KUOTA UNAPIGWA PICHA INA HATARI GANI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024
  • Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

Комментарии • 69

  • @laelimaden714
    @laelimaden714 Год назад +2

    Ni kweli kabisa

  • @moefire6875
    @moefire6875 7 месяцев назад

    Amina

  • @maryikongo6386
    @maryikongo6386 Год назад +1

    Ni ukueli kabisaa pastor, hii imetedeka kwangu sana,

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 6 месяцев назад

    Asante Mtumishi kwa maombi napokea kufunguliwa kwa jina la Yesu
    Nime lala naota napigwa pica na mtu nisie mujuwa afu nilikuwa nimeegemea mu baba fulani nilikuwa simujuwi nikapigwa pica nae

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo Год назад

    Amen Mtumishi WaMungu Nina Imanl Mungu Umetenda..

  • @maureennaliaka8936
    @maureennaliaka8936 Год назад

    Amen mchuungaji ubarikiwe pia❤

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 Год назад

    Asante Yesu kwa maombi na mafundisho yakutujenga.Asante baba kwa kufundisha siri za adui.Ubarikiwe

    • @jumasaid3830
      @jumasaid3830 Год назад

      J .Mi nikitembea naona kwato Kama za n'gombe zikinitangulia njian kiuhalisia hii inamaana gan??

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Год назад

    Thanks paster

  • @kavirachantal2374
    @kavirachantal2374 Год назад

    Amen nashukuru🙏🙏🙏🙏

  • @NeemaBenjamin-q2d
    @NeemaBenjamin-q2d Год назад

    Amen mtumishi.

  • @NeemaJackson-s5q
    @NeemaJackson-s5q 3 месяца назад +1

    Nimeona nimepigwa picha na mtu simfahamu na ni mdada

  • @ibrahimshadracktv1channel843
    @ibrahimshadracktv1channel843 4 месяца назад +1

    Pastor mimi nimeota nimepigwa Lisas nyingii lakin sifi na haziingii mwilini

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 2 месяца назад

      Amen 👊🏻 spiritual attacks lkn wewe umushindi risasi zao zmewarudia wenyewe 🔥🔥🙏🏻

  • @janethnjau
    @janethnjau Год назад

    Shalom mtumishi

  • @AnisiaCrement
    @AnisiaCrement Год назад

    Amina nikomborewe

  • @ruthngiliule6738
    @ruthngiliule6738 2 месяца назад

    Ameen

  • @gabriellahonest1155
    @gabriellahonest1155 Год назад +2

    Shalom mtushi mimi ni Gabriella

  • @CandiAa-k5p
    @CandiAa-k5p 7 месяцев назад

    Amin

  • @linahchrissy7574
    @linahchrissy7574 10 месяцев назад

    AMEEN AD AMEEN 🙏

  • @MerryMrema-jq3dh
    @MerryMrema-jq3dh 9 месяцев назад

    Napokea

  • @kavirachantal2374
    @kavirachantal2374 Год назад

    Mimi nimeota napigwa picha na photography tena namjuwa vizuri ,, tena tulikuwa kwenye bichii tena ilikuwa kama bahari

  • @maryikongo6386
    @maryikongo6386 Год назад

    Amen 🙏 🙏

  • @roselynemwangale5388
    @roselynemwangale5388 Год назад

    Asifiwe yesu mimi niliota na pikwa picha na ktn nawananipika tu macha

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад

    Mimi niliota,kaka amechukuluwa picha,amechapwa fimbo ya kichwa, na mimi nimeota namulikwa na mwangaza mkali,mungu atusaidie ni maombi tu ila vita ni vikali

  • @gladsasd5409
    @gladsasd5409 9 месяцев назад

    Usiku wa leo ndio nime ota na pigwa picha but, mwenye alikua akinipiga picha siku mujua but aka dai nime simama kwenye Mwanga wa jua hasitoki vizur so ata nipinga siku ingn 🤔

  • @irineakinyi9646
    @irineakinyi9646 Год назад

    Amen Amen Amen

  • @BizaitilimitedBizaiti
    @BizaitilimitedBizaiti 9 месяцев назад

    Ata mm nimeota nimepigwa picha namutu lakini simufahamu tulivaa nguo langi moja

  • @janethnjau
    @janethnjau Год назад

    Mimi nimeota Mtu anataka kunipiga picha lakini hajapiga picha gafla nikaona matofali yamepangwa mengi mbele yangu

  • @happinessleonard6008
    @happinessleonard6008 Год назад

    AMEN

  • @iqrahiqrah377
    @iqrahiqrah377 Год назад

    Naomba tafsri ya ndoto ya kuingiliwa ma mjusi ile yenye mistari ya black and white hivi.

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 7 месяцев назад

    Kwenye Ulimwengu Wa Ndoto,Niliona Watu wengi na wakijipiga selfie na kwa vile napenda selfie nikatokea kwenye selfie moja.Kuna mtu alikuwa akijipiga nikatokea nyuma yake nikajiona nishatokea

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 Год назад +5

    mchungaji Mimi nimeota tunapigwa picha na wenzangu lakini tunafurahia. hii je?

  • @PatriciaMgalla
    @PatriciaMgalla 7 месяцев назад +1

    22:37

  • @BarakaMaiko-nr4kt
    @BarakaMaiko-nr4kt Год назад

    Nimeota nimepigwa picha katika anga zimebandikwa nawatu siwajui

  • @LoiseBakhita
    @LoiseBakhita 8 месяцев назад

    Mtoto wangu alikua anapigwa picha

  • @ZainabuLeonard
    @ZainabuLeonard 4 месяца назад

    😢niliota mchungaji wangu na wenzie wanapiga picha watu, nami nikaenda wakanipiga na waliponipiga tu mimi wakakusanya kamera zao wakaondoka wakaachana na watu waliobaki kwenye foleni

  • @NeemaJackson-s5q
    @NeemaJackson-s5q 3 месяца назад

    Nimeona nimempiga picha mtu na mimi nikagipiga picha

  • @Hotjoy-mt2vl
    @Hotjoy-mt2vl 9 месяцев назад

    Nikobolewa na damu ya jesus

  • @iqrahiqrah377
    @iqrahiqrah377 Год назад

    nilivyoona camera nikamgeuzia mgongo. Na kumkamata mkono ni kaamtisha kwamba ntamfunga kwa hilo ko sa la kutaka kunipiga picha bila ruhusa. Akakimbia kwa uoga mkubwa na camera yake.

  • @dianabosibori8476
    @dianabosibori8476 10 месяцев назад +2

    Na ikiwa nimimi najipiga

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  10 месяцев назад +1

      Kuna mambo una itaji kutatua ndani yako ina kunyima amani.

    • @magdalenannnn
      @magdalenannnn 8 месяцев назад

      Mm nilota mtoto wangu anapigwa picha pamoja na mtoto wa msanii mkubwa nilijua ninzuri kumbe😢mbaya nisaidie mtumishi

  • @maggieboneventura4244
    @maggieboneventura4244 Год назад

    Kuota mtu anakuomba namba ya simu

  • @FaidaMujine
    @FaidaMujine 20 дней назад

    Mimi nime ota kama nimekamata picture nama rafiki zangu lakini sija ona picture zote nime pata picture moja tu naweza juwa maana yake

    • @FaidaMujine
      @FaidaMujine 20 дней назад

      Naomba jibu tafazali 🙏

  • @magdalenannnn
    @magdalenannnn 8 месяцев назад

    Kwanini apigwe pamoja na mtoto wa msanii mkubwa ina maanisha ndoto yake ni ipi

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Год назад

    Ukiota ume buy gari

  • @AlexFrank-kr3hr
    @AlexFrank-kr3hr 7 месяцев назад

    Nimeota tuna pigi picha na watu na wafaam

  • @BarakaMaiko-nr4kt
    @BarakaMaiko-nr4kt Год назад

    Nafanyaje mchungaji

  • @jonathanmulamba4040
    @jonathanmulamba4040 Год назад

    yesu apewe sifa nimeota Nikeona picha yarafikiangu kwa sim yangu

  • @laelimaden714
    @laelimaden714 Год назад +1

    Amen amen

  • @MAUREENKNIGHT-qs8cx
    @MAUREENKNIGHT-qs8cx 29 дней назад

    Ameen

  • @janekinyua6282
    @janekinyua6282 Год назад

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @maryikongo6386
    @maryikongo6386 Год назад

    Amen 🙏 🙏

  • @linetsitati1243
    @linetsitati1243 Год назад

    Amen

  • @NeemaJackson-s5q
    @NeemaJackson-s5q 3 месяца назад

    Nimeona nimepigwa picha na mtu simfahamu na ni mdada

  • @ReginaJoseph-bo7rr
    @ReginaJoseph-bo7rr 6 месяцев назад

    Amen

  • @EverlyneOchola
    @EverlyneOchola Год назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @HEDRICKBAHATI
    @HEDRICKBAHATI 5 месяцев назад

    Amen

  • @elizabethphilemon83
    @elizabethphilemon83 Год назад

    Amen 🙏

  • @PascasieNzokirantevye-fv9fw
    @PascasieNzokirantevye-fv9fw 10 месяцев назад

    Amen Amen

  • @margaretmaina-r9k
    @margaretmaina-r9k 9 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @sandrinebampengesha5671
    @sandrinebampengesha5671 3 месяца назад

    Amen

  • @PatriciaMgalla
    @PatriciaMgalla 7 месяцев назад +1

    Amen Amen 🙏🙏🙏