊 Jaws!

  • @palomashinah123
    @palomashinah123 17 дней назад +8

    Dave unaboo mbona unatembea usiku peke akili yko iko sawa kweli ama unataka dakitari😢

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry 17 дней назад +6

    Aki Senior Dave utatuua mm niliona njoo hapa nikasikia roho imeenda jameni 😢😢😢😢😢be careful na lower hiyo volume itaamusha wenyewe Mungu akulinde yawa.... Mungu wetu weeeeeee ingililia kati na Roho wako na Damu ya Yesu imfunike ndugu yetu🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏keep him safe for us

  • @MahenzoDickson
    @MahenzoDickson 17 дней назад +8

    😂😂😂😂mimi nimejikuta nacheka jamani yani huyu dave hambiliki na tena tumemwambia asiende huko ni amesetiwa lkn hakutusikia kabisaa ,pole lkn ,ila wakati mwengine ufate magizo ya mafans wako tafadhali dave❤❤

    • @kapampakamona5562
      @kapampakamona5562 16 дней назад

      Ni mjinga, anataka kuhatarisha uhai wake.

    • @MahenzoDickson
      @MahenzoDickson 16 дней назад +1

      @kapampakamona5562 n si wewe NI hondsome 😂😂sana

    • @kapampakamona5562
      @kapampakamona5562 16 дней назад +1

      @@MahenzoDickson Ndiyo ! Unataka ?

  • @nyar-1ktlq
    @nyar-1ktlq 16 дней назад

    God is good🙏🙏 aki sikulala wooiye pole Dave and be careful Mungu azidi kukufunika

  • @margaretmuema
    @margaretmuema 17 дней назад +1

    Ak Mungu akulinde,na alindeJayk wherever he is

  • @perismukami4962
    @perismukami4962 16 дней назад

    Senior Dave May God protect you always. Next time make sure you're not alone. Favor of God be upon you. Dci Fred is worried about you Dave. Please take care.Thanks.

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 16 дней назад

    Wah thank God dave if uko fine nimesumbuka aki mungu wa protect kila mpja wenu mnapo okolea jay 🙏

  • @MaryMargret-by1cz
    @MaryMargret-by1cz 17 дней назад +3

    May God protect u and cover u with his precious blood

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 15 дней назад

    Uliendaje bila backup😢😢😢yet bafo huko sawa Mungu awaongoze na awalinde

  • @Blessed7799
    @Blessed7799 16 дней назад +2

    Aki senior, you're very funny....Seriously unajua kile unachofanya

  • @MwaeMwailemi-pi9bg
    @MwaeMwailemi-pi9bg 16 дней назад

    Aki dave mungu akulinde

  • @LydiahMoraa-z4u
    @LydiahMoraa-z4u 17 дней назад +1

    Aky mungu awalinde kwa hii kazi mnafanya🙏🙏🙏

  • @HussainDaole
    @HussainDaole 16 дней назад +3

    Kifo inakutafuta chunga Dave.dont risk without back up again pls.

  • @sarahwambui625
    @sarahwambui625 17 дней назад +2

    Dave take care of yourself please God protect you

  • @ShallomAmugune-gd8yg
    @ShallomAmugune-gd8yg 16 дней назад +1

    May God protect you SD

  • @TayvionOuma
    @TayvionOuma 17 дней назад +2

    Zima location plz,, thn keep the 4n sylent nautulie hapo hady kupambazuke bro,, May Our Luvly and Protective God protect uuuu till kupambazuke plz aky,, twakuombea saanaa bro,, be Blessed

  • @EstherNgute-f9l
    @EstherNgute-f9l 17 дней назад +3

    Senior dave plz tunakupeda sana usiede peke yako kwa hio mission plz😅😅

  • @marymutavi
    @marymutavi 17 дней назад +2

    Dave ww hueleweki na hii kupea watu stres si poa,hujali na maisha yako mpaka mtu halali juu yako na ww uko tu kujie xpose kwa danger

  • @Jollyboy-j1e
    @Jollyboy-j1e 16 дней назад +1

    Dave acha kucheza na maisha, God help those who help themselves y move alone

  • @Kamum-w2b
    @Kamum-w2b 16 дней назад +1

    Amen 🙏🙏🙏
    May God protect you and Jay always ❤😇😇

  • @jacquelinemalobawande7156
    @jacquelinemalobawande7156 17 дней назад +2

    DCI FRED ANASEMA AMETUMA ASKARI WAKUCHUKUEONGEA NA YEYE AKUELEKEZE. PLEASE

  • @AsnathMtamila
    @AsnathMtamila 16 дней назад

    Kaka dave kuwa makin tunakupenda sana❤❤❤❤

  • @everlineeverlinewamalwa243
    @everlineeverlinewamalwa243 17 дней назад

    Ee mungu wetu uliye juu mbinguni, mbona hivi tena kwa siniour Dave, please God protect him in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 16 дней назад +1

    Wewe ni mjingaa sana wacha ujingaa sema tu your save hatutachanga pesa tena umenisinya ,you can't go mission allone unanibooo akiii jesus

  • @PurityLove-g9b
    @PurityLove-g9b 17 дней назад +1

    Lkn sd mungu akupenda aky n siend peke yak

  • @dominicmosoti9654
    @dominicmosoti9654 17 дней назад +1

    Pole san bro gud job God bless you so 🙏

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v 16 дней назад

    😂😂😂😂😂uzuri hakuna mmbwa

  • @MARYAMSHABAN-l5w
    @MARYAMSHABAN-l5w 16 дней назад

    Nikweli mungu anakupenda ana atakulinda na magaidi wote

  • @karemiteresia859
    @karemiteresia859 16 дней назад

    God is good your protected by his blood 🙏🙏

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 16 дней назад

    Truek is safe wherever he is,God hawezi kubali aumizwe vile alialijitoa kukuokoa

  • @MoureenGesare-u7j
    @MoureenGesare-u7j 17 дней назад

    Niliumwa a tumbo sana SD aki be protect 🙏

  • @ConsolataWanjiru-n7z
    @ConsolataWanjiru-n7z 16 дней назад +2

    Dave hata hujapona aki😭😭😭 mbona Sasa mungu hurumia senior Dave na watu wake

  • @lydia2696
    @lydia2696 17 дней назад +1

    Mungu awafunike na damu ya yesu kristo

  • @damarykweyu1455
    @damarykweyu1455 17 дней назад

    may God protect you aki usiwe unatembea peke yako usiku dave fornthe sake of ur life. penye umetoka ni mbali dave bado tunakuitaji.

  • @EdnahMonger
    @EdnahMonger 16 дней назад

    Aky woiye Devee unayapitia lakini everything happen in God

  • @erickstano625
    @erickstano625 14 дней назад

    Wewe uko na mchezo sna sd be careful maisha ni yako skiza mawaidha ya dci.

  • @TeresaMbaire-m8e
    @TeresaMbaire-m8e 17 дней назад +1

    God is with you, put vibration n off the light

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 17 дней назад +1

    Mungu akulinde ata haujapata nguvu vzr Akk.

  • @maryndungu6048
    @maryndungu6048 16 дней назад +1

    Where is Frederick? You need a guard though. May the Lord protect you.

  • @SamuelMacharia-e3u
    @SamuelMacharia-e3u 16 дней назад

    Mchana ukiongea after church ulisema uko na shida ya kifua saa hii kifua iko wazi...
    Dci Fred ndie alikusaindia saa hii hutaki kuchukua simu zake..
    Less than a week after you been kidnapped your same friend taken to the same forest...
    It's a nice movie.
    Am now almost to believe in annita this was pure acting

    • @AdrineTwongirwe
      @AdrineTwongirwe 16 дней назад

      Even me am ready confused and i want to cut my self from these confused channels because they stressed me a lot and yet they are comedians and i no longer believe in them apart from Riaga

  • @shiroliz8627
    @shiroliz8627 17 дней назад

    Usiende pekee dave plz lazima ukuwe na security dave😢😢😢😢😢😢😢

  • @HarrietWawira-s3x
    @HarrietWawira-s3x 16 дней назад

    Dave Mungu Ako nawe usijali

  • @joyceonsongo7286
    @joyceonsongo7286 17 дней назад +1

    Wenyewe wakikom choo itakuaje akh mungu akulinde

  • @trypheanamaaluvu-sy7nt
    @trypheanamaaluvu-sy7nt 16 дней назад +1

    Mungu akulinde na usiende pekee yako plz

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 16 дней назад +1

    Your security is very important....

  • @siliviaDali
    @siliviaDali 16 дней назад +2

    Huyu anafaa achangiwe apelekwe mathare😂😂mana waah

  • @RuthMacharia-p1o
    @RuthMacharia-p1o 17 дней назад +1

    May God protect you in Jesus mighty name

  • @wilfredkimindiri5187
    @wilfredkimindiri5187 16 дней назад

    Waaah pole , may God protect you brother

  • @marybae7565
    @marybae7565 17 дней назад

    Baba usisahao jay mungu awalide pamoja na team zao in Jesus name 🙏

  • @syombuamaingi4784
    @syombuamaingi4784 16 дней назад +1

    Senior Dave please talk to Fred, akupe the advice on what to do NEXT

  • @JustineNasambu-y5k
    @JustineNasambu-y5k 16 дней назад

    Hatuna la kusema lkn mungu akuongose ju hijo n kibali ambajo umepewa na mungu akutie ngufu na uponyaji na yote yawesekane kwa uweso wake🙏🙏🙏

  • @shiroliz8627
    @shiroliz8627 17 дней назад +2

    Walimusika true k ndio wapate jia ya kukushika dave

  • @Dorothy-g2z
    @Dorothy-g2z 17 дней назад +1

    Senior wee lala hapo usitoke

  • @CelestineMueni-s4q
    @CelestineMueni-s4q 16 дней назад

    Aki Dave Mimi sija lala usiku yote nikifikiria mahali huko.but Our God is watch you .

  • @cynthiaombongi
    @cynthiaombongi 17 дней назад +3

    Be careful pia hao waneza kukutruck na simu ya true k .
    Take care sd

  • @Mercywambuimercywambui
    @Mercywambuimercywambui 16 дней назад

    Haki Dave imechizi wewe😂😂😂

  • @khadijanzunda854
    @khadijanzunda854 17 дней назад

    Mungu awalinde awaepushe na mabaya Dam ya Yesu kristo imuzingile jay popote alipo

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 17 дней назад +1

    Mungu akulinde na alinde True k pia 😢

  • @damariskimaiga364
    @damariskimaiga364 17 дней назад +2

    My son Dave may God protect you be strong and courageous nothing bad will happen for you and where is your bible? Anyway be covered by the blood of Jesus.

  • @umutesiodette2910
    @umutesiodette2910 16 дней назад +1

    Mungu ni mwema

  • @mercyngombe47
    @mercyngombe47 17 дней назад

    Senior Dave stop kutembea pekeako kwa mission km hio it's very dangerous, toa sauti ya cmu na uzime location , mungu akulinde na alinde director jay wherever he his

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v 16 дней назад

    Aki Mimi nilijaribu kulala nashidwa. God is good am happy to see you . Pliz Dave take care coz you have more enemies and stop driving alone have two strong man as your backup.

    • @RushRash
      @RushRash 16 дней назад

      Eti Ulijaribu Kulala Ukashindwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @jacintamumbi-c6v
      @jacintamumbi-c6v 16 дней назад

      @RushRash 😂😂😂😂😂😂mpaka nilikua nasema sitawai ingia RUclips

    • @RushRash
      @RushRash 16 дней назад

      @@jacintamumbi-c6v Lakini Mbona Mimi Najiuliza Hii Mission Mbona Anafanya Pekee Yake

  • @Teamseniordave
    @Teamseniordave 17 дней назад +1

    We are praying 🙏 for you

  • @margretmwongera2411
    @margretmwongera2411 16 дней назад

    Niseme nini Mungu.Why alone😢😢😢.God. .....

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 16 дней назад

    But senior surely unaendaje mwenyewe be careful usiende bila usaidiI wa DCI

  • @DamarisMasimane
    @DamarisMasimane 16 дней назад

    Senior Dave,ww mungu akulinde only God knows who you're , may Jesus cover you with his blood,,,,

  • @sabinamukonyo6518
    @sabinamukonyo6518 16 дней назад

    Ahsante mungu

  • @patricianyambeki1552
    @patricianyambeki1552 17 дней назад

    Ghai SD mungu akulinde maali upo aki

  • @luciamwikali3616
    @luciamwikali3616 17 дней назад +5

    David .take care of yourself ,

  • @deogratiaskarugendo9864
    @deogratiaskarugendo9864 16 дней назад +1

    Aki Dave DCI Fred akikumata atakuchapa makofi! Akili zako na Champee ziko sawa😄😄😄

    • @isabellaimbaya8418
      @isabellaimbaya8418 16 дней назад

      𝙆𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙥𝙚𝙚 𝙞𝙢𝙖𝙜𝙞𝙣𝙚😂😂𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙬𝙖 5 𝙮𝙚𝙖𝙧𝙨 𝙖𝙣𝙖𝙢𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙖😂

  • @judygichia5495
    @judygichia5495 17 дней назад +1

    Waahh huyu hanjipedi 😢😢

  • @JeannetteBiwaga-qy9yt
    @JeannetteBiwaga-qy9yt 16 дней назад

    Senior Dave tafazali umerogwa ao ni Nini? Jamani si ungelienda hâta nawatu wakukusaidia jamani !

  • @murilashivoni4098
    @murilashivoni4098 16 дней назад

    😭😭😭😭be careful dave plz mungu akulinde cjalala mm najiuliza ikue tena kama yenye tuliona pole sana

  • @annmuthoni-k7q
    @annmuthoni-k7q 17 дней назад

    I thank God you're safe,wewe lala huko choo utoke safe morning

  • @Mkhembi
    @Mkhembi 17 дней назад +3

    Na dave mtu akikuja kwa choo Alf akupata hapa ndani utafanya aje pole sana

  • @StellahMgeni
    @StellahMgeni 16 дней назад

    God is good, and God loves you.

  • @gladyskavinya
    @gladyskavinya 17 дней назад +1

    Please senior afadhali uite dci freddie pliz its risky na bado haujapona. We pray for your safety and protection

  • @cheronoJoyce-w6v
    @cheronoJoyce-w6v 17 дней назад +1

    God be with you

  • @margaretmuema
    @margaretmuema 16 дней назад

    Mungu anakupenda sana,bt wacha kumjaribu, ak,,,mbona uende forest alone?

  • @EdithWanja-zj9ry
    @EdithWanja-zj9ry 16 дней назад

    Wee Senior Dave unaeza Fanya mtu acheke. unaeza enda mission aje usiku bila DCI Fred. Lala hapo Kwa choo, usi risk tena. Huyo gaidi anakutafuta kwenye umejificha.Itabidi utulie hapo 😮

  • @konekone8045
    @konekone8045 17 дней назад

    Mungu akulinde popote ulipo

  • @kamoingannah9226
    @kamoingannah9226 17 дней назад +1

    Free advice senior Dave tembea na Freddie pamoja na mwingine. Do not tempt God. Going to save anyone requires proper planning and adequate security and enough finances and strong transportation.

    • @marymutavi
      @marymutavi 17 дней назад

      kabisa hii yake imezidi mpaka bibi yake anasema ni acting watu wanaeza ona ni acting ya ukweli.ona ako kwa choo ya wenywewe na simu iko loud,aki sielewi nq venye naheshim Dave kwa kazi nzuri Hua anafanya kuokoa watu.

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 17 дней назад +1

    weka simu vibrration aki

  • @rosemuia
    @rosemuia 16 дней назад +1

    My GOD help senior dave ❤❤❤