machozi yanitoka jaman mungu MPE lowasa maisha marefu yenye afya njema sana tunamhitaji awe raisi wetu tunampenda sana eee mungu ingilia katikati baba wa mbinguni unajua uhitaji wa mioyo yetu kwa lowasa
kipenzi cha watu kwer kwer sio kiki na uoga kujifanya wanampenda ir wapate uhakik wa maisha lowasa kipenzi chetu toka moyoni ni mzuri wa sura ad matendo maana sura za akina idiamini duh!! mambo yanakua ni kama idiamini!! ahahahaha sijamtaja mtu mie
Hassan Masoud ni mwizi rowosa je angekuwa ccm mgemteua? mbona hakupita kipindi cha kikwete ktk kura za maoni? ndio maana mmenyimwa misaada ya maafa ya njaa na tetemeko. huyo ni km mrema ni com hamjui tu
Michael Jonas ana roho mbaya alimtongoza mama yako akakataliwa au roho mbaya yake inaijia wapi na kama unapenda starehe kazi hutaki utamuona kweli ana roho mbaya
Hassan Mirambo ww jamaa nadhan hujielew huwend mama ako ndo anatembea nahuyo aliye tajwa na ndo maana unamtetea kifara bila kuw na hoja za point bali kutukan huwend ww binafsi hat baba ako humjui boya ww kenge ya maji
Nabarikiwaa sanaa hii nyimbo 2021 tujuane
RIP Lowassa😭😭😭😭 Tutakukumbuka daima Mzee wa Matumaini! Mabadiliko Lowassa😭
Daa nimekumbuka Mbali Sana hakika mzee you didn't diserve to betray Tanzanians now ulikuwa na nafasi kubwa
😊
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana jinsi UKAWA chini ya Lowasa ilivyokuwa umejipanga kuchukua Nchi. Kwa kweli historia hii haiwezi kusahaulika
unanikomba huo wimbo tutakuwa tunakumbukia tu mchakato wetu mungu ampe maisha marefu
jamani mi nimekuja kusikiliza hu wimbo naupenda japokua tulifeli
I love.chadema
machozi yanitoka jaman mungu MPE lowasa maisha marefu yenye afya njema sana tunamhitaji awe raisi wetu tunampenda sana eee mungu ingilia katikati baba wa mbinguni unajua uhitaji wa mioyo yetu kwa lowasa
Inapendaze sana. Inauma but poa. Viva Lowassa. Ulipo tupo
wimbo huu unanikumbuxa kipindi Niko Karagwe niliacha kazi nikaenda Katanga kumuona lowassa
Nabarikiwa sana na wimbo huu
lowasa tunakukubali na tunakutakia maisha marefu yenye baraka
nimefarijika sana huyu ndie rais 2020
lowasa ubarikiwe mzee
Daaah leo nakumbuka mbali sana kwa kwel imani yangu kwa lowassa bado ipo palepale
Abdoul Painite Lowassa hao tibiim 2020 Ukawa ndani ndani kabisa twende state house tialala🇰🇪
nakukubali lowassa
poa sana Mungu ainuliwe Lowassa
Lowasa is the greatest politician ..
With very great influence
daaah nimekumbuka mbali sana ingekuwa tukashinda njee ya CCM asee
Nime mwona lisu mkali wao
Let's go camp go go go go go go once agina plz plz 2025 is around makamanda
Hii ngoma Lowassa alicheza, Yaaani hapa Mungu alicheza kunipatia chama hiki, Let our dream become true.
Dominique Bubeshi
lowasa huyooooo Hahaaaaaaaaa rais wetu ni lowasa huyoooooo
Aliimba nan huu wimbo jmn?
Iko kopo sana nimeipenda
Nahisi Kuna kitu hakipo sawa kwangu sjui kwann mpka machozi yamenitoka
2015 to 2020 just imagine if 2015 he is stund lisu
lowasaaa juuuu
Pumzika kwa amani baba yetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hapo ndonajuaga CCM bila dola hakuna kitu kabisa mavi kabisa
2024 nimerudi tena 😢😢😢
Dah
busara na hekima ni chemichemi katika taifa
Atasubiri sana!
kipenzi cha watu kwer kwer sio kiki na uoga kujifanya wanampenda ir wapate uhakik wa maisha lowasa kipenzi chetu toka moyoni ni mzuri wa sura ad matendo maana sura za akina idiamini duh!! mambo yanakua ni kama idiamini!! ahahahaha sijamtaja mtu mie
Jaman jaman wacheni tuu
Nikikumbuka hadi natoa mchozi
hakika huyu ndo rais wa mioyo
LADSON MSHANA Ukawa ndani 2020.
Huyu kidogo aliitikisa ccm lakn huyu kenge eti makamu mwenyekiti Chadema hovyo kabisa!
Hayati Komba kwa nyimbo za kampeni alikuwa ni noma
hahahaaaa lowasa huyoooo eeeee hahaaaa amis sana lowasa wetu huyooooooo
IKO POA SANA
Alie imba amuandalie na tundu lisu
lowasa huyooooo hhaaaaaa huyoooo tanzania hyoooo ya Tanzania hahaaa
lowassa huyooooooo! anakuja
Hassan Masoud ni mwizi rowosa je angekuwa ccm mgemteua? mbona hakupita kipindi cha kikwete ktk kura za maoni? ndio maana mmenyimwa misaada ya maafa ya njaa na tetemeko. huyo ni km mrema ni com hamjui tu
Teh teh teh ....subir jipu hilo
nampenda sana lowasa mungu amuweke kpenzi chawatu
bado na matumaini na mzee Lowassa 2020 sio mbali
Siegfried David gwanda kavaa moyoni
Siegfried David Ukawa ndani 2020.
Mwimbaji wake ni nan et
Mungu ampe maixha marefu
@@kelvinchuwa6405 amen kamanda now twendeni na Tundu Antiphas Lissu Panapo majaaliwa Tarehe 28/10/2020
wananikumbusha wakati wakati wa kampeni
Zihad Hassan Lowassa tibiim. Wakenya wasema Lowassa hao ndani ndani kabisa.🇰🇪
mi mpaka Leo ukiniuliza raisi wa nchi yako n nami nitasema lowassa
R.I.P Mwamba umelala😢
ARAFU mwizi SEMA watanzania wamesha sahu.irondio.tatizo.ra.sisi.watanzania.watakubuka.badaye.mirioni .100 kwasiku mdawamiaka Kumi wawo hawarioni nasema bay.bay oky
inagusa na kusisimua sana but leo sio jana 2020 umepata baba
Obedy Layzer lisu ndierais wetu 2020
Duuu yani mpaka nimetokwa na chozi maana huyu ndie alikuwa rais Wangu mpaka nife ndie rais wangu
sarah alex duuuu
hata mm yan mpk nife lowassa ndo rais wangu
sitakaa nisahau dah ila , ccm nawachukia mpk basi ,ipo ck lowasa atakuja kutawala ila naumia sana ,hili li magu silipendi linaroho mbaya sana
Michael Jonas ana roho mbaya alimtongoza mama yako akakataliwa au roho mbaya yake inaijia wapi na kama unapenda starehe kazi hutaki utamuona kweli ana roho mbaya
Hassan Mirambo ww jamaa nadhan hujielew huwend mama ako ndo anatembea nahuyo aliye tajwa na ndo maana unamtetea kifara bila kuw na hoja za point bali kutukan huwend ww binafsi hat baba ako humjui boya ww kenge ya maji
frank michel vp
Mbona hiyo gwanda wanayoimba amevaa siioni! Mtasubiri sanaaaa!
utajibeba
mafisadi utayajuaty
Kwa kweli ulitabili
Jamani naomba kujua mwimbaji wa wimbo huu
yani kwahuyo tunge luka mkojo nakukanyaga mavi ila kwasababu tuu tulishaichoka ccm hapo sawa
imetulia ila m ungu yupo2020
Uyo kama uraisi agepata.kitambo sema tatizo.ni.mbaguzi.ndio.kinacho mfanya.asipate.uraisi irondio rinaromkwa.misha yeye arioni
your chance still exisist
Haya nayo yalipita
Had I machozi nikikumbuka
natamani 2020 ifike kexo
Abubakary Mohammed kura yako utampa nani
Hahaha
Rest in peace capitano Lowasa 💪💪
bado nina iman na lowasa had kesho imenikumbusha mbali. sana kipindi niko kondoa
amekuaihidi nini uyo lowassa ?
..
2020 umri utakuwa umemtupa mkono sana ingawa bado tunamwitaji.
had mwaka 2020 umri wake utakuwa wa kupumzika na familia nyumbn
jaman had Leo me cjamfahamu alo2nga huu wimbo ebu nisaidieni
umepata 2020 labda waibe tena
Naftary Kewe kweli lkn ila ningependa wamuweke lisu yani sipati picha itakuwaje
Fidel Castro
HIVI KA STYLE HII CCM WANAVYOIFANYIA TANZANIA POLITICAL LIEDER I AM SADDDD
kama ingekuwa sio ujinga wa watu waliopewa dhamana ya kusimamia haki kwenye hii nchi tungepata rais makini mh. Lowasa
Lowasa is the greatest politician ..
With very great influence
Mbona hiyo gwanda wanayoimba amevaa siioni! Mtasubiri sanaaaa!
Sawa ila mwenzako anakwambia mbere kwa mbere