GB 64 AFURAHIA YANGA KUFUNGWA NA AZAM/ WAMEBANDULIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 189

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws День назад +10

    GB 64,uko sahihi. Umekuwa unaongea mara nyingi kuhusu timu kufungwa comes around goes around. Your true. That's true my brother.

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 День назад +10

    KADI YA BEKI TU, NDO WATU WANAPOTEANA, YANGA WAMEFANYA KILA KITU LEO, JAPO KWA UPUNGUFU WAO. REFER HUYU HAJAPEWA BAHASHA NIMEAMINI

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z День назад +5

    Kaka kweli. Uchawi una mwisho wake.Leo wamekomeshwa na Azam. Simba daima juu juu,We kuweza😁😁😁😁

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 День назад +8

    Utopolo mnateseka mkiwa wapi hahahaha 😂😂😂😂

    • @HajiAliSaid
      @HajiAliSaid День назад

      Tunateseka tukiwa kirereni 😂😂😂😂😂

  • @IsaacNyoni-gb9dw
    @IsaacNyoni-gb9dw День назад +24

    Aya utopolo wamecheza dk 102 😢😢😢 Aya semeni Sasa sis waliongeza sita tukacheza 7 wao yanga waliongeza saba wakacheza dk 12 Sasa hahahaha ubaya ubwela

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k День назад +11

    Yanga hii inafungwajeee 😅😅😅😅😅😅

  • @petertimothy7882
    @petertimothy7882 День назад +8

    GB 64 nakukubali sana . Msema kweli mpenzi wa Mungu.

  • @albextboymanfromkigoma
    @albextboymanfromkigoma День назад +7

    Ningekua dar Leo pangechimbik azam timu pendwa💝💝💝

  • @AzizNassor-r8j
    @AzizNassor-r8j День назад +2

    Mchome choko tu gb64 we ndo mwamba unaipenda simba moyoni kabisa nakuelewa sana upo lili mungu akuongoze bro gb64 simba nguvu1 ubaya ubwela

  • @hamisiyoyo5847
    @hamisiyoyo5847 День назад +1

    VERY TRUE yaani kwann Viongozi wasikupe usemaji wa tim uko vizuri saaana na unauchungu wa kweli na SIMBA na unaujua MPIRA vizuri kimenasia duuh yaani sasa hivi UTWOPWAX ni wasimbe ma cd😅😅😅😅Gb64 wee ni noma😂😂😂😂

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 2 дня назад +21

    Bila uchawi na kuhonga marefa Yanga Hannah kitu bwashee

    • @FredyBennymassawe
      @FredyBennymassawe День назад

      Acheni kuamini uchawi ndugu kama uchawi unasaidia kwenye mpira mbona sumbawanga hamna timu ya mpira? Wafanye iwepo bas hata ya kichawi

    • @shafimussa-u6r
      @shafimussa-u6r День назад

      kweli

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 День назад +5

    Kayoko fc jamani mtedwa akitendewa poleni 😂😂😂😂😂😂😂

  • @neemaramadhan-z9p
    @neemaramadhan-z9p День назад +31

    😂😂😂😂😂😂 nina furaha mwezenu kuna mbwa wa yanga kajichanganya amesema yanga akifungwa na azam ananunua nyama kilo 😅😅

    • @AnordVedasto-c1b
      @AnordVedasto-c1b День назад +1

      Au Mr dog n ww

    • @shemsiajuma9113
      @shemsiajuma9113 День назад +1

      ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂❤❤❤

    • @MNYARUALIM
      @MNYARUALIM День назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @LovelyBoardGames-no6lw
      @LovelyBoardGames-no6lw День назад +2

      # nakumamake yule msoma mashairi wao msenge msenge anaekuja znz ktk activities za kiserikali yupo wapi Leo Kuma nyoko ety msoma mashairi mashairi Gani mashairi anasoma km mauzinde mashairi wenyewe wazenj sio ww masifa fala weee mau ukifungwa soma mashairi Yako bc ........

    • @JikibaJseven
      @JikibaJseven День назад

      Mwaka huu
      Ubaya ubwera

  • @MELTONMAHENGE
    @MELTONMAHENGE День назад +11

    Yanga cfa nyng wameona kubebwa Leo wameyaksnyaga duuuuuu

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj День назад +5

    Wameitwa wakaitika ,fair game best results 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d День назад +4

    Hatimae nyuma mwiko yaliwa kiboga na kunyanduliwa na azam nyuma hakuna mwiko

  • @elikmtes
    @elikmtes День назад +6

    Wao kina nani hawana adabu refa Leo safi

  • @baziljohn
    @baziljohn День назад +2

    Nimeamini baca ni tegemezi sana pale yanga

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 День назад +9

    Rjiga ni Mwamuzi wa FIFA sasa hawezi fanya upuuzi wa Nibebee

  • @noelpetro2089
    @noelpetro2089 2 дня назад +12

    nimeflah sanaaa leo 😂😂

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 2 дня назад +7

    Supu imechacha bahasha zimekatariwa

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 День назад +2

    Huyu referee hakuhongwa, poor referee has missed on millions

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk День назад +6

    Wazeeee wameanza kupoteana kmk😂

  • @SafinaHemed
    @SafinaHemed День назад +3

    Yanga hii unaifungajeeee

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 День назад +3

    Dakika 102 ila imenasia ndani😂

  • @hassanisebarua1322
    @hassanisebarua1322 День назад +1

    Huyuu refaaa kachezesha haki wao ni wakina nan Kila siku washindee wao

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 дня назад +6

    Ulozi umewaponza utopwinyoooh

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 часа назад +1

    ARAJIGA NI REFA BORA SANA INAFAA AKACHEZESHE LIGI ZA NCHI ZA NJE. ANA FAA CAF. HONGERA SANA ARAJIGA.

  • @BITEBOKHALID
    @BITEBOKHALID День назад +1

    Yanga Leo imekatwa marinda mbwambwambwa

  • @GudielJohnson-kk3fo
    @GudielJohnson-kk3fo День назад +1

    Azam wana mashabiki tangu lini mashabiki wa azam ndiyo hao hao wa simba na yanga

  • @OswardMwambete-en5uk
    @OswardMwambete-en5uk День назад +2

    Arajiga Kashapewa kazi na CAFF Ameisha Jitambua Nampa Heshima yake.Anastahili Kuteuliwa na CAFF

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День назад +2

    Uchwawi umewarudia

  • @MwanahawaMaunga
    @MwanahawaMaunga 2 дня назад +6

    Waambie utopolo hao maana hawajielewi.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa День назад

      Tulia mtani ligi bado na tutakutana tena kipigo Kiko pale pale Azam tumemchapa mara kibao tu

  • @hamisiyoyo5847
    @hamisiyoyo5847 День назад

    Duuh shangingi😂😂😂yawezekana eeeh😅😅😅

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 День назад +1

    BACA amewa chomesha gongo wazi akidhani mbeleko zitaendelea.... Marefa wamewastukia mnawaharibia CV zao

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix День назад +4

    mchome ni bahasha anafilwa

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 День назад +1

    Ila mimi nnimefurahi kushinda watu woooooooote❤ Simba Mwaaaaa

    • @neemamwijage
      @neemamwijage День назад

      Hunizidi mm nimefurahi sana tena sana

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 День назад +1

    Azam hawarogeki wanaijua hiyooooooo 😁😁mchawi haji kwenye mwanga kiboko yake taa wachawi fc

  • @HassaniNakumbwa
    @HassaniNakumbwa День назад +1

    hawa yanga hawajitambui kimpira hawajui kwamba hakuna timu isiyofungwa na maana walipaniki kwenye mchezo

  • @MsafiriPaulo
    @MsafiriPaulo День назад +1

    Yanga chali na azam

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 часа назад

    ARAJIGA HATAKI NIBEBE SAFI SANA MWAMBA

  • @BarikiOmbay-i6q
    @BarikiOmbay-i6q 2 дня назад +10

    Yanga mko wap mbn hamkoment🐸🐸🐸

    • @AbdulySaidi-o8b
      @AbdulySaidi-o8b День назад +1

      Mimi hapa yanga tupo imara

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl День назад +1

      Tuko vizr siku moja lazima tutoe offer bwana 😂

    • @AlbertLambert-b4p
      @AlbertLambert-b4p День назад

      Wa meenda kusubiri supu. Jangwan, sa cjui itakuaje. Wam rambwa.

  • @KayembaRashid
    @KayembaRashid 7 часов назад

    Hata. Azam. Alikuwa. Apewe. Penality..msindo. Alipigwanandani. Yabokisi. Na. Mdathili

  • @SamuelMarwa-z3h
    @SamuelMarwa-z3h День назад +2

    Da hakuna siku niliyo enjoy kama leo jaman

  • @Ba63828
    @Ba63828 День назад

    YANGA CHAMPIONS 24/25 BISHA. HALAFU WEWE USIIGIZE WIMBO SAUTI YAKO MBAYA

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme День назад

    Hamna Tim pale ni ushenzi unao fanyika nyuma mwiko

  • @Amne_ggg6
    @Amne_ggg6 День назад

    Nakukubali sana GB 64 upo sahihi kila siku

  • @mariammustafa-l8x
    @mariammustafa-l8x День назад +1

    😂😂😂😂😂 asante Mungu ubaya

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 День назад

    Yanga ni team kubwa kweli.
    Vichaaa nao wapo kazini

  • @JenifaDenisi
    @JenifaDenisi День назад

    Nilifurahi mnooooooo

  • @asajilemwamundela1220
    @asajilemwamundela1220 День назад

    Hahahahahahahhaaaaaa hatari sana soka bwana dah mchezo katili sana

  • @ISSAJR-fo5nt
    @ISSAJR-fo5nt День назад

    Leo hatujafungwa na makolo lakini.....rudi kigoma wew..na yule hakua mtu wa mwisho...

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 День назад

    Bro sahihi,pale Baka alikosea na kujisahau

  • @BITEBOKHALID
    @BITEBOKHALID День назад

    Wachezaji Leo wamepakwa mafuta ya P didi

  • @SeveriniChristopher
    @SeveriniChristopher День назад

    Ila hamjatufunga nyie makolo kama ww Mzee ulie kosanga akili hua unalopoka

  • @SabasMgema
    @SabasMgema День назад

    hahaha 😂😂😂😂 subilini lingi Bado kafungwa ila Bado Yuko kileleni huo ndo utamu sasa

  • @GudielJohnson-kk3fo
    @GudielJohnson-kk3fo День назад

    Ndiyo maana waliopiga kelele magoli ya simba dhidi ya azam ndio haohao utopolo

  • @edwardmasunga9654
    @edwardmasunga9654 2 дня назад +3

    uko sahihi mwamba

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 День назад

    Wewe GB ongea ila simba nafasi 6 inawausu

  • @WilisonSeth-b4o
    @WilisonSeth-b4o 21 час назад

    Aweke sukali, nooooo mejick

  • @YunusiKHatibu
    @YunusiKHatibu День назад

    Hao yanga wamevunjwa bikra jana

  • @MichaelMwampashi-jr8cs
    @MichaelMwampashi-jr8cs День назад +2

    Wame bikiriwa

    • @shemsiajuma9113
      @shemsiajuma9113 День назад

      😂😂😂😂😂😂❤❤love simba ❤

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 День назад +1

    Nawewe tumekubandua mara 4😅

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 День назад

      Sisi tulikubandua miaka 9 mfululizo ushindi wako ulikuwa sare😂😂😂😂😂

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День назад

    Wamenyimwa penati Azam

  • @TheresiaFransic
    @TheresiaFransic День назад +1

    Bor pia maan vihelehel vipungue walikuw na midm mirf kam chuchung

  • @FredyBennymassawe
    @FredyBennymassawe День назад

    Mtasema sana ila yanga bado bingwa tuu 😂😂😂 poleni ubaya ubwela ushindi wa azam mnashangilia nyie tushawapa misimu kumi huu ni wa 4 bado 6 yanga kuwa bingwa😂😂😂

  • @InnocentMwepa
    @InnocentMwepa День назад

    Hata ukiyaambia Yao majitu ya yanga hayaelewi

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 День назад

    Alajinga mnansifia sindo alosimamia dabi mana kula tano na yanga au leo mmesahau ila makolo 😢😢😢😢😢😢

  • @gamakykyara4295
    @gamakykyara4295 День назад

    Wachezaji wa Yanga wanacheza kwa ahadi, wacheze kama professionals. Kama unajua kazi yako huhutaji supu. Marefa wa Tz simamieni sheria ili mchezeshe mechi za FIFA.

  • @VitusLawa
    @VitusLawa День назад

    Utoplo mwaka huu watamaliza nafasi ya3 au ya4

  • @cosmasluwanja7394
    @cosmasluwanja7394 День назад

    Heri kupoteza na Azam kuliko kupoteza na Simba

    • @desolz3809
      @desolz3809 День назад +1

      Bikra ikitolewa imetolewa tu hata kama kwa bisibisi😂😂😂

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 День назад

    Yanga anaweza kuifunga simba tu

  • @MenadiKidenya
    @MenadiKidenya День назад +1

    Wameshenyetwa

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws День назад

    Klabu bingwa Yanga mmmh!

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe День назад

    WW c ushabanduliwa CKU NYINGI.

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx День назад

    Tunaweka we kerekwa na ujinga wako,usijilinganishe na younger,we zungumxia ukolo wako acha ujinga,kwani ajabu,we ndiomshamba

  • @YesmortMnyalape-r8t
    @YesmortMnyalape-r8t День назад

    Yanga hao nitimu mbovu sana bila uongozi wao kucheza namarefali kiukweli timu Yao mbivu sana

    • @mirajiathumani
      @mirajiathumani День назад

      hizo ×4 zote uonew wew tu timu lako bovu jipange

  • @RashidKhalfan-z7h
    @RashidKhalfan-z7h День назад

    Kiukweli yanga ni timu ya kawaida mbona sema inabebwa tu na marefa ila engekuwa ishafungwa zamani na kusuluhu ila marefa

    • @AbdulySaidi-o8b
      @AbdulySaidi-o8b День назад

      Unajua mpira kweli wewe mana huujui ata timu Bora ni hipi

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 День назад

    Watu wanalal na viatu leo😅😅😅😅😅

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp День назад

    Wauza ukwaju asanteni mmevunja mwiko wa mtu eti 'nyuma mwiko' leo kaachia na sasa ndio mtachezea sana tu, pambaf

  • @MilajiHaji-f8f
    @MilajiHaji-f8f День назад

    Bora bando raku nika angarie x kuliko kukusikiliza ushuzi unao ongea wewe ni mshabiki unaongeleq ushabiki wewe yule mchukangaji yani niwasenge wasenge sijajua kwann mnapewq prt fom na midia mnaongea ujinga mtupu

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e День назад

    UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂BIKRA IMESHATOLEWA ,TAYARI SIYO MSICHANA TENA

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba День назад

    Huyu jamaa anaropoka tu haya manuriano siyapo ngoja xaxa

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k День назад

    Huo ndio mwisho wa ubaya, aibu 🤣

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 День назад

    Uyu jamaa mpira kauangalia au undundu umemjaa

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 День назад

    Hata msimu Jana Azam alitufunga. Lkn ubingwa nani alichukua. Hata kwenye msimamo nani yuko kileleni.

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa День назад

    Point yako hakuna timu isiyofungwa hapo ndiyo nimekubali huko sahihi

  • @YusuphJoram
    @YusuphJoram День назад

    Wakere baba wakereeeeeeeh na niunawakeraaaaa

  • @SeifBitebo
    @SeifBitebo День назад

    Kwa hiyo simba wamezoea kufungwa

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk День назад

    😂😂😂 makolowizad

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 День назад

    Furaha yenu leo malizeni tabu iko pale pale baba sisi people tutakutana

  • @bobbyfiasco4311
    @bobbyfiasco4311 День назад +1

    Kashogaa😂

  • @Musakib-j1d
    @Musakib-j1d День назад

    Bikila imebikiwa 😂😂😂

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba День назад

    Malaya kudadeki zako pumbavu kabixa kumbe unashabikia simba lakini unaiwaza yanga kenge kabixa

  • @IdrisaKagoma-kr6ql
    @IdrisaKagoma-kr6ql День назад

    Sasa Azam mbona bado Sanaa.

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 День назад

    Mzee wavyeti feki magu alikutumbua wwe umebaki kupiga kelele tu ulikuwa unakula kodi zetu kwa wizi vyeti feki wwe

  • @IdrisaKagoma-kr6ql
    @IdrisaKagoma-kr6ql День назад

    Sasa huyu alajiga mtamkataa TU.

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 День назад

    Wanelala Hawana jipya mbwa hawa shenzi

  • @SaidiSelemani-l1n
    @SaidiSelemani-l1n День назад

    Yanga mbona mnapanik

  • @ZubedaZubeda-x5x
    @ZubedaZubeda-x5x День назад

    Nimefurai Leo kuliko siku zotee