UKHTY: SAKINA MSHANA | HILI NDIO JAMBO LA SIRI MAREHEMU BI: PILI ABDALLAH | ALIKUA AKILIFANYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 63

  • @fatmaabdallah3849
    @fatmaabdallah3849 Год назад +15

    Innalillah wainnah ilayhi Rajiun. Nilikupenda sana Dada Sakina Mshana Allah akupokee kwa Salama na alifanye kaburi lako kuwa ni kiwanja miongoni mwa viwanja vya pepo.

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад

    Alhamndullilah rabil aalamiyn INNA LILLAH WAINA ILAYH RAJIUN YAA RABIY WALAZE PEMA PALIPO NA WEMA WAZAZI WETU NA WAISLAM WENZETU WALIOTANGULIYA MBELE YA HAKI.POLENI WAPENDWA HAKIKA NI NJIA YETU SOTE

  • @fadhilihussein6580
    @fadhilihussein6580 Год назад +8

    Ukht Sakina Juma Mshana
    Innalilah wainailayh rajiun
    Allah akuepushe na adhabu ya kabure

    • @habibashaibu5584
      @habibashaibu5584 Год назад

      Kwani alikuwa anaumwa huyu dada? Allah amuepushie na adhabu za kaburi

  • @DullyKwariko-bb8sf
    @DullyKwariko-bb8sf Год назад +1

    Da sakina nakupenda sana kwa mengi uliyokua nayo mazur ktk dini nitakuombea dua mpaka mwisho wangu mwenyezi mungu akuweke pema

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 Год назад

    Inalilah wanailh rajiuuu ALLAH amjaaliee pepo ya daraja la kwanza dada wetu kipenzi

  • @rahimajuma4633
    @rahimajuma4633 Год назад +5

    Allah akupe qauli thabit nimeshtuka Baada ya kusikia taarifa ya kifo chako mama nakukumbuka Sana

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Год назад +1

      usishtuk ila muombe dua kwan hakika ya maut huja halfa Allah amhfdh ktk njia ya khr

    • @rahimajuma4633
      @rahimajuma4633 Год назад

      @@fayeezabdallah2217 aamiy

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Год назад

      @@rahimajuma4633 biidhnllh kwa kudra zake Allah inshaAllah

  • @Mwanshabani
    @Mwanshabani Год назад

    Ukht sakina M/mungu akupokee,na sisi Maiti watarajiwa M/mungu atupe.mwaisho mwema

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 Год назад +2

    Allah akujalie jannat firdous ukhty wetu..na sie atupe mwisho mwema.

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 Год назад +3

    sakina إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @mohamedmsallah8995
    @mohamedmsallah8995 Год назад +3

    Innalillah Lillah wainna ilay-hir-rajiun. Allah mpepo mja wako Sakina Pepo ya Firdaus

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 Год назад +5

    Inna lilah Wa Inna Ilygi Rajioun Allah Amlaze pema peponi Aameen 🤲🤲

  • @ZainabKhatib-gg1xz
    @ZainabKhatib-gg1xz Год назад +4

    Innaa Lillahi wainnaa ilayhi rajiuun ukhty sakina

  • @NayfatKarist-zp3fm
    @NayfatKarist-zp3fm Год назад

    Allah akujaalie pepo ya daraja la juu inshaallah

  • @hamidahamadi
    @hamidahamadi Год назад

    Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amsamehe

  • @ZainabuKitingi
    @ZainabuKitingi Год назад

    Mwenyez Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi mama

  • @swama9820
    @swama9820 Год назад +2

    Allah awataqabalie Amali zao na awape makazi mema Peponi
    Aaamin

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Год назад

    Allah amrehemu yarrabh pema peponi

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 Год назад

    Innalillah wainna illayh rajiuun
    Allaah akujalir pepo yake ya firdaws

  • @RamadhaniBadoo
    @RamadhaniBadoo Год назад

    Allah akupe kauli dhabiti ukhty sakina

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 Год назад +1

    Inna lillah wa inna illayh rajiun, Allah akupe qhaul thabiti dada yetu❤

  • @barwani890
    @barwani890 Год назад

    Innaa lillahi wainna illay raajioon maneno alotoa ukhti sakina kabla matt yanaliza 😢😢😢

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut Год назад

    Inalih wainailh rajuun.Allah akupe kaulithabt Ameen Allahuma Ameen

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Год назад

    Subuhanallh kifo ni fumbo anale lijua ni mwenyezi mungu tuu mola wetu mpe kauli thabiti mja wako na sisi tulio nyuma yao utupe mwisho mwema

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Год назад

    Allah akurehemu dd yetu

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Год назад

    ❤❤❤❤❤sadakta ddngu Allah amrehemu amfanyie wepsi huko aliko nawewe shukran kwahutbayko lakini next time vaanikabu haifai hivyo mtume wetu Mohammad swalala lei waaleiwasalam sio Sunnah yawakezake afu haifai mwanamke surayke wazi mitandaoni yakataza jazakkah allahu kheir

  • @aishasalim7516
    @aishasalim7516 Год назад

    Mungu amlaze pema peponi ameen

  • @ZainabuKitingi
    @ZainabuKitingi Год назад

    Innallila wainallilah layyuhun

  • @user412
    @user412 Год назад +1

    Innaa lillahi wainna ilayh raajiun 😭 😭 😭 😭. Ukhty Sakina Allah akujalie wepes katika maisha yako mapya huko. Akusamehe madhambi yako na ajaalie kabri yako iwe ni miongoni mwa viwanja vya peponi. Amiin

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 года назад +2

    Allah ampe kaul thabit pamoja na wazazi wetu yarab

  • @mwajumahaji3718
    @mwajumahaji3718 Год назад

    Allah akurehemu 😢

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Год назад

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiuna
    Hakika dada yetu Sakina Mshana ametutoka amerejea kwa Allah (s w).bila shaka mauti yana siri kubwa
    Namuomba Allah amsamehe makosa yake dada yetu.

  • @maisarahnassoro814
    @maisarahnassoro814 Год назад +1

    Ukhti Sakina jamani innaa lillaahi wa innaa ilaihi raajiuun umetuacha ukhti Allaah akusaameh makosa yako

  • @salmanassoro5692
    @salmanassoro5692 Год назад +1

    Allah akusamehe dhambi zako ukhty sakina

    • @sadayusuph8406
      @sadayusuph8406 Год назад

      Dada sakina ivi nikweli umetutoka au

    • @ummybakriabedikaluta8178
      @ummybakriabedikaluta8178 Год назад

      Ukhty sakina amefariki lini mbona hii video inamuongelea marehem bi pili au sijaelewa mie

  • @MustaqimuAlly-zd5gx
    @MustaqimuAlly-zd5gx Год назад

    اللهم اغفرها

  • @Zena-h4p
    @Zena-h4p Год назад

    Ukhty sakina mungu akupe kauli thabit

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Год назад

    Allhuma frlaha warahamaha

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 года назад +1

    Allah amtakabalie amali zake

  • @yusuphmgaza5328
    @yusuphmgaza5328 Год назад

    Inalilah wa ina lilah lajuuni

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 Год назад

    Aaameen

  • @barwani890
    @barwani890 Год назад

    Allah akupokelee kitabu chaos kwa mkono wa kulia

  • @ahmadsalim4417
    @ahmadsalim4417 Год назад

    Innaalillaahi wainnaaileyh raajiuun

  • @abuusaidy1506
    @abuusaidy1506 Год назад +1

    Innalillah wainna illahi rajiun

  • @MwadhanAlly-pw2ok
    @MwadhanAlly-pw2ok Год назад

    😢😢

  • @fatmaomari7824
    @fatmaomari7824 Год назад +1

    Innalillahi wainna ilaihi Rajiun

  • @ommygmzimba753
    @ommygmzimba753 Год назад

    ان لله وان اليه راجعون 😥
    Leo na wewe Allah akupe kauli dhabiti

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 Год назад

    Allah ajaalie kabur yake miongoni mwa viwanja vya peponi ....

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw Год назад

    Dada sakina allah akusemee da wewe haupo

  • @Zainab-d8r4v
    @Zainab-d8r4v Год назад +2

    Innalillah wainna ilayhi rajiun

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 Год назад

    Innalillah wainna ilayhi rajiwn

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 Год назад

    Innalillahy wainna ilaaih raajiun