Haki yako inauzwa hauna pesa kuinunua, Ugonjwa umekuweka kitandani mda mrefu kwa kukosa matibabu. Pengine uko gerezani dunia inakuumiza, unatengwa na jamii sababu ya kutoweza ..’’”MUNGU ni zaidi ya fedha, majirani hata ndugu na marafiki, ONGEA NAYE atakupa amani tele’’”.. ______________________________________________ Download Audio: audiomack.com/jomireso-voices-tz/song/yape-mgongo-official ______________________________________________
Hongereni JOMIRESO kwa kazi nzuri, kuna wimbo mliimba mkiwa kwenye kipindi na mtangazaji wa Tuimbe Pamoja, Mr. Mavanza, ni wimbo gani tafadhali niweze kuutafuta.
Tupa kule kabisa...sitaki shida mimi....Mungu wangu anatosha sana.... nimeyapa mgongo matatizo yangu yote.. kwa jina la Yesu.. Big up sana . Nice song, super music, fantastic look and great message.. More blessings
Karibuni sana tena wapendwa kutazama wimbo wa kwaya ile ile iliyowaletea wimbo wa wito utume Leo tena imetuletea wimbo wa neno lenye uzima.kwa sasa upo you
I've been repeating this song the whole day today.This is heavenly inspired.God bless your ministry.Mtumikieni Mungu kwa uimbaji na maisha yenu yafunikwe Utukufu wake.Tunawaombea.
Haki yako inauzwa hauna pesa kuinunua, Ugonjwa umekuweka kitandani mda mrefu kwa kukosa matibabu. Pengine uko gerezani dunia inakuumiza, unatengwa na jamii sababu ya kutoweza ..’’”MUNGU ni zaidi ya fedha, majirani hata ndugu na marafiki, ONGEA NAYE atakupa amani tele’’”..
______________________________________________
Download Audio: audiomack.com/jomireso-voices-tz/song/yape-mgongo-official
______________________________________________
Hongereni sana jomireso voices, hakika nabarikiwa sana , naomba kuuliza kwa nini mnaitwa jomireso voices
The term JOMIRESO is the combination of two LUO words(from Luo tribe),JO & MIRESO, JO means "people" and MIRESO means "blessings"
Hakika mbarikiwe sana ninabarikiwa kwa ujumbe wawimbo huu
Amen
Love this song❤🇷🇼
Amen
Jina la Bwana lihimidiwe kwani kwa kumtegemea Kila kitu kinawezekana
@@SalomeCyprian amen
Hongereni JOMIRESO kwa kazi nzuri, kuna wimbo mliimba mkiwa kwenye kipindi na mtangazaji wa Tuimbe Pamoja, Mr. Mavanza, ni wimbo gani tafadhali niweze kuutafuta.
Amina mungu awabariki
Amina Sana
Nabarikiwa Sana kwa huduma yenu ...Mungu awe pamoja nanyi🙏🙏🙏 Music for life.
Kwakwel mnanibariki sana jaman
Amina barikiwa zaidi
Am so blessed,good job great people,God bless you
Amen 🙏
sati sana mmeimba vema sana... Vocals za kusikika na video ni nzuri na maneno yametamkwa vema na ujumbe ni mzuri sana.... Hongereni sana
Heleluya kwa Bwana ❤️
Mbarikiwe👏👏
🤓🤓🔥🔥🔥🔥🔥🤓🤓🤓🤓mfike mbaliii saaannaaaaaa Jomireso voice tz nawapendaa 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Tunakupenda mtu wa Baba
🙏🙏🙏🙏 hakika amesikia.
🙏🙏🙏🙏🙏
Tupa kule kabisa...sitaki shida mimi....Mungu wangu anatosha sana.... nimeyapa mgongo matatizo yangu yote.. kwa jina la Yesu..
Big up sana . Nice song, super music, fantastic look and great message.. More blessings
amen kabisa hayana nguvu tena ......🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
AMEN
AMEN
Iko poa sana hii song.
Karibuni sana tena wapendwa kutazama wimbo wa kwaya ile ile iliyowaletea wimbo wa wito utume Leo tena imetuletea wimbo wa neno lenye uzima.kwa sasa upo you
Asante
mbarikiwe saana my only n only family 🎧🎧🎹🎹😋😋😋😋🙏🙏🙏..... mnaniweka kanisani 🙏🙏🙏
Mwalimu 😂🙏🙏🙏Amina
Wewe sijakuona mbona...umeenda wapi jaman
nipo nyuma ya camera hapo tuu dada angu 👈👈👈
Hamjawahi niangusha vijana wangu
Mungu awatumie zaidi ya kawaida
Amina sana Mwalimu @dede denis
Kweli kabisa
Mimi nimeyapa Mgongo 🙏Thanks Jomireso Mungu Awabariki sana
👋
Amen
Kuna wimbo mmoja naupendaga sana, NI RAHA,,, nimewaomba muufanyie video kama itawezekana 🙏🙏🙏🙏 nitabarikiwa mno
kaka kila unapocomment huwa unakumbusha hiki kitu !! Usiwe na wasiwasi waalimu hili jambo wanalifanyia kazi kaka🙏🙏🙏🙌
Barikiweni,, kazi zenu zinatubariki mno. 🙏🙏🙏
Amina sana kaka Paul
Kweeni mkafanikiwe wajoli wa baba,mutukuzeni mungu daima🙏❤️
Ubarikiwe sana pia mtu wa Baba
Amina haleluya milele
Napitia Changamoto... Ila wimbo huu unanipa Matumaini. Mbarikiwe wana JOMIRESO
Amina sana!! Ubarikiwe saana na MUNGU atutie nguvu sote
Baraka kwenu sana,,,nawapenda sana jomireso
Amina ubarikiwe sana
Tumeyapa mgongo let's live it.... Solo🎤
Hallelujah ❤️❤️
Barikiweni kwanyimbotamu kamahii
Amina
Mbarikiwe
Amina
Kila lililo jema,nyimbo nzuri sana.
#Yapemgongo.
Amina sana mtu wa Mungu
Mbarikiwe sana guys
Amina Sana
Si mbarikiwe xaxa jomireso
Amen
Amina mbarikiwe Sana🙏🙏
Barikiwa pia 🙏🙏
Mnajua nifurahisha snaaaa daaah yan Mungu azidi kuwainua sanaaa jmn nmuona kk peace hapo tabasamu la Yesu. Mbarikiwe wote kwa nyimbo nzuriii
Amen kaka Josephat Laban , Mungu azidi kukutumia pia katika kazi yake🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Mungu awabariki kwa wimbo mzuriiii ulobeba ujumbe mzito wa kututia moyo na kusonga mbele
Hallelujah
Mbarikiwe Wajoli.
Hakika mnajua kukiwasha Kama kawaida yenu 🔥
😂😂😂sifa Kwa Bwana aliye zaidi ya fedha, majirani hata ndugu
Mungu aendelee kuwabariki 🔥🔥💯🙌🏾🙏🏽
Amina ubarikiwe kwa maombo
Hii nyimbo jamani, it's on repeat. Mungu aendelee kuwatumia wandugu mnafanya kazi nzuri sana.
Amina sana ubarikiwe zaidi
Kazi Taam Wakuu...
#Cake Fran Hivi...
Amina sana ubarikiwe mtumishi
AMINAAAAAAA
Mwapendeza kweli ..Nawapenda bure bure>>>
Amina sana ,!!! Upendo wa Yesu unatupa nguvu🙏🙏🙏🙏
👏👏👏👏👏Amesikia na hatatenda 🙏🙏🙏
Amesikia na atatenda 🙏🙏🙏❤️
Mbarikiwe sana
Amina
God bless you my people i love u so much ❤️ I m also Singer from Golden gate family choir 🎥🎥🎥🎥acha kazi ya Bwana tuifanye kwa mwoyo,
Amen !! Mbarikiwe sana pia Golden gate family choir❤️❤️❤️
It's fact's God I'll stay with your but I beg the beat,Audio, And video maker
Audio & track : Pro EPHRAIM (+255 745 772 120)
Video : Mr RJ (+255 769 672 995)
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
Hallelujah kwa Bwana
Mbarikiwe Sana hakika ujumbe unagusa na kupenya kabisa ,Mungu azidi kuwa inua kila kuitwapo leo kazi yenu ,hivyo songeni mbele kwa kazi Mungu.
Amina sana 💪💪Ombi hili linatuinua na kutupatia nguvu kwa ajili ya kazi hii ya Baba mwenyewe
Gud Sana Vijana wangu
Amen
Ur blessings guys🙌🙌
Hallelujah to Jehovah
Wooow mbarikiwe Sana wapendwa
Amina sana barikiwa pia
Wimbo mzuri
Hallelujah kwa Bwana
Kazi nzuri
Hallelujah kwa Bwana
What a song.
❤️
Amen from Mbeya Tanzania
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Asante Jomireso kwa ujumbe!!
Amen
tuwabariki JOMIRESO..
Hallelujah
Bwana awabariki sana kwa wimbo mzuri.
Amina sana mchungaji
Love you JOMIRESO
God bless you as you proclaim the word of God through songs to the broken heart🙏🙏
Hallelujah to Jehovah...❤️
vocal arrangemet good keep it up we love money more than humanity
We need Jesus more than anything 🙆♂️🙆♂️God save us🙏🙏🙏🙏🙏
I've been repeating this song the whole day today.This is heavenly inspired.God bless your ministry.Mtumikieni Mungu kwa uimbaji na maisha yenu yafunikwe Utukufu wake.Tunawaombea.
Amina ubarikiwe sana mtu wa Mungu
God bless jomireso voices my favorite choir 🇹🇿🇹🇿
Amen , be blessed too❤️🙏🙏🙏
Mbarikiweee kazi nzuriiii
Amina sana
@@jomiresovoicestz jamani naipenda kazi yenu
Jina la Bwaja lihimidiwe sana!! Na ubarikiwe mno
Amazing song by the best choir, honestly this song is just facts. Love it 😀.
Amen ,, stay blessed 🙏🙏
My favourite choir,,, always in love with you #Jomireso Barikiweni sanaaaa
❤️Brother #PaulRobert
Kwakweli, yatapita.
Mungu awabariki.
Tuyape mgongo tuu
I feel speechless for such a fantastic song,I thank God for empowering you
Amen
Best,strong and armed Christ soldiers❤️❤️❤️💪🌟Stay blessed Jomireso voices 🇹🇿🇹🇿
Hallelujah to Jehovah
Since day one….amina👏
amen Mr ABOTTY MLAMBA
Sabbath Blessings 😇
Amen
Kazi nzuri from Kenya
Amen
Nice song, nice message God bless you moree
Amen be blessed too
Glory to God fellow soldiers in Christ
Hallelujah to Jehovah
Wimbo mzuri ..be blessed in your ministry
Amen ,, Upendo wa Kristo unaijaza nguvu mioyo yetu🙏🙏🙏
Kazi nzurii 💣💣💣
Sifa kwa Jehovah
Amina kubwaaaaaaaaa
Hallelujah
Amazing songs
Hallelujah
Amen jomireso❤❤
Hallelujah
Manoko🔥🔥
Amen
I love your songs stay blessed
Amen stay blessed too
Sweet melody,nabarikiwa.
Amen
I feel to be blessed🙏🏽
Amen ,!! Hallelujay to Jehovah
Blessings 😇
Amen
Amen Amen, nice song
Hallelujah
This is a great master piece
Hallelujah
Weuh❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️❤️
God bless u much
Amen
❤️
Very smart
Hallelujah to Jehovah
HALLELUJAH
Amen❤️
Hallelujah💪🙏🙏🙏🙏
Amina ,,!!❤️❤️upendo mmoja katika kristo🙏🙏
🔥🔥🔥
Amen
🙏
Amen 🙌🙏
So sweet
Hallelujah to Jehovah
❤❤❤❤
@@asumwagracemuthoni5189 ❤️
@jomiresovoicestz Just got to bumped into your songs my people... Can't get enough of the praising for our Lord... Keep up the good work... 🫶🏾❣️❤️
@ amen be blesded 🙏🙏
Amen
Hallelujah
Good song
Amen
Amina
Hallelujah
♥️♥️♥️♥️
❤️ Pendo moja katika kristo❤️❤️
🥰😍😍😍😍😍
❤️
🤲
🥰🥰🥰🥰
❤️❤️❤️🙏
Be blessed