TAZAMA WAPENDANAO WANAVOINGIA HOLINI KWA STYLE YA KIPEKEE WAPENDEZA MASHALLAH WAALIKWA WOTE HOIII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 24

  • @lisaestach7626
    @lisaestach7626 2 года назад +1

    Hii kweli team wapendanao mm nakuombeni Allah akuekeeni group lenu nazidi kupendana ivyo ivyo ❤❤❤❤💚❤❤

  • @cylivianafuna8779
    @cylivianafuna8779 2 года назад

    Yaan sikuhz tarabu zinafanywa qaswida allah tuongoze .naharib kizazi kijacho mtume ajakata qaswida lakn syi kama hz zakwenu mnatia aibu sana umma huu

  • @FatmaSeif-zi7tf
    @FatmaSeif-zi7tf 9 месяцев назад

    Pambeee masha allha upo vzr dada nice love💋💋💋💋💋

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Месяц назад

    Nikiyaona mambo haya kila siku namkumbuka marehem sheikh nyundo Mungu amrehem ... taarabu na mnanda mtu na shangaz yake. Tusijidanganye. Turud kwa Mungu waja. Iblisi yupo kazin kutupoteza wallah

  • @asmahchongoe1117
    @asmahchongoe1117 9 месяцев назад

    Ukhty ni jina moja taam sana ila mh mh mh tumuachie Allah

  • @aishaabdullah-bk9co
    @aishaabdullah-bk9co Год назад

    Ukhty Mamu nakupenda sana saut yko pambe mashallah

  • @fatmajnaed217
    @fatmajnaed217 11 месяцев назад

    Hii ni kasida au tarabu Subhanallah 😢 mutambue tu uharamu wa nyimbo isiwe kasida ni kisingizio Allah atuhifadhi na shari za shaitwani

  • @zamzammohamed9110
    @zamzammohamed9110 2 года назад +1

    Muimbaj umeharibu kichw chako icho nywel nje unafany waziwo wapew ila mbay n wao

  • @fatumajuma4679
    @fatumajuma4679 2 года назад

    Inapendeza💓

  • @mudarisuburhan7182
    @mudarisuburhan7182 2 года назад +3

    Qaswida mziki tu wa taaraabu Allah atawachoma moto

  • @SaidOmar-p1y
    @SaidOmar-p1y Месяц назад

    Twalibina madrasat nayi pia mnapongeza nyimbo twalibina ya wp

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 года назад +2

    Mumbai jistiri kichwa icho, musiwaije waalikwa , nyinyi ndo mfano kwajamii, hata waalikwa wakija nachupi tupu hupaswi kuwaiga mama

  • @sleymankhatib4440
    @sleymankhatib4440 2 года назад +1

    Me nimependa iyo mishono yenu tu mizuri

  • @munamuna4840
    @munamuna4840 2 года назад

    Shuhuli pambe💪💃💃💃wapendanao wamependeza mno💋💋

  • @rizkissjuma1818
    @rizkissjuma1818 2 года назад

    Kweli hiyo inabamaba

  • @MC-MUNYE
    @MC-MUNYE 2 года назад

    Nawasema endeleyeni msirudi nyuma

  • @hajiabdalla9714
    @hajiabdalla9714 2 года назад

    Kwani hao si masika famili

  • @sharifaathumani6019
    @sharifaathumani6019 Год назад

    Muimbaji ni nani waitwa hawa

  • @normie2022
    @normie2022 2 года назад +1

    PЯӨMӨƧM

  • @abdurahmanhamid7454
    @abdurahmanhamid7454 2 года назад

    Pembe ila tusisahau dini yetu jamom

  • @drayamochannel12
    @drayamochannel12 2 года назад

    Al madrasat Twalbina inawapongez
    ruclips.net/video/us1fd5U3sXI/видео.html