@@jomiresovoicestz wimbo mzuri, sauti nzuri, MAVAZI mazuri yanasitiri mwili but jihadharini saaana msifikie level za the light bearers kwa kweli wanatudhambisha sana huku mtaani watu badala ya kusikiliza nyimbo wanaangalia mapaja yao, yaan wale wadada ni wanakela hadi basi angalieni msifikie kule
Mngekuwa mnatoa HUDUMA kwenye sikukuu za Vibanda aisee, mwaka huu ningewapendekeza kwenye kambi letu mje kuhudumu, kuna namna mpo serious na kile mnachokifanya, MUNGU AWABARIKI SANA.
Yani kila siku nawaz jaman lini namimi nitaimba Na watu wa mungu hawa ila naamini Kama pacha angu ameweza mimi nani nishindwa ipo siku naamini mungu azidi kuwatumia vyemaaaa
THANKS Jommy Family..
""Ni mwendo wa kushukuru tuu mpaka atupe tena"" 😊😊🔥🔥🔥
Amen 🙏
Amina
Amen
God should continue blessing you the jommy family coz u never disappoint
Amen
Amen
Ujumbe mzuri, Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia vyema..
Amina ubarikiwe pia
i like that natural hair
Amen
Barikiweni sana Wapendwa 👋🙏🙏👋
Amina
🔥🔥 muende mbaliiii
Amen
Mbarikiwe sanaaaaa❤❤
Amina
aaww sweet harmony
Amen
jamaniiiii nabarikiwa sana na uimbaji nisajili na Mimi jamani sauti ya 3
Karibu Sana
Mungu, pokea sifa🙏🏽
Amen
Jamn nashindwa hata cha kusema nyimbo zenu zinanigusa saana na ni kikund ninacho kipenda saana. Be blessed and good work
Amina barikiwa zaidi
I can't stop watching this video asee
Be blessed
Mungu azidi kuwainua ... Mnanibariki Sanaa
Amen
Great song that we need to be greatful for everything
Amen
Mungu awabariki ❤❤
Amina barikiwa pia
Nimeenda ujumbe huu
Amen
currently message... vocal haichoshi wala haiboi. 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Amen
Mziki makinifu sanaa. Nawapenda. Sifa kwa Mungu na shukurani.
Amina ubarikiwe zaidi
Amina
Jah bless you 🙏🙏
Amen
Oooooh waaaaooh. Hakika nivema kushukuru ujumbe makinisana mbarikiwe unagusa kizazi chetu cha wasio na shukurani!!
Amen ubarikiwe Sana
BARIKIWENI
Amen
i enjoy to your beautiful, wonderful,and sweetful songs and voiceses mulemba mweene from zambia lusaka
Amen be blessed much
Kakiota kangu kadogo kananitosha kwa kweli... Nashkuru sana Jomireso voice
Amina barikiwa sana
Barikiwe sana wapendwa, hakika twapaswa kushukuru
Amina Sana
MUNGU ANAFANYA KAZI NA NINYI
THAT’S WHAT WE SAY EMMANUEL
Amen
Engineer Enock mayenga
Waooohh wimbo mzurii sanaaa
@kila cku nashukuruu
Amen
Hongereni sana, wimbo ni mzuri sana na mmeimba vizuri sana,
Amina Sana
Yesu anawatumia vema kutubariki . You're doing great, Jomireso
Amen ubarikiwe
Mbarikiwe sana, kwa hii huduma Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya na kibali cha kusonga mbele
Amina Sana
Hongereni Kwa wimbo mzuri na picha nzuri
Amen barikiwa sana
Hapo mmetisha wapendwa hi!!❤
Amina barikiwa sana
Mbarikiwe sana
Amina
Blessed
Amen
Niondolee baba tabia ya ulalamishi, I wish mngeirudia mara mbili hapo na ile kibwagizo ukinipa pesa mbona si kama za yule
😍😍😍
Yes what a message. Mungu awabariki
Amina akubariki pia 🙏🙏🙏
Mungu atukuzwe...nabarikiwa kuwa sehemu ya utume huu, naendelea kushukuru.
Amen barikiwa zaidi
Kwakweli Si haba..Hongereni nice song🎉
Amen barikiwa sana
Ahsanteni sana
Amen
sing on earth expect amen from heaven
Amen
Ni jambo jema kumshukuru Mungu.
Gratitude
Mnajua bhana ukweli usemwe
Amen
@@jomiresovoicestz wimbo mzuri, sauti nzuri, MAVAZI mazuri yanasitiri mwili but jihadharini saaana msifikie level za the light bearers kwa kweli wanatudhambisha sana huku mtaani watu badala ya kusikiliza nyimbo wanaangalia mapaja yao, yaan wale wadada ni wanakela hadi basi angalieni msifikie kule
🎉 ni wimbo mzuri
Amina
Nice song, Mbarkiwe
Amina barikiwa pia
🎉🎉 chukueni maua yenu familia 😊
Amen
Ameen 🔥🔥
Mbarikiwe na Bwana mfike mbali.
Amina sana
God bless u.. 🙏🙏
Amen
Nashukuru mungu saaanaa kwayale makuu na maajabu ametenda maishani mwangu .
Nitazidi kumutumikiya maisha yangu yote
Hallelujah ❤️
Mungu azidi kuwatumia❤
Amina
Melody ❤
❤️
🙏...🎉
Kwa ufupi mnajua kunyonga nyimbo maana huu nao mmeua. Ok anyway! Hatuna budi kushukuru kwa kidogo tulichopata❤
Amina
Mngekuwa mnatoa HUDUMA kwenye sikukuu za Vibanda aisee, mwaka huu ningewapendekeza kwenye kambi letu mje kuhudumu, kuna namna mpo serious na kile mnachokifanya, MUNGU AWABARIKI SANA.
Barikiwa pia
❤❤❤mwende mbali ila msipotee
Amen
Mbarikiwe Sana. Mungu azidi kuwatumia Kwa kazi yake
Amina
waaaaaaaa, mnajua nyieee
Amen
Amen...kakiota kangu kadogo
Amen
Bonge la song,walah mmetisha Sana ❤Mbarikiwe
Amina
Nawapenda sana sana Yaani👌
❤️❤️
Ak i am blessed,,,mbarikiwa pia
Amen
Mbarkiwe sana aisee very interesting
Amen
Mungu azidi kuwainua ❤❤❤❤
Amen brother @paulrobert1546
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Amina Sana
Yani kila siku nawaz jaman lini namimi nitaimba Na watu wa mungu hawa ila naamini Kama pacha angu ameweza mimi nani nishindwa ipo siku naamini mungu azidi kuwatumia vyemaaaa
Aman🙏🙏 acha ni shukuru hata Kwa hiki kidogo.
Ni Mungu tuu
Alooooo mmepgiajee hapo
Mziki tamu
Amen
Mungu azidi kuwa bariki sanaaaa
Amen
Be blessed alot
Shukurani muhimu
Amen
Oooh waoooh, Nimefurahi kumwona rfk angu Eden🙌🏽🙌🏽
Amina
Can't stop listening to this powerful song love it so much
Amen
The best never seen
🔥
God bless you guys,,, mmetukumbusha kushukuru kwa vidogo tulivyonavyo
Amen barikiwa Sana
Mungu awabarik
Amen
Hongeren sana. Mbalikiwe nimependa❤
#thankyoulord
Mungu awabariki sanaa🙏
Amen barikiwa zaidi
Mbarikiwe mno mnaubariki ulimwengu kwa sauti zenu tamu na nudhumu hizi ziso kifani
Amen
Asante Mungu
Amina
Nyimbo zuri sana sema mbona haipo kule kwenye mfumo wa kudownlwoad nyimbo jamani😢😢😢😢 fanyeni basi kuiweka kule
Amina!!
Pole sana wimbo unapatikana kwenye digital platform zote 🙏🙏
Aman athman,,,, see you in heaven
Amen
I just love everything about you people..Mungu awabariki..
Indeed we should be thankful 🙏
Amen
Goodmusic🔥
Amen
Mnaupiga mwingi kaka Aman
AMEN
Mungu Awatunze ❤❤❤❤
Amina
Amina
Haleluya
🎉 Amina
Hallelujah
Hallelujah
May God bless you all ❤❤
Amen
Mimi mdau wa jomireso since nawaona day one kwenye status ya mtu @Mwl_wazamu from Nyabihore Secondary school Serengeti-Mara
Amen barikiwa sana
Nyabehore my school ❤️🔥🙏
Hongereni mmependeza sana
Amina
Wonderful song ❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Makini sana❤
Hallelujah
Aminaaaaaa❤❤
Haleluya
Bring more hits❤❤❤
Amen
God bless you for this wonderful piece
Amen
God bless you
Powerful
Amen ❤
amen
Hallelujah
Amen amen
Amen
Woooooooooooow 🎉
❤❤
So nice❤
Amwn
Appreciated,, With thanks.💕
Amen
Mubarikiwe sana.ni Claude NIYONGABO kutoka Burundi
Amen
Nataka munifundishe kuimba. Naomba munipe number ya coach