bwana yesu kristo atukuzwe baba miye nilota tuna henda fasi ,waka tupangia chakula ila, légume ili kuwa mchele usiyo pikwa kwenye moto,nilipo hona hule mchele mbichi mimi nika kataa kula kile chakula,ila wengine walikula,na homba fafsiri baba 👏
Bwana yesu asifiwe mchungaji niliota nimepita dukani nikauona mchele kwenye Ndoo umejaa na ni mzuriii wakupendeza nikaenda nikaununua nikautia maji nikauosha tena ukawa mzuri zaiiidi kuliko nikawa naosha uku nikiwa ninafurahia ulivo mzuriii maana yake nn baba
Plau iko kwenye kisufuria kinangaa mtt wa kichaw anakula sijui kaingiaje ndan nimefunga mlango nikaufungua mlango akatoka njeee .maana yake nn uyo mtt anatembelea mikono km nyani
Niko Tanzania naitwa Charles,nimeota natakiwa kutahiriwa ili hali nimeshathiriwa ila aliyepaswa kunifanyia circumsicion ni marehemu baba mdogo nashangazi anatakiwa ndiye asimamie hiyo ceremony lakini pembeni ukaletwa mchele mwingi at the same time nasubiria gari mpya kubwa
Kuota unapika mchele si nzuri kiroho kama ni mama au Binti inaashiria uamuzi ambao unachukua au mwelekeo si mzuri,kama ni baba au kaka unapoteza heshima yako pia inaonyesha utukufu wako umefungwa au nafsi Yako imetiwa sumu
Nami niliota kuwa dada yangu amepika wali kisha iyo wali ilikuwa kabeji na avokado imekatwa,ni yangu ilikuwa mingi nikamuganyia aliekuwa shemeji yangu.
@@revpeternjihiapastor mi nimeota nakula wali baadae ule wali naona umebadilika kuwa mchele mkavu nikauweka kwenye ungo nakuanza kupepeta nini maana yake
Mimi nimeota napika pilau lakini ile supu yake ikamwagika na at the same time nala nyama mbichi na pia kulikuwa na watu wengi walio alikwa na pilau alikuwa haitatosha
Nimeota kuna mtu ananiwekea pilao mkonon mimi nakula alafu pia nikaota nimeenda kanisan nimevua viatu nikaingia kanisan natafuta maji ya Barak nikakuta yameisha wakasema yamebak kidog akawa wanamwag na mimi yaje maji ya Barak a yakawa yananimwajikia
Nimeota nilikuwa napita njiani nikaona mchele umetupwa nikajiuliza huuchele nani kautupa alafu huo mchele upo ndani ya kiroba mwengine umemwagika alafu umenyeshewa na mvua huo mchele
Bwana Yesu asifiwe pastor and all sons and daughters of the most High Lord
Mwenyez Mungu naomba anisimamie katika maisha yangu Amen 🙏
bwana yesu kristo atukuzwe baba miye nilota tuna henda fasi ,waka tupangia chakula ila, légume ili kuwa mchele usiyo pikwa kwenye moto,nilipo hona hule mchele mbichi mimi nika kataa kula kile chakula,ila wengine walikula,na homba fafsiri baba 👏
Mm niliota nikikula wali na marangwe lkn sikuku marangwe nilizichangua
Mungu wa mbinguni akupee maisha marefu uzidi kutusadia
Amina
Amina mtumishi barikiwa sana
Bwana yesu asifiwe mm nimeota niko dukani nanunua mchele
Aminaa
Na ukiota umeona sister nyako amepikia watoto usiowajua mchele kisha nikaenda kuangalia ule mchele wangu nilikuwa nimeiweka kwa kateina nyangu imepungua amepakia kidongo kumuuliza tukaanza kungombana,inamaana ngani
Much mm nimeota navuna mpunga shambani Niko na binti yangu
Asante kwa somo
Mtumishi nimeota mpunga umestaw sana sana nikawa nasema mwenye mpunga huu anabahat sana
Bwana yesu asifiwe mchungaji niliota nimepita dukani nikauona mchele kwenye Ndoo umejaa na ni mzuriii wakupendeza nikaenda nikaununua nikautia maji nikauosha tena ukawa mzuri zaiiidi kuliko nikawa naosha uku nikiwa ninafurahia ulivo mzuriii maana yake nn baba
Bwana yesu asifiwe me nimeota nakula pilau
Asante mtumishi nimeota usiku wa leo
Mungu naomba niepushe na mambaya yote
Mnaongea Sana simuwe mnataafasli tuu
Amen
Àmeen Hallelujah
Nice
Ameen
Bwana yesu asifiwe Mutumishi wangu mimi nimewota Muchel umo emo bitorwa sijuwi inamanisha Nini?
Mm nimeota nakunywa mafuta ya kula
Mm nmeota chumban kwa boss wangu kumemwagika mchele nikawa nazoa, nakusanya uwo mchele
Amen 🙏🙏🙏
Bwana yesu asifiwe
Niliota ninaona mchele mwingi sana kanisani nikapewa kg nyingi tu pia nikapewa kazi ya kuwagawia na wengine
Blessings Apostle
ruclips.net/user/live9ObJM3ZefNU?feature=share
Mchungaji nimeota naocha mhelele alafu Kuna mchango mwingi sana
Nimeota shamba lampunga umeiva halafu limepaliliwa jeupe halafu upande wa pili shamba halijaliliwa nawanavuna Nini maana yake
Naomba maombi yko mchungaji
Mungu wangu mimi nimeota nakula wali na maini nikiwa na mtoto wangu watu wengine siwajui
Plau iko kwenye kisufuria kinangaa mtt wa kichaw anakula sijui kaingiaje ndan nimefunga mlango nikaufungua mlango akatoka njeee .maana yake nn uyo mtt anatembelea mikono km nyani
Nimeota napewa wali na nikala akaniuliza hauli ugali nikasema hapana sasa sijaielewa
Mimi ni meota napinga wali hika wangika
mimeota mume wangu ana niletea mifuko tatu ya mchele na tuko na mpango wa safari.
Niko Tanzania naitwa Charles,nimeota natakiwa kutahiriwa ili hali nimeshathiriwa ila aliyepaswa kunifanyia circumsicion ni marehemu baba mdogo nashangazi anatakiwa ndiye asimamie hiyo ceremony lakini pembeni ukaletwa mchele mwingi at the same time nasubiria gari mpya kubwa
Mm nimeota tupo wat wengi tunachambua mchele mwingi alaf mzuri lkn ulichanganyina na nafaka ya njegere.
Nime ota nina andaa Samaki Kwa wali kwaajili ya Mtumishi ambae alikuwa akienda kuwa Batizwa watu baadaye nami pia nika hitaji kubatizwa
1st Corinthians 9vs8
Kuota na mchele;Inaashiria......
1happiness
2kuburudika
3utapata mgeni wa maana
4Good News in family
5achievment
Kuota unapika mchele si nzuri kiroho kama ni mama au Binti inaashiria uamuzi ambao unachukua au mwelekeo si mzuri,kama ni baba au kaka unapoteza heshima yako pia inaonyesha utukufu wako umefungwa au nafsi Yako imetiwa sumu
Kuota unakula wali inaonyesha Kuna kifungo Cha shetani maishani mwako
Nimeota nakula wali Kwa supu ya samaki
Kuota unakula wali na njegere mnakula watu wengi ina maana gani?
Nami niliota kuwa dada yangu amepika wali kisha iyo wali ilikuwa kabeji na avokado imekatwa,ni yangu ilikuwa mingi nikamuganyia aliekuwa shemeji yangu.
Nimeota Nikiwa shambani tulikua natoa Mchele lakini shamba hili la mchele lilikuwa kubwa sana namchele hui ulikuwa umevuna sana inaamanisha nini baba
Mm niliota nimeenda sokoni kununua mchele na tumepanga foleni tuko wengi nilipo karibia Mimi sikuhudumiwa na ndoto ikaishia hapo kabla sijahudumiwa
Mwenye namba ya mchungaji naomba anipe tafadhali
+254706945821
@@revpeternjihiapastor mi nimeota nakula wali baadae ule wali naona umebadilika kuwa mchele mkavu nikauweka kwenye ungo nakuanza kupepeta nini maana yake
Mtumsh bwana asifiw moto kaniambiya kaota nauza Michele na wateja niwengi sana
Nimeota nakula mchele ambao aujapikwa nakula ulio loekwa tuu
Mm niliota nakula makoko wa wali ambao uko kwenye mfuko ambao upo pembezoni mwa nyumba nisio jua na nilikua na mama nisie mjua
Mimi nimeota napika pilau lakini ile supu yake ikamwagika na at the same time nala nyama mbichi na pia kulikuwa na watu wengi walio alikwa na pilau alikuwa haitatosha
Nimeota mtu kaniletea Michele kwenye kindoo kachanganya karanga na ngano
Mm niliota nmeachiwa mchele kwenye sahani iliojaa lakini mchele huo ulitolewa nyama zote
Nimeota najisaidia kwenye mchele ambao umemwagwa kwenye turu ai halafu nikafukia ilikua haja kubwa
ukiota umepika pirau nzuri nikakuta biti yangu kaweka kwenye hotipoti inamaanisha nini
Ukiota kama umeva machoine inamana gani?
ukiota unauosha mchele je?
Mm nliota ni na buy wtu mchele na mbosho,ina Manisha nn
Mm nimeota mtu ananipa Michele na maziwa mgando
Na ukiota ety brother yko anakwambia ety shangazi yko anasema anahitaji kukula mchele.
❤❤❤
Moto ameniambia ameota Mimi nauza Michele na wateja ni wengi
Ukiota mtu ameenda kazi na amerudi na haiingii ndani ya nyumba yake.n nn?
Nakuota ukila superghet Ile mirefumirefu
Pastar nimeota nachambua mchele yule mtu aliye niuzia akawa amechanganya na dagaa mimi nikachambua dagaa nikamludishia nikamwambia naomba mchele tu.dagaaa toa akatoa ila akakasilika
Mimi nimeota nimeenda kwa kak yangu kapik mchel nikamwambia anipe akaniambia nikidogo chukia huu mbichi ukapike akanipnmchel kama robo ivi mbichi nikawa nimeshika lakin sikupenda kupik sijui ndot iliishia wap
Nimeota kuna mtu ananiwekea pilao mkonon mimi nakula alafu pia nikaota nimeenda kanisan nimevua viatu nikaingia kanisan natafuta maji ya Barak nikakuta yameisha wakasema yamebak kidog akawa wanamwag na mimi yaje maji ya Barak a yakawa yananimwajikia
Nimeota niko mashineni nimepewa mchele na mpendwa nikaweka kwenye kiloba nikajitwisha
Najee ukiota nyumba kubwa na nizuri sana nanilikuwa nikifanya usafi kwahiyo nyumba
😭😭🚶🚶🙏 Mtumishi wa Mungu
Nimeota nilikuwa napita njiani nikaona mchele umetupwa nikajiuliza huuchele nani kautupa alafu huo mchele upo ndani ya kiroba mwengine umemwagika alafu umenyeshewa na mvua huo mchele
Mimi nimeota napaki mchele kwagunia na sukari kidogo kwakaratasi
Bwana asifiwe mtumishi naomba uniambie nimeota mchumba wangu ananipikia mchele nyumbani kwangu ila sijamuoa
Mi nimeota Niko na duka Sina mchele nikamwagiza mke wangu akatafute pengine alete ila sijauona mchele mikashtuka
Una ambiwa mhusishe mkeo kwa mipango yako na utafaulu, mkeo ako na kipawa unautaji kama unaitaji kuendelea maishani
Habari ya mchungaji, nimeota nimepika mchele nagawia watoto na watu wazima, inamaanisha nini
Nimeota nakula wali baadae kidogo ule wali ukabadilika kuwa mkavu nikaweka kwenye ungo nakuanza kuupepeta nini maana yake
Niliota naosha mchele
Mimi nimeota nakila wali na samaki ila tulikua wengi
Ndoto niliotoa viongozi wanasafisha uwanja wetu Ili wajenge shule ndoto hiyo mchungaji inamaanisha nn
Na ukiota umeona mchele uliopikwa je
Ukiota mchele umelowa maji kwenye gunia
Endless uko poa na unaendelea🎉
ukiota umeokota miwani mingi inamaanisha nn
Fafanua mtumishi kuhusu mpunga
Niliota biashara yangu imepotea wakaniambia mwizi k
Mimi nimeota nikipewa mchele imeiva na huyu mtu ni mchugaji na si wakanisa yangu
Mtumishi ubarikiwe na Bwana minimeota sifuriya 2 zinaja Wali wakupikwa mana yake nini tafazali
Je ukiota unakusanya mchele ndani ya kiromba
Bwana asifiwe Mimi nimeota mwalimu wangu wa shule ya msingi akaniambia nikampikie pilau
Kuota unapewa unga wa kupikia
Niliota napima mchele kwenye mzani sijui hapo ilimaanisha nini mchungaji
Mke wa shemeji wangu aliota anani lisha mchele nikapona ugonjwa inamanisha nini
Mbona kuusu mupunga ?tunaitaji nasi
Naukiota umebeba kiloba cha mchele kichwani
Mim nmeota gunia lamchele nilipolitoboa nikakutana napumba nini maana yake
Makita unatafuna machine mubichi
Ndoto nauza mchele mbichi
Je ukiota unserved watu mchele
ruclips.net/user/live9ObJM3ZefNU?feature=share
Nimeota shamba lampunga umeiva halafu limepaliliwa jeupe halafu upande wa pili shamba halijapaliliwa halafu kuna watu wanavuna Nini maana yake
Na ukiota unapea watu mcjele
Ninalota nakula pilau enye nimepewa n'a mutu
Mimi nimeota na kula mchele
Naitwa zamda,nimeota nakula pirau nawatu wengi nikiwa nafuraha
Kuota unapewa zawadi na rafiki Yako zayadi ya Mchele na maharage manaake nini