Hongereni wanakwaya kwa uimbaji wenu, hakika mlipendeza na kila mara narudia rudia kuiangalia nimewapenda bure bwana awatunze,, Kutoka Kwaya ya Mt.Francisco wa Asizi Parokia ya Mt.Anthony wa Padua Ayalabe Karatu -Arusha. (Wimbo wa Ufufuko)
Muzuri sana ndungu na dada Aleluya ya Ufufuko na Ushidi es Bwana wetu ameyashinda mauti kweli. Asante sana. Baba Mungu awajaze na baraka zake. Mandeleo mema. Alphonse Marie
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumeiyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Kazi nzuri sana wana Maruku. Audio na styles classic kweli. kwa video Tanganyika Productions ikiwapendeza ipige tena (clarity ya picha...). Naomba kujua mtunzi wa wimbo huu, na hata nakala yake.
Kazi bomba kabisa. Kazi ya viwango
Hongereni sana wimbo mtamu
Tumuimbie Bwana hakika kazi nzuri sana hongereni jamani wapendwa
Nzuri sana
Mtunzi huyo ni 🔥 sana hongereni pia waimbaji
Nyimbo nzuri Sana. Hongera bwana Kihiyo.
Jamani Mungu awabariki sana sana kwa utume wenu, wimbo mzri na mmeimba vzri mpka unaona mbingi hii hapa pia Mungu amubariki mtunzi na mpga kinanda👍👍
Hongereni wanakwaya kwa uimbaji wenu, hakika mlipendeza na kila mara narudia rudia kuiangalia nimewapenda bure bwana awatunze,, Kutoka Kwaya ya Mt.Francisco wa Asizi Parokia ya Mt.Anthony wa Padua Ayalabe Karatu -Arusha. (Wimbo wa Ufufuko)
Hongera kwa kazi nzurii
hongera kwa wimbo mtamu
Ameeeeeeeeeeeen. Hongereni sana kazi nzuri sana, jina la Yesu libarikiwe daima
Hongera
Kazi nzr sanaa
Jaman hongereni sana wana Maruku hakika wimbo mtamu sana yaan mnatutangaza sana Kagera. Mbarikiwe mnoo.
Hongera San Mungu awatunze mwendelee na kazi na moyo huohuo
Hongereni
Nice song
Hongera kwa wimbo mzuri na sare pia
Best song
Asante Sana wa nyumban mko bye
Mungu wa mbinguni azidi kuwainua
Amina, Mungu akubarikini kwa kutuunga mkono
Une très belle chanson pour la louange de notre seigneur qui est ressuscité alléluia😊
Ongeren Sana ninawapenda sana
woooh kweli amefufuka ....... ALLELUIA
Muzuri sana ndungu na dada Aleluya ya Ufufuko na Ushidi es Bwana wetu ameyashinda mauti kweli. Asante sana. Baba Mungu awajaze na baraka zake. Mandeleo mema. Alphonse Marie
Bwana Kihiyo Alitulia sana
Amina Maestro Joachim
Hongereni saààanaaa
Hongera kwa kaz nzuri ..mungu awajaze neema kubwa mpka mshangae🙏🙏🙏...nawapenda sana katika jina la bwana❤
Ongereni sanaaa Kwa KAZI nzuriii...muendelee Kwa umoja huoooo ...penye mafanikio Kuna umoja!!kamwe shetani hasiwatenganisheeee!!
Kazi nzuri sana hasa kulitangaza jina la Yasu aliyefufuka🙏
Mbarikiwe wa nyumbani🙏🙏
Wimbo mzuri ulioandaliwa vizuri. Mandhari nzuri ya Bkb Airport imeupamba. Hongereni wana Maruku.
Onapendeza sana.Ibarikiwe kazi ya mikono yenu
Tumwimbie bwana katika roho na kweli aleluya
Bado tunaendelea kufufuka pamoja na kristo na sauti za wana maruku
Bado nawafurahia kwa mala ingine tena ...let's go......
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumeiyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Asanteni sana wajukuu zangu, Mimi babu yenu mmenifurahisha sana mbarikiwe.
Hongera saaana kwa wimbo mzuri.
The best song 🎉🎉kongole kwa mtunzi….am blessed 2024
wimbo mzuri sana waimbaji safi organist naye congra zake
hongereni wapendwa wa muziki
Kazi nzuri sana wana Maruku. Audio na styles classic kweli. kwa video Tanganyika Productions ikiwapendeza ipige tena (clarity ya picha...). Naomba kujua mtunzi wa wimbo huu, na hata nakala yake.
Wimbo Mzuri Sana. Natafuta Nota Za Huu Mziki. Mtunzi Ni Nani? Kindly🙏
Nyimbo nzuri ya paska, hongera
Ayiiilililililililililililililili
Hongereni wimbo mzuri sana 💚💚
Mwakola muno
Mubalikiwe san
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
🙏🏽🙏🏽wimbo mzuri sanaa
hongern.kaz nzuri
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
Mungu Aliye Hai Awabariki Sana. Wimbo Mzuri.
Amina
Amen
❤❤❤
Hongereni kwa utume
👏👏👏👏👏
Aleluya amefufuka ❤
Nota tafadhali
Aleluyaaaaaaaaaaaa❣️
Nice
🎑
mwagila mahyoge waitu
Mambo mazuri
Kazi nzuri sana jamani, Mungu awazidishie bidii hiyo
Hongera Sana Ndugu Kihiyo kwa kazi hii njema Sana. Mungu akujalie utendaji wa kutukuka kama huu na zaidi
Amina sana mkuu
Please Naomba Unisaidie Na Nota/Mziki Wa Wimbo Huu🙏