IMBA KWA AKILI song swahili version by the holy singers
HTML-код
- Опубликовано: 3 дек 2024
- Disclaimer : This content has been put in order to announce the songs of gospel artists and we do not put official videos, we put performances on religious efforts under the Sabbath church (sda) with the aim of spreading the gospel through RUclips ©Yomy studios
#gospel #music #sda #gospel #trending
Mungu awabariki sana kazi ya mikono yenu❤❤❤❤❤
Mbarikiwe wimbo mzur saut zimetulia safi sana
Ametupatia utashi,ufahamu navyo vipaji tuvitumie tumtumikie tungali tunazo nguvu....Amina,mbarikiwe.....its a nice song
Amen yes imba ungali bado una nguvu, mungu awabariki Sana the holy singers
Ujumbe mzuri sauti nzuri Mungu azidi kuwatumia ktk makusudi yake.🙏
Amen nimebarikiwa sana na uimbaji wenu
Always exited hearing such best and loving songs👍😜happy Sabbath 🤩🌹
Kazi nzuri kweli,Mungu azidi kuwapa maarifa ile muendelee kuhubiri neno ili la kristo mkombozi wetu
Awesome, I also like your outfits ie ladies🇰🇪❤️
I would like to say thanks for the best one video which contain a lot of the Jesus teching to his people living in the world.
Be blessed all of them
Ujumbe nimeupenda mbalikiwe Sana Watu Wa Mungu
Duuuuuuu Hongeren Sana mko vzur mtukuzen Mungu Kwel ila Nimewamic hatareeee duuu mmekua Kwel
Bwana awabariki sana,
Dumuni ktk utume
kazi nzur vijana mbarikiwe
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe Vijana wa Yesu
you do bless me may u continue serving God
mnapatikana wap ndugu zanguniiii
Mwanza mkuu
I'm adding you guys to my list, best choir, good message there, muendelee na moyo huo huo
Amina. wimbo unaotangaza injili, nimependa hii kwaya, Mungu awabariki zaidi
Wimbo umetulia, hauna mbwembwe nyingi, mbarikiwe
Tambukwa Kudra muito lindo
mbarikiwe jmn na Bwana kwakwel nmesogea karbu na uwepo wa bwana
imba kwa akili...
ujumbe mzuri sana
Who are there "MSANII RECORDS" people? I should absolutely INVEST with them - they produce such beautiful songs around the country!
Ahsant sana kwa ujumbe mzuri
Wonderful song , good voices you bless me , God bless u
amina wapendw ktk bwan tukutane paradco
Aminaa karbun sana tarehe 18/11tutuakuwa tunazindua album yetu ya pili krbn sana kwa maelezo zaidi 0753 155151
Just awesome!
Mbarikiwe wote
So nice
Be blessed Ellen paul
Amen 🙏
Hakiki tuimbe kwa hakili
The song is nice👍👍
Penda sana
Amen be blessed
I love this version too
Mbona natafuta audio sioni jaman
nice song
mbalikiwe
Audio zinapatikana vp jmn😩😩
Ts nice
Nice song
Amina
nice
amina mwende mbali
Amen
Pelynemontana hi song Ni Poa Sana, naskia Kma Roho yangu inakuja karibu
Krb saana
Very very nice hymn
Pouwa kabixa jaman mungu awe nanyi
Amen
amina mwende mbali
Amina