HAKIKA NILIKUPENDA PATRICIA, NILIKUPENDA SANA 😭

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 157

  • @vero756
    @vero756 2 года назад +9

    😀😀😀watu husema eti wanawake wanaroho nyepesi wanasahau ata ya wanaume huahijaumbwa kwa chuma Asante Mjomba 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @zakshamadu3679
      @zakshamadu3679 2 года назад

      Ioooioooooooioooooòoiu98ui8888888²

  • @SaumuMwajambo-zf6fu
    @SaumuMwajambo-zf6fu Год назад +2

    Wakulaumiwa ni Patricia kwasababu asingemsalt yote yasngetokea 😭😭😭😭 happy birthday anko j 💞💞

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 года назад +7

    Maskini Miki ulimpa Patricia Moyo wako alichofanya ni kuuvunjavunja. Jeraha la mapenzi linauma kuliko Cancer. Healing is process kosa ni kuingia kwenye mahusiano bila majeraha kupona all the best Miki!!!!!

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 года назад +2

    I'm no.1 thanks simulizi mix. Thanks Anko J👍🏻

  • @KenerdyKitembele-nd7de
    @KenerdyKitembele-nd7de Год назад

    Wote wanamakosa mwanamke kwawvu wamapenz namwanaume kwa maumivu yakumpoteza mpenzwake kwahiyo kiufupi wote nimotoni umetisha sana uncle j nakutakia maisha marefu nimim mwana familia captain muba🔥

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 года назад +2

    Hbd ako j Mungu akupe maisha malefu hapa nduniani

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 2 года назад

    Daaah cmuliz nzuri xaan na inasikitisha na inafundisha xaaana

  • @Adonai810
    @Adonai810 2 года назад +4

    👏👏👏👏👏 BRAVO ANKO JAY

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 года назад +3

    Ndiomaana wanakwambia ukitengeneza njia nzuri unawatengenezea walio nyuma yako na ukitengeneza njia mbaya pia ndo ivo nihatal sana kweli🥺🥺🥺

  • @godfreymurow6191
    @godfreymurow6191 2 года назад +2

    Daah hii simulizi imenigusa Sana Ila Patricia ndio mwenye makosa Ila enewei anko j umejua kutufunza kupitia hii simulizi kuwa tusije kumpenda mwanamke asilimia zote zitatusababishia umauti na mateso Kama ndugu yetu Miki

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 года назад

    Asante kwa simulizi nzuri

  • @mercylynemusundi580
    @mercylynemusundi580 2 года назад +3

    Happy birthday to u anko j mungu na hukumu yake by

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 2 года назад

    Daaah simulizi nzuri saaana wakulaumiwa ni Patricia

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 года назад +2

    happybitheday ❤❤❤❤ na sauti zako nzuri unanikumbusha story ya wapendanao kaburii

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 2 года назад +1

      Ni kwel na ile ya adamu alikuwa anauwa akiacha maneno ya binaadam

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 года назад

    Wakulaumiwa ni Patricial,ndio amemsababishia Mic mikoc yote na kumuaribia maisha alafu mbona uyo Patricial asipate laana ya kumuuwa yule Dada wa watu Tena kinyama!akaoza kwny lijumba,Patricial mbaya xana na hii simulizi Ina mafunzo xn wanawake asee wa mioyo mibaya kiukweli wanaume kuweni makini aswa vijana mnaotaka kuingia kwny ndoa!happy bday to u

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 года назад +2

    wa kulaumiwa ni Patricia kwa sababu mwe nzie alimwacha na maisha yake yeye akaja kumzuia

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 2 года назад

    Jmn Mashaallah nzr simuliz

  • @estajoramu7970
    @estajoramu7970 2 года назад

    Daaaa inaumaa kweriii polee mikky hakika pumzika kwa amani R.I.P patricia anaroho mbaya kwerri piah mjomb Happy birthday to Ishi miak mingi mjomb

  • @imranfundi6761
    @imranfundi6761 2 года назад +1

    Wakulaumiwa ni Patricia yy alikuwa kashachaguwa maisha yake ilikuwa asimfatilie Mike Patricia ndio mkosa

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 года назад +1

    Waooo ank j jamani kwani tax ya mauaji VIP muendelezo

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 2 года назад +1

    Happy birthday uncle j asant kwamafuzo mapenzi tutawacha nibaya sana alf umeandi mtu itakuwa hivyo urudi umufanyie matharau ni baya bye

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 года назад

    Ahsante anko j ❤❤❤❤❤❤💋

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 2 года назад +1

    Patricia alikosa sana sababu wakati aliolewa angeachana na mik aishi maisha yake.

  • @aishajuma7391
    @aishajuma7391 2 года назад +3

    Hapi belated bash anko j,,,mike ndiye aliongeza petroli kwenye moto.angetoa tarifa kwa vyombo vya dola ili patricia ajibu mashtaka ya utekaji na kusababisha kifo cha hilda.kulipiza kisasi sio suluhisho ila ni ku ongeza maafa na pia sio poa kuchukua sheria mkononi Coz maatokeo ni machungu kama shubiri

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 2 года назад

    Anko j. Utunxi bora Kiswahili mazuri

  • @brigidnekesa6073
    @brigidnekesa6073 2 года назад

    Patricia ndiye wakulaumiwa lkn mungu awahifadhi mahali pema

  • @janety_b4564
    @janety_b4564 2 года назад

    Asante Sana kaka

  • @jemamahenge4808
    @jemamahenge4808 2 года назад +1

    !!5 tu oo

  • @reginaflorian9292
    @reginaflorian9292 2 года назад

    Happy belated born day anko j,may God bless u immensely n gd health b ua portion n big up for the gd work

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 года назад +1

    kuishi maisha marefu utuletee na wajukuu wema sio kama Patricia

    • @wardawarda4903
      @wardawarda4903 2 года назад +1

      @@ankojay8882 unataka kuleta habari za izeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😗😗😗😗😗

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 2 года назад +1

    Pati risha ndiyo kulaumiwa sana😭😭

  • @buru1235
    @buru1235 2 года назад +1

    Patricia alaumiwe Aki masikini miki

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 года назад +1

    yaani kwa vituko vyako tu kwenye story sichoki kukusikiliza unafurahisha kwa kweli ❤❤❤💋💋💋💋💋

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 года назад +1

    Nakupendea hivyo tu jey jey kwa madoido

  • @loycep7785
    @loycep7785 2 года назад

    Amina mtunzi wa simulizi hii mimi nimejifunza mengi sana ktk hii simulizi lkn kikubwa nawaasa wanandamu wana wa Mungu hata uumizwe vipi usije ukalipa kisasi maana Mungu amesema kisasi ni juu yake
    Ni ngumu sana ktk hali ya mwili huu wa nyama lkn
    Ukimtegemea Mungu atakulipa yote uliyotendewa na hata asipokulipa mshukuru ktk yote songa mbele ili utimize ndoto yako ktk maisha aliyokuleta Mungu hapa Duniani
    Samehe mara saba mara sabini na kumteisha fedheha zako zote yule anayejua kutoka kwako na kuingia kwako
    Jino kwa jino ni mbaya sana nafikiri mmeona shida kubwa aliyoipata Nick
    Lkn kama angepotezea na kuanza maisha mapya haya yote yasingempata
    Wewe kijana wa kiume acha kuharibu maisha yako kwa ajili ya mtu ambae hawezi kukuumba iweni na busara hasa Hekima itokayo kwa Mungu
    Kwanza ukiona mwanamke amekusulubu jua kuwa Mungu ana mpango mwingine na wewe maana yeye Mungu anajua kesho yako hivyo kimbia kabisa na kumshukuru Mungu wako na wanawake hivyo hivyo
    Unaachana na hayo unaanza ukurasa mwingine
    Na utashukuru Mungu ukiona yanakwisha
    Tena hayo mambo Mungu anasema tuwaombee maadui na kuwapenda tena tusiwachukie
    Pamoja na kwamba Paticia ndy alianzisha ubaya lkn Nick
    Alingewaua wale watoto malaika wasio na kosa hasa ndy waliosababisha akaptwa na hiyo shida
    Mungu atusaidie kuelewa kisasi ni kibaya
    Ingawa Nick aliumia kuuliwa Hilda
    Yaani inauma lkn yupo Mungu anaweza kutushindia kwa kumtegemea ktk yote yanayotukabili kwa lmani upo ushidi
    Ubarikiwe mtunzi tumejifunza kitu ingawa simulizi hii inaumiza sana mioyo
    Hasa wazazi Mungu awatie nguvu😭😭

  • @temeliy4673
    @temeliy4673 2 года назад

    Patrsia ni mbaya sanaaa amesabisha kifo cha watoto wake

  • @temeliy4673
    @temeliy4673 2 года назад

    Pole mike

  • @reginaflorian9292
    @reginaflorian9292 2 года назад +1

    Kwa maoni yangu binafsi makosa niya mike na sio eti natetea patricia la hasha ila kama mike angelikubali matokeo na ku focus na maisha yake haya yote yasingelitokea,,nakubali kuna maumivu ya kuachwa ikiwa bado unampenda ila unahitajika umpende akupendae asokupenda achana nae.coz mike ndie alianza kufuatialia patricia akijua kabsaa amesha achwa.mikaka na midada tukubali tukiachwa tunaachika kuepuka yasio lazima,

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 года назад

      Jamn kwn mic alimfanyia nn Patricial mic alishakubali kuendelea na maisha yake na alishaanza mausiano na Yule dada mfanyakazi mwenzie kilichomfanya Patrisha amtumie Askari wamteke Mic ni nn na wakt yy alikua kashaolewa?kwaio Patrisha dhahiri alitaka Mic asioe na amuaribie maisha yake na afe kabisa ndo maana alimfungia kwny jumba bovu!acheni bana wanawake wabaya

    • @reginaflorian9292
      @reginaflorian9292 2 года назад

      Mike alimfuata patricia airport akapokea kipigo cha kufa mtu ila hakukoma ,akatoa miguu mosi miguu pili hadi kwa arusi huko nako yakatokea yakutokea .kwa maoni yangu kama mike angekaa mbali na patricia angezuia mikasa coz unachokiwaza sio ambacho mwenzio anakiwaza.hayo Tisa yote kumi ni ss tujifunze kutokana na mskosa tuloyaona kwenye simulizi coz still visa na mikasa ya mapenzi bado ipo

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 Год назад

    Chanzo ni patrich but l can see both 🙏🙏👍👍❤️

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 Год назад

    Dahh Patricia mwana kulitafuta mwana kulipata pumzika kwa amani

  • @RehemaJudika
    @RehemaJudika 3 месяца назад

    Mike asingewauwa watoto angedeal na Patricia

  • @princembilu4979
    @princembilu4979 2 года назад

    Daah miki kaonewa xana

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 2 года назад

    Patricia ndiye wa kulaumiwa 😭😭🥺🥺

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 года назад

    He jamani lnasikitisha saaana lla patrisha aliyataka lla watoto angewaacha masikini

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 2 года назад

    Wote wanastahi kula UK mia ila zaid ni miki kwanza alienda harus isio muhusu na ndio chanzo cha matatixo aliuwa wtoto wadgo wasiojua chcte na hawakua na hatia yyte kma alitaka kulipza kisas alikua napaswa kufanya kwa Patricia na mmewake

  • @neemasiame3999
    @neemasiame3999 2 года назад

    Dah hahahahaha kwahiyo yale mabeg niya wadadawanao fanya kazi za ndani

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Год назад

    Patricia roho mbaya sana

  • @khalephjones9342
    @khalephjones9342 2 года назад

    So sad story,,,

  • @hellenadhiambo961
    @hellenadhiambo961 2 года назад

    Patricia ndio alianza vita amalize tu

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 5 месяцев назад

    Patricia ndo wakulaumiwa

  • @isabelaoisso5431
    @isabelaoisso5431 2 года назад

    Hii simulz inasikitisha jamn dah

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 28 дней назад

    Kosa ni la patricia

  • @dicksonrashid7729
    @dicksonrashid7729 2 года назад +1

    Anko hapa wa kulaumiwa ni Mickey,angekubali matokeo nakusonga mbele,maisha ya mickey yalikuwa mazuri sana na jinsi alikuwa amezungua na vidada shuleni Hadi kazini.simulizi moto 🔥🔥 kama hile ya mchezo mchezoni.

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 2 года назад

    Machozi 2 Yananimwaika Aki Uko Mwisho

  • @filbertkinunda6610
    @filbertkinunda6610 2 года назад

    Huyo mganga bhanaaa 😝😝😝😝😝😝😝😝 na ugoro ndo yanapandishaa mashetani!
    Igono Miki 😛😛😛😛😛😛😛😛

  • @yasintangonyani6304
    @yasintangonyani6304 2 года назад

    Lakini Sweden hawana rais

  • @florenceokullo6049
    @florenceokullo6049 Год назад

    Patricia ndiyo wa kulaumiwa maana yote yeye ndiye chanzo

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 2 года назад

    Patricia uncle j alisababisha mambo yote ifanyike hivyo kwakweli nihuchuku sana

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 2 года назад

    Wakulaumiwa ni Patricia niyeye Chandon cha mabaya yote.

  • @gracembone3827
    @gracembone3827 2 года назад

    Patricia ndio mwenye makosa alikua amesonga mbele angekumbali na kumwacha mickey Aishi maisha yake

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 2 года назад

    Woooiy aki mungu
    Wakulaumiwa ni Patricia 😭😭

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt 9 месяцев назад

    😊😊😊❤

  • @King-px7xu
    @King-px7xu 2 года назад

    Kulipicha kisasi sio vizuri

  • @irenemrisho3994
    @irenemrisho3994 2 года назад

    Bora asiende

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 года назад

    Yackisha sana wote Wana makosa

  • @emmymikaeeli42
    @emmymikaeeli42 2 года назад

    Ahsnte sana simulizi mix

  • @aishamussa3245
    @aishamussa3245 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣Economy 😂😂😂Asante anko j

  • @rahmaayoub7519
    @rahmaayoub7519 2 года назад

    Mapenzi sio pesa

  • @beatrice721
    @beatrice721 2 года назад

    Patricia ndio sababu

  • @puritylobun5313
    @puritylobun5313 2 года назад

    Mapenzi kizungu mkuti kweli

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 2 года назад

    Polesana miki

  • @japhetkoyo6098
    @japhetkoyo6098 2 года назад

    Hakika imenifunza mengi ubalikiw kwa sauti

  • @janejannean5128
    @janejannean5128 2 года назад

    😭😭😭Never revenge

  • @fghetu1309
    @fghetu1309 2 года назад

    Tutalaumu nani???? Akula wote walikua na roho ya kinyama

  • @emilyiboya2598
    @emilyiboya2598 2 года назад

    Haki.hisimulizi.imenfuza.kitu.mwenye.makosa.ni.patricia..ango.je.unatufuza.asate

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 года назад

    Asante

  • @irenemrisho3994
    @irenemrisho3994 2 года назад

    Asant can simulinz nzur kwer

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 2 года назад

    Mumenikumbusha Sitela Jameni Kashuka Amebeba Mtto Na Fut 4 Japani

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 года назад

    Shangazi kaja 😂😂😂🤣😂😂😂👍

  • @carlossirya5016
    @carlossirya5016 2 года назад

    Amakweli malipo huaniapahapa duniani akhera esabutu
    Patricia aliyataka yote hatasiezi mhurumia

  • @mercylynemusundi580
    @mercylynemusundi580 2 года назад +1

    Hii shida yote ni wewe ulijitakia Patricia wembe ni ulele

  • @paulinamwanyerere701
    @paulinamwanyerere701 2 года назад

    Watoto hawakua na makosa pamoja na huyo dada

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 года назад

    Majanga na alimpenda wanini kumtesa miki wawatu

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 года назад

    Uncle umezidi kwa kucfia

  • @fatumajumanne3529
    @fatumajumanne3529 2 года назад

    ❤️❤️❤️

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 2 года назад

    Pati risha ndiyo mwenye makosa

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 2 года назад

    Patricia na miki wote wakulaumiwa

  • @carlossirya5016
    @carlossirya5016 2 года назад

    Naanza kuisikiliza ilainanitoa machozi tayar 😧😧

  • @jamesdaniel1326
    @jamesdaniel1326 2 года назад

    Duh mapenzi haya tuyaache tu

  • @annasituma8810
    @annasituma8810 2 года назад

    Painful

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 2 года назад

    Hakuna wakulaumiwa

  • @kharatharoun725
    @kharatharoun725 2 года назад

    Patricia ndo chazo ya yote..ila kwanini mik usingesameh tu na wewe

  • @Mj.188
    @Mj.188 2 года назад

    mwisho unaumiza😭😭

  • @dicksonrashid7729
    @dicksonrashid7729 2 года назад

    Anko Bado ninazubiri mwendelezo ya USINILILIE MIMI,nataka kujua hatma ya Inno na Latoya

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 года назад

    Asate sana simlizi mix ako j

  • @SaraUmalila
    @SaraUmalila 10 месяцев назад

    aise

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 2 года назад

    Masikini Miki Na Idaa

  • @seranaomi6209
    @seranaomi6209 2 года назад

    Patricia ndo wamakosa yo angemuacha na mupenzi wake wa mupya

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 2 года назад

    Kumbe kuna waume wa msimamo kama Mike. Kutotaka mahusiano

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 2 года назад

    Mmasai 😂😂😂😂😂Nikwere joo