Hakuna demokrasia isiyokuwa na ukomo kwa mtu. Acha kizazi kingine kilete mabadiliko ndani ya chama. Hauna tena jipya la kuleta mabadiliko. Tafadhali ng'atuka kwa heshima.
Mh mbowe tunakuheshimu sana lkn pitia comments za watanzania wwalio weng mitandaon,kiufupi kwa ss watanzania hawakutak maana siasa zako zishazoeleka na ccm
Ila mbowe unaking'ang'anizi hiyo chadema ukishinda itakuwa yako na kikundi cha kina born yai live watu wanaumizwa unatufanyia komedi chadema matangazo yake haijawai kulushwa tbs lakini ww Jana wamekulusha tbs usituone mabwege unasababisha niamini ya msigwa si ustafu kiistalabu
mbowe acha tamaa wew siunadai inshi haina democrasia sasa wew unafanyaje kukaa madarakani myaka20 na bado unataka tena nimegunduwa wew huna tofauti na kina nkurunziza wa burundi ndiomana msigwa kakupa Jina Hilo hajakosea kbs huna maana ww
Nlkuwa najua jamaa ni timamu kumbe ni tahira na anauroho wa madaraka na nmeamin mbowe ni tapeli wa siasa kabisa yale maneno kuwa amelambishwa sukari aisee ni kwel Chama kinakufa hiki jmn daah
Huyu kwisha habari yake, ataungana na akina Lipumba and the like
CCM kazi yenu mshaimaliza, kweli pesa ina nguvu. Mitano tena kwenu
Hapo CCM Meno yote nje huko,deal done
Tunaimani na tundu lisu
Hakuna demokrasia isiyokuwa na ukomo kwa mtu. Acha kizazi kingine kilete mabadiliko ndani ya chama. Hauna tena jipya la kuleta mabadiliko. Tafadhali ng'atuka kwa heshima.
Naipenda sana busara yako mh Mbowe
🎉🎉lisu Jembe atachukua
Mh mbowe tunakuheshimu sana lkn pitia comments za watanzania wwalio weng mitandaon,kiufupi kwa ss watanzania hawakutak maana siasa zako zishazoeleka na ccm
Siku zote mimama kama hiyo ndio kero kwep kwel ......Lissu ameshashinda weken chaguz huru tu
mbowe una tamaa zamadaraka
Huyu mtu tajiri ana biashara nnje na ndani ya nchi alafu amekubali kupokea ki milioni na nusu ya kinamama asichukue bilioni mbili zilizotoka kenya!!!!
Ila mbowe unaking'ang'anizi hiyo chadema ukishinda itakuwa yako na kikundi cha kina born yai live watu wanaumizwa unatufanyia komedi chadema matangazo yake haijawai kulushwa tbs lakini ww Jana wamekulusha tbs usituone mabwege unasababisha niamini ya msigwa si ustafu kiistalabu
Safiiii kamanda endelea achana na huyo lopolopo lisu kichaa
Mbowe inabd uachie madaraka watanzania washakuchoka na hta kn utaendelea sdhan km utakuwa na kibali cha Mungu
mbowe acha tamaa wew siunadai inshi haina democrasia sasa wew unafanyaje kukaa madarakani myaka20 na bado unataka tena nimegunduwa wew huna tofauti na kina nkurunziza wa burundi ndiomana msigwa kakupa Jina Hilo hajakosea kbs huna maana ww
CCM MWAKAN MKIFAMYA KAMPEN NTAWADHARAU KABIS YAN HAPA KAMPEN ZINAJIPIGA ZENYEWE😂😂😂😂
Chadema demokrasia hakuna😢😢
Miaka 20 ameshindwa kuwavusha, Je, atawavusha leo?
mbowe zimebaki comedy😅😅😅😅😅
Kamanda Mbowe
Siku zote kina mama Tanzania ndiyo wanatuuza.
Tuko na mh Mbowe
Kunja ngumi 🤛 mwenyekiti ngumi haikunjiki tena tumechoka 😞🥱
Viti Maalum hakuna hapa
Nawashangaa hawa wapambe mtu kuchukua form iwe shida matusi na kashfa kwa Mkiti wetu
Enyi Wanachadema, mbona mnawapa faida maadui zenu? Kwa mtifuano huo, kweli mtafika salama?
Nina mashaka wasije kuwa wanafiki maana dalili sio mzuri sana subiri tuone
Nlkuwa najua jamaa ni timamu kumbe ni tahira na anauroho wa madaraka na nmeamin mbowe ni tapeli wa siasa kabisa yale maneno kuwa amelambishwa sukari aisee ni kwel
Chama kinakufa hiki jmn daah
Watu wako ndio wanatengeneza kampen za kutugawa na huu ndio mpasuko unakwenda kutokea
Mbowe wewe ni mtu wa hovyo sana umezidi urafi wa madaraka.
Eti huyu ndiye anayedai demokrasia ccm
Basi tena
Tuko nawewe kamanda
Wew kwa vyovyote n kilaza najua humpendi ila nikabobo tu.
Upande wa Lisu m
Sakosi ya akinamama ccmb
Njaa bana
Wacha tusubiriii mpambano huu !!
Hana jipya huyo
Hakuna mtu hapo. Mfumo ndo uliopo hapo.
Wenye D mbili tumekuelewa
Majinga