barakallah fiika sheikh wangu, mmebaki wachache kenya wenye upeo kama wa kwako sheikh mohamed sharif famau, hata mimi najivunia nilicho kipata nikiwa hapo tawheed malindi zama hizo,
I'am so happy for this video I learn so much of tafsir from Surah Kahf) chapter 18. Jazaaka Allahu kheiran ! Ni kweli Kabisa :). At, 33:27. Jicho laona mbali lakini laweza kukudhanganya, MACHO YA ONA MBALI, lakini MACHO HAYAONI GIZANI, HATA UKAYAFUNGUWA FIPI ! Lol :)!
Masha Allah (Hafiduhu Allah) Good lecture, lakini sauti ya mic ni kidhogo sana, sauti ya mic ni muhimu sana, kwa hivo Insha Allah, kila mara angalieni kwanza sauti ya mic :)! Baarak Allahu feekum for sharing!!!
Gogu na Magogu au Yajuja na Majuja kwa utafiti wangu ni Warassia, Nimesoma Surat-Alkalf kuhusu Yajuj na Majuja juu ya wapi wapo na Ukuta aliojenga Dhulqarnain kuwazuia Magog wa Magog,japo Quran haisemi ni wapi Yajuj na Majuja lakini uwepo wa China Great wall ni ushahidi Yajuj na Majuja walikuwepo wanaishi Urusi na Nchi za Kisoviet.Tanzania wamefanya Yao.
MaashaAllah lkn kwa nn masheikh wengi hufika ukweli ulithibitika kuja kwa imamu Mahd na hata nabii Issa atakuwa chini ya imamu kuna siri gani ktk hili mpaka waumini wa kawaida wanashindwa kutambua kabisa
Hamis hamis huyo sheikh ni mgunya wa lamu madrasayake ipo malindi alikuja zanzibar mwaka 91 ktka kongamano la muandamo wa mwezi madrasayake ipo malindi Kenya ni amesha fariki dunia madrasa yake inaitwa taowhed
@@muhidinali8180 Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon. Mola Mulezi amurehemu na amuweke mahala pena Peponi. Amin Sema Shehe amafariki lini? Nahuzunika wallah kwa habari hiyo
Ma shaa Allah Sheikh Muhammad Famau ni mwanachuoni mukubwa. Asante sana kwa video hii, mubarikiwe!
barakallah fiika sheikh wangu, mmebaki wachache kenya wenye upeo kama wa kwako sheikh mohamed sharif famau, hata mimi najivunia nilicho kipata nikiwa hapo tawheed malindi zama hizo,
UNA HABAR KWAMBA ALIFARIKI??
Allah yarham shekh muhammed sharif
Mawaidha mazurisana asante sana sheikh twangoja sehemu ya pili
Hussein Kazungu SH ALITUWACHA
MashaAllah Mola akuhifadhi sheikh.
I'am so happy for this video I learn so much of tafsir from Surah Kahf) chapter 18. Jazaaka Allahu kheiran !
Ni kweli Kabisa :). At, 33:27. Jicho laona mbali lakini laweza kukudhanganya, MACHO YA ONA MBALI, lakini MACHO HAYAONI GIZANI, HATA UKAYAFUNGUWA FIPI ! Lol :)!
NAONA MOYO WAKO LEO UMERITHIKA TO THE FULLEST
اللهم اغفر لك يا شيخ
Masha llah.Hatuna sheikh mzuri kama huyu.Alikuwa apinga maulid.Hutoskia akitukana masheikh.
Maashaallah baarakallahu fiika
الله يرحم الشيخ محمد شريف فماو
Inshaallah twataka kumsikia sheikh nassor khamis tafadhalini.ziko dvd zake nyingi ambazo hatuja zi sikia.ahsantum.
Baarak Allahu feekum!
اللهم إجعل قبره روضة من رياض الجنة
Part 2 ?
Insha Allah , na ngoja part 2 kwa hamu sana :)!
Jazaaka Allahu kheiran for sharing !
PART 2 NI AUDIO
Alla awapekila lakher kwa elimu yenu kwa umma
Allah yarhaam ustadh mohd shariff
mashalla nimejifunza
Mashallah barakallah!
Mbona ni ki dogo dvd za sheikh muhammad famau?
Mohammed Sheikh-Ali ZAJA ZENGINE
Masha Allah (Hafiduhu Allah)
Good lecture, lakini sauti ya mic ni kidhogo sana, sauti ya mic ni muhimu sana, kwa hivo Insha Allah, kila mara angalieni kwanza sauti ya mic :)!
Baarak Allahu feekum for sharing!!!
SWADAKTA
Gogu na Magogu au Yajuja na Majuja kwa utafiti wangu ni Warassia, Nimesoma Surat-Alkalf kuhusu Yajuj na Majuja juu ya wapi wapo na Ukuta aliojenga Dhulqarnain kuwazuia Magog wa Magog,japo Quran haisemi ni wapi Yajuj na Majuja lakini uwepo wa China Great wall ni ushahidi Yajuj na Majuja walikuwepo wanaishi Urusi na Nchi za Kisoviet.Tanzania wamefanya Yao.
At, 58:02, Ukawe ni nini ?
Shukran
At, 18:17. Sheikh ka sema Kuvivia moto, me Kuvivia moto, ni KUPULIZA moto ? :)!
MaashaAllah lkn kwa nn masheikh wengi hufika ukweli ulithibitika kuja kwa imamu Mahd na hata nabii Issa atakuwa chini ya imamu kuna siri gani ktk hili mpaka waumini wa kawaida wanashindwa kutambua kabisa
mashallah
Huyu shehe mpemba au...?
Kwa lafudhi yake nahisi Ni mtu wa mombasa
anatokea Kizingitini,Lamu
Ni mbajuni wa Lamu
Hamis hamis huyo sheikh ni mgunya wa lamu madrasayake ipo malindi alikuja zanzibar mwaka 91 ktka kongamano la muandamo wa mwezi madrasayake ipo malindi Kenya ni amesha fariki dunia madrasa yake inaitwa taowhed
@@muhidinali8180 Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon. Mola Mulezi amurehemu na amuweke mahala pena Peponi. Amin
Sema Shehe amafariki lini? Nahuzunika wallah kwa habari hiyo
Allah yarham shekh muhammed sharif