Hii muvi inasisimua sana hasa wale ambao wenzi wetu walipata matatizo kama niliyoyaona kwa kp , nawaombea kila mmoja aendelee kusimama na mungu kwan ipo siku atawaponya
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kp unapendeza kuigizq kama teja yaani yakwenye planiB ilibamba sana ila ku igizachizi naona kama😢ola good job my brother na family ya KP WAQINO
KP 🎉🎉🎉 naomba nafasi ya kushorti movie 🎥 mmi Niko Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakubali swa na Kam unataka ujuwe mm Niko na movie zenye nilikuwa na short movie Saching umoja 2media utaona movie zagu pls🎉🎉🎉🎉
Namjua sana kisai mmm. Huyo ni yeye kufanya haya yote. Kumfanyia kp vibaya na kuandika barua. Anae kubaliana na mm gonga like hapa
Kabsa
@@IreenSangaHuyu kisai Ni mbaya sana
Title ya hii series ilifaa iitwe Cain and Abel
Kumbe unamjua
Haipingwi kbs
Mimi hapa wa kwanza kuitizama hii ep ya 2,ebu nipeni likes basi kama mnanipenda na kama mnapenda kazi za KP wa Aqwino
Sasa likes mnapeleka wapi 🤣 angalia movie naucoment kitu ya maana
Tatizo hawaelewi
Aise iyi movie kali sana kabisa najuwa kp aja wayi kuni angusha nanjo mana na Sema wewe ni fighter kama una kubali gonga like
Kazi nzuri ila naona kisai,ndio katuma hao watu wampige kp wenye wanakubaliana na mmi wagonge hapa
Zebu wapi sijamwona
Wangapi tulijua huu.mchongo.kaucheza.kisai
Sasa lijinga lile
N yeye kabsaa
Mm ctaki kisai aoe norah
Tupo hapa
Kweli kaucheza ila hatofanyikiwa
Leo nimekuwa wa kwanza kutoka burundi tunawapenda sana 🎉🎉😂😂❤ like zenu nazitaka
You
Mnapendeza watching from Kenya 🇰🇪
Hii muvi inasisimua sana hasa wale ambao wenzi wetu walipata matatizo kama niliyoyaona kwa kp , nawaombea kila mmoja aendelee kusimama na mungu kwan ipo siku atawaponya
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kp unapendeza kuigizq kama teja yaani yakwenye planiB ilibamba sana ila ku igizachizi naona kama😢ola good job my brother na family ya KP WAQINO
Nawapenada sana jaman kwann mumewatoa likoma na dimboz maan walikuwa wananipa furaha san wanao ugana nam watupo like zao
Big up kwa wote ambao muda huu macho yetu ya kwenye ALBASTINI ❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
Haha 😂 cheusi uyo hy
Cheus midea mwenyew🎉🎉
Waoooww nilikuwa nikichungulia kila siku je imetokaa, so now Sasa nikae mkao wakukaa 💪💪🥰🥰🥰🥰
Wakwanza Mimi kutoka dsm naomba like zangu jamanii❤
Kuna mahali mmetupiga bhn kp aliokotwa msituni bila viatu miguuni sasa viatu vimetokea wapi tena kwenye uchizi kp hapana 😂😂😂
Wangapi wanagoma kp atoke kweny hii position anyocheza
Kweli kabisa
yeah haimfai
Mimi cjapenda haimfai kabixa
Hadi nakosa hamu yakuangalia
Muvi bado changa
mwamba wawe fundi kazi zulisana nibaraaaaaaaaaaa
Kazi zuri sana mungu wape nguvu na uzima 🙏🙏ili mweendelee
From malawi niko na Team Kp na Zebuu kwenye kila movie nawapenda jamani kama amalawi tupo wengi kwenye team Kp basii naombeni like zangu ❤❤❤🎉🎉🎉
Mashallah kp na tm yako yote🎉🎉🎉🎉 mungu awaongoze ishaallah🎉🎉❤❤❤
Kp dondosha episode ya tatu Fasta
Nakubali sana kazi yako
Ila kisai ni moyo wake huo ama kuigiza tu
Ketta jaman mpaka move ikaishee umepigwa sana na baba ako😂😂😂😂
Mungu awape afya na maisha marefu na familia zenu
Mnajitahidi sana ktk kutengeneza stori zenye ubunifu ❤ Huyu mdada mpya anayemsaidia KP kakava vizuri nafasi ya Shey Shey ❤🌹
Hpn shey shey hana mpnzan bhn
Shey shey Hana mpizani kwely bhn🎉
Awe na mpinzani asiwe na mpinzani account ya kp na zebuu lazima kaz ziendelee
@@OliverVallence-x2b ni jambo la muda tu mtamkubali huyu mdada.
@@SabrinaShaibu sinaga ushabiki ninachokiongea nauhakika nacho, ni jambo la muda tu
😂😂😂aisee Kp hii ep umejua kunichekesha na vituko vyako, kwamba njaa imekuuma sana Hadi unataka utafune godoro na shuka🤣🤣🤣🙌❤❤❤
Nawakubalii Sana kutoka songwe huku ,,,tulishajua Ni kisai tu kafanya yote hayo .😢 Mnaokubaliana na Mimi gonga like hapa😂
Kp we nomaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 upewe mauwa yako baba akaa umetisha 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ila msitucheleweshee 😢😢hii movie tamu kweli ❤🎉🎉🎉🎉
Na mimi sijachelewa naombeni like wanao penda kazi ya kepi na zebu na kundi lake mugonge like hapa nawapenda sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👌👌👌🙏
TEAM KP HAKUNA KURUDI NYUMA TWENDE NALO KAZI NZURI STORY NZURI HONGERENI WASHIRIKI WOTE 🎉🎉🎉🎉
Ketta unajua sanaa ndugu yetu
Tumekupokea kwa mikono miwili kwenye familia ya KP na zebuu❤😂😂
Kazi nzur kp na team yako nawapendaaa❤❤❤❤
Nawa penda jmn nyote famly kutoka mpakani uganda 🇹🇿🇺🇬❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
nimerudi kuwatch movie ya kp nipeni like hata Moja nilikua sikukuu❤
Ontime kabisa like kwangu🎉🎉🎉
Kazi zuri sana kp wa aquino🎉🎉🎉
Wakwanza ❤❤❤❤❤🎉🎉
Kutekwa kwa Kp naona Kisai ndio alifanya kisa amuoe Nora😂😂
Nampenda na kumkubali sana🎉 Keta🎉
Iy filamu sasa nitamu snaa big up sn watu wang naw❤❤❤❤🎉🎉🎉
Munachelewesha sana mmh ila ndo niko na nyinyi kwanzia binti nyoka adi sasa ivi shabiki ndaki ndaki
Hiyo barua ameandika kisai na. Sio kp kwani kp kwa sasa ni mgonjwa wa akili yupo hospitali
😂😂roho mbaya tu alafu huwa hafauru
roombaya kama sura yakee😠😠😠
Ni vile tuu napendaga kazi zenu bando likikata bora nisile matunda nijiunge mb nimaliziee aaah nawapenda sanaah nawakubali kp na zebuu
Uyuu jamaa yuko fresh kwny hii sector ya uigizaji good work kakaa kamandaaa 🎉
From njombe kp naomba niwe mmoja wenu naigiza vizuri sana
American nimehipenda sana kinoma 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸❤❤❤❤
Nawasiwasi na dada wa kazi sijui kama si mpelelezi japo sijamaliza kuangalia 😂😂😂😂
Umeon eeeh
Jamn watu mnashinda online hata mi sijachelewa jamn naombeni hizo like labda nitanenepa.
😂😂😂😂
Hongera kazi safi sana kp aquino🎉🎉
Huyu baba Kp atakuja kujuta,make huyo Kisai mwnyewe hakili zake nusu
Walai na kisai ndio aliwatuma watu wamteke kp na kumuua but nzuri walikosa kumua😂
Wakwanza Leo tena jamani like ziwe nying bhac
Sura na roho ya kisai vinaenda smpend mm hakiiiii
Norah mm na kkbali sana dear,, kazia hapo hapo
Mungu aibariki kazi yenu
Kp hongera sana Kwa kazi nzuri na Kwa kutupa dk nyingi tofauti na wengi ubarikiwe sana
😂😂😂😂😂 mzee likoma ety leta mpododo😂😂
Nawakubali wote kp kazi nzuri
Da kp umemkosa nora ee Jamani shukrani Sana kwa mafuzo mungu awabariki wote ❤❤❤
😂😂😂😂😂nimecheka japo inahuzunisha kp 🎉🎉🎉 nawapenda sana
Jaman hongelen kwa kazi nzuri mnanifurahisha sana
KP 🎉🎉🎉 naomba nafasi ya kushorti movie 🎥 mmi Niko Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakubali swa na Kam unataka ujuwe mm Niko na movie zenye nilikuwa na short movie Saching umoja 2media utaona movie zagu pls🎉🎉🎉🎉
Bonge la movie hongera sana Aquino family
Eeeh bhana eeeh hii ni zaid ya last cad ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
WAAA WISHO JAMANI 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Ketaa anaonyeshaa kabisaa kiuhalisiaa ni ana roho nzuri kabisaa❤
Ongereni team strong ya Kp oqwino
Eeeh mbona kisai anacheza vibaya jamani movies nyingi anacheza vibaya kbx gonga LIKE Jamani ❤❤🎉
Tena ndo anachangamsha ni nafasi tu aliyopewa
Ww kp nihatari Kaka kitu nichamoto
Amina kazi nzuri, be blessed...
Umeupga mwingi kp br kwa hii movie hongera sana br
Mashallah kwenu nyote team nzima🎉🎉🎉🎉
MUNGU msaidie kp apone Kwa haraka
Ni nzuri kabisa , Kisahi na Naura kaeni na Kp kabisa , msifanye kama wale wengine.
On get a Sana KO kea Ku to a kazi nzuri mungu akubariki
Jamani mimi ni kwaiza ni like
Msicheleweshe sana mpaka tunasahau tulipo ishia
Nawakubali familia,Nora kazia hapo
Nakubali sana
Asante kp kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉
Hongera sana kwakazi nyingine zuri naombeni liki jaman .mimi hamujawahigi kunipa hata ❤
Nimecerewa sana ina nawapenda san Love from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Huyo kaka wa norrah ako single kiulizo to 😂😂😂😂😂nawapenda bure ❤
😂😂😂
Hatariiiii, na kuelewa kaka kp❤
Nyie huyu maid yuko funny wallah😂😂
Wa kwanza leo jamani wapi kp ❤️❤️❤️❤️
Much love kp uishi miaka mingi uwashuhudie wajukuu zako kutoka kwa Nayla😂❤
Yani wasenge kweli mbona hujampa KP like. Mnataka like nyie ndo mmeogiza😭😭
Gonga like kama una amini barua imeandikwa na kisai,
tujuqne wadau tunao fwatilia series ya albastin kp yup vizul
Nakupenda nora❤utamuona🎉🎉kp❤❤❤usijali
Aki na vile nilikuwa naomba kp na Nora wapatane 🎉🎉🎉🎉
Muvi nifunga mwaka movie kali sana kuliko zote
Dah big up KP WA Aquino ❤❤❤
Ila kisai silipendi kabisaaaa😂😂 roho chafu kweli kweli 🎉❤
Wow amazing guys am watching from Saudi Arabia congratulations 🎊
Sasa humundani kila mutu wakwanza basi mm wamwisho haya naombeni like zenu
Kazi nzuri KP and the team nawapenda❤😊
Na wapenda sana Mungu awabariki nyinyi nyote
Oya noma sana
Maaajabu 😂😂napenda hyo mzee likoma
Jamm embu tumpen saport ndugu yetu kp na kundi lake nzima subscriber ziwe nyingi nying afikishe hata one ml jamn nawaombeni sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wao albastin IPO uwanjan kp nope màana yahili neno bas❤
mchezo wa kalaTA
Leta mpododo😂😂😂likoma ww
Anaa hatari huyu mwamba 😂😂😂