Alhamdulilahi namshukuru Mungu. Mungu awazidishiye Mashekhe wetu wote kwa kutuongoza. Ila Shekhe Salum napenda sana mawaidha yake yananipa faraja kubwa ya uchambuzi wake mana nafurahi sana ukimsikiliza hata ukiwa na matatizo njaa au tafrani inatoka..Mungu amzidishiye umri kwa wote.
MashaAllah... kipindi ni kizuri sana, tunaomba kiwe endelevu. Sheikh nauliza naomba kufahamishwa utaratibu na masharti ya kumsomea mtoto kisomo cha "hakika" na ni yupi ni mnyama bora kuchinja hakika kati ya kondoo na mbuzi?

Allahumma amiin
Mashallah tabaraka llah 🥰
Mashallah Tabarakallah
Jazakaallah sheikh mubarikiwe inshaallah
Mashallah
Mashaallah Sheikh Salum kwa short and clear answer hutafuni maneno🙏🏼
Masha Allah sheikh you answer our questions accurately insha Allah grant you more knowledge
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatu mimi nimeitisha talaka sasa huko kukaa eda alafu itoke ananitaka kimwili nimkatae inamaana nina dhambi
Salallahu Alaihi Wasalamu
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa mafundisho mazuri
Naomba kufahamu salaamu aleikumu upande wa wanaume wengi na wanawake wengu
Naomba kufahamu namna ya kutoa salaamu aleikumu upande wa wanaume wengi na wanawake wengi
Mashaallah sheikhe salum na watamaman Allah akulipeni kheri nyingi pamoja na koo mzima ya zinjibar Tv
Mashaallah shukran
ManshaAllah nafurahi kwamajibu mazuri.
Mashallah
MashaAllah... kipindi ni kizuri sana, tunaomba kiwe endelevu. Sheikh nauliza naomba kufahamishwa utaratibu na masharti ya kumsomea mtoto kisomo cha "hakika" na ni yupi ni mnyama bora kuchinja hakika kati ya kondoo na mbuzi?
😷tunakosa live kuuliza maswali Shukran tumefaidi na tulicho pata Allah awalipeni kher wote اميييييييييييييييبن اللهم امين
Allah humma amin ukhty zayyati
Zenjibar tv online hakika hii ni FAHARI ya Zanzibar
naam
ruclips.net/video/gDJgVM-Gez0/видео.html kwa mafunzo mbalimbali pia ya kidini gusa link hio na mungu awabaarik nyote.
Kwanini makafiri hawaamini Kama mungu yupo
Kwanini makafiri hawaamini Kama mungu yupo
,
Kuweka meno ya bandia ni haramu au sio haramu
Naomba kufahamu salaamu aleikumu upande wa wanaume wengi na wanawake wengu