AKUTWA AMEFARIKI CHINI YA MUEMBE, MASHUHUDA WASIMULIA "NILIONA NZI WAMEJAA SANA MDOMONI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии •

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 часа назад

    Mungu amlze pema pepon Amina
    Huenda nyoka kamng'ata

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 часов назад

    Mungu ampumzishe kwa Amani

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 10 часов назад +1

    Daah aise apumzike kwa amani.

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 44 минуты назад

    Harafu wengine hapo munacheka yaani binadamu bhana

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 10 часов назад

    Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun yani taarifa za misiba ndio nyingi aisee

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 часов назад +1

    R.I.P

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 7 часов назад

    Mbona hapo chini pana kitu kama nguzo ya umeme imelala?

  • @OnesmoNnko-v7k
    @OnesmoNnko-v7k 9 часов назад +1

    Uyo amegongwaa na nyoka koboko

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 6 часов назад

    Hapo huenda nyoka

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo 8 часов назад

    Matukio haya sasa yashakua sio mageni tena tz

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 7 часов назад

    Mtu adondoke na nzi hapohapo wakati bado anatoa sauti?