Shukran sana ndugu yangu Stambuli wa Sheikh Abdilahi Nassir,uwazi umetupa sasa nisisi wenyewe kama twataka kuyadai ama hatutaki.Pamoja always mkubwa wangu.
Kwanini huu umoja utumike jina wabajuni wakati neno wabajuni halichqngqnyi waamu wote mani yangu kama muwamu litumike none waamu cz hili litachanganya wote ama waswahili but likitumika wabajuni nikuwamanisha waamu hatumo
Bwana dactor hongerq kwa mazungumzo yako ya hekma mungu akujazi kheri
Shukran sana ndugu yangu Stambuli wa Sheikh Abdilahi Nassir,uwazi umetupa sasa nisisi wenyewe kama twataka kuyadai ama hatutaki.Pamoja always mkubwa wangu.
Ni kweli kabsaa
Wa-Amu wameshughulika na uhasidi baina yao na waislamu wanaishi na wao
Kwanini huu umoja utumike jina wabajuni wakati neno wabajuni halichqngqnyi waamu wote mani yangu kama muwamu litumike none waamu cz hili litachanganya wote ama waswahili but likitumika wabajuni nikuwamanisha waamu hatumo
Lakini heading hapo ni umoja WA wanati WA lamu
Women rep mkikiyu,
Lamu west mp mkikuyu
Deputy gov mkikuyu
Senetor mkikuyu
wa Amu muko wapi ???
Na tulifanya vibaya baadhi yetu kuuza mashamba