Kweli mr fact anafanya kazi nzuri sana mambo mengi tulikua hatuyajui kumbe kuna watu wanaishi kutumia riziki za wengine mbila wao kujua pana hatari wenzangu...
Sasa akijaribu Kukatashingo akate kama kakosea dawa wewe utakuwa umekufaa🙄🙄🙄🙄🙄🙄msiotafuta hela kwa jasho lenu nn kuhangaikaa tuu ujingaa wakufilisi wanadamu
Ni dunia ya uongo na baba yao ni baba wa uongo na uongo unatawala. Inawezekana huwa wakuu wa giza huwa wanadanganya ili kuwafanya wajione wakubwa katika harakati za kuwanasa. Ila kama umegundua kwenye dunia ya wachawi wanajua sana kujieleza hata kama sio wasomi kabisa.
@@agneskighenda3795 kila mmoja anajazwa kwamba yy ndo yy nothing else,,,hata wao pia nahs wana psychological mind ya kumfanya yyeyote anajiunga nao ajione anaweza kulko mwenzake,,,na naturally binadam tunavopenda kjibrand inakua ngumu kutoka sabb ya huo ukubwa wanaoaminishwa 😁
Kama mnaikubali hii media gona like hpo
sanaaa
Asoikubal labda Juliet na wagambosh 😌🙈
Wakwanza leo wakenya hoiiiii🙋🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera
Pro tip: watch series on flixzone. I've been using them for watching lots of of movies recently.
@Marvin Rocco Yup, been watching on flixzone for since november myself =)
Ninacho kupendea Davistar Unajuwa kumchimba mtu Hadi mambo yananoga🤣🤣🤣 kazi nzuri kaka
Jamaa nimependa yaani anakazia maneno 🤣😂🤣Yaani ijulikane kuwa alifanya 🤣Haya kama umempenda jamaa ngonga like hapa 💪😇
Hatari
asili ya waha ni watu wa story sana, sasa hiyo ni ya ukweli, basi ndiyo kipele kimepata mkunaji
Nakubali 💥watu wa kigoma hamuishiwi matukio
Waongo tu hawana lolote
😢😭😭😭 nimechelewa hata like basi jamani🙏
pamoja 😭😭😭😭😭
Mtu yetoye ufanya haha na mengineo kwa ukosefu wa maisha mazuri tu.Maisha tu mazuri😍😍😍😴😴😴🌞🙏.Kwa tote Mungu mbele@Kenya.
Kweli mr fact anafanya kazi nzuri sana mambo mengi tulikua hatuyajui kumbe kuna watu wanaishi kutumia riziki za wengine mbila wao kujua pana hatari wenzangu...
duu!! davistar u have taught me so much thank you
ndiyo maana utakuta mtu anakukopa hela, hakurudishii, jeuri anakujibu anavyotaka, dunia ngumu sana hii kwakweli ni mungu tu anatusaidia
Tobaa yan kilakitu ndani hadi choo huyo babu gwiji jamani shikamoo babu😊😊😊😊
Mnawahi sana du😂🤣Haya wa mwisho leo
Perfect story Bro Devistar mata appreciate you 🔥🔥👊🏻
Weka like kama uko Tz twende sawa
Namba 13 mashallah najisifu mwenyewe
Dah perfect
Wa kwanza,,,more likes please 🙏🎂
Hongera
God is Great. Mungu akulinde
Wiki2 umekaa bila kulala jmn tutafuteni Pesa kwa alai... Ipo siku nasisi tutatoboa maisha...😍
@Ally Ramadhani Aminiii yarab
Asante kwa muendelezo
Safi Sana broo
UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA 👍👍👍
Hii story ni nzito mno dah @davistamata allah akujaaliye zaidi maan kufany kaz za hivyo zina changamoto zake
Uhondo story Davista wacha kazi iendelee
Davistar Fanya maarifa ya kuonana na Babu ana mengi sana
Wa kwanza
Davista story nimeipenda sana
Bro yupo moto moto ktk kusimulia aisee
somoe pili cute emmy Khulood suleymn Aiyam upo? Amina Hamis Aisha Eric najma na wengineo njooon mambo tayar😍😍🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Nipo maa nimerudi leo nimewamis balaa
@@aiyamhassan1321 Nmefurai kukuona kipenzi 😍😍😍😍😍😍
Hayo majina ulivyo yapanga?😂😂🤣
@@lilyrose7983 Nakwambia chidada changu 😍😍😘😘 njoo kuna mpya 😂😂😂
@@ayshamahariq6665 😂😂🤣🤣 daah nimechelewa lkn hamna shida
Twende kazi apo mzee D
Me wangapi kwani
Timingshop ee bwana htr xna..!!
Somoe pili sapna Fatma Eric Fundi Aisha Farhat salum Riziki zabiya upendo najma Abuubakr Fam morn blessed Aisha Fatma Nasra kevarist salma salma na wengineo njooon mambo tayari 😍😍🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Tupo my dear Aysha
@@fundiali4535 Nmefurai kukuona kipenzi 😍😍😍😍
@@fundiali4535 waendeleaje na homa?
@@ayshamahariq6665 naskur nipo powa
@@fundiali4535 Nmefurai kuxkia hivo kipenzi😍😍
Njooni uku kumekucha
Safi bro
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
Shukrani sana😋😋😋😋🙏🙏
😋😋😋
Hii nayo tamu tamu km ya zabron😁😁😁
Kuna mambo kweli 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Yaan Babu badala akukanye kuhusu njia zako zisizo sahihi, yy ndo kwanza anakuhamasisha kufanya!!!, kweli kigoma kwa moto.
Wooooozaaa
Moreefiree dv nipe zangu morefireeee
Aisee watu wanavundikwa duh hatari kweli hapo kwa kifo ni mungu tu ausike ila sio kwa kulogwa
Nakubal sana davistar
💯
Kigoma Motoooo!!!!!
Aiseeeee hatari kasorobo
Tunaöpenda story za kuzimu pita hapa
Chapa nembo Davistar Nakubal
Wanaojua kidono wa kigoma wenzangu like zenu hapa.
Part 3 plz
Yeah
Nimesikia ukwaju,,,mate yamenijaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Una yako 😂😂
@@somoeawadh7774 wew nae mpana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@annajoseph9955 😜😜😜
@@somoeawadh7774 kabsa😂😂😂😂😂😂
@@sweetie6934 😭😭😭😭😭😭😭😭
Eti kwanini ss masikini nakati kunamjukuu kaamua kujitolea mungu angesaidia hapo kwapanga nashoka angekata ukadedi dadeki zako
Mungu turemu tule kwa jasho letu🙏🙏
Inafrahisha sana na pia inafundisha
Duuu Story tamu thaana
Leo nimekua mtu wa tano
Mkuu leo tulale na vipande vi3 boss
Stori Yatisha sema na huzuri wa stori Hipo
Walewale wakina dani wamevamia chanel
8🔥🔥🔥🔥
Ebhana eeh likapinda😂😂😂😂muhutu huyu
Pilli mama njoo huku tayari waite na wenzio
Hii nitaifatilia hadi mwisho
Mwizi stadi ulifilisi mama wawatu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ndani
Wapi part3
Kwahiyo hata chips kuku huli
Uzilipe pesa ulowadhulumu watu
Siku walete hata watatu waliohadithia Hadith za kufanana washare uzoefu wao
Daaaah mko fasta balaaa
Duh
Mwijukuu anataka kuwa konki oil chafu hahaaaaa
Jana na leo
Acha kuchezea cm ww
Sauti Davis
Sasa akijaribu Kukatashingo akate kama kakosea dawa wewe utakuwa umekufaa🙄🙄🙄🙄🙄🙄msiotafuta hela kwa jasho lenu nn kuhangaikaa tuu ujingaa wakufilisi wanadamu
Kutaka pesa za njia fupi ili utajilike kuna gharama yake.
Tupo kama kawa 😎
👍
Majambazi wanajua kujieleza hatari
@Somoe Awadh, @Aysha Mahariq na @Fatma Mucha njooni njooni, Davista Mata Media washafanya yao huku
Shukran 😄
Nshafka chidada changu Asante 😍😍😍😍
Reapit ama
Kiukweli ukiona mtu ana pesa zake mwacheni wanapitia pagumu 🤔
Tena hakuna kuomba hata msaada
Huyu jamaa kiboko
Sijachelewa Bado
Alhamdulillah w mwishooo😢🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@@ikabako2454 pamoja kipenzi😂😂😍😍😍😍
Mi ndio wa mwisho😂😂🤣🤣
@@lilyrose7983 pamoja kipenzi 😂😂😘😘😘
@@ayshamahariq6665 😂😂🤣🤣asante
@@lilyrose7983 karbu 😂😂😂😂😂
mbuzi 2500 milion30 ukilinganisha nawakati wasasa milion300
Mbuzi dume alimnunua kwa 2500 msikilize tena
@@binsaidiabdul6497 pesa ya tz
Online
J.BOYS.F.C 1999
hahahaaaa
😁😀😁😀
Kuna kitu hakipo sawa kwenye dunia ya wachawi,,kila anaesmlia yy alkua mkubwa wa wengne,,Inamaana hua hawajuani au😁😁,,,wachawi bhn
Ni dunia ya uongo na baba yao ni baba wa uongo na uongo unatawala. Inawezekana huwa wakuu wa giza huwa wanadanganya ili kuwafanya wajione wakubwa katika harakati za kuwanasa. Ila kama umegundua kwenye dunia ya wachawi wanajua sana kujieleza hata kama sio wasomi kabisa.
@@agneskighenda3795 kabisaa
@@agneskighenda3795 kila mmoja anajazwa kwamba yy ndo yy nothing else,,,hata wao pia nahs wana psychological mind ya kumfanya yyeyote anajiunga nao ajione anaweza kulko mwenzake,,,na naturally binadam tunavopenda kjibrand inakua ngumu kutoka sabb ya huo ukubwa wanaoaminishwa 😁
@israel - correct kabisa! Na kama umeona wengi ni waroho wa kutawala na kumiliki kwa njia ya mkato.
Kila kitu ni cha kufikirika,ndio maana wengi wanafanya wakiwa ndotoni!
Santa dav
Duuh
Kutenga shingo hapo hpana
Me vyote hivyo hapana bora nife na shida zangu
🇰🇪🎲🎲🎲👏
Makubwa duniyani
Ulimwengu mzito huu🤣🤣😂😂
Davista mtu makini