Shaikh mche Allah msifanye mambo kwa kutaka ushindani hakika Manhaj salaf itabakia kua juu na ni njia ya kweli, Allah akuongoze wewe na sisi tuwaleze kuitambua haki, Amiin
@@NuryaMusa Hahahhahhahahah! Kumbe hata huyu ni Salafy kwako! Ndomana unawapingaga masalafy kwenye comments kila siku! Yani Shekh wako anapinga watu kujiita masalafy halafu bado nyie mnataka kuwa masalafy!... Bahero huyo akiwa Salafy mm naandamana, labda abadilishe misimamo yake...!!!
@@NuryaMusa Hahahhaha! Mimi kuhusu Abuu Muawiyah Sijui...!!! Ngoja niendelee kusikiliza hzi ruduud!!! Nimesikiliza hoja za pande zote naona nazidi kuchanganyikiwa! Ni kana kwamba Qauli za ulamaa zinagongana kuhusu haya mas'ala ya Jarhu na Ta'adil...!!! Yule ambaye ntamsistiza kwa mara ya mwisho anafanya yule niliyemsikiliza kabla yake nimuone ana makosa! Kwa mfano: Nilimsikiliza Abuu Mus'ab mara ya kwanza akiwasema masalafy hadi nkaona masalafy kweli wanazingua, Sasa alivyokuja Abuu LUBAABA kumjibu Abuu mus'ab nkaona tena kuwa Abuu mus'ab ndo kazingua! __HAPO ni kwa upand wa masalafy! Tukija kwa upande wa bachu: Ama kwa ninavyomfahamu bachu kama bachu ni kwamba manhaji yake haieleweki hata masalafy wanakili hvo na wanashindwa wamuweke kwenye kundi gani la masalafy/mahizbi,... koz haeleweki msimamo wake...!!! In short kwa bachu Akina Kishki, Barahiyani, Abuu Muawiyah, Huyu Bahero, Kassim Mafuta etc wote anawakonsida kama masalafy tu! kwo kuhusu bachu mm sjui pia nimuweke kwenye kundi gani....!!! Ila huyu Bahero yeye utanisamehe kwakwel..... Hapa hatuna Salafy! Hahahahahahahaha! Salafy gani anapinga watu kujinasibisha na manhaj Salafy! halafu sio leo tu mara nyingi msimamo wake ndo huo kuwa kujiita salafy hakuna Asli katika dini...!!!
@@NuryaMusa I know nothing About Abuu Muawiyah! Ngoja tuendelee kufatilia hizi ruduud...!!! Lakin nimesikiliza pande zote mbili alhamdulillah ila naona bado kuna vitu vinanchanganya! Ila kwa hyo kanuni ya Bachu kuwa kila mwanachuoni wa kisunnah aliyekosea inabidi tuyaache makosa yake ila tusome vitabu vyake! mimi hyo kanuni bado sijaikubali...!!! kwa Sababu tukienda nayo hiyo tutajikuta hata Yahya Al Hajuuriy tunampa udhuru na hivyo hata mahajaawirah tutawaita ni masalafy pia! Jambo ambalo linawezekana kwa Bachu ila Sio kwa masalafy wengine! Hawewez kukubali Mahajaawirah wawe masalafy ila nahis bachu yeye anawakonsida kama masalafy kwa kutumia hyo kanuni yake....
Sheikh wang hawa jamaa kama ulivosema ,yaan ukishindana na Mbwa utachoka ,man mbwa kubweka ni nature yke , Hata comment zinaonesha kuwa hawa jaamma kubweka nj nature yao
Haya ya nyinyi kutafautiana walishayatabiri masheikh miaka mingi sana mlipoanza kuibuka na kupinga kila kitu hata lisilopingika kwaajili ya kuendesha mambo yenu Na bado
Humu wanao angalia video hizi za kidini ni wengi sana kwahiyi unaweza mwambia atoe comment kumbe ni mshirikina au kafiri akaleta ukafiri wake kwenye dini. Wenye comment mbovu achana nao hawajitambui na kama wanajitambua basi hao wachukulie ni Wajinga katika masuala ya kidini.
Subhaanallah, hahahaha hakika wew bado mchanga sana katika elimu kama jinsi ulivyosema.Allah akuongoze wew kbsaa maana hujiw chochote katika hii da'awa salafiyya tukufu.kwa hakika wew ni hizbiyyun
Yeye hizbiyyun na wewe nani.....???? Maana umemtaja yeye tuuu tuambie nawewe nani Maana hatujui wala hatukuoni huenda ukawa kafiri au mshirikina na hatujui tukahisi kua muislamu mwenzetu kumbe kafiri. Ukitaka kumchafua mwenzako anza kwanza wewe kujitambulisha Kwamba kama ni sufi au Jadida au kafiri au mshirikina maana hatukuoni wala hatukujui.
Kwahiyo nyinyi munaona rahaa kuwaona waislamu wakigombana 😢 na kuchukianaa ?? Ama kweli nyinyi ni ccm kwelii 😂 udikteta na mabavuu ndio mulonayo nyinyi
Siyo kosa lako ila aliekukaririsha alikosea kwahyo wachukia kufuata waliyokuwa nayo maswahaba?? Au wewe kujiita salaf kwasbb y wanapongwe ni Bora kuliko kufuata njia ya maswahaba
@@yusuphkhan8963 hekma ilikuwa KATIKA DINI ya wazee masufi na waleeeee WAISLAMU WA mwanzo. Sisi DINI yetu mpya ya SALAF na Sunna kubwa matusi TU hapa, unasemaje wewe kudadeki huijui MANHAJI SALAF kwani wewe😂😂😂😂😂. Kudadeki. Ukitaka hekma nenda KWA Sufi hukoo.
Majdida akili zao mbovu kwwl wanashikiwa akili na mashk wao kua fulani usimsikize na wao wanasetiwa kama maroboti,hwasikilizi ni wajinga sana kuelewa ibara za wanazuoni.
Subhanallah hata hueleweki .. Topic yako ni gani Chagua topic ili ueleweke Je kujinasibisha na usalafi Au kufuata masalaf 2024 Allah akuongoze ... Hata qauli ya ibn masoud umeisahau umeianzia katikati Ila ndio unamalizikia kidogo ulichokuwa umehifadhi kwa kuwa adui wa hii daawah
@@yasirsaid8464 ndio ni mwongo anakwambia kuwa wanaofuata njia ya salaf wamepotea lakini yeye suufi yuko kwenye njia iliyo sawa kwa hiyo ni mwongo hao watu anaowapinga wako kwenye njia iliyo sawa lakini yeye ndiye aliyepotea.
Nani Ambae katolewa wala nani Ambae kaingizwa mtu husema Fulani manhaji yake si yasunah hivi ww Leo ukiambiwa Leo shia uko nae kwa daawa ni muislam utakubali lazima utakataa noo yule si mwenzangu kwa sababu hii na ile sindio umemtoa hapo ktk msingi wa dini na Kuna vitu ndio vimepelekea
assalaamu alaykum..ummu faaruq umekosea kumuita mwalim huyu zuzu tubia kwa mola wako hata kama atakua yeye kakosea hio ni uoni na jitihada yake ...sasa wewe unamtukana muislamu huyu..hii sio tabia ya wabawake wakisalafi hata kidogo nimeangalia koment zako ..muogope mola wako jazba ulionayo ليس في حق .
Mahizbi munashida ya fahamu kumbe ndomana mahizbi wote hanaga mwelekeo kwini wewe hujui kuwa manhaji inaenda najina usalafi nimadhehebu nasi lazma tufuate hayo madhehebu natujinasibishe kama kichwa chako nizenge huwezi fahamu kwasababu we ni hizbi kazi yako kuridhisha watu kwa kuiponda haki
Hahhaha! Sasa hawa ndo watu ambao Bachu anawatetea kuwa ni Masalafy pia...!!! Kumtetea Abuu Muawiyah anaweza akashinda lakin sio kwa hawa mahizbi wa waziwazi kabsa wanaoipinga dawatusalafiyyah hadharani...!!!
Mimi naona hapo kwenye qaul ya ibn taymiyyah kuna mambo waficha sheikh mche Allah Kudhirisha Ni kutangaza ile daawa ya salafy Na kujibasibisha hicho ni kiswahili cha wazi kabisa kwamba nisba haiji ispokua kwa jina na ukisema najinadibiaha yamaanisha kwamba najiita jina la salafy Kwa hivyo yafaa kujiita salafi Huwezi kufuata uislamu bila kujiita muislamu sheikh kufuata uislamu bila kujiita muislamu yafaa kweli? Mwisho kujiita salafi haimaanishi kwamba wewe ni salafy kweli kama ilivyo kwamba washirikina wajiita waislamu ila ni kinyume Soma manhaj waambie watu usalafy wala sio uhizby
@@AbAlhuraasmsitukane waislamu ..ndoo maana sheikh mohammad bahero kaongea wala hajatukana mtu sasa kubweka sjui unawaambia washirikina au waislamu wenzako ndugyangu...neno moja unaeza tupiwa mbali na allaah ..rudi nyuma na allaah atuongoze
sasa misaada alioomba mbona mbona unaanza kumvunjia heshima na kumdhalilisha ..hata kama ulimshuhudia kua yeye ni omba omba ..subhaanallaah. tukizungumza ya dini nyie mnamfuatilia mtu mpaka nyumban kwake...tumuogope allaah ndugzangu khitlafu zipo ila msitukane walimu..huenda ukamtukana mtu allaah alimridhia kabla yakk wewe ...ukaingia ktk janga.
chamsingi tuvumiliane watu wa sunna na tusameheane na kutovunjiana heshima ktk yale tulio khitilifiana na kumuomba allaah atuongoze ..sisi ni watu wa qibla tuache hii hali ....
Ama wewe ni KADHAB,je sie wewe uliokua ukilia uwanja wa ndege kutaka kusamehewa na hao unao wasema ana umesahau, jishughulishe na kutafuta elimu na lini salafy wa pongwe ama wa Ghufeily walisema wafwatwe wao? Unakataa watu wasijiite masalafi na huku unamnukuu Abdullah ibn al-Mubarak akitahadharisha watu na Amr ibn Thabit kua anatukana salaf tuku elewe vipi
Masheikh wenu wanafundisha nini wataka wasikilizwe watu hawana elimu nikuulize kitu markaz hanafiyat ya sheikh wako bahero kwasomwa nini pale mabaadiu fiqhiya hivyo ndio vitabu vyakupa watu elimu
Shaikh mche Allah msifanye mambo kwa kutaka ushindani hakika Manhaj salaf itabakia kua juu na ni njia ya kweli, Allah akuongoze wewe na sisi tuwaleze kuitambua haki, Amiin
Masalafijadida wanamusimamo wakupoteza waislam kwahio mashekh wasunatul jamaa musimame kidete nakuonesha maovu yahawawatu namashekhe zetu ammbao allah awahifadhi muendelee kuelimishajami
Allah atujaalie tuyafanyie kaz azid kukup umri mref weny khery nawe azid kukutilia barka kweny daawa Yako akuhifadh na kill Shar na weny Shar amiin Ya rabb
Aamiyn
Baarakanllah fiikum ya sheykh
Aameen yaa Rabb
جزاك الله خيرا بارك الله فيك
Allah akubariki sheikh wetu umesema ukweli kabisa hao wanao jiita masalafi hawana ushahidi ni kuvuruga watu tu
Shaikh mche Allah msifanye mambo kwa kutaka ushindani hakika Manhaj salaf itabakia kua juu na ni njia ya kweli, Allah akuongoze wewe na sisi tuwaleze kuitambua haki, Amiin
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
nirushie hizi audio
Kweli kabisa
mashaAllah
يحفظك الله من عين العاءنين ومكر الماكرين وحسد الحاسدين
Aamyn
@@NuryaMusa Hahahhahhahahah! Kumbe hata huyu ni Salafy kwako! Ndomana unawapingaga masalafy kwenye comments kila siku!
Yani Shekh wako anapinga watu kujiita masalafy halafu bado nyie mnataka kuwa masalafy!... Bahero huyo akiwa Salafy mm naandamana, labda abadilishe misimamo yake...!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Abuu muawiya Hassan awadh ALLAH subhanah wataalah amrehem je ni salafi .nataka unijibu .?
@@NuryaMusa Hahahhaha! Mimi kuhusu Abuu Muawiyah Sijui...!!! Ngoja niendelee kusikiliza hzi ruduud!!!
Nimesikiliza hoja za pande zote naona nazidi kuchanganyikiwa! Ni kana kwamba Qauli za ulamaa zinagongana kuhusu haya mas'ala ya Jarhu na Ta'adil...!!! Yule ambaye ntamsistiza kwa mara ya mwisho anafanya yule niliyemsikiliza kabla yake nimuone ana makosa!
Kwa mfano: Nilimsikiliza Abuu Mus'ab mara ya kwanza akiwasema masalafy hadi nkaona masalafy kweli wanazingua, Sasa alivyokuja Abuu LUBAABA kumjibu Abuu mus'ab nkaona tena kuwa Abuu mus'ab ndo kazingua! __HAPO ni kwa upand wa masalafy!
Tukija kwa upande wa bachu: Ama kwa ninavyomfahamu bachu kama bachu ni kwamba manhaji yake haieleweki hata masalafy wanakili hvo na wanashindwa wamuweke kwenye kundi gani la masalafy/mahizbi,... koz haeleweki msimamo wake...!!! In short kwa bachu Akina Kishki, Barahiyani, Abuu Muawiyah, Huyu Bahero, Kassim Mafuta etc wote anawakonsida kama masalafy tu! kwo kuhusu bachu mm sjui pia nimuweke kwenye kundi gani....!!!
Ila huyu Bahero yeye utanisamehe kwakwel..... Hapa hatuna Salafy! Hahahahahahahaha! Salafy gani anapinga watu kujinasibisha na manhaj Salafy! halafu sio leo tu mara nyingi msimamo wake ndo huo kuwa kujiita salafy hakuna Asli katika dini...!!!
@@NuryaMusa I know nothing About Abuu Muawiyah! Ngoja tuendelee kufatilia hizi ruduud...!!! Lakin nimesikiliza pande zote mbili alhamdulillah ila naona bado kuna vitu vinanchanganya!
Ila kwa hyo kanuni ya Bachu kuwa kila mwanachuoni wa kisunnah aliyekosea inabidi tuyaache makosa yake ila tusome vitabu vyake! mimi hyo kanuni bado sijaikubali...!!! kwa Sababu tukienda nayo hiyo tutajikuta hata Yahya Al Hajuuriy tunampa udhuru na hivyo hata mahajaawirah tutawaita ni masalafy pia! Jambo ambalo linawezekana kwa Bachu ila Sio kwa masalafy wengine! Hawewez kukubali Mahajaawirah wawe masalafy ila nahis bachu yeye anawakonsida kama masalafy kwa kutumia hyo kanuni yake....
Sheikh wang hawa jamaa kama ulivosema ,yaan ukishindana na Mbwa utachoka ,man mbwa kubweka ni nature yke ,
Hata comment zinaonesha kuwa hawa jaamma kubweka nj nature yao
Kwani na nyinyi hilo jina la Answaaru sunna ni nani aliwaita?
jadida kwishaaaa khabari ya tutaskia mingi kusoma hatutaki tunafuta huuumeidi na qasssim mafuta
Waaambie majadida waelewe waache kufuata makundi
Haya ya nyinyi kutafautiana walishayatabiri masheikh miaka mingi sana mlipoanza kuibuka na kupinga kila kitu hata lisilopingika kwaajili ya kuendesha mambo yenu
Na bado
Kwel mjinga tkt elimu akiongeatu utamfaham😂
Embu muelekeze Japo kwa koment amekosea wapi amekosea
Humu wanao angalia video hizi za kidini ni wengi sana kwahiyi unaweza mwambia atoe comment kumbe ni mshirikina au kafiri akaleta ukafiri wake kwenye dini.
Wenye comment mbovu achana nao hawajitambui na kama wanajitambua basi hao wachukulie ni Wajinga katika masuala ya kidini.
Sh abdallah humeid atakujibu
Subhaanallah, hahahaha hakika wew bado mchanga sana katika elimu kama jinsi ulivyosema.Allah akuongoze wew kbsaa maana hujiw chochote katika hii da'awa salafiyya tukufu.kwa hakika wew ni hizbiyyun
Yeye hizbiyyun na wewe nani.....????
Maana umemtaja yeye tuuu tuambie nawewe nani Maana hatujui wala hatukuoni huenda ukawa kafiri au mshirikina na hatujui tukahisi kua muislamu mwenzetu kumbe kafiri.
Ukitaka kumchafua mwenzako anza kwanza wewe kujitambulisha Kwamba kama ni sufi au Jadida au kafiri au mshirikina maana hatukuoni wala hatukujui.
Mshenzi sana
Nguruwe wewe 😅😅😅😅. KAAFIR la kiwahabi...
@@SaidSeif-d4y ndio sheikh wako huyo atakufa njaa tu,Dini ndio watafutia luqmatul Esh! Njaa tupu...
Jamani mbona hivi waislam?
@@halimaomar3280 usiwaite waislam ni mawahabi wapitia ktk uislam kupata wafuasi wao katika kuujenga uwahabi wao, ni watumwa wa mayahudi. Fungua akili.
@@halimaomar3280NDIO DINI mpya ya KIWAHABIA KWA JINA LA KISALAFY ilivyotufunza Sunna hizo, 😂 kudadeki
Huyu Shekhe mwenyewe ni mshubuhat..... Salaf the best
Baba salafi ya Leo c ile ya Waja wema ,,,,,,hii ya Leo n kundi la ubwabwa na kutaja watu
😂😂😂@@hassanWanjiku
Mzushi tu wa kawaida
Ww ilikua fun wa malafy wa msa ama...ati ww sai watupa daawah ...balaaaa bado sanaaaa somaa akhii ww kama msani wako wamjua ama
Kwahiyo nyinyi munaona rahaa kuwaona waislamu wakigombana 😢 na kuchukianaa ?? Ama kweli nyinyi ni ccm kwelii 😂 udikteta na mabavuu ndio mulonayo nyinyi
Kweli Kama ulivosema wewe nimchanga ktk daawa
Wewe usitudanganye maneno haya amekutangulia nani katika wanachuoni au ni yako mwenyewe
Siyo kosa lako ila aliekukaririsha alikosea kwahyo wachukia kufuata waliyokuwa nayo maswahaba?? Au wewe kujiita salaf kwasbb y wanapongwe ni Bora kuliko kufuata njia ya maswahaba
Binafsi nimekuelewa
Ww mpumbavu sana upi usalafi wa 2024 na upi wa lini maswahaba walikuwa hawana upumbavu kama wako
Kuwa na hekma mama
Kabsaa sio poa kumtukana mtu kidini@@yusuphkhan8963
@@yusuphkhan8963hekma gani wakati yeye anawaita masalafi kwa mfano wa mbwa na wajinga?? Hakika huyu hizbiy mjinga na mpuuzi. Jahil murakab
@@yusuphkhan8963 hekma ilikuwa KATIKA DINI ya wazee masufi na waleeeee WAISLAMU WA mwanzo. Sisi DINI yetu mpya ya SALAF na Sunna kubwa matusi TU hapa, unasemaje wewe kudadeki huijui MANHAJI SALAF kwani wewe😂😂😂😂😂. Kudadeki. Ukitaka hekma nenda KWA Sufi hukoo.
Wewe unashirikiana na Masufi na makhurafi bila ya kuona aibu
Nyie mnashirikiana na mayahudi na manaswara
@@abdiazizmohamed444 Mtume SAW alishirikiana nao lakini huwezi jua wewe ni hizbi hamufunzwi lolote katika misikiti yenu isipokuwa kuchangisha pesa
@@abdiazizmohamed444lete ushahid
Muhammad bahero wewe ni msanii nenda kaimbe uko
Usitafute rizq ya kupeleka nyumbani kwa kazi ya kuomba omba
Majdida akili zao mbovu kwwl wanashikiwa akili na mashk wao kua fulani usimsikize na wao wanasetiwa kama maroboti,hwasikilizi ni wajinga sana kuelewa ibara za wanazuoni.
Subhanallah hata hueleweki ..
Topic yako ni gani
Chagua topic ili ueleweke
Je kujinasibisha na usalafi
Au kufuata masalaf 2024
Allah akuongoze ...
Hata qauli ya ibn masoud umeisahau umeianzia katikati
Ila ndio unamalizikia kidogo ulichokuwa umehifadhi kwa kuwa adui wa hii daawah
Halafu pia huna ufahamu wa hiyo qauli ya ibnu taymiyyah
vp iyo kauli ya Sheikh Fauzan ?
na vp kuhusu kauli ya Sheikh Fauzan pia hana ufahmu nayo?
Mahizbi sasa kwisha ukiona anakusumbua wewe mwabie ametanguliwa na nani ktk hayo
Musimsikilize muhammad bahero ni mwongo
Na wewe uandae majibu ya kumjibu ALLAH kwa nini ulimsingizia shekh MUHAMMAD BAHERO kuwa ni muongo
@@yasirsaid8464 ndio ni mwongo anakwambia kuwa wanaofuata njia ya salaf wamepotea lakini yeye suufi yuko kwenye njia iliyo sawa kwa hiyo ni mwongo hao watu anaowapinga wako kwenye njia iliyo sawa lakini yeye ndiye aliyepotea.
Kua ndugu yako al-amin sio muombaji ombaji wa kwa watu
Enyi walimu wajibu wenu kuelimisha watu fadhla za din sio ikhtilaf ya manhaj ikhtilaf ni baina yenu nyinyi walimu pekee .
Nani Ambae katolewa wala nani Ambae kaingizwa mtu husema Fulani manhaji yake si yasunah hivi ww Leo ukiambiwa Leo shia uko nae kwa daawa ni muislam utakubali lazima utakataa noo yule si mwenzangu kwa sababu hii na ile sindio umemtoa hapo ktk msingi wa dini na Kuna vitu ndio vimepelekea
assalaamu alaykum..ummu faaruq umekosea kumuita mwalim huyu zuzu tubia kwa mola wako hata kama atakua yeye kakosea hio ni uoni na jitihada yake ...sasa wewe unamtukana muislamu huyu..hii sio tabia ya wabawake wakisalafi hata kidogo nimeangalia koment zako ..muogope mola wako jazba ulionayo ليس في حق .
Sasa wasema mtume akujiita wala swahaba je ahlu Sunnah wamejiita swahaba hivyo tupe dalili hio pia zuzu ww
Mahizbi munashida ya fahamu kumbe ndomana mahizbi wote hanaga mwelekeo kwini wewe hujui kuwa manhaji inaenda najina usalafi nimadhehebu nasi lazma tufuate hayo madhehebu natujinasibishe kama kichwa chako nizenge huwezi fahamu kwasababu we ni hizbi kazi yako kuridhisha watu kwa kuiponda haki
Maswahaba aqida yao ni Moja wala hawajakuwa kama sisi huwezi chezea Sunnah eti uwachwe kisa tusifariqiane we chizi sio we tafta umaarufu na pesa
Ama kwli sheikh hjakosea Hatuwezi kushindan na mbwa kubweka tutachoka ,mna mbwa kubwka ni Nature yao
utaulizwa kumdhulumu huyu sheikh ...kumuta zuzu chiz ..maneno yako mazito yasije kukutokea puani...kuwa makina umm faaruq usiwe na hamiyyah itakayo kusababishia iflaaas yaumulqiyaamah
Mbona unaongea pumba unazani unaongea na watoto wadogo
Tukuulize wewe mtume alijiita ahlusuna waljamaa?
Unamaana kua haifai kujiita salafy ikwap dalili. Kama wanazuon wamejuzsh m2 kujita salafy wewe uping wewe kvp
Hahhaha! Sasa hawa ndo watu ambao Bachu anawatetea kuwa ni Masalafy pia...!!! Kumtetea Abuu Muawiyah anaweza akashinda lakin sio kwa hawa mahizbi wa waziwazi kabsa wanaoipinga dawatusalafiyyah hadharani...!!!
Mimi naona hapo kwenye qaul ya ibn taymiyyah kuna mambo waficha sheikh mche Allah
Kudhirisha Ni kutangaza ile daawa ya salafy
Na kujibasibisha hicho ni kiswahili cha wazi kabisa kwamba nisba haiji ispokua kwa jina na ukisema najinadibiaha yamaanisha kwamba najiita jina la salafy
Kwa hivyo yafaa kujiita salafi
Huwezi kufuata uislamu bila kujiita muislamu sheikh kufuata uislamu bila kujiita muislamu yafaa kweli?
Mwisho kujiita salafi haimaanishi kwamba wewe ni salafy kweli kama ilivyo kwamba washirikina wajiita waislamu ila ni kinyume
Soma manhaj waambie watu usalafy wala sio uhizby
Hhhhh kumbe majina yanawaumiza haya dr islam aitwa jaahil tunasubiri mapovu yenu hhhhh
Amaa kwli nyinyi mnabweka unafurahi kuvunjiwa heshima ndugu yako miislamu ? Hajakosea Sheikh Muhmmad bahero ,
Unafurahia kuitwa jina baya muislamu mwenzako ,Au hjui kama Allah kakemea kuitana majina mabaya ?
لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونو خيرا منهم...
@@AbAlhuraasmsitukane waislamu ..ndoo maana sheikh mohammad bahero kaongea wala hajatukana mtu sasa kubweka sjui unawaambia washirikina au waislamu wenzako ndugyangu...neno moja unaeza tupiwa mbali na allaah ..rudi nyuma na allaah atuongoze
سبحان الله تنادي اخوانك اغبياء وتدعي بانك منصف تدبر ماتقوله قبل ان تقول
Huyu muhamad bahero kuomba misaada ndio kazi ya maswahaba omba omba wa mitandaoni duh hivo ndivo walikua maswahaba
sasa misaada alioomba mbona mbona unaanza kumvunjia heshima na kumdhalilisha ..hata kama ulimshuhudia kua yeye ni omba omba ..subhaanallaah.
tukizungumza ya dini nyie mnamfuatilia mtu mpaka nyumban kwake...tumuogope allaah ndugzangu khitlafu zipo ila msitukane walimu..huenda ukamtukana mtu allaah alimridhia kabla yakk wewe ...ukaingia ktk janga.
chamsingi tuvumiliane watu wa sunna na tusameheane na kutovunjiana heshima ktk yale tulio khitilifiana na kumuomba allaah atuongoze ..sisi ni watu wa qibla tuache hii hali ....
Shekhe hi hatujakubali angalia comment yote watu wanakata maneno yako si hawaeliwi usituchukulie wajinga
😂😂 dawa imeshakuingia jadida Acha kufuata kundi wewe fuata fini pimbi wewe kasoma
Ndo mnaosemwa mnafuata kundi badala ya kufuata ya maswahaba
Acha usenge wewe unataka ueleweshwe nini
Ama wewe ni KADHAB,je sie wewe uliokua ukilia uwanja wa ndege kutaka kusamehewa na hao unao wasema ana umesahau, jishughulishe na kutafuta elimu na lini salafy wa pongwe ama wa Ghufeily walisema wafwatwe wao?
Unakataa watu wasijiite masalafi na huku unamnukuu Abdullah ibn al-Mubarak akitahadharisha watu na Amr ibn Thabit kua anatukana salaf tuku elewe vipi
Masheikh wenu wanafundisha nini wataka wasikilizwe watu hawana elimu nikuulize kitu markaz hanafiyat ya sheikh wako bahero kwasomwa nini pale mabaadiu fiqhiya hivyo ndio vitabu vyakupa watu elimu
Muogope Allah na hifadhi ulimi wako ,achana na FITNA hizo na ww fata njia ilio kubainikia
Namuomba Allah atuthibitishe katika haki
Wamesema ma hizbiyuun hawajuwi walla hawawezi kusomesha usulu thalaathah, wamjuwa story za fake tu darsi zenu zote, you fools no knowledge .
Shaikh mche Allah msifanye mambo kwa kutaka ushindani hakika Manhaj salaf itabakia kua juu na ni njia ya kweli, Allah akuongoze wewe na sisi tuwaleze kuitambua haki, Amiin
Sh abdallah humeid atakujibu
Mlevii huyoo Abdallah wako 😂
Ikiwa wameshindwa kumjib bachu na wanamuogopa Nadhan wao wamezoea Dr Islam tu kwengine level ingine wataaibika Bure Bora wakae kimya