Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hii nyimbo nimetafuta sana hatimae nimeipata, japokuwa mimi ni Mwikizu wa kurusanga ila napenda sana nyimbo zako.
Abhakurya bheito.. mohoyele?. One of the best songs I have ever heard
Wakurya wenzangu Mpo
Muziki mzuri unaisiiiii 🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
if you knew how much i love this song. am so glad imefika huku. nimeitafuta sana couldn't wait to share
❤me too my favorite song
MWL,George wewe ni moto mzee wangu,hatakaa atokee mwimbaji mzuri kama wewe kwenye ardhi yetu ya ukuriani
Ngoma ya wakati wote 💪 ya rika zote na ambayo haitawai toka kwenye ulimwengu wa ngoma za kikwetu
Respect for you Mwl George Surambili
Mwalimu Napenda nyimbo zako sana.Naomba kama inawezeka nyimbo ulizoanza nazo na volume two ningependa sana u upload them here. Ama hata naweza nunua kaka zipo mzee
Bora hata umekuja mwenyewe
Nyimbo yangu pendwa
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Hii nyimbo nimetafuta sana hatimae nimeipata, japokuwa mimi ni Mwikizu wa kurusanga ila napenda sana nyimbo zako.
Abhakurya bheito.. mohoyele?. One of the best songs I have ever heard
Wakurya wenzangu Mpo
Muziki mzuri unaisiiiii 🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
if you knew how much i love this song. am so glad imefika huku. nimeitafuta sana couldn't wait to share
❤me too my favorite song
MWL,George wewe ni moto mzee wangu,hatakaa atokee mwimbaji mzuri kama wewe kwenye ardhi yetu ya ukuriani
Ngoma ya wakati wote 💪 ya rika zote na ambayo haitawai toka kwenye ulimwengu wa ngoma za kikwetu
Respect for you Mwl George Surambili
Mwalimu Napenda nyimbo zako sana.
Naomba kama inawezeka nyimbo ulizoanza nazo na volume two ningependa sana u upload them here. Ama hata naweza nunua kaka zipo mzee
Bora hata umekuja mwenyewe
Nyimbo yangu pendwa
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤