Omg senior Dave may God bless you kuokoa maisha ya watu aki vile huu boy ako innocent Mungu afunike hyu kijana ma damu yake walaaai no weapon formed against our boy here shall prosper in Jesus name Amen,Mungu zuia kifo isipate hyu boy katika jina la yesu christo favour God kwa hyu boy walaii
😅😅😅😅😅😅 Nowadays Samaritan wa Eastern Tv na senior dave ndo wako top kwa loyalty test Wueeeh people can do anything to get money 🤑🤑 Thank you dave for saving him
Aky Dave inasaidia sana mungu akulinde gaaaai aky kijana wa wenyewe mdogo angekufa ivo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 shetani amejulikana Siri zake atakufa mwenyewe usikae na yeye tena hii inauma
Good work Senior Dave. I pray to God to intervene and save that man This is really too much. Thanks be to God for His intervention and may He kindly continue keep up and save that young man.
Senior Dave, take him to Church aombewe. Huyo kijana aokoke. May God protect you young man. May the blood of JESUS CHRIST COVER YOU in JESUS MIGHTY NAME
GOD bless you dave na pia tunakupenda sn ❤❤kwa kazi poa sn ❤❤but mm niko na swali mbn huu dem afanye hivyo ss 😢😢😢kwa huu chali na venye life ni ngumu sn 😢😢😢😢
This lady is like she entered into this mess blindly and I feel for her even the way she is apologizing please just forgive her and am sure she won't repeat it..... oooh God please forgive our generation😪😪
Aki weee Mungu nu wamjiza kweli na pia mwenye walifikiria hitu ya kuagalia watu kama wana chit Mungu hawabariki juu hii ni mungu huyo ni pepo simtu hamuache kambisaa
Mungu akuokoe aki kijana wa wenyewe tegemeo la kwenu 😢😢so painful.......mtu akupende alf unataka kumtoa kafara na unaskia.yy ndo breaad winner kwao...io.pole inasaidia nn shem.on you lady
Uskie na shinda when the deal is too good think 🤔 twice makuku na kuwekwa poa utalipia bro take care God protect you bro siku izi nkubad what's goes around comes around utatoa mwenzake kesho ni weew
Senior Dave you should be saving that phone contact next time to private such people to be exposed in the community. Thus you will be saving the world. ❤❤❤❤❤❤❤
Wanataka kutumalizaaaaa,wanataka kutumalizaaaa,alafu eti mnangoja Mungu aje apa duniani mmuone,Dave umemuokoa kijana🙏🙏🙏nasema kuna makanisa ya ushetani uku 🤭🤭🤭😢😢😢
Watch part 1...ruclips.net/video/mu3_qltoPNI/видео.htmlsi=BZMHPwAlD7Itv-pN
Waah dave you are a Guardian Angel😢😊may God protect that man
Amen
Aki hizi vitu heli hizo zilikuja , Huwa zinaokoa maisha ya watu wengi, good job Dave
Uko na hakika huyu atasaidika
May God save this man🙏🙏......and the way he seems to love her😢😢
Dave barikiwa sana coz unaokoa maisha ya watu kwa streets jameni.i lov ua job🙏🙏
Senior Dave peleka huyo boy kwa maombi mara moja
Hii imeisha ishakuwa wazi hakuna maafa
Ngai mungu akubuke huyu mwanaume jameni wa
Dem ashaeka ahadi na shetani na amekula pesa af jamaa amechanuka,sasa Dem kitamramba
Omg senior Dave may God bless you kuokoa maisha ya watu aki vile huu boy ako innocent Mungu afunike hyu kijana ma damu yake walaaai no weapon formed against our boy here shall prosper in Jesus name Amen,Mungu zuia kifo isipate hyu boy katika jina la yesu christo favour God kwa hyu boy walaii
God have power to save His people through senior dave
Through Snr Dave or Jesus Christ?
@@VeronicaDunbaranamaanisha kuanikwa.
Kumbe sio kuharibu ndoa ni kuokoa boy child
Mungu akumbuke uyo jamaa hatakufa in jesus name
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Thank you senior Dave for this innocent soul. May God continue blessing you The least of your life. We love you king DAVID
Who's watching this later after kujua champee😂😂😂😂
Hata karibu ni shindwe ama ni acting kumbe ni before
nawatch leo 12/july/ 24
Na Watch leo aki ghai
Nawatch Leo aki
Am here😅😅😅
B4 getting married,people should get time to know each other better 🙏🙏🙏🙏
😅😅😅😅😅😅
Nowadays Samaritan wa Eastern Tv na senior dave ndo wako top kwa loyalty test
Wueeeh people can do anything to get money 🤑🤑
Thank you dave for saving him
Aky Dave inasaidia sana mungu akulinde gaaaai aky kijana wa wenyewe mdogo angekufa ivo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 shetani amejulikana Siri zake atakufa mwenyewe usikae na yeye tena hii inauma
Good work Senior Dave.
I pray to God to intervene and save that man
This is really too much.
Thanks be to God for His intervention and may He kindly continue keep up and save that young man.
I speak life to this man in Jesus mighty name 🙏🙏....ak Dave ur doing a great job.... blessings AK
Thank Dave for saving this innocent man ,may God bless you and proctet this man
Senior Dave, take him to Church aombewe. Huyo kijana aokoke. May God protect you young man. May the blood of JESUS CHRIST COVER YOU in JESUS MIGHTY NAME
Mungu akubariki Sana Dave kwa kazi unayofanya my the lord save this boy in Jesus name
Amelala na pasta wa illuminati waa ndio maana nashaanganga kijana mdomo ama msichana mdoogo ati ni milionea
Na vile dem ni mrembo anaona tu illuminati tu ndio way to rich aki 😢
Kumbe pete ni ya illuminati hizi pete zina mambo keeli waa so ati atarudisha pete yeye ndio atakua sacrifice sasa juu illuminati ukishsingia ni hivyo
Unaletewa pete na ujui ni ya nini unavaa tu waa people we should pray always
Dave next episode plz plz
Senior Dave 😭😭 sina la kupea aki waja mungu akulinde nduo husaitie watu wake na Akubariki saiti
We need pastor on set this is too much 😢😢😢
Pst ni illuminati hawezi kuja mwenye kupeleka huyo dem kwa chrch on set
Dave peleka huyo boi Kwa pastor mwenye Ako able na deliverance,eg Edward mwai,
Waah?dave naona unakazi mingi ya mungu inakugoja
Senior Dave you are God sent.Imagine you have saved somebody's life.
Jesus Christ huyo jamaa hatakufa mungu amuokoe
Dave congratulations for the good work, God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Woi!! God protect our children from this wicked life.
Champee wetu ndiye uyu akie...God bless you our boy.
The way the LORD is saving HIS people is on anothe level
Si uyu ni Champee alitoka apa.....woooow I Love this humble young man
You were God sent to this man's life .. may God Bless you
God bless you Senior dav.you are a blessing to many
Weee,Juu ya soft life Aki, woiiiye Mungu kubuka huyu kijana wa Watu 😢😢
GOD bless you dave na pia tunakupenda sn ❤❤kwa kazi poa sn ❤❤but mm niko na swali mbn huu dem afanye hivyo ss 😢😢😢kwa huu chali na venye life ni ngumu sn 😢😢😢😢
Champee,kumbe ndio huwa unaambiwa umepitia mengi,but GOD is good all the time.
May God bless you much dave, for saving this soul .peleka huyu jamaa kanisani aombewe and it shall be well.
May God protect this man..aki
Even the rain 🌧️☔🌧️ could not stop the innocent to be saved
I can't believe 🤯🤯 guys file alikua anampenda waja tu, Mungu anasababu ya kila jambo tunamshukuru kwa yote Dave Mungu awabariki kwa kazi zuri mnafanya
Amepewa Hadi Pete akavalisha bwanake my GOD
This lady is like she entered into this mess blindly and I feel for her even the way she is apologizing please just forgive her and am sure she won't repeat it..... oooh God please forgive our generation😪😪
Dave make sure you follow up on sunday tujue niaje.
Haky nimefeel bad Sana,imgn kumtoa kafara Jesus! Mungu protect this man from any form of evil
Aki weee Mungu nu wamjiza kweli na pia mwenye walifikiria hitu ya kuagalia watu kama wana chit Mungu hawabariki juu hii ni mungu huyo ni pepo simtu hamuache kambisaa
Dave please usache huyo BOI please direct kanisani aombewe please please immediately
Sasa anaomba msamaha wa nini and she has sacrificed omohusband😢😢, peleka boychild maombi Dave
Thank you dave for saving this soul
Hey maoastor fake,uui kenya yetu,God waanike hawa wadanganyifu ety bishops,pastors,whatever
Aki parents let's pray for our boychild wooi
Dave chunga sana kofia kama hiyo na unaskia dem alibuy na ako illuminati😢😢
😢😢😢😢i cried for real may almighty God guide that man in jusus na no wishcraft formed to destroy the life of innocent people 😢😢😢😢
Tafuteni watu wa motorbikes mchome hiyo 'devil church'
Mungu akuokoe aki kijana wa wenyewe tegemeo la kwenu 😢😢so painful.......mtu akupende alf unataka kumtoa kafara na unaskia.yy ndo breaad winner kwao...io.pole inasaidia nn shem.on you lady
First the guy was behaving like he was drunk, after hearing he has been sacrificed he's now acting sober. Pole kwake
Mbna unafanya nacheka 😂😂, anyway ladies tunataka vitu za araka mbna
Ame Sober-up Haraaaka !
Don't kill me nah😂
😂😂😂😂😂😮😮😮
He was drunk from love
Senior dave you are sent from heaven to safe life of this man
May God protect you young man.
Waaaaah sisemi kitu aki senior Dave be blessed bro
Waaaah dunia kwisha bro hutakufa in Jesus name maombi muhimu hyo jamaa
Champe dave mungu aku bless 🌸
You are God-sent. Thanks to God, good job Senior Dave.though camera inashake shake sana, maybe ni juu ya mvua.. Otherwise bravo🎉.
O my God, Dave siupeleke hiyo jamaa kwa pastor saa hii aombewe plz,ndo hiyo roho ya kifo atenganishwe nayo?
What why 😭😭 akii please peeleka huyo boy church aombewa mm adhabahu ya nguvu za giza yasimweze in Jesus name amen kwa imani hawataweza in Jesus name
Wow,God is good take him to church immediately aombewe
Kwani Dave ni baba au mamake, ampeleke kanisa?
Me naona kila ako kwa marriage simu zote siamgaliwe
Pereka hiyo boi afanyiwe deliverance plzzzzzz Soo rahisi
Kweli mungu anapenda watu wake Dave n mungu amekutuma kuokoa uyu kijana
Dave ulikipata ,tamaaa ya pesa from there unakimbilia wapi ungekua that uoung man .
Wah!!! God job senior Dave bt hyo camera man wako anakulet down sn
Uskie na shinda when the deal is too good think 🤔 twice makuku na kuwekwa poa utalipia bro take care God protect you bro siku izi nkubad what's goes around comes around utatoa mwenzake kesho ni weew
Senior Dave you should be saving that phone contact next time to private such people to be exposed in the community.
Thus you will be saving the world.
❤❤❤❤❤❤❤
Davy Mpeleke aombewe n pastor hatakufa
GOD SENT YOU SENIOR DAVE TO RESCUE THE YOUNG MAN FROM THE DEVIL WIFE 😢😢😢😢
Na wenye wanasema ni script 😢😢😢
Pole sana kijana, may Blood of God protect you.
This ic hurting!! Boy mmoja qwao anategemewa.......alafu auwawe aki ...pole
Dave mungu akubariki sana uishi miaka mingi usave viumbe vya mungu.
Nimependa kazi yako senior Dave kwa kuokoa ndoa za watu na kusaidia sana
People are going through much and the lady is laughing 😢😢😢
God protect this man ghai utakufa in Jesus name
Wuuui boyshaud,hautakufa shetani ashindwe
May God bless you senior Dave ur send by God
Huyu kijana sense hosipitali apimwe poison kwa mwili alafu aende afanyiwe maombi. Senior Dave expose that church upelekwe na huyu lady.
Kijana jipee shughuli utafute Mungu zaidi enda maombi for deliverence,,tatoo achana nazo..pia nikama umenyonywa damu
Ndio, Tattoo nazo, achana nazo.
God protect this guy with blood of jesus 😢🙏
🙆♀️🙆♀️🙆♀️plssss guy aende maombi ameuzwa kwa devo the gal tayari ako initiated
Aki mungu akusaindie umeokoa huyo kijana wawatu
God bless you s Dave keep it up my brother clean your country from south Africa
Very sad dave be blessed 😢😢😢😢
This guy must be taken to church as soon as possible but sio yule pastor wa mama Charity 💔💔💔💔💔🙄😭💔😭 Dave usiache huyu jamaa hapo
We rebuke all premature death in Jesus name kube hakuna Siri Kwa hii Dunia expose the church n pastor ooh champy love manenos 🤯
Whaaaa Mungu amusaidie huyu kijana.
Mambo kama hizi ndo tunataka ushughulikie sio ya wachawazito,
Naona tu ukicheka@@Zuuh4286
Mutafutie pastor Dave please.
Wanataka kutumalizaaaaa,wanataka kutumalizaaaa,alafu eti mnangoja Mungu aje apa duniani mmuone,Dave umemuokoa kijana🙏🙏🙏nasema kuna makanisa ya ushetani uku 🤭🤭🤭😢😢😢
Haiya hapa ndio senior Dave walijuana na champee had I wa leo
Huyu afanyiwe maombi faster huyo jesebel daughter ndio atakufa in Jesus name.very pain haki
Dave may God bless you abundantly coz u do nice job it's not easy job
Hizo nguo apeleke church ziombewe, wamalizwe nguvu.
Pia costume ni ya red tshirt .
Enda maombi please
Waaah 😢😢aki ni muuwaji huyo mwanamke,heri nioshe choo za warabu nipate zangu kuliko kuuwa mtoto wa wenyewe bure🤔🤔🤔🤔🤔🤯🤔🙄🙄
God will be with you Mr champee and one day mungu akuonekanie.