🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 19 минут назад

    Wenye akili yanga niwawili tu ,kikwete na mzee manara

  • @SaleheMohamed-fw5dm
    @SaleheMohamed-fw5dm Час назад +2

    Sisi watanzani bora hii siku mngeenda kuwasaidia waliobanwa na gorofa kule kariakoo watu wanakufa uko nyie mnafanya shelee leo mm yanga mmenikwaza sana

    • @EricRutta
      @EricRutta Час назад

      Kwahiyo NCHI NZIMA ihamie kariakoo! Serikali inafanya nini,mbona wanakuja na kuingia kwenye migari Yao na kuondoka! Wanaoenda kuwasadia wengne SIO watu!? Unafikiri GSM Katoa mamilion mangapi ya kusaidia pale!! Maisha SIO ya kukariri!
      Yaani unataka kusema NCHI NZIMA shughuri Nyingine zisiendelee kisa Kariakoo! Elimika!

    • @BibliaUbaoni-o9s
      @BibliaUbaoni-o9s Час назад

      Wewe mbona hujaenda Kariakoo?

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 57 минут назад

      ​@@BibliaUbaoni-o9s😅😂

  • @pompeymnyalape9733
    @pompeymnyalape9733 37 минут назад

    Haya Mautopolo Mapumbavu sanaaaa!!!! Mnafuraha wakati nchi iko kwenye Msiba??? Hivi mna akili kweli!????

    • @uswegemwakalobo6220
      @uswegemwakalobo6220 4 минуты назад

      Kwa hiyo Leo tusishangilie Taifa stars inapocheza kwasababu hizo unazotaja?

  • @AbuuKilave
    @AbuuKilave 56 минут назад

    Hawana akili kabisa hawa viongozi wa yanga taifa limepata msiba mkubwa wao wanafanya sherehe

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 36 минут назад

      Wew ndo huna akili kabsa yani maisha ya mtu binafs yasiendelee, halafu ameenda kusaidia jamii yenye uhitaji hyo nayo ni kosa, makolo akili hamnaga aisee