Asifiwe Yesu , kwa majina naitwa Caroline Adhiambo natoka Mombasa , Kenya. Nimeokoka na nampenda bwana kama mokozi wa maisha yangu. Huwa natazama Reality of Christ kupitia RUclips na nabarikiwa sana , ningependa kufika huko ila nimeshindwa , naomba mchungaji haweze kuniombea Kila sehemu ya maisha yangu kwa sababu hakuna kinacho Songa mbele , niko stagnant hata kwenda bara kumuona mama inakuwa shida. Asante.
Ameeeeeeen,nimebarikiwa na mafundisho na maombi,,naaamini nimefunguliwa,naangalia kutokea Comoro,nikija Tz natamani nije hapo kanisani maana mimi nafatilia mafundisho ya mtumishi Sanbela kupitia Yu tube,naomba kibali nikija Tz nimuonane na mpakwa mafuta Sanbela
Shalom! Ratiba za Ibada Monday 0900pm - Online Service Tuesday 1600pm - Arusha Service Wednesday 1700pm - Dar Es Salaam & Dodoma Service Friday 1700 - Dar Es Salaam Service Sunday 0900am - Main Service @Dar Channel ni hii na ya REALITY OF CHRIST Karibu sana!
Baba mtumishi wa Mungu mimi ni Sarah kutokeya Congo .. Nime mchuku Mungu kwa kunipa kibali ya kufata mafundisho hiyo ... Mungu akubariki sana
Amina Napokea kwajina la YESU Jina lenye nguvu 💪🙏🕊️🕊️
Amen, Asante Yesu wangu nakupenda sana
Nimelia sana nimelia sana unachosema nikweli nashindwa kusema kutuma meseji huku
Masomo mazuri sana. Nitakutembelea mtumishi wa Bwana.
Asifiwe Yesu , kwa majina naitwa Caroline Adhiambo natoka Mombasa , Kenya. Nimeokoka na nampenda bwana kama mokozi wa maisha yangu. Huwa natazama Reality of Christ kupitia RUclips na nabarikiwa sana , ningependa kufika huko ila nimeshindwa , naomba mchungaji haweze kuniombea Kila sehemu ya maisha yangu kwa sababu hakuna kinacho Songa mbele , niko stagnant hata kwenda bara kumuona mama inakuwa shida. Asante.
I connect to the altar in Jesus name🙏
Ujumbe wa Mungu huja Kwa wakati.
Asante Yesu.
Kuna mambo ambayo nimejifunza hapa nimeshukuru sana pst
Somo limekuja kwawakati,Asante Mungu,niliota mguu wangu umefungwa hirizi inamafundo nikafungua matatu baada ya hapo Ile hirizi ikatoweka
Somo limekuja kwa wakati ubarikiwe mtumishi
Ameeeeeeen,nimebarikiwa na mafundisho na maombi,,naaamini nimefunguliwa,naangalia kutokea Comoro,nikija Tz natamani nije hapo kanisani maana mimi nafatilia mafundisho ya mtumishi Sanbela kupitia Yu tube,naomba kibali nikija Tz nimuonane na mpakwa mafuta Sanbela
Kumbe Mungu ananena kweli kupitia watumishi aliyowamwagia mafuta. Nimebarikiwa Sana. Juliet nikiwa Kenya. God bless you Pastor.
Ahsante YESU WANGU
Sauti jmn😢
Nimebalikiwa kweli na haya mafunzo, dhuu yanasikika vizuri unatani niyaleo❤ AMEN.
Nimebarikiwa sana Mtumishi.Mungu akubariki sana-Kenya
Amina.Asante YESU kwa zawadi ya mtumishi huyu.
Asante Mungu, amen 🙏🙏🙏🙏
Ameen
Nimefunguliwa Asante Yesu
Ooh haleluuuuuya Utuzwe YESU wangu milele na milele Amina
Feeling blessed in Qatar Amen!
NABARIKIWA SANA UTOKA CHINA 🇨🇳
Amen
UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU ALIYE JUU
AMEN 🙏 🙏 🙏
Amen 🙏
🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙏
Amina.
AMEN
Asante sana ubarikiwe mtumishi kwa huduma ya maarifa
Asante sana kwa somo, mimi ni mu congomani nakaa Butembo nabarikiwa sana na somo , naomba number ya mchungaji kwa mambo mengine
Jambo.
Nabarikiwa sana kutoka Kenya.
Naomba kujua masiku na masaa yapi mtumishi anakua live ili nisikose
Shalom!
Ratiba za Ibada
Monday 0900pm - Online Service
Tuesday 1600pm - Arusha Service
Wednesday 1700pm - Dar Es Salaam & Dodoma Service
Friday 1700 - Dar Es Salaam Service
Sunday 0900am - Main Service @Dar
Channel ni hii na ya REALITY OF CHRIST
Karibu sana!
@@mary-stellapetertemba7746 naomba kuuliza kwa habari ya Appointment na Mtumishi kwa MTU aliyeko mkoani
Somo zuri
Powerful!
Mwenye namba ya huyu mtumishi anisaidie plz🙏🏿🙏🏿🙏🏿
AMEN
Amen amen amen
Amen
Amen and Amen
Amen
Amen