Tangu nimeanza kuangalia intervier dada shena naona hii imeniingia na wala haina ushabiki..Huyu ana mwaka mmoja na akiwa na miaka mitano atakuwa balaa...huyu endelea kumshikiria mpaka mwisho..ubarikiwe sana dada yetu..
Story nzuri sana masha Allah. Dada mrembo na mapenzi tele kwa kaka etu. Mmepambana! Texas kama uliingia na Houston George Bush, ukapelekwa Hobby airport. Ulipata bahati kupata msomali safi sana. Mwenyezi mungu aendelee kuwasimamia na kuwaongoza ktk ndoa yenu na mtoto wenu mkijaliwa mtamleta inshaAllah mkijaliwa kupata karatasi zenu kamili. Uzuri nimependa mmesoma kilimo na shule imewavusha, safi sana.
Jirani upo my thoughts exactly kuhusu airport. Kuna kiitu ningependa ku ongeza i hope Dada Last born hato mind. Ku file asylum ni wale kutoka nchi zenye vita au political instability , au kama ni mwana siasa ambaye anahofia Maisha yake kwa sababu tofauti ,wa hivyo wa Tanzania hawawezi sie nchin yetu ya Amani alhamdulilah. Karibu tena Texas MA Mungu awafanyie wepesi kwenye safari yenu ya mapenzi na maisha an motto went afike kwa haraka. Mungu ni mkubwa ni kumtanguliza kwa kila hates. Ubarikiwe
Dada shena nakupenda najilaumu kwanini sijakukujua mapema huwenda leo nisinge kuwa hapa nilipo Mungu akutunze sana dada kweli nakupenda nikitoboa dada una zawadi na naamini Mungu amekuleta kwaajili yetu wa Tanzanznia
Yaani haya mambo ya Visa huwa hayarleweki ni neema tu ya Mungu maana Mungu alishatupangia maisha yetu kabla ya kuumbwa kwa Dunia so ikipangwa kupata utapata tu no matter wahst Ila Mungu ndy awe wa kwanza Huyu dada pamoja na kusota sana ktk Maisha tusikate tamaa hayo ni majaribu ya maisha l ila anayeweza kufanya njia ni Mungu pekee Amina
Asante sana hapo umenifungua mimi kuhusu hiyo zawadi ubarkiwe sanaaaa❤❤❤❤❤ hapo inanibidi nijipe zawadi ya kusoma❤❤❤❤ hiki kipindi Mungu akibariki sanaaa
Uko sawa ila kwa ulimwengu wa sasa watu wameamka sana inategemea na misingi na asili ya mtu but now days watu wameamka sana kuna stories kibao ninazo malafiki zangu wameoa chaggas but wameanguka kiuchumi na wako depressed ile mbaya .
Huyu binti amenikumbusha mbali sanaaa katika maisha yanga ipo siku shena nitakutafuta subiri mchakato wangu utimie nipo kwenye mchakato mladi number yako ninavyo.
Ukiingia unatakiwa uanze na kutafutanjia njia za kukaa moja kwa moja ukichelewa mpk ile viza yko kuisha itakula kwako ,kuna watu uko special wakufnya hizo kazi kwa wageni
TikTok: lastborn gallery
Instagram: lastborn gallery
RUclips: lastborn gallery
Ahsante sana dada shena yaan ninajifunza
Hivi Lastborn, alisema sehemu ya kuomba kazi ya uwalimu abroad inatwa aje?
Tunaomba mtusaidie mawasiliano ya Agent walau hata kwa wanopenda kuja Marekani wasaidike
Naomba no yk my
No tusaidie mama
Tangu nimeanza kuangalia intervier dada shena naona hii imeniingia na wala haina ushabiki..Huyu ana mwaka mmoja na akiwa na miaka mitano atakuwa balaa...huyu endelea kumshikiria mpaka mwisho..ubarikiwe sana dada yetu..
She is calm and humble, ameeleza vizuri sana hadi raha tumejifunza na kupata moyo.. thanks shena and last born
Hii interview inavitu vingi vya kujifuza sisi vijana Asante mgeni hakika umebarikiwa,God bless shena ❤
Mimi namsifu sana LASTBORN MWANAMKE HUYU KIBOKO yeye ndio chanzo za kumshauri.mumewe kuomba pastport
Dada upendo kapoa ndo maana Mme alikuchukua umepoa dada wengine wajifunze kwa huyu dada mkweli mchamungu dada utafika mbali na mmeo salute upendo
Lastborn akawa Lastborn kweli.mkizaa watoto watafutieni majina ya KING NA QUEEN
Asante Dada last born kwa kutufungua akili . Ubarikiwe ww na Dada Shena.
Swala la kumwamini Mungu ni lamuhimu sana
Respect ❤❤❤ last born ❤❤❤ love husband and blessings, joy, more love ,more success ❤❤❤
Kipindi changu pendwa❤ nimejifuza kitu Asante sn dada kwakutuletea last born ubarikiwe
Good 👍
Mume barikiwa Sana
Story NZURI
Hongera Dada Shena na lastborn interview ni nzuri sana..Tunamuombea na Upendo Mongi apate muda ili nae aje kutupa nondo..Mbarikiwe saana
Story nzuri sana masha Allah. Dada mrembo na mapenzi tele kwa kaka etu. Mmepambana! Texas kama uliingia na Houston George Bush, ukapelekwa Hobby airport. Ulipata bahati kupata msomali safi sana. Mwenyezi mungu aendelee kuwasimamia na kuwaongoza ktk ndoa yenu na mtoto wenu mkijaliwa mtamleta inshaAllah mkijaliwa kupata karatasi zenu kamili. Uzuri nimependa mmesoma kilimo na shule imewavusha, safi sana.
Jirani upo my thoughts exactly kuhusu airport. Kuna kiitu ningependa ku ongeza i hope Dada Last born hato mind. Ku file asylum ni wale kutoka nchi zenye vita au political instability , au kama ni mwana siasa ambaye anahofia Maisha yake kwa sababu tofauti ,wa hivyo wa Tanzania hawawezi sie nchin yetu ya Amani alhamdulilah. Karibu tena Texas MA Mungu awafanyie wepesi kwenye safari yenu ya mapenzi na maisha an motto went afike kwa haraka. Mungu ni mkubwa ni kumtanguliza kwa kila hates. Ubarikiwe
@@aromaofzanzibar yes, asylum ina heka heka zake si haba inatakiwa kujipanga haswa. Kwa wale walionyanyasika ki jinsia, vita nk.
@@aromaofzanzibaryeah ni ngumu ila inarahisisha kupata working permit
Naomba kuuliza ina maana ubalozi haujui kama mumewe yupo U.S?na wao ndio wamempitisha?swali la ufahamu jamani naomba msaada hapo.
@@neemamahimbo4711 majina yao ni tofauti. Kuna uwezekano ubalozi haukuona. Inatokea.
Nice interview
Dada shena nakupenda najilaumu kwanini sijakukujua mapema huwenda leo nisinge kuwa hapa nilipo Mungu akutunze sana dada kweli nakupenda nikitoboa dada una zawadi na naamini Mungu amekuleta kwaajili yetu wa Tanzanznia
Smart and clever girl...congratulation and keep on fighting wachaga ni strong and hard working..the best is yet to come.
Very humble. Wasomi hawana mambo mengi kama huyu dada.beauty with brain
Maisha ni kuthubutu, Mwenyezi Mungu awapiganie na kuwalinda.
Mungu akubariki sana wewe dada kweli una hofu ya Mungu
❤❤❤❤❤❤best interview kwakwel Dada mzur mno Hana choyo
The straggle is really 😊 hongereni sana kwa kupendana na pia kufanikisha kufika huko nawaombea muwe pamoja na mtoto wenu pia.
Shena........ kwa hizi kaz mungu hakupa tarajio la moyo wako kwa vitu vizuri unavyo tufanyia ss
Uyu dada namuelewa experience ya kwenda nje mara ya kwanza❤😢😢Yesu mzuri Nyie
Tena sana 🙏🙏
Hongera rafki ang pendo umepembana sana kumtegemea Mungu kuna faida
Woow from SUA hapaa like zangu
Mungu Kubariki sana dada shena kupitia hiz interview zako tunajifunza
Hongera lastborn kweli mmepambanaMungu aendelee uwabariki wewe na mumewe
Story nzuri sana Lastborn❤
Cnaga interest na story za mtandao ila nimekukubali sana hongera love
Yaani haya mambo ya Visa huwa hayarleweki ni neema tu ya Mungu maana Mungu alishatupangia maisha yetu kabla ya kuumbwa kwa Dunia so ikipangwa kupata utapata tu no matter wahst
Ila Mungu ndy awe wa kwanza
Huyu dada pamoja na kusota sana ktk Maisha tusikate tamaa hayo ni majaribu ya maisha l ila anayeweza kufanya njia ni Mungu pekee
Amina
Musikae.mbali na mtoto wenu
Maelezo Ni ya BABA na mama
Tuwe tuna like
ili kitokee nini?
Asante sana hapo umenifungua mimi kuhusu hiyo zawadi ubarkiwe sanaaaa❤❤❤❤❤ hapo inanibidi nijipe zawadi ya kusoma❤❤❤❤ hiki kipindi Mungu akibariki sanaaa
God bless you
Mungu yu mwema Kila wakati 🙏🙏
@@lastborngallerySamahani Tanzania ukiwa R.N ukifika USA naweza kukitumia au lazima kuingia darasani tena
Hongereni sana Last born na mumewe. Kama vijana mmeonyesha mfano wa kushikamana, upendo na kukomaa kutafuta maisha.
Interview nzuri sana, pongezi sana kwa subra yako.
Big up Last born
Asante kwa kutueleza kinaga ubaga safari yako kujikwamua kimaisha. mungu amekuona na pole sana.
Wow!my favourite colours yellow and white.Umependeza sana Upendo.
Nimepata somo kubwa sana ubarikiwe dada
Hongera sana mgeni kwa kutokuwa na hila.Ubarikiwe mno na Mungu azidi kukufungulia milango Ameen
Sasa usome nursing kabisa.Mungu awabariki,mme unae.Mshukuru sana Mungu.
Shukurani sana dada mwandaaji wa kipindi hiki. Naamini vijana wengi kuna kitu wamepata kwenye hii interview. Shena big up
Nzuri sana
Good story , asante sana mdogo wangu mrembo
Leo nondo juu ya nondo🥰😘♥️
Huyu sasa ndio mwanamke halisi wa kiafrica
Hii Interview ❤🔥🔥
Karibu sana Seattle
Congratulations 🎊
Ulipata mume Dada,
Pia kumtegemea Mungu
Thanks Shena.Unaffanya kazi nzuri.tunajufunza mambo mazuri. Pia huyu dada yuko vizuri anaongea vema.
Hongereni kwa uvumilivu na matokeo yake umewalipa Big up kwenu
Nice interview
Yes SUGECO..ihope hubby kakufundisha hapo SUA
Mchaga uyo kichwa sana ukioa mchaga lazima utoboe
Uko sawa ila kwa ulimwengu wa sasa watu wameamka sana inategemea na misingi na asili ya mtu but now days watu wameamka sana kuna stories kibao ninazo malafiki zangu wameoa chaggas but wameanguka kiuchumi na wako depressed ile mbaya .
endelea kukariri
Asanteni dada ,upo vizuri na Mungu akutangulie katika yote
Aisee nzuri sana hizo kofia.Hongera sanaa
Interview iko bomba sana
God bless you 🙏 my dear
Super women
Story mmejua kuipangilia good
Kwaajili ya last born hope i will reach my goals for sure am interested
God is everything!
this is huge....
Dada uyu ni mtulivu Sana akiwa anaongea...na nimejifunza Sana kwenye maisha inabidi usikate tamaa na ujifunze kupambana mana hujui utatokea wap
Daa. Shena. Agricasha. Nini
You deserve a life my darling hongera sanaa @lastborn gallery
Kwa marekani kila state ina mambo yake. Kuna sehem kama siattle unaingiia leo kesho unaweza kufanya kazi hongera sana. Binti
Hongereni sana, mmenigusa😊😊😊.
Good❤❤
Daaa ,umesota nae hivyo halafu ,aje afanye ujinga wa divorce , mungu awasimamie sana na awalinde katika ndoa yenu . amen
Mwenyezi mungu awatangulie hadi raha
Mmepambana sana mwenyezi mungu awatie nguvu subira na uvumilivu
Kweny maisha hakuna kukata tamaa hasa ukimtegemea Mungu
Dah darasa nimejifunzaaa
Uwanja unaitwa Love
Classmate wng mrike
❤❤
Napajua Sugeco
Lastborn Roho safi Mashaalah
She is amazing 🥰🔥🔥
Laz born🔥🔥🔥🔥🔥
Very nice
Dada yupo vizuri sana na sura anayo
Sabasaba tunapajua
Sauti jamani
Dada huyu ananondo za kupanua fikra,ufahamu,
Mpendwa naomba unipe namba zako ili mwanangu atakapo fika huko wewe na mume wako muwe mweneji wake kwa muda nitakushukuru mno
Huyu binti amenikumbusha mbali sanaaa katika maisha yanga ipo siku shena nitakutafuta subiri mchakato wangu utimie nipo kwenye mchakato mladi number yako ninavyo.
Hello, how are you, sorry naomba unisaidie jina la agency anayesaidia watu kwend US, amesema cairuu !! Na sugeco,,,!!
Uyo ni mutanachati
Interns za SUA ni fire
Safi kabisa 🥰🥰😹
Last born wewe ni mtulivu jamani
Mimi napenda sana kufuma ila sijui😂
Soma mtandaoni kila kitu kipo ni mda wako tuuh .
Hii interview ni nzuri sana hongera sana dada shena @official dating assitence
Mchaga mwenzangu , wacha watafute wanaume na wanawake wakizungu , wanafikiri ndio njia ya kufika ulaya au marekani au canada au Australia. 😅😅😅
❤
Samahan dada shena nilitaka kujua kwa hiyo alivyoingia marekani alibadilisha visa au aliendelea nayo hiyohiyo
Ukiingia unatakiwa uanze na kutafutanjia njia za kukaa moja kwa moja ukichelewa mpk ile viza yko kuisha itakula kwako ,kuna watu uko special wakufnya hizo kazi kwa wageni
@@Siasia209umenipa funzo
Wee Last Born Weee😅😅😅😅😅😅😅
Shena waulize na waafrica wanaoshi china na korea sio tu marekani nauingireza
Shena hii baada ya kusikiliza ya mmasai?