Naipenda sana Simba ila naomba kwenye dabi ya tar 8 kuna watu wawili msiwapange kabisa hawaendani na kasi ya timu kuna NGOMA na MZAMILU hao wapumzike kidogo maana wanapoza san mpira.
Nime fwatilia thaman ya meewani ya Boss Mo ukiiuza ndio sawa na utajili Wa GSM Nataka nijitoe ufaamu skuyake nimpokonye liwalo naliwe lengo na mimi nikawe muwekezaji wa yanga tuwe mi na GSM
Tuna namba 9 za aina sote mbili tunazo sasa yupo ambae hakai eneo moja anaefanya mikimbio mingi kama alivyo dube na yule Fred ambaye ni kama Fulkrug alivyo
@@emmanuelyunza2727 Kwa wewe ambae umebweteka sehem moja , na umezoea kuangali kitu kimoja ndio unasema hakuna.. ( BRO YOU HAVE TO THINK OUT OF THE BOX ) ... Striker ( Pure no. 9 ) wapo ambao wanaweza kukupa goli kwenye kila nafasi ... Kinachotakiwa kufanyika ni maamuzi tuu , kata mti mbovu panda mti mzuri ... Scounting yupo kabla dirisha kufungwa timu inahitaji striker .. atapatikana .. kama mimi sio scounting iweje najua wapo wewe uliyezoea kuona kitu kimoja ndio unasema hakuna.. Striker NO. 9 wapo , watafutwe kwama kweli wataona mapungufu ya pale mbele..
Simba tunakikos chamoto hatary ❤❤❤❤
Simba ilicheza kwa speed kubwa sana. What a performance, what a hit ,what a players. Ubingwa wetu mwaka huu.
Utopolo watakoma mwaka huuu simba naipenda Sana timu yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤ubaya ubwera❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba ya moto🔥🔥
Nguvu moja 👍 👍 👍
Nguvu moja😊
Hii ni bahati kubwa Sana kuishabikia Simba na kuipenda hii timu kubwa barani afrika ahsant Mungu 🦁 🦁🦁❤❤❤
😊😊😊❤❤❤❤
Wafanyieni dua wachezaji wetu jaman walindeniii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ❣️, all in all komasava wana msimbazi🎉
Simba sport club ubaya ibaki kua simba tu
Kweli ubaya ubwela
Coach waelekeze wachezaji wako waache uchoyo wataenda vizuri
❤naipenda simba
Sisi ndio Simba ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉💯😍
naipenda simba sana zaidi ya sana
Mwamba wa umalila mbaraka edson mpenja, mungu akulinde unajua kutanngaza mpira, hongera sana mpenja edson💪🇵🇪🙏🇹🇿
🎉🎉
Ubaya ubwela TU. 🦁Nguvu moja
Ney naipenda Simba yangu jamani tuendlee kuiombea ili tar. 8 tukatoboe ewe radi mariza haooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani wana simba tuwaombe wachezaji ❤❤wetu all na all all 🎉🎉🎉🎉🎉
Ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤❤
Sana simba chemistry ishaanza kukaa vzr
Ubaya ubwela🦁🔥🔥
Ubaya ubwelaaaa❤
Naipenda munoooo
Simba❤❤❤
Ubaya ubwela🦁💪 1
Waooooooo
Hatarii sana Simba mpya ndo hii xaxa 🤜🤛🦁🦁🦁
Ubaya ubwela ❤
Mnyama,anafanya mambo makubwa ndani ya uwanja.ubaya ubwelaaaaaaa
Ubaya Ubwela 🔥🔥 🎉
Ubaya ubwela🦁💪🏻✌️
Ubayaa ubwelaaa kufa mtuuu💪
Simba bingwaaa🎉
Unaipenda Simba. kama mimi??????????
Simba ndo furaha yangu hata shemeji yenu akinikera sana simba ndo inanituliza hasira zangu
Nguvu moja..💪
Don't try to go brother, familia bado inakuhitaji!!!!!!! Mpenja utaniuwaaaaa
Ubaya
UBAYA UBWELA
Wᴀ kwanza kucoment wa Kwanza Kulike naombeni mauwa yangu wana Simba Wenzangu 🎉
Hayo mauwa yako😂😢🎉😢😮😅❤❤❤
Yamenyauka maua!
🌹🌹🌹🌹🥀🌹🌹🌹🌹🌹
🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴
🌺🌺🌺
Baraka mpenja🎉
Simba nguvu mojaaa UBAYA UBWELA
Jezi nyeupe tamu sana
❤❤❤❤ubaya ubwele
Nikiwa bored nakuja kuangalia Ubaya Ubwela then mood inakuwa muruwaa😊😊
😂😂😂😂😂😂 inakuwa murua vibaya mnooo kiukweli
Tupo wengi😂😂😂❤
Oyooo
Aise kumbe Simba walicheza vizuri hivi aise
Natumaini kesho tushinda dhidi ya timu ya Libia
@@kristofuraha Tumuombe Mungu
Ujaona au😂😂😂😂😂😂
@@irenekamata845 siku angalia live siku ya mechi
Simbaaa nguvu mojaaa
😂😂😂😊😊nguvu moja
Ubaya ubwela ❤❤😂😂😂
Wakizoeana watakuwa good zaid
Ubaya ubwela ❤❤❤❤
❤ one love
Unajua
Sio poa
Unyama mwingi
Timu ni moja tanzania simba ngufu moja
First 11 is Camara, karabou,Malone, Hussein, Kijili, Okejepha, Fernandez,Balua,Mutale, Charles and Mukwala.
Duuu
Awesu vipi
Naye Yuko vzr
❤
Ilovee you simbaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Simba tunatengeneza kikos Ila talehe 8.8.2024 tuwaue aho Cobe 🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢 ubaya ubwela
Noma sana
Simba nguvu moja ubaya ubwela
😢Simba IP vizr sn sit acha kui sangria Simba alive
❤❤❤❤❤❤mwaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Sijapenda
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 Inshallah 2025 SOLD OUT
Sumba nguvu moya
Regardez le gardien de apr comment il a réagi sur le premier vut😂😂😂😂
SIMBA NGUVU MOJA MSIMU HUUU ATUTAKI KUA NYUMA
Napenda mechi za simba atangaze mpenja tu
@@ibuttigereji647 kabisaaaaaa🌹🌹🌹🌹🌹
@@ibuttigereji647 kabisa aaaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Naipenda sana Simba ila naomba kwenye dabi ya tar 8 kuna watu wawili msiwapange kabisa hawaendani na kasi ya timu kuna NGOMA na MZAMILU hao wapumzike
kidogo maana wanapoza san mpira.
Duuh utakua una maono ya mpira wako peke yako
@@allandavid752Ww ndo utoe UTOPOLO wako unadhani Nani hajui mpira unaogopa tutawafinyia kwa ndani eenh???😂😂
0:11 My team
Allah atakufanyia wepec inshaAllah
Ubaya ubwelaaaaaa
Nmeangalia tena leo 02/01/2025 huyu kayoko aliyatimba 2024 tusiwe tunampa mechi zetu za kirafik
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys🎉🎉🎉🎉🎉
Balaaa kubwa
Umu tuuuu
Nime fwatilia thaman ya meewani ya Boss Mo ukiiuza ndio sawa na utajili Wa GSM
Nataka nijitoe ufaamu skuyake nimpokonye liwalo naliwe lengo na mimi nikawe muwekezaji wa yanga tuwe mi na GSM
Nahitakia Simba huxhindi tare 8 Simba nguvu moja
Nguvu moja
🅄🄱🄰🅈🄰 🅄🄱🄴🄻🄰 🎉😊
Unyama mwingi😅
Raha ya timu kubwa Africa achana na uchafu wa mazingira
😂😂😂😂
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Weken highlights ya dk 70 haitoxh hiii😊
Huu ndo mpira ulichezwa kwa viwango vya kimataifa
Ubaya ubwela
Nc
NASEMA TENA... SIMBA SC INAHITAJI PURE NO. 9 / CENTER FORWARD AMBAYE KWENYE KILA NAFASI 3 ATATUPIA 1 AU 2
Ahahahah😅😅 huyo mchezaji labda ukamtengeneze mwenyew aje simba dunia ya sasa huwezi pata pure no.9 wa nafasi tatu anafunga mbili au moja
Tuna namba 9 za aina sote mbili tunazo sasa yupo ambae hakai eneo moja anaefanya mikimbio mingi kama alivyo dube na yule Fred ambaye ni kama Fulkrug alivyo
@@emmanuelyunza2727 Kwa wewe ambae umebweteka sehem moja , na umezoea kuangali kitu kimoja ndio unasema hakuna.. ( BRO YOU HAVE TO THINK OUT OF THE BOX ) ...
Striker ( Pure no. 9 ) wapo ambao wanaweza kukupa goli kwenye kila nafasi ...
Kinachotakiwa kufanyika ni maamuzi tuu , kata mti mbovu panda mti mzuri ... Scounting yupo kabla dirisha kufungwa timu inahitaji striker .. atapatikana .. kama mimi sio scounting iweje najua wapo wewe uliyezoea kuona kitu kimoja ndio unasema hakuna..
Striker NO. 9 wapo , watafutwe kwama kweli wataona mapungufu ya pale mbele..
N ukweli
Timu Inarizisha
Naomba maua yangu
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Kiukweli huyu mutale ametumiya akili kubwa sana
Wachezaj wa kawaida sana
Mnao Angalia Leo
🎉🎉
Aprfc ubaya ubwera
Jamani tuliekosa amuwezi kutuwekea full mach
Ilaaa disconnector hatar snaa dadeki mpenja anakwambia kipa angeongez kwend juu angekuf😂😂😂😂
SIMBAAAAAAAAA
Kuna maisha baada ya boli blaza in mpenja voice😂
❤😮😮❤