KING WA MADEM (MY FRIEND) |23|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 264

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z 2 дня назад +89

    Likes za kelvin tafadhari, 🎉🎉🎉

  • @Velma-b3m
    @Velma-b3m 2 дня назад +56

    Wow 🥰 waliofurahia kumuona kelvin like jamani

  • @EusouCapaz-s4i
    @EusouCapaz-s4i День назад +13

    Kaka Kelvin kila movie unaeshiliki unafanya kazi mzuri hongera sana Kaka Kelvin

  • @PerajaHenry
    @PerajaHenry День назад +7

    Hatimaye recho tunamuona baada ya muda mrefu sana

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 День назад +5

    Ila Rachel kivuruge,hujaacha jaman😂...nkajua wembamba ndio ulikufanya vile 🙌 😊

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm 11 часов назад +1

    Mzee massud huyo ni mwongo uxkubali amekuja kukuangamiza mapenzi yana nguvu lakn mda mwingine inabidi ujihadhari na mapenz please naomben like juu team bhailam❤❤❤❤🎉🎉

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 2 дня назад +3

    Waw afadhali kutuletea kelvin kisha maryam juu nyama ya kijogoo utakoma elvin😂😂😂😂😂😂😂

  • @Dickson20
    @Dickson20 2 дня назад +20

    Mimi Leo wakwanza from Mozambique 🇲🇿 naombeni likes jaman ata 3 tu 😊

  • @webnet5652
    @webnet5652 День назад +6

    Uyo Recho simpendi cinema zake ni vurugu tu zakuchonganisha watu 😂😮

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 2 дня назад +15

    Wow yaani kuona Kelvin imenitengenezea siku🎉🎉😂😂

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 2 дня назад +6

    😂😂😂 Makubwa madogo yananafu uyu kijogo anapepu laina gani ju yangono
    Na fety kabowa kwa hio bao lapili kalipata kwa kijogo

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 дня назад +31

    😂😂😂😂 kijongoo bana unafuraisha daah🎉🎉🎉🎉🎉..I'm watching from Kenya 🇰🇪 like leo kwa hii movie tokea tuanze sija wai pata like jaman

    • @ProudB719
      @ProudB719 День назад +1

      Huyo si kijogo,
      Ni BALTAZARO kabisa.

    • @SyombuaMuvengei
      @SyombuaMuvengei День назад

      @ProudB719 😅😅😅😅..mzee wa smooth

    • @aminandurya
      @aminandurya День назад +1

      Jmn kelvin huku pia🎉🎉🎉🎉

    • @SyombuaMuvengei
      @SyombuaMuvengei День назад

      @aminandurya 😅😅😅...namurumia kelvin

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 День назад +6

    Naipenda Saaana From Congo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 2 дня назад +7

    Yaan sasa kijogoo umezidi aiseee adi kwa rfk yako unammegea mke afu kelvin mzuri jmn daah

  • @YvetteIrakoze-b2o
    @YvetteIrakoze-b2o День назад +6

    Vutuko vya lecho tutavishiba n😂😂

  • @UwiringiyeKethia
    @UwiringiyeKethia 2 дня назад +10

    Masoud utakula chuma hikoo 😂 karibu sana Kelvin muke wako analiwa n'a ki jogoo 🤣🤣🤣

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 2 дня назад +8

    kazinzuri sana

  • @RebyMarky
    @RebyMarky 2 дня назад +19

    Mke mwenyew ukute ni mariamu😂

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 2 дня назад +10

    Jamani kelvin kumbe upo pia huku nimefurahi❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂

  • @RafhaelMutha
    @RafhaelMutha 2 дня назад +6

    Tunaomkubali kelvin kujeni hapa 🎉🎉🎉❤❤

  • @emmanueliusemmanaimablecic2243
    @emmanueliusemmanaimablecic2243 2 дня назад +7

    Kelvin FT bhailam ,very proud , Safi sana kabisa

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 2 дня назад +6

    Shekh masoud kazi unayo recho uyo namjua vizr

  • @LizieTopsha-254
    @LizieTopsha-254 2 дня назад +10

    Wooow mashallah 💖❤️🥰🥰 Kelvin nakupenda bure jamani

  • @janja254
    @janja254 2 дня назад +11

    Speed ya kazi ndo nimependa 😅hakuna kukaa sanaa after 1 day ngoma nje

  • @teddysananga
    @teddysananga 2 дня назад +7

    Nimefurahi kumuona Mariam 🎉

  • @AmbroseMamole
    @AmbroseMamole 2 дня назад +6

    Aaah!Naona Mfugaji kamfunga mbuzi karibu na simba ausio?Freshy!😅😋

  • @herdeiroprazza
    @herdeiroprazza 2 дня назад +9

    Kijogo na Kelvin apooo sasa🔥🔥🔥🔥

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 День назад +3

    Ila recho 😢😢 kevin unamleta kijogoo nyumbani kwako😂😂

  • @DannysWambi
    @DannysWambi 2 дня назад +11

    Eeeeeeeeh kazi nzuri sana mimi ndo mutu wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩

  • @AishLove-bd9bp
    @AishLove-bd9bp 2 дня назад +9

    mmmmh jamani rachael akiwa kwenye mouvie lazma inoge yani uyooo kiboko kabisa❤❤❤😂😂😂

    • @yassnarynaziru6078
      @yassnarynaziru6078 2 дня назад

      Kabisa yani kama na ile movie ya mke mwenza ilikua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shakoAntoine
    @shakoAntoine 2 дня назад +7

    Wa kwaza leo kutoka Congo Kinshasa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 дня назад +18

    Recho mbibi wa roho mbaya hata kwenye maisha halisi yani wanakupatia na roho yako wee dada unaroho mbaya naninakuchukia sana

    • @mzambialusaka3393
      @mzambialusaka3393 2 дня назад

      Kwahiyo hata kwenye Maisha ya kawaida ndivyo alivyo hivyo

    • @rosemerymwalongo5858
      @rosemerymwalongo5858 2 дня назад

      Acha uongo wewe ko kila anaye igiza ndo roho yake

    • @rosemerymwalongo5858
      @rosemerymwalongo5858 2 дня назад

      Mwenzio anaingiza. Pesa. We inaleta chukii

    • @Jamila_1996
      @Jamila_1996 2 дня назад

      Ulishaishi nae mahi ukajua ana roho mbaya??? Ni nyie mnaamini mpaka leo kama bi mwenda ni mchawi kisa anachezaga scene za kichawi

    • @IrakozeHami-t9m
      @IrakozeHami-t9m День назад +1

      Mchawi anamjua mchawi mwenzake kwa hio wewe una roho mbaya ndo maan unahis pia Rachel ana roho mbaya

  • @HalimaJafari-yv2th
    @HalimaJafari-yv2th 2 дня назад +7

    Cheza na Bartadhar wewe kelvin chunga huyo haweziacha tabia nikama ngozi 😅😅😅 kajogoo shikamooo huogopi dudu Wala mende😂😂😂😂

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 2 дня назад +6

    Rachel kama kawaida yako hujapoa uko vizuri kutema sumu😂😂😂😂😂😂

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 2 дня назад +5

    Bhailam wala hujazunguka kumwambia mshkaji wako unajua anakujua vizur 😅😅😅

  • @DelphineNyaboke-v6i
    @DelphineNyaboke-v6i 2 дня назад +4

    Nimefurahi kumuona Kelvin 🎉🎉❤

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 2 дня назад +6

    Kelv ungetuuliza ushauri kwnza ndo ukampeleka bailam kwako 😂😂

  • @AlineNimbona-ph5qb
    @AlineNimbona-ph5qb 2 дня назад +9

    Nawapenda san nawafatiriy niko zangu Burundi

  • @MichaelMeshack-z2u
    @MichaelMeshack-z2u 2 дня назад +8

    Uyo wif wa enjoo mpya anaandaa kipindi kizur sana hapo badae

  • @SAFANdaykanza
    @SAFANdaykanza 2 дня назад +13

    Wanae furahia kumuona keruvin hapa gongene lunke hap❤❤❤❤

  • @Aslamokinda
    @Aslamokinda 2 дня назад +8

    Nakukubali sana bro watching from kenya 🇰🇪 🎉

  • @lindauma982
    @lindauma982 2 дня назад +33

    Nani amegundua Rachael ako mission hapa kwa Masoud😂😂

    • @Mary-q5d5c
      @Mary-q5d5c 2 дня назад +1

      @@lindauma982 ndio unagundua saii?

    • @FurahaKulapha
      @FurahaKulapha 2 дня назад

      😂amechelewa kugundua​@@Mary-q5d5c

    • @AnnaJayden-k4m
      @AnnaJayden-k4m 2 дня назад

      @@Mary-q5d5c 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Lucy-t7n
      @Lucy-t7n 2 дня назад +1

      Unafiki wa recho umeanza😂😂

    • @Mary-q5d5c
      @Mary-q5d5c 2 дня назад

      @AnnaJayden-k4m hawa ni wale nipeeni like zangu mimi ni wa kwanza bila kusikiliza movie, ona sasa eti ndio anagundua saii

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 2 дня назад +18

    Mm Leo nimewahi jamani wanaomkubali bhailamu na kelvin tujuane kwa like hapa

  • @mussamakuru1254
    @mussamakuru1254 2 дня назад +9

    Wa kwanza,kazi nzuri Bhailam

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 2 дня назад +8

    Nimefurahi kumwona kelvin 🎉

  • @Trent17-s6g
    @Trent17-s6g 2 дня назад +9

    Na mimi leo wa kwanza

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 дня назад +3

    Waoo karibu Kelvin khah wetu vipi umesha pona mana jana umedungwa kisu bro😅nimefurai kukuona mujengoni kwa Bhailam Masudi uyo ni mucezo wa Recho utakufa bure we niskiyo lakufa dada yako kaisha ona mbali 😢mi naanza kuliya siku ukifa siliyi tena nimemaliza😂

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 дня назад +5

    Unakaripisha fisi dani ya mjengo ataliwa andi mifupa😂😂😂

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 дня назад +7

    Kelvin umeyakanyaga kwa kijogoo

  • @YusuphJuma-o7l
    @YusuphJuma-o7l 2 дня назад +10

    Wakwanz leo kutoka 🇹🇿 nipeni like,s zangu

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 2 дня назад +7

    Mwanamke mwenyew asije akawa mariamu 😂😂😂😂

  • @LipsDenda
    @LipsDenda 2 дня назад +6

    Kijogoo lazima umgongee friend wko😅😅

  • @Raynillah
    @Raynillah 4 часа назад +1

    Na tamani na mimi kufanya kazi na ww bahilam na juwa kwigiza nipo congo

  • @ziyechabrahim5775
    @ziyechabrahim5775 2 дня назад +6

    First comment 🎉🎉 nipeni maua yangu❤❤

  • @DotoMdachi
    @DotoMdachi 2 дня назад +7

    Number 1 leo

  • @jofreyevansantony2770
    @jofreyevansantony2770 День назад +3

    Dada WA Masudi atatoka Bila kutaka😅

  • @paulkinyua556
    @paulkinyua556 2 дня назад +6

    Siwezi kuvumilia inauma bailam

  • @ViqueMateus
    @ViqueMateus 9 часов назад

    I'm fro Moçambique!! Hongera sana kaka Kelvin Kwa kazi nzuri hunaohifanha

  • @webnet5652
    @webnet5652 День назад +3

    Namim Recho simpendagi kwamana anaroho mbaya san Sheikh alikuwa anaishi na Dada yake enjo vizuri lakoni kwaivi sasa toka Recho amekuja apo kwa Sheikh masoud nikuchonganisha tu😢😢😢😢😊

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 День назад +1

    Kelvin unampeleka bhailan kwako utajuta kumfahamu😂😂😂

  • @RukundoEvelyne-c6l
    @RukundoEvelyne-c6l День назад

    Whaoooo Kelvin nafurahia kukuona apa kabisa ohooo reco wetu karibu tena inabidi mumulete na naomi

  • @FistonBirare
    @FistonBirare 2 дня назад +7

    Jamani nimechelewa like zangu jamani

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 2 дня назад +3

    Kaz nzuli sna tunawapnda Sana ♥️🌹🛍️🇹🇿🌄

  • @geowebzyofficial3186
    @geowebzyofficial3186 2 дня назад +1

    Karibu Sana Kelvin khan😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 18 часов назад

    Hehee fisi kakabidhiwaa bucha faith mtapasha kiporo

  • @PascalMashauri
    @PascalMashauri День назад

    Powa sana kjogoo

  • @Yaswaki
    @Yaswaki День назад

    Welcome kelvin kenya we like you and Recho hujaacha kulia lia

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 2 дня назад +2

    Jamani kelvini ❤❤❤

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 День назад

    😂😂😂 kijogoo hata Kwa rafiki yako jamani😂😂

  • @rajabkiti896
    @rajabkiti896 5 часов назад +1

    Masoudy kua makin uyu sio mtu anakutega akuwai bro

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani День назад

    Yaan kelvin u empeleka uyo Kwa mke wako😂😂

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye День назад

    Leta muendelezo🎉❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 17 часов назад

    Haha Kevin unekaribisha upele subiri kazi

  • @KwizeraEnock-ny1by
    @KwizeraEnock-ny1by День назад

    Bhailam bila Mariam Hainogi nimekubali kijogoo haijalishi umepewa hifadhi kwamshikaji unawikaa popote daa😂😂😂😂

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 2 дня назад

    Hamuna kazi happo mwamuke mweye ndo uyoooo🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FannyMugisha
    @FannyMugisha День назад

    Kelvin ❤❤❤❤❤❤

  • @kingmrume
    @kingmrume 2 дня назад +1

    Kelvin umemchosha kabisa bailam😂😂

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 2 дня назад +1

    Oyaaaa kelvin oyeee❤❤❤❤

  • @NasirMo-h3t
    @NasirMo-h3t День назад

    Mungu bariki hii kazi

  • @MussaPonda-l4e
    @MussaPonda-l4e День назад

    Kerven umefika karibu huku kaka🎉🎉🎉

  • @MichaelMeshack-z2u
    @MichaelMeshack-z2u День назад

    Me mpaka ujisikie vizur😂😂😂😂

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon День назад +1

    Kitu kama iyo kamu tugetha sasa banido KP na vevo na kicheche tuseme uyama mwigi the big st

  • @AsiaOmary-tc4zu
    @AsiaOmary-tc4zu День назад

    Adi kervin😂😂😂

  • @HappyMusaJasonSiame
    @HappyMusaJasonSiame День назад

    Waooooooo kelvin jaman

  • @BonithNimpagaritse-s4d
    @BonithNimpagaritse-s4d День назад

    Karibu sana kaka kelvin kwa firamu hii 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @LucasMagukuru-hc9kr
    @LucasMagukuru-hc9kr День назад

    Kelvin Hana baya ukimualika anakuj, atafik mbal xan

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben День назад +1

    Bailam usi fanye kosa umu onyesh Kelvin kwamba mna famiana

  • @AlfredTebeka
    @AlfredTebeka 2 дня назад +2

    Mbuzi kafiya kwa muuza supu😂😂 hussein bahati huna brooo😢

  • @MusyimiKyalo
    @MusyimiKyalo День назад

    kijogoo kichwa gumu kweli from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @godwinmshimba9261
    @godwinmshimba9261 2 дня назад

    Haha hapo kijogoo utakunya

  • @aminandurya
    @aminandurya День назад

    Kelvin pmj sana kk kl uendapo mm npo❤❤❤

  • @SevidaEmmanuel
    @SevidaEmmanuel 2 дня назад +2

    Masoud hapo umeanza kufeli sasa Kaka

  • @AnjelinaDaudy
    @AnjelinaDaudy День назад

    Sio vizur dada

  • @JohnOscar-t9z
    @JohnOscar-t9z День назад

    Endelea kutembeza umwamposa kaka

  • @hemedmoustapha4964
    @hemedmoustapha4964 День назад

    kijogooo shikamoo

  • @SharifSadiki
    @SharifSadiki 2 дня назад +1

    Yani nilijuwa tu kuwa mke wa kelvin atakuwa ni feti sasa mnakuja mnamficha ficha 😂

  • @Nojabz
    @Nojabz 2 дня назад +1

    Hiii 😂😂😂😂🎉❤, from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ramadhanmbwana2603
    @ramadhanmbwana2603 2 дня назад +1

    Recho unaleta uhalisia haswaa katika hii filamu

  • @FurahaMakoye-k1l
    @FurahaMakoye-k1l 2 дня назад

    Shemeji kama shemeji😅😅😅

  • @RaymondLunga
    @RaymondLunga День назад

    Oyaaaa kelvin oyeee